Mambo ni mengii jay happy kukuona back,,,,but don't forget moha😢😢 plz tumwombee yeye😪😪😪😪l will not stop praying for jay family na moha 😭my pray want l saw during my pray that by Friday moha will be well deep pray aki moha quick recovery bro
Aki nyinyi wanawake mko kwa ndoa mbona munafanya mabwana zenu mathalau aki😭😭😭munajua vile single mother tunahitaji kua na ndoa? Kwanza mimi nilitolewa shule nikanzaliswa watoto wawili baadae mwanaume alikua ananiwacha 1 yr ndio ataludi kupiga simu ananiuliza nafanyanga nini kwao? Nilikua nachotea watu maji ndio nipate pesa ya food na mtugi ya maji nilikua nalipwa 5 bob 😭😭mtoto wa kwanza aliniacha akiwa na 3 months wakati aliludi akapata mtoto akiwa 1yr 3 mnth akaniforce nikapata mimba ya mtoi mwng kutoka hapo sikuwai muona alionekana mimba ikiwa8 mnth nilipitia mengi sana lkn nashukuru mungu nko gulf
Sometimes God will make you go through such situations so that he can teach you a certain lesson.......God will uplift you ukiitikia kukaa kwa mapenzi yake,....na atakapokupeleka kwa hiyo ngazi ingine utajua vizuri ni nani uko nayeye na utajua ile njia utapitia. Si Mungu akuongoze kwa ile njia ambayo inafaa? Na pia ukupee neema ya kuvumilia ukingoja mwongozo wa Mungu.
Is not easy but I thank my mum for standing with my father since 2009 nikiwa class 7 my daddy lose sight zake ako totally blind but mum amesimama na boma yake adi sasa and we love our daddy very much coz akiwa sawa we never lack anything
J congratulations for the good work done God bless you.yaani unafanyia bwanako madhalau coz umepata pesa one day you will regret believe me God who is in heaven will turn nothing upside down
Hakuna venye unaeza bebeleza mwanamke ivo na akose kukukalia, hizo beb ni mingi sana you are the man of the house stand strong dio akuheshimu, you better lose her than hii madharau yote,
Sometimes God will put you in tough situation not to punish or make you suffer but to strengthen you and reveal the devil that is holding your future may God's healing power rest upon you Michael
So painful mike but no situation is permanent, Luo ladies they are very beautiful but if you not financial stable atakuhanya , but her not giving you your conjugal right it's God
Ushilie bro....but chenye naeza kakusaindia nayo wacha kupenda mtu na roho yako yote njibakishie bro....huyo anakucheza tena kazi ya beauty hakuna vile inafanya handi ushiku....kumbali matokeo dear
Jay you are the dad to the family That is your family and mohaas family May God give you health grant you peace and many more blessings to take care of your family We pray that God is going to restore mohas health
Whoooiih 😢...this is very sad story...........ngai niwe musilania wawo......ak i can't hold my tears when this lady talking this rude to her husband......mungu tetea wana wako
Jay you and your family are my prayer items.Moha you too tied in my prayer closet💞💞💞💞💞💯👏
DIRECTOR JAY,SALIMIA MAIKO NA UMWAMBIE WAKATI WA MUNGU UTAFIKA HASIFE MOYO TWAMUOMBEA..msaidie maiko sana SANA apate KAZI
Some of us are praying for faithful and loving men like this man while others are wasting there opportunity
True
Akii
Aki mm inaniuma
Ndio Beb i'm sorry Beb 😂😂😂😂 what is this haki mwanaume mko na sinda haki
Mambo ni mengii jay happy kukuona back,,,,but don't forget moha😢😢 plz tumwombee yeye😪😪😪😪l will not stop praying for jay family na moha 😭my pray want l saw during my pray that by Friday moha will be well deep pray aki moha quick recovery bro
God's people will never be disappointed ...I always remember you en your family in my prayers 🙏🙏🙏.... soon we shall cerebrate glory of God 💃💃💃💃💃💃
Dont cry bro , let God wipe your tears!
Director Jay advice him to go to Kakande Ministries Uganda, his eyesight will be restored instantl, this is work of devil amd shd be put to shame.❤
We have Ezekiel too in Kenya Bora imani
May God give this man a job
Wahhhhhhh 😳 😳 😳 😳 Kwani this lady treats his husband kama mbochi... God have mercy 🙏
Inauma aki
What do you expect her to do???.House chores are 50/50 in Diaspora.Only our primitive Men in Africa who think otherwise.!
