Boaz Danken-Ninakupenda Yesu (official video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 636

  • @sarahsaria1143
    @sarahsaria1143 5 месяцев назад +6

    Who is Here after Twenzetu kwa Yesu 2024. 🥺❤️❤️

  • @cynthiagathendu9284
    @cynthiagathendu9284 4 года назад +47

    Niko chini ya miguu yako
    Inayong'ara kuliko shaba
    Nimeinama natamani nikujue
    Nione tumaini la mwito wako
    Ninakupenda, ninakupenda
    Ninakupenda, ninakupenda .
    Ninakupenda, ninakupenda
    Ninakupenda, ninakupenda
    Yesu, Yesu
    Yesu, Yesu uuh .
    Unajua kusamehe, unajua kusahau
    Ulijua udhaifu wangu
    Ukanipenda hivyo hivyo
    Wala hukujali huko nilikotokea
    Ukanipenda hivyo hivyo
    Jinsi nilivyo .
    Ninakupenda, ninakupenda
    Ninakupenda, ninakupenda
    Yesu uu, Yesu uu
    Yesu uu, Yesu uu .
    Ninapolia wewe ndiwe faraja
    Nikipita kwenye moto unapita na mimi
    Nikipita kwenye miba unapita na mimi
    Kwenye maji mengi uko na mimi
    Mpenzi wa kweli hujawai niacha
    Kila siku za maisha uko na mimi
    Unajua kusamehe, unajua kusahau
    Ulijua udhaifu wangu, ukanipenda hivyo .
    Ninakupenda, ninakupenda
    Ninakupenda, ninakupenda
    Yesu uu, Yesu uu
    Yesu uu, Yesu uu .
    Ukaona lugha yangu haitoshi
    Ukanipa ya kwako, ili tuongee vizuri
    Mimi na wewe
    kwa roho mtakatifu sasa nanena
    Tunaongea kwa siri mimi na wewe .
    Ninakupenda, ninakupenda
    Ninakupenda, ninakupenda
    Yesu uu, Yesu uu
    Yesu uu, Yesu uu .

    • @brittaniagrace
      @brittaniagrace 3 года назад +2

      Thank you❤️UBARIKIWE

    • @joskyshams4758
      @joskyshams4758 2 года назад +1

      Asante kwa kushare lyrics. I'm singing along

    • @priscaruwany4590
      @priscaruwany4590 2 года назад +1

      Thanks for the Lyrics

    • @anastaziakiwori6354
      @anastaziakiwori6354 10 месяцев назад

      thankyu

    • @brianmwanzia8098
      @brianmwanzia8098 6 месяцев назад +1

      Thank you for the lyrics
      A few corrections though...
      stanza 1, line 3: Nimeinama natamani niiguse
      stanza 1, line 4: Nione tumaini la wito wangu
      stanza 2, line 3: Wala hukuangalia huko nikikotokea
      Asante sana, barikiwa

  • @agneshosea4199
    @agneshosea4199 6 лет назад +222

    Ukaona lugha yangu haitoshi ukanipa ya kwako ili tuongee vizuri mimi na wewe kwa ROHO MTAKATIFU sasa nina nena tunaongea kwa siri mimi na wewe..... NINAKUPENDAAAA
    Sina namna ya kueleza jinsi huu wimbo ulivyogusa MOYO WANGU MUNGU azidi kukutumia kwa viwango vya juu saaaana.

    • @lydianjeriworks
      @lydianjeriworks 5 лет назад +6

      Ukaona lugha yangu haitoshi, ukanipa ya kwako, ilituongee vizuri mimi na Wewe, kwa Roho Mtakatifu, sasa ninanena, tunaongea kwa siri mimi na Wewe...
      Haya maneno yamenigusa kabisa

    • @lydiamalakisabuhoro2024
      @lydiamalakisabuhoro2024 5 лет назад +2

      Niupendo WA ajabu kwel
      Yesu nakupenda

    • @lydiamalakisabuhoro2024
      @lydiamalakisabuhoro2024 5 лет назад +1

      Niupendo WA ajabu kwel
      Yesu nakupenda

    • @agnesmapunda4412
      @agnesmapunda4412 5 лет назад +2

      Agnes Hosea yaan hayo maneno ni baraka sanaa

    • @philipocharles7509
      @philipocharles7509 5 лет назад +1

      Mungu akuinue zaidi kaka

  • @ENOCKVOICEANDLYRICSSOUNDSEnoch
    @ENOCKVOICEANDLYRICSSOUNDSEnoch Год назад +8

