Pt36_NILIONA JINA JOHN MAGUFULI LIKIFANYIWA NJAMA KTK KITENGO CHA SUMU KUZIMU•Ushuhuda wa AstonMbaya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 86

  • @EliaJulius-c1s
    @EliaJulius-c1s 3 месяца назад +1

    Neno la mungu linasema kila siri itagundulika na kufichuliwa hadharan sasa mungu anayafichua mambo ya shetan watu wajue jinsi neema ya mungu ilivyo kuu ktk maisha yetu,atukuzwe mungu wa kweli milele na milele amina.

  • @Priska247
    @Priska247 Год назад +3

    Asante sana wana Promover TV, ushuhudu huu nimeufata kuanza mwanzo hadi hapa na kwakweli siko jinsi nilivyokuwa naelewa ulimwengu huu. Mungu peke awabariki sana tena sana.

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 Год назад +4

    Mungu wetu bado yupo hai, tuombeane sana,natuombe kweli,utushike mukono Bwana Yesu kristo 🙏🏼

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 Год назад +6

    Ee yesu tupiganie watu kuzitambua njamasote za Yule muovu
    .tutilie maanani WOTE tunaotanzama Na kusisikiliza jumbe Za promover TV .be blessed all the teams.

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 Год назад +6

    BABA ninakushukuru Kwa wema wako nakupenda sana BWANA YESU KRISTO,l love you very much my love

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 Год назад +3

    Mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU kwakueneza ujumbe wa MUNGU wambinguni

  • @AlineApoline
    @AlineApoline Год назад +2

    Mungu awazidishiye siku nyingi Ni mungu tu bila yeye atuwezi

  • @marykibali7568
    @marykibali7568 Год назад +6

    Ee Mungu Baba tusaidiye sisi watoto wako maana aya yote atutaweza bila wewe Yesu Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 11 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kutufunulia siri

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 Год назад +5

    Hallelujah jina la BWANA YESU lisifiwe sana, BWANA na awabariki sana watumishi wa BWANA wetu YESU KRISTO

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 Год назад +15

    Imempasa Kila Mtu Kuwa na Mahusiano Binafsi na YESU KRISTO, Narudia Binafsi,
    👉 Dunia Imechafuka sana, unayemwamini ndiye anaweza kuwa anguko lako.
    👉Imani, mtazamo, mwenendo, mawazo, maisha na kila kitu, Ni muda wa kumkabidhisha YESU SaSa. YEYE NDIYE KWELI NA UZIMA.
    👉 Anakupenda Sana Mwanadamu.
    👉 Anaomba ufungue moyo wako ili akupe uhai na uzima na kukuepusha na uharibifu wa milele.
    Yohana 10 : 10
    Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

    • @shadrackgunza8211
      @shadrackgunza8211 Год назад

      KWELI KABISAAAA ni uhusiano binafsi

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 Год назад

      Kabisa uhusiano binafsi, nilikataa mikataba Fulani na Sasa natafutwa niuawe!

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 Год назад

      Ilitabiliwa yesu akatabiri.akasema.siku za mwisho zitakuwa mbaya.sana.lakini watakao liitia la.yesu.ndio hawatataharika dunia imechafuka tujikinge na jina

    • @RemiKim-yt5cl
      @RemiKim-yt5cl Месяц назад

      Naomba namba yako mtumishi wa BWANA

  • @malengamsombwa3115
    @malengamsombwa3115 Год назад +3

    Mungu atukuzwe sana

  • @adriandanford208
    @adriandanford208 Год назад +6

    Tuna Bahati Sana wanadam Kwa kupewa jina la Yesu lenye mamlaka yote duniani , kuzim na mbinguni Ila ona hawa wengine

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 Год назад

      Samahani Adrian D. Jina la Yesu.... Anza na herufi kubwa Mkuu. Kweli tuna bahati sana...Barikiwa..

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 Год назад +10

    The life in spiritual realm is real. I've learnt alot from this Testimony, God help me, be blessed Mr. Jacktan ♥️🇰🇪

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه Год назад +4

    Mungu akubariki mtumishi kwa huduma na Bwana Yesu atusaidie kuyashinda yote

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 Год назад +5

    Imempasa Kila Mtu Kuwa na Mahusiano Binafsi na YESU KRISTO, Narudia Binafsi,
    👉 Dunia Imechafuka sana, unayemwamini ndiye anaweza kuwa anguko lako.
    👉Imani, mtazamo, mwenendo, mawazo, maisha na kila kitu, Ni muda wa kumkabidhisha YESU SaSa. YEYE NDIYE KWELI NA UZIMA.
    👉 Anakupenda Sana Mwanadamu.
    👉 Anaomba ufungue moyo wako ili akupe Uhai na Uzima wa Milele na kukuepusha na uharibifu wa milele.
    Yohana 10 : 10
    Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 Год назад +5