Boy child say no to depression come out nd talk Mike u have chosen the best way to know the truth
Oh sorry for loosing your sight. May the Most High God, who is our healer restore your sight in Jesus Mighty Name
Sorry for the loss of your sight bro Mike,,,,
May God restore your sight IJN
May God see you through bro..with God all things are possible,it's really sad to see a man shedding tears 😢😢
😢😢😢😢God will remember Him❤😢
@@ngenyveronicah9073 Amen Amen wooi🙏🙌🙏
Aki nyinyi wanawake mko kwa ndoa mbona munafanya mabwana zenu mathalau aki😭😭😭munajua vile single mother tunahitaji kua na ndoa? Kwanza mimi nilitolewa shule nikanzaliswa watoto wawili baadae mwanaume alikua ananiwacha 1 yr ndio ataludi kupiga simu ananiuliza nafanyanga nini kwao? Nilikua nachotea watu maji ndio nipate pesa ya food na mtugi ya maji nilikua nalipwa 5 bob 😭😭mtoto wa kwanza aliniacha akiwa na 3 months wakati aliludi akapata mtoto akiwa 1yr 3 mnth akaniforce nikapata mimba ya mtoi mwng kutoka hapo sikuwai muona alionekana mimba ikiwa8 mnth nilipitia mengi sana lkn nashukuru mungu nko gulf
Pole Kwa hayo dada
Amen
Pole dada
Asanty mungu awabariki wote ipo siku
Duuu jay mwambie huyo mwanaume mi natafta mwanaume kama yeye nitampata wap
Sometimes God will make you go through such situations so that he can teach you a certain lesson.......God will uplift you ukiitikia kukaa kwa mapenzi yake,....na atakapokupeleka kwa hiyo ngazi ingine utajua vizuri ni nani uko nayeye na utajua ile njia utapitia. Si Mungu akuongoze kwa ile njia ambayo inafaa? Na pia ukupee neema ya kuvumilia ukingoja mwongozo wa Mungu.
Hawa watu wa beauty ni Malaya tu sio wote lakini parcentage kubwa
God’s always watching your family true my prayers👏👏👏
Praying for Bella Moha and PL family. May God heal them and protect them. That's my prayer 🙏🙏.
Sorry ladies mnatoa wapi nguvu ya kutret wazee ivi jamani
Is not easy but I thank my mum for standing with my father since 2009 nikiwa class 7 my daddy lose sight zake ako totally blind but mum amesimama na boma yake adi sasa and we love our daddy very much coz akiwa sawa we never lack anything
J congratulations for the good work done God bless you.yaani unafanyia bwanako madhalau coz umepata pesa one day you will regret believe me God who is in heaven will turn nothing upside down
Jay be strong and l knw you will overcome it..l love bella so much..
Pole sana boy child, your wife one day she will shed tears, the way you have done, don't worry what she is sowing she will reap
Sikwa ubaya but how does he dial the phne calling and receiving the calls...the way he is dialing the phne is like anaona
Wanawake wazuri wapate wanaume shetani, wanaume wazuri wapate Wanawake shetani hii ndunia ni noma.
Mungu akubanguze machozi bro
Hakuna venye unaeza bebeleza mwanamke ivo na akose kukukalia, hizo beb ni mingi sana you are the man of the house stand strong dio akuheshimu, you better lose her than hii madharau yote,
😢😢wooooi, pata shida ndio ujue who you married 😢😢
Huyo mwanamke anaongelesha aje bwanake??! Woiye respect kidogo angalau
Pole ndugu yangu unapitia majungu but mungu uko na wewe najua sio kumbenda kwako kwa kuumia
Mungu ako nawe bro kila kitu kitakua sawa in Jesus name
Ewe mungu wa mbinguni naomba umponye uyu mwanaume macho pia umrudishe kazi,,,,kwako Kila kitu kinawezekana.
Sometimes God will put you in tough situation not to punish or make you suffer but to strengthen you and reveal the devil that is holding your future may God's healing power rest upon you Michael
Very true
That's true....
Pole bro kutegemea bibi ni noma sana haoni kaa wewe ni mtu tena juu huna pesa tena
Take heart bro ya duniani yanalipiwa hapa duniani.
Dr jay,ambia mike aende lions lolesho na afwatilie atapona,na by faith amini Mungu anaweza.
Woooooi yaan mke akipata job anaaza tabiaa,huyo nafukuza live aishie na tabia zake uko,Ndio nione atafika wapi na hio maisha yake
Tuned in Jay I'm praying for Bella be healed in Jesus mighty name and also divine healing for moha in Jesus Holy name 🙏 Amen
Pole sana my brother for what you are going through, Mungu atakuonekania hakuna lisilowezekana.
Mungu wangu watu wana yapitia lkn kama upendi mtu si useme to sio vinzuri bro take heart ❤️ .....DJ good job ur doing
Aki uiee God have mercy to this man...
Aki mungu amsaidiya huyu kaka😢😢
Huyo sio mwanamke bro wacha Mungu akuponye na kukupa mke mwema mwenye hekima
Wah bro uko sawa kweli hii yote unavumilia hadi unaosha nguo hii apana bana
Wooiiiye poor boychild. Aki anakubeba vibaya hadi your self-esteem imekuwa damaged. Run for your dear life.