    I remember nilipokuwa advance nyerere high school Kilimanjaro mwanga niliimba huu wimbo😭ibada ya talent day. The church was so blessed. I'm inspired more with your ministry servant of God. May God continue rising you higher in this ministry. Wengi wanavuka kupitia huduma yako. Amen

  • @elizabethmasawe1940
    @elizabethmasawe1940 5 лет назад +30

    NINAKUPENDAAAAAAAAAAAAAAAA YESU YESU YESU YESU ............I LOVE U JESUS 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @lydiandukuben7801
    @lydiandukuben7801 2 года назад

    Unapita ma Mimi ... Moenzi wa kweli,. Ninakupendaaaa.... Yesu. GOD BLESS YOU, . MAY HIS GRACE CONTINUALLY BE SUFFICIENT BROTHER

  • @lynnemelline1627
    @lynnemelline1627 Год назад +1

    Nashangaa mbona hatujafika 2m..
    What a love letter to Aba father ❤❤❤❤

  • @MyBlessed83
    @MyBlessed83 4 года назад +2

    Oh My.... This one..
    Ukaona luhga yangu haitoshi
    Ukanipa ya kwako
    Ili tuongee vizuri.....
    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ninakupenda Yesu
    Wimbo umejaa upako kweli....

  • @tasharosre6026
    @tasharosre6026 4 года назад +2

    Waoh so nice nimenjoy sana uwepo wako Kilimanjaro ukiwa na Mwalimu Christopher Mwakasege, big up kaka Boaz danken

  • @ennykellen5636
    @ennykellen5636 4 года назад +2

    Ninakupenda Bwana yesu wewe ndio tumaini langu🙌🙌🙌🙌halleluya

  • @JemceMuindi
    @JemceMuindi 5 лет назад +8

    Nauskiza huu wimbo kutoka Kenya, na nimebarikiwa. Mungu akuzidishie mafuta kwa anjili ya kumuabudu Yesu. Ninakupenda Bwana Yesu!!

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 года назад

    Nakupendaaaa YESU KRISTO ❤️❤️ na Wewe wajuaaa🙏🔥🔥🔥

  • @fatumamolel7486
    @fatumamolel7486 3 года назад

    Unajua kusamehe
    Unajua kusahau
    Ulijua udhaifu wangu ukanipenda hivyohivyooo
    NINAKUPENDAAAA YESU

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 года назад

    ewooooo.. nimeutafuta sanaa huu wimbooo.. ukaona lugha yangu haitoshi ukanipa ya kwako ili tuelewane..eehn..🤸🤸🤸🤸🥰🥰♥️♥️ 🇰🇪🇰🇪

  • @happinessboniphace3449
    @happinessboniphace3449 6 лет назад +13

    hii nyimbo ni madhabahu ya Mungu iliyojawa nguvu za Roho mtakatifu, God bless you

  • @Minah_Laurent
    @Minah_Laurent 4 года назад

    UNAJUA MADHAIFU YANGU NA UNANIPENDA IVOIVO...🙌🙌🙌🙌🙌 NAKUPENDA PIA YESU

  • @jacobmwabeza956
    @jacobmwabeza956 4 года назад +1

    Kabisa, laugha zetu hazitoshi kukuadhimisha ipasavyo wewe Mungu wetu!barikiwa Mtumishi

  • @riveroflife015
    @riveroflife015 Год назад

    Kakangu Boaz, Nashukuru Mungu Kwa Upako ulio nao,Huu wimbo umenibariki,tutamani kupenda Yesu

  • @odesgeofreymagilo2276
    @odesgeofreymagilo2276 7 месяцев назад

    Nmesimama chini ya miguu yako inayonga'ra kuliko Shaba.. unajua kusamehe ooo dear God bless Boaz mingimingi

  • @philberthpatrick4987
    @philberthpatrick4987 4 года назад +69

    Kama unasikiliza nyimbo hii 2020 gonga like kwa utukufu wa Bwana Yesu

  • @evancetefurukwa6191
    @evancetefurukwa6191 3 года назад

    Wimbo wa faraja sana huu,unatia moyo na matumaini.barikiwa sana mtumishi

  • @lydiachebet2439
    @lydiachebet2439 6 месяцев назад

    Unajua kusamehe, unajua kusahau,ulijua udhaifu wangu, ukanipenda ivo ivo....

