What?? Basi yy asiende mission tena ama bado mapema yatamtia tu mimba nyingine, mbona kumudharau MZEE SEBO??bado majaribio yapo Sarah please badilika for your better future life!!!!!!!
Bonyvee kwan sarah alikuwa mke wako ama besti tuu maana kama ndo unategemea kumuoa n shida 😢😢😢😢 mzew sebe mpe adhabu awe kilema tu kwa muda ama mwacheni achukuliwe na mapepo kiburi
😢😢😢😢 huyu Sara aachane na hii mission aende afanye ujinga yake huko na mganga akikupea mimba mzee asimsaidie afanye usherati huko na huwezi jibishana na mtumishi wa mungu😢😢😢
Wooii huyu Sarah ni malaya mkubwa hawezi badilika achaneni naye,.. Yaani mtu amesahau penye huyu sebo ametoa kupitia nguvu zake mungu, ananwita sahizi ati huyu mzee, mungu wangu nimeimba msamaha kwa niaba yake,,, 😢😢😢😢😢just few days back hata haja maliza mwezi hata nilidhani from hapo ataokoka kabisaa lakini wapi huyu. Waachane tu naye atajifunza tu mwenyewe na hiyo kiburi yake..
Sara Kwa kweli huna heshima kabisaa mbna uezi msikiza Mzee sebo, hivi umesahau, wah jifunze kuvaa ata kama ni Dera, hizo nguo unavaa sio za heshima Kwa kweli😢
Sarah bado ako na ushetani hajabadilika bonvee take care huyu sarah atakurudisha nyuma akae kwa shetani kama anaona ndio kuzuri shindwe kichwa ngumu😢😢😢😢
Bonvee wachana na Sarah kwa hii mission atafanya usipate mtoto wako plz hiyo mavanzi si ya heshima kwa mission ya mungu either si hivyo ajifunge lesso mkiwa uko na ajue atakuja kulia mwishowe Bonvee nataka kusaidiwa ak
Kwani huyu sarah anashidagani mbonakila akimbiwa analudia vinguo vyake vile vile huyu anapepo la umalaya kweli kama husikii hata mtume akikutaza we basi tena umeshindika watu watashindiga kilasiku kukwambia wewe tu na haubadiliki tena mpo mission ambayo haihitaji masihala unatakiwa uwe umeusitili mwili wako sawa sawa ebu uwe hatana aibu kidogo tu YA kuheshima watumishi wa mungu Duuuh. Mh Sarah mbona unakua kichwangumu kuelewa kama Kinyambizi bwana
Sarah wacha kiburi uwe na heshima. Mbona unaambiwa maneno na huskii vaa dera uwachane na mavazi mafupi. Ok pia ukiitwa na mzee Sebo unafaa kuitika kwa heshima tumia nam au ndio sio mmm haufanyi poa, sasa mzee Sebo akikuwacha na asikusaidie unajua mapepo yatakuja na nguvu na ukimtafuta labda hautampata na ubaki ukihangaika sana heri utii
Bonvi huyo Sarah muacheni tu nyumbani asiwafuate kwa mission kama hataki kubadilika Kwani haonagi wenzake Akina Emily,na Hawa wanavyo vaa wakiwa mission ajifunze kwa hao vinginevyo msimchukue abaki nyumbani tu
@adelaidemary5514 sasa tumfanyaje huyu sarah jaman mbona anakuwa hana utu sahii angekuwa anatumikia mapepo lkn haoni hamheshim alomsaidia na bado yuko na yeye moka dakika hz
Sarah kuwa na heshima kwa mzee unamuita tu sebo acha mapepo wakupate tena utatii😊
Uyo ni malaya aki
What?? Basi yy asiende mission tena ama bado mapema yatamtia tu mimba nyingine, mbona kumudharau MZEE SEBO??bado majaribio yapo Sarah please badilika for your better future life!!!!!!!
Bonvee nakupenda bure kwa sababu unamsikiza mzee sebo kwa makini
True anashika jina kwa jina
@loseeal3440 kweli
Kwani ukivaa dera utakufa ukienda mission. Mbn kila mtu akija kauli ni hio kwani hna maskio.tuongeeni yatutoke
Sara mbona husikii wewe naulisaidiwa surely
Bonvee itabidi sasa you leave Sarah ufanye mission pekee yako na mungu na mzee sebo
Bonyvee kwan sarah alikuwa mke wako ama besti tuu maana kama ndo unategemea kumuoa n shida 😢😢😢😢 mzew sebe mpe adhabu awe kilema tu kwa muda ama mwacheni achukuliwe na mapepo kiburi
Sarah ni best walikua wakifanya loyalty test pamoja
Huyu msichana hana heshima
Uyu sarah asikiangi maneno n kma ako na pepo la ngono walai,n mungu tu atamuokoa
Hawa anajuwa kudress vizuri sana akiwa mission
Aliambiwa available madura lkn hasikii anaona akivaa dera shep haitaonekana malaya hii akichukuliwa na mapepo muacheni akulwe na mapepo 😢😢😢😢
Toeni huyu sarah kwa mission
Sasa Sarah unaona umemea matiti na matako kubwa unaona uwezi heshimu wakubwa na watume,pewa adhabu inayokufaa.