Don't cry bro all will be well may God open doors for you,wipe your tears and heal you...Soon you will have testimonies to tell.
Jay ambia huyu mtu akimbie
Wewe umeoa Nani kweli,,, may God help ,,you are in great problem,,,Tafuta kazi yeyote
We are so much sympathetic to this men bt us ladies go through hell 10times bt tunakufia tu ndani #ladies also matter
We thank God for Bella divine healing trusting the same God will do great and mighty things in your family
Sorry dear brother, God will provide for you a new beginning of your life.God will wipe away your tears 😭 it's so much painful 😣
Wah🙄 don't cry bro takeheart God is with you , & quick recover very soon. 🙏🙏🙏
I feel your Pain bro move on before she brings you disease don't stay in a toxic relationship she is from street may you heal quick
It's true I know the lady she's not a responsible woman
Sasa bro hapa ndo yamemwagika utasaidika inshaallah eeh mwezi nne bwan hapew
I love,love ur intro true k to the world ❤❤
So sad bro may GOD remember you for loosing your sight GOD heal moha
I HOPE MAMA JUNIOR AMESKIA VILE MTOTO HATAKIKANI KWAKE ATI JUU ATAKULA GIDHERI NA AHARE
Waaa aki ndoa za sai mungu saidia😢😢
Nipewe huyu nijioshe😢😢😢 so painful take ❤️
May God heal this man
Kenya. Men 🎉🎉🎉🎉kudos not all of them hukua maraya for sure
Huyo mwanaume awacha kujihurimia saana he can service without that arrogant woman.
Mi nipewe uu mwanaume tuhustle hadi kieleweke
So painful mike but no situation is permanent, Luo ladies they are very beautiful but if you not financial stable atakuhanya , but her not giving you your conjugal right it's God
Rose coco sokoni Baba bora ili kma amepata ugonjwa iwe yake tu
Gods guidence and Grace is sufficient for your help Michael and Bella is an Angel God loves His Children it shall be well
Brother all be well in Jesus name hivi anakufanyia atakuja lipia
Jay peleka huyo Kaka delivalance aombewe plz
Let God intervin usilie jitie moyo
Mungu ni mwema utakaa sawa na utarudi kwa job.
Ayu the one who got accident i westland last year chuma zilikuangukia pole sana
Ushilie bro....but chenye naeza kakusaindia nayo wacha kupenda mtu na roho yako yote njibakishie bro....huyo anakucheza tena kazi ya beauty hakuna vile inafanya handi ushiku....kumbali matokeo dear
I feel the pain, oh my God what a painful experience,may God have mercy and how I wish our brother could regain back his sight
Mtu asiwai sema true k uwa mkamba iwezekani but hapo kwa witawa ata imeweza
Keep up jay tunasonga tukingoja mungu amalize kazi yake Bella atembee sasa
May God open your eye my brother
May God heal you and open another job for you.
Mwanaume kama hana pesa ako chini lakini akiwa na do hawezi nyenyekea hivo
Mungu mkuu mponye huyu jamaa macho
Bella and moha may you recieve healing from God in jesus name
Haki pole sana sana wacha mungu akutete
Machaa all the way 🔥🔥🔥🔥
Angemarry TU mkamba mjaluo wah noo
Hajui hata kazin kwa mtuy anae kaa nae anajiuza huyo wa dada wakenya malay san hao wazunguwazungu
Jay you are the dad to the family
That is your family and mohaas family
May God give you health grant you peace and many more blessings to take care of your family
We pray that God is going to restore mohas health
Whoooiih 😢...this is very sad story...........ngai niwe musilania wawo......ak i can't hold my tears when this lady talking this rude to her husband......mungu tetea wana wako
Jay saidia huyo mwanaume apate kazi 😢
Akii mi huskia vibaya mwanaume akidharauliwa juu hana pesa 😢
Uuu.bro.hiii.nindunia.ukweli.mungu.tusaidie..ukweli😮😮😮😮😮😮😮
God may you heal all hurting. May you restore our brother's sight Ang give him peace
Woooi pole sana bro ak sazingine tunafaa tuwe na roho ya utu jameni mambo ya mungu
Jay umekuwa mhandy some sasa umerudisha mwili wako
Ona sasa wanaume huchangwa urembo ndio hi sasa ati bibi yangu ni mrembo hiyo ndio imekwacha
Hey jay mine is to just say this new channel you be bringing follow ups while the old one for sanitisation
Run bro uliachwa kitambo
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢26yrs old.
Indeed some ladies are so heartless but when the reality will hit..she will regret.May God see this guy through this is so sad😢😢😢
Brother Jay wenye wanakataa waume zao please natafuta mume nitamtunza na kueshimu believe me
May God heal you bro