  • @annelisehillary1597
    @annelisehillary1597 6 лет назад +25

    Huu wimbo kwa kweli umejawa na kweli ya YESU...*** ninakupenda YESU.***

  • @rehemajingu450
    @rehemajingu450 3 года назад

    We kaka n chombo ktakatif cha Mungu Aliyehai!!
    Huu wimbo hunhamisha ulimwengu mwngne...
    Zidi kubarkiw zaid na zaid

  • @stephenlukiko3231
    @stephenlukiko3231 Год назад +1

    My mental hahahaha I feel niende heaven hii hatari wooooh,God bless you

  • @angelaswilla5115
    @angelaswilla5115 5 лет назад

    Nabarikiwa mtumishi Mungu akuongeze viwango vya juu juu juuuuuuuuuuuu

  • @ruzukumwamgumu1189
    @ruzukumwamgumu1189 2 года назад

    Huuu wimbo unamuona Mungu live akiwa katikati ya sifa hizi.walokole mmenielewa.

  • @doniciaandrew8343
    @doniciaandrew8343 4 года назад

    unajua kusamehe ,kusahau ,ulijua udhaifu wangu ukanipenda hivo hivo nina kupenda yesuuuuuu

  • @annmuthoni6041
    @annmuthoni6041 2 года назад +1

    😪😪😪Ninakupenda yesu ....Man of God be blessed may God continue using you more

  • @patrickmwakamba571
    @patrickmwakamba571 5 лет назад +47

    Eeeeehhh....This is deep....Holy Spirit! i love this worship song...it is very deep. This is my first time to hear Boaz Danken a young technician in our church knows how i love worship and he told me to youtube your songs - i desire to meet you one day if GOD permits and just give you a hug. Nimependa uhusiano wako na roho mtakatifu. Nimependa jinsi umejiachilia kwa uwongozi wake roho mtakatifu. Mungu abariki nyumba yako na kibali kilicho juu yako. You are a blessing.

  • @jamesnyaga7331
    @jamesnyaga7331 2 года назад

    Waoooo...'ukaona lugha yangu haitishi, ukanipa ya kwangu, tunanena na siri.. Ninakupenda Yesu❤️❤️❤️🇰🇪

  • @daudiwiston5485
    @daudiwiston5485 4 года назад

    Hakika Mungu anawatumia watu!! Ubarikiwe Mtumish Boaz

  • @estherkwamboka4173
    @estherkwamboka4173 2 года назад

    Boaz Danken more grace more anointing sir,, We love you from Kenya 🇰🇪 be blessed sir

  • @doreennekesa1114
    @doreennekesa1114 Год назад

    Ninapenda nyimbo zako sana Mungu akubariki Na akutie nguvu Kwa uimbaji wako❤❤❤

  • @carolmusembi8798
    @carolmusembi8798 4 года назад

    Ninakupendaaaaaaaaaa. ninakupendaaaaaa.......Yesuuu......Yesuuu.......Yesuuuu...

  • @janethfelix9411
    @janethfelix9411 4 года назад +1

    Hakika Nakupenda Mungu wangu...mm lugha yangu haitoshi sasa tunaongea vzr mm na ww kwa Roho Mtakatifu😍😘

  • @jonathantave848
    @jonathantave848 2 года назад

    Unajua kussmehe ,ulijua udhaifu wangu ukanipends ivyo ivyo we love Jesus.😭😭😭😭😭🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏🏽.

  • @godfreypeter4630
    @godfreypeter4630 4 года назад

    Huyu jamaa ananibariki sana,Mungu azidi kukulinda kukutunza katika kila jambo akakufanikishe Boaz Danken

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 года назад

    Imenigusa sana hakika nyimbo ina uwepo wa mungu ,,,ubarikiwe sana mtumish wa mungu

  • @naomiwanjiru7773
    @naomiwanjiru7773 4 года назад +8

    The first time I heard this song I was in church at DCC pale Tabata...Then coming to check it out on RUclips...I just typed unajua kusamehe😅 didn't know the title of the song...Buh indeed it's such an awesome song. Barikiwa sana Mtumishi.

