Kspoupy - Countdown/Uno.Dos.Tres [Lost File]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Prod. By Watee
    Beat By Capi Tracks
    LYRICS
    Ey,
    Ni Countdown
    S.P.O.U.P
    Moja mbili tatu (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    Moja mbili tatu (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    Naifanya leo ju kesho ni pending
    Mi na make moves praco on a daily
    Breaking chain loose laana siwezi
    Ndio maana na bow down to always Sir God
    Oh my Gs nataka hiyo clothing
    Sitting table moja na Motif
    Grinding always I've been playing on a low-key
    Wacha majibu ijipe kwa mbogi
    Moja mbili tatu (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    Moja mbili tatu (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    Ricky and Morty ndio maana na Pull up
    Sipendi kusota ndio maana na Guwup
    Ma' serpent epuka ndio maana naangalia Up
    Mwendo wa kasi talanta itajipa
    Wale walidai talanta ilipi look at me now I'm a buda silishwi
    Heri subira unione kwa TV
    Little bit patience my neck ikuwe freezing
    Moja mbili tatu (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    Moja mbili tatu (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    Naifanya leo ju kesho ni pending
    Mi na make moves praco on a daily
    Breaking chain loose laana siwezi
    Ndio maana na bow down to always Sir God
    X2
    Uno Dos Tres (Wavy)
    Shawty alidai ye ni too (Sexy)
    Live your life with no (Regrettings)
    Naifanya leo ju kesho ni (Pending)
    X2
    What y'all Think🥶
    Beat by Capi Tracks

Комментарии • 34