Yaah! Rabbi tuongoze katika njia iliyonyooka, tuepushe na shetani atiae wasi wasi katika nyoyo zetu, uzifanye ndimi zetu ziwe ni zenye kunena kauli thabiti, aamin
Mashallah Allah tupe kher na uturehemeshe kwa neema zako ,na utufanye tuwe wenye kufuata taratibu na mafundisho thabiti ya mtume wetu Muhammad Amin yarab amin
Yaah! Allah , uzifanye ndimi zetu ziwe ni zenye kunena kauli thabiti, na shetani atiae wasi wasi katika nyoyo zetu, katika njia iliyonyooka, aamin rabil alaamin
Ya Allah tupe al janat na vizazi vyetu na wazazi wetu. Tulinde na makafiri na shetani. Tupe kuze tutumiye katika jiya ya tukowa kwa jiya ya Allah. Ohh mola tupe afiya tuwezeshe kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan amen..ya Allah tusamehe hata kama tumisahao kuomba msamaha kwani wewe ni mwingi wa kusamehe. Tulinde na ufakiri maradh na watu wabaya husda...amen Alhouma sali al nabiya karim Muhammed swalalahu alahi wa salim
Mohammad S.A.W
Subhanna Allah wataala
ALLAHU AKBAR ALLAH AKRAM 🤍🕋🤍 LAILLA HAILLA-LLAH
Yaah! Rabbi tuongoze katika njia iliyonyooka, tuepushe na shetani atiae wasi wasi katika nyoyo zetu, uzifanye ndimi zetu ziwe ni zenye kunena kauli thabiti, aamin
Mashallah Allah tupe kher na uturehemeshe kwa neema zako ,na utufanye tuwe wenye kufuata taratibu na mafundisho thabiti ya mtume wetu Muhammad Amin yarab amin
Yaah! Allah , uzifanye ndimi zetu ziwe ni zenye kunena kauli thabiti, na shetani atiae wasi wasi katika nyoyo zetu, katika njia iliyonyooka, aamin rabil alaamin
Yaah! Rabi utupe kula la kheri utulinde na mabaya ujalie tuwe waliongoka na tufanye hasanat na utupe mwisho mwema ameen
Mashaallah tabarakaallah sauti nzuri sana Ongera kaka 💙💙👏👏
Alhamdulilah kwa neema hii kubwa ya QURAN
Mashallah tabarakallah beautiful recitation.
Ya ALLAH tujaaliye tuwe na mwisho AMEEN
Ya Allah tupe al janat na vizazi vyetu na wazazi wetu. Tulinde na makafiri na shetani. Tupe kuze tutumiye katika jiya ya tukowa kwa jiya ya Allah. Ohh mola tupe afiya tuwezeshe kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan amen..ya Allah tusamehe hata kama tumisahao kuomba msamaha kwani wewe ni mwingi wa kusamehe. Tulinde na ufakiri maradh na watu wabaya husda...amen Alhouma sali al nabiya karim Muhammed swalalahu alahi wa salim
Masha'Allah
Ahsante kwa tafsiri nzuri ya qurani tukufu
06/09/2024
By Ibrahim Abdallah Kigomba
My lovely suwra
❤❤❤❤❤ MashaAllah Great work
Mashallah jazakallahul khaira.
MashaAllah walhamdulih
Yaa rab nipe kifua cha kuyajua haya
Mashaallah mungu akuongeze inshallah
Amin
Mashallah alla akuzidishie kila la kheri duniani na akhera
Ameen kwa wote.
Mashallah
Alhamdulillah
Allah akulipe kheri shekhe
Maashallah
Mashaallah
amen
Maneno ya muumba ni matamu bwana hakuna mfano wake
Allah ameamlisha jihad kwwny sura hi 👆👆👆👆
Tuinususu din Ya Allah na makafil hawa wasiokua na maana
Katika sura tul muhamad allah kaamrisha watu wafanye jambo kwa sabililahi( yaani kujitolea kwa ajili ya allah). Na sio vinginevyo
Fp
Danlod
Mashaallah