Sarah Pepo ya umalaya imekuzidi umri wako pwoo tumechoka na huu wimbo,nenda tu ukafanye kazi na hizo Pepo pumbavu Zako 😮
Sarah ulisaidiwa na mzee Sebo, leo hii uko hapo unamjibu vile unataka,,, ngoja yakupate tena
Amen mungu ni mwema na bonvee ufuate maagizo usiwe kama sara hasikiangi mzee sebo
Ni kama anapenda kurepiwa na hao mashetani
Si ata avae dera Aai Ama hana
Wengine wako hapa wanakashifu Sarah na wanavalia kama yeye😂😅🤣🤣
But sio kwa mission akienda mission avae poa ama awache kuenda
Kuvaa s shida bt dress according to the occasion plx
Angalia mahali unaenda inafaa mavazi gani,valia bwanako uchi ndani ya nyumba😂
It depends which place you are going
TrueType
Akii mbona ako na kitambaa ya red.....Huyu atawarudisha nyuma
Bonvie ambia mzee sebo amnyoroshe sara vibaya sana
Bonvee mm naomba tu unizaidie niongezewe mshahara niko lebanon na maboss wangu wanipenda zaidi
🤔🤔🤔🤔huyu sarah hauko sawa Gai aki mimi Nimelia aki sarah 😭😭😭😭😭
Bonvee well done. Wewe ni msikivu sana
AMEN 🙏🙏🙏
😢😢😢😢 huyu Sara aachane na hii mission aende afanye ujinga yake huko na mganga akikupea mimba mzee asimsaidie afanye usherati huko na huwezi jibishana na mtumishi wa mungu😢😢😢
Ignorance will cost you sarah,be humble mama and by the way bibilia inasema dress 👗🥻 modestly,,,Mungu atakuachilia utakiona cha dunia
Mtoto wako watabeba ndio utajua hujui sarah be careful and respect God’s servant
Wooii huyu Sarah ni malaya mkubwa hawezi badilika achaneni naye,.. Yaani mtu amesahau penye huyu sebo ametoa kupitia nguvu zake mungu, ananwita sahizi ati huyu mzee, mungu wangu nimeimba msamaha kwa niaba yake,,, 😢😢😢😢😢just few days back hata haja maliza mwezi hata nilidhani from hapo ataokoka kabisaa lakini wapi huyu. Waachane tu naye atajifunza tu mwenyewe na hiyo kiburi yake..
But ata kama kitambaa ya red surely
Waaaaah waaaah waaah Sara Sara Sara mbn uko na kiburi sana tena mbele ya mzee sebo ghaii😢😢
Mbona Sarah asking maneno
Sara na Mzee Sebo mmejuwa nivunja mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sara Kwa kweli huna heshima kabisaa mbna uezi msikiza Mzee sebo, hivi umesahau, wah jifunze kuvaa ata kama ni Dera, hizo nguo unavaa sio za heshima Kwa kweli😢
Ghai uyu Sarah ako n akili gani sasa wah
Huyu sara ndo anafanya mission kuwa ngumu ...huyu ni ajent wa hao mashetani....sasa vitambaa zared anapeleka wp😮
Kabisa
Sarah mama alipona andokehe hii game coz yuko na ukahaba wa damu kutoka huko kwao how come uwenzi kurespeck mtume
Nunua dera kama tano hivi Sarah
Wee sarah unajisikia unachoongea 😮😮jifikiria Mara mbili acha kujisahaulisha wewe
Apewe adhabu akipata hiyo atatii
Mungu asante wacha bonnivee asaidike amepitia mengi
Sahara yuko na pepo la mavazi
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
nisadieni jmn npo Tanzania mm john
Masharti gani haya ama siamini jenye naona na jinsi nafikiria
Sarah bado ako na ushetani hajabadilika bonvee take care huyu sarah atakurudisha nyuma akae kwa shetani kama anaona ndio kuzuri shindwe kichwa ngumu😢😢😢😢
Sarah Mungu akukumbuke akuondolee kichwa ngumu
Mlisema Sarah ni malaya naturally 😂😂😂😂😂😂
Milaya for milayas 😂😂😂
Hajana naye apewe mimba ya mapaja😂😂
Huyu Sarah anakaa mwendawazimu kichwa chake hakiko sawa
Huyu mwanamke hiyo kitambaa pengine niya uganga ndio apate wanaume wengi
Haziende mission juu hana imani pia ni msherati
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 mzee sebo
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
😢waaah,,kaede kaede
apewe disiplin
Bonvii nisaidie nikutane na family yangu