    Mungu tusaidie😭😭😭

  • @winfridalazaro296
    @winfridalazaro296 Год назад +4

    Yesu tusaidie peke yetu hatuwezi,tushike mkono baba

  • @suzanlyimo3909
    @suzanlyimo3909 Год назад +2

    Asante mbarikiwe sana

  • @JosephKayala-vi4im
    @JosephKayala-vi4im Год назад +1

    Amina

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 Год назад +4

    Safi sana hakika Mungu anatupenda

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Год назад +7

    Waa! hii dunia imejaa maovu mingi sana,,Ee Bwana tunusuru kutoka kwa mikono muovu shetani

  • @stellamutembei7567
    @stellamutembei7567 Год назад +3

    Mubarikiwe watumishi wa Mungu

  • @jylishura7665
    @jylishura7665 Год назад +3

    Asante saana mbarikiwe tumejifunza mengi.

  • @mohsixtus7048
    @mohsixtus7048 Год назад +3

    Jirekebishe utamshi wa maneno Kama kadhaa siyo Kazaa

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Год назад +4

    Yesu anarudi upesi sana kinachotakiwa kusimama imara na Yesu tuu bila hivyo ni ngumu kuingia mji ule

  • @servantofalmightygoddranth2511
    @servantofalmightygoddranth2511 Год назад +1

    BWANA YESU ASIFIWE,kila kitu kinachoonekana kinaanzia katika ulimwengu wa roho, unaweza kuwa ulimwengu wa ROHO MTAKATIFU WA MBINGUNI,au ulimwengu wa roho wa mwivi shetani.

  • @fei3668
    @fei3668 Год назад +1

    asante saana Mungu akuweke mtumishi

  • @florencemueni1183
    @florencemueni1183 Год назад +2

    Hii dunia bila yesu tutaishi aje kweli,,, Mungu tusaidie

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Год назад +3

    Ndo maana kuna mtu aliwahi kuniambia, unaokoka una dhambiganiww? Skua nimemuelewa ila now nimeelewa
    Hakika shetani ni mjanja sana sjui tutaponaje ispokua fever ya kristo maana nabakia nkijtathmn sijioni mbnguni mn najiona jehanam aise ee MUNGU ulie mkuu kuliko vyote unisaidie mm na kizaz changu unipatie fever tu maana kibinadam niko tupu

  • @medikokadilo2740
    @medikokadilo2740 Год назад +5

    Kumbe lisemwalo lpo kweli meamn walsemaga sumu sumu Kumbe kweli dah R.I.P mzee Baba

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад +2

      Yaani we achatu

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Год назад +4

      Mh ila R.IP C ndio lile Neno wasemalo watu WA DINI" ulale mahali pema peponi"? Au labda mm cjui km cjui!? Km n kweli bc naamn haliwafai wateule kumtakia mpndw wao aliyelala! Ht km n rafik yngu kpnd,mzaz n.k akifa naamn sio wjb wetu kusema MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI km ndio maana ya R.I.P maana wajb WTU unaishi pale mtu hjafa,hapo Bblia yasema MUOMBEE HT KW MACHOZ ila akifa tuu bc acha HUKUMU ya Mungu ichukue nafasi yke!
      HILI NDIO KOSA LETU WENGI
      Htushughuliki na mtu kabla hjafa Ili abadir njia zke,ila akifa huwa tunamlilia sana na kujarib kumuombea ht kw kumsihi Mungu amuwke mahali pazur tukifikir labda itasaidia kmbe tulitakiw kumuombea b4 hajafa,akifa Sala,nyimbo na vilio vya waombolezaji havibadiri chochote kw mhusika!

  • @jemaluvanda9443
    @jemaluvanda9443 Год назад +2

    Eee Mungu turehemu

  • @annamuolo1642
    @annamuolo1642 Год назад +4

    Bwana wa majeshi turehemu sisi kizazi iki utuokoe kwajili ya utukufu wa Jina lako kuu.

  • @forjesus1382
    @forjesus1382 Год назад +3

    Endeleza ushuhuda hii hadi uiishe

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 Год назад +3

    MUNGU wetu atusaidie sana sisi watu wake

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 Год назад +2

    Ni kweli uongo unaenea sana kuliko ukweli

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Год назад +1

    Duuu

  • @rhodahsavayi5146
    @rhodahsavayi5146 Год назад +1

    Naomba disk ya huu ushuhuda mtumishi nitaupataje niko saudi

  • @carolineaganda2238
    @carolineaganda2238 Год назад

    Mwwndelezo utapatikana lini?

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 Год назад +2

    Eeeeee MUNGU tusaidie kuyashinda haya kwakupitia mwanao YESU Kristo pekeetu hatuwezi

  • @zainabmohammed9917
    @zainabmohammed9917 11 месяцев назад

    Ndo maana walimuua Magufuli

  • @JamesMeshack-m3s
    @JamesMeshack-m3s Год назад +1

    Wahubiri mna kazi kweli kwani tb Joshua yuko duniani tena?sasa kutuambia Habari zake zinatusaidia nn ?