Bonivii ni msikivu anahekima
Bonvee wachana na Sarah kwa hii mission atafanya usipate mtoto wako plz hiyo mavanzi si ya heshima kwa mission ya mungu either si hivyo ajifunge lesso mkiwa uko na ajue atakuja kulia mwishowe Bonvee nataka kusaidiwa ak
Mzee sebo mtie fimbo huyo sara
Sarah anasikia ila atekelezi😂
Mm sasa apo sina say
Huyu si mumutoe kwa mision hii nungu inaambiwa na hasikii
Ni kiburi Ako nayo sio bure
sara snakichwa ngumu weer
Yaani we Sarah unaboo unakichwa ngumu😅
Kwani huyu sarah anashidagani mbonakila akimbiwa analudia vinguo vyake vile vile huyu anapepo la umalaya kweli kama husikii hata mtume akikutaza we basi tena umeshindika watu watashindiga kilasiku kukwambia wewe tu na haubadiliki tena mpo mission ambayo haihitaji masihala unatakiwa uwe umeusitili mwili wako sawa sawa ebu uwe hatana aibu kidogo tu YA kuheshima watumishi wa mungu Duuuh. Mh Sarah mbona unakua kichwangumu kuelewa kama Kinyambizi bwana
Sarah usikii kabisaa dyia
C mumpe viboko
Anajua utamu wa mapepo anataka wamchukue tena
😂😂😂😂😂
Sarah ako na kiburi ni kama pepo moja bado iko kwa kichwa
Waiting
Kwani hamna mtu mwingine Kwa mission akuwe replacement
Huyu Sarah anataka viboko chapa yeye chapa
Mnataka avae nini dera ama😂😂
maseta watamsumbua wakitafuta hiyo
Msilazimishe ngome kunywa maji
😅😅😅😅
Sarah ni Malaya baya sana wazeni ajukulio na mapepo
Huyu sara heshima hana kabisa na majibu mbaya na aliokolewa na mzee sebo
mungu snatumia njia yote
Sarah naujing mung anagupenda san autaki Sarah Sarah Sarah
Sara unamdomo
🙏🙏🙏🙏
Sarah wacha kiburi uwe na heshima. Mbona unaambiwa maneno na huskii vaa dera uwachane na mavazi mafupi. Ok pia ukiitwa na mzee Sebo unafaa kuitika kwa heshima tumia nam au ndio sio mmm haufanyi poa, sasa mzee Sebo akikuwacha na asikusaidie unajua mapepo yatakuja na nguvu na ukimtafuta labda hautampata na ubaki ukihangaika sana heri utii
Pepo la umalaya
Sasa hatanyie mnaendaje mission na malaya😢😢😢
Tumwombee tu Mungu wabadilike be4 yamkute
Yeah haezi badilika hivi haraka tu once
We wish to meet our mzee sebo but this lady is taking it as a joke. Dont joke with God’s servants who are anointed lest you regret
Huyu Sarah asikii kabisa mzee sebo achana na yy ashikwe na huzo pepo Ala
Bonvi huyo Sarah muacheni tu nyumbani asiwafuate kwa mission kama hataki kubadilika Kwani haonagi wenzake Akina Emily,na Hawa wanavyo vaa wakiwa mission ajifunze kwa hao vinginevyo msimchukue abaki nyumbani tu
Imgn ni mission ya kuokoa her kid lucky,, sijuwi hana uchungu na mtoto wake 🤔
si awachwe sdije Kwa mishon sababu anaita masetani statute nguo ndefu skienda mishon avae
Mbona unapeana kazi ngumu qwa mzee sebo si uvalia ata trauser 🤔🤔🤔🤔🤔
Trouser pia sebo alikataaa so anunue Dera za mission
Kwani lucky ni mtoto wa nani???
Nanilazima sarah aende mission?? Na wewe
Na wewe bonvee ni lazima uwe na sarah kwa mission kama hana adabu na kufuata masharti achana naye
Muacheni aingizwe hio Mimba ya masheto ,yaan dress ya red ten fupi 😢
Mzee sebo alisema ana pepo la umalaya na kama hataki kubadilika achana nae atakiona,na venye amesaidiwa angezaaa jini ata hana asante😮
Amtoe sasa mzee sebo jaman maana anamuuzi kila mission mdada gani hasikii jaman kajawa na matamanio tu kuvaa hovyo
A@@Zuuh107alishatolewa Pepo but kuvaa ndio ameshindwa
@adelaidemary5514 sasa tumfanyaje huyu sarah jaman mbona anakuwa hana utu sahii angekuwa anatumikia mapepo lkn haoni hamheshim alomsaidia na bado yuko na yeye moka dakika hz
Huyu anataka angulwe🫣ndio inasumbua