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 Год назад +3

    Nasikiliza nikiwa kibaha pwani

  • @petermangale9314
    @petermangale9314 Год назад

    Huu ushuhuda tutaweza kuupata kwa njia ya pdf?

  • @emmanulmbembati
    @emmanulmbembati Год назад +4

    Bwana atuokoe maovu ni mengi mno

  • @dadaz4653
    @dadaz4653 Год назад +2

    Simama mwenyewe BWANA pekee yetu hatuwezi

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Год назад +2

    Tunsmshukuru Mungu kutufunulia haya mbona tungefanywa mawindo

  • @rhodahsavayi5146
    @rhodahsavayi5146 Год назад +3

    Eeee Mu gu atusaidie kiukweli

    • @hildegardchafwila5076
      @hildegardchafwila5076 Год назад +2

      Peke yetu hatuwezi, maisha yetu ni vita kubwa Sana na shetani. Mungu tusaidie Sisi watoto.

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 Год назад +1

    Soma Biblia kwa umakini.kuna kuzimu na Paradiso.sehemu mbili mfano tajiri na Lazaro.sasa hivyo vyumba sielewi!!!!!!!

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +4

    Hakuna raisi yeyeto au mtawala yeyeto duniani aliyefanikiwa kuingia mbinguni hadi sasa. Vyeo vya duniani sio vyeo vya mbinguni

    • @merysebastan2169
      @merysebastan2169 Год назад +4

      Acha uongo soma neno acha kukurupuka neno linasema Kila mamlaka imewekwa na Mungu iliyoko duniani

    • @zakariasengo8930
      @zakariasengo8930 Год назад

      @@merysebastan2169 unamaanisha ata mamlaka ya Hitler ilitoka Mbinguni??mamlaka ya mpinga Christo itatoka Mbinguni??mamlaka ya ule utawala wa Roma iliyomtesa na kumuua YESU ilitoka Mbinguni??,YES Nakubaliana na wewe kwamba imeandikwa hivyo,,ILA tukijifunza kuelewa huenda tutajifunza kwamba neno la Mungu lilimaanisha kuwa ni Mungu anae ruhusu hizo mamlaka ziwepo , either iwe nzur au mbaya ni Mungu karuhusu,,ni kama ajali tu shetani anaweza kupanga ILA mpaka Mungu aridhie ndio inatokea ,, kwaiyo hatuwez kusema Mungu kaleta ajali

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 Год назад

      @@merysebastan2169 sijui anadhani raisi anawekwa na bb yake.wakati magufuli kabla ya kifo chake alipata neema ya toba

    • @viousa
      @viousa Год назад +3

      @@merysebastan2169 ni sawa na kusema Kila ndoa imeunganishwa na Mungu lakini ukweli Kuna ndoa watu walienda Kwa waganga Ili waoe au waolewe na watu waliowatamani

    • @ntandumghanga7296
      @ntandumghanga7296 Год назад +1

      Umejuaje? Umeshawahi kufika mbinguni ukawakosa? Acha kuzusha jambo usilo na hakika nalo

  • @josieisrael5457
    @josieisrael5457 Год назад +1

    Sisi tuliochanjwa tumelaaniwa? I regret the vaccine but I would have lost my job 😥

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 Год назад +2

    ACHENI KUMTANGAZA SHETANI TANGAZENI NGUVU NA UKUU EA MUNGU, SHETANI ANATAKA ASEMWE SANA KAMA HIVI ILI APATE KUWATISHA WATU, SEMENI MAKUU NA UWEZO WA MUNGU ZAIDI SIO NGUVU ZA SHETANI NA UFALME WAKE.

    • @riddi676
      @riddi676 Год назад

      You are not to be ignorant of the enemy’s plots to destroy you.
      “Lest Satan should take advantage of us; for we are not ignorant of his devices.”
      2 Corinthians 2:11

    • @EliaJulius-c1s
      @EliaJulius-c1s 3 месяца назад

      bila kujua binu za shetan kumshinda shetan haiwezekan hivyo ushuhuda huh ni nguv ya kumshinda shetan.

    • @JosephNdoshi
      @JosephNdoshi 2 месяца назад

      Ndugu Mungu akusaidie

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 2 месяца назад

      @@EliaJulius-c1s huigani wewe Ni vita ya Mungu hiyo wewe mjue zaidi Mungu

  • @mwasamiramedics2666
    @mwasamiramedics2666 Год назад +2

    Nonsense!

  • @rhodahsavayi5146
    @rhodahsavayi5146 Год назад +3

    Eeee Mu gu atusaidie kiukweli