  • @queensaimon4744
    @queensaimon4744 4 года назад

    Ninakupendaaaa YESU hakika ulinifia msalabani kwa ajili yangu nakupendaa sana YESU YESU

  • @henritachacha5154
    @henritachacha5154 2 года назад

    Tunakupenda Yesu, uonuliwe milele,kama si wewe tungepata wali wokovu

  • @beatricemalya9033
    @beatricemalya9033 5 лет назад

    Kwa kweli acha Mungu aitwe Mungu wimbo hizi zinanibariki sana naguswa mpaka moyoni nikisikiliza. Mungu azidi kukupa kibali kingine kutoka nyimbo zaidi za kuabudu. Barikiwa mtumishi wa Bwana

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 года назад

    Yn ninapo sikiliz nyimbo hii nakua Kama sipo dunia hii nakua mbl sana malaika wananijaza nguv 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️jesus

  • @janethkamoga377
    @janethkamoga377 4 года назад

    Unajua kusamehe, unajua kusahau, wala hukuangalia udhaifu wangu ukanipenda hivyo hivyooo, ninakupendaaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    Kila nikiimba huu wimbo najikuja natoka machozi yaliyojaa upendo kwa Mungu wangu maana nikiwaza nilivyokuwa, sikutegea kama nitakuwa nilivyo, ooooooh ninakupendaaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @rebekaluvanga3888
    @rebekaluvanga3888 5 лет назад +13

    Oooh! We love Jesus be blessed Boaz hakika roho wa mungu yu pamoja nawe hakika nilijua nasafiri kuelekea mbingun

  • @bathshebamchuza2648
    @bathshebamchuza2648 6 лет назад +1

    Nlpockia wmbo huu kwa mara ya 1, ukanipeleka ktk uwepo wa ajabu sana,Mungu azidi kukutia nguvu ktk huduma hii Danken

  • @monicaleonard6603
    @monicaleonard6603 3 года назад

    Leo nimeamka asubuhi mzima, na mwenye amani, na mwenye furaha sana. Na nimeamka na wimbo huu kumwambia Yesu kuwa ninampenda.

  • @perischao653
    @perischao653 3 года назад

    Amen, I love this ....uliona lugha yangu haitoshi, ukanipa ya kwako.... Halleluya.. Utukufu kwa Bwana

  • @afsaisaya521
    @afsaisaya521 5 лет назад

    Ukaona rugha yangu haitoshi mungu akubarik sana Boaz yesu akutie nguvu ktk utumishi wako baba

  • @ibrahimumcharo1850
    @ibrahimumcharo1850 6 лет назад +36

    Baba Ni Maombi yangu kwa Mungu azidi kukuinua kwakweli kazi ni njema sana kwaajili ya utukufu wa Yesu tu.

  • @jowasim
    @jowasim 2 года назад

    Ninakupenda.......mimi na wewe, ninakupenda 🙏🙏

  • @freiterbetuel9985
    @freiterbetuel9985 2 года назад

    wimbo pendwa unaogusa moyo wangu na kuniweka karibu na Mungu. I Love you Lord Jesus ...I .love you more than anything in this world.

  • @paulomollel9189
    @paulomollel9189 4 года назад

    unajua kusamehee, unajua kusahau, ninakupendaaaaa, mpaka machozi ya furaha, barikiwa sana kaka, 🇮🇱🇹🇿.l love u JESUS.

  • @sharonmutiso3669
    @sharonmutiso3669 3 года назад

    All the best, pastor, 254 Sharon barikiwa mtumiji wamungu

  • @onesiusonesmo3732
    @onesiusonesmo3732 6 лет назад +21

    Ninakupenda, Yesu,,,,
    Wimbo umejaaa mafuta ya Roho mtakatifu.
    I seeeeh.

    • @jestinmsomba9585
      @jestinmsomba9585 5 лет назад

      ubalikiwe sana Mtumishi naona roho mtakatifu anashuka kuhudumia watu

    • @zilphakalenzo4967
      @zilphakalenzo4967 5 лет назад

      Barikiwa sana kaka Mungu azidi kukuinua na ulitangaze vyema jina lake

  • @njengakamau1058
    @njengakamau1058 5 лет назад +5

    Powerful and anointed worship...ninakupenda yesu...ukanipa lugha yako ilituongee vizuri Mimi na Wewe...ninakupenda yesu

  • @ruthloserian4337
    @ruthloserian4337 5 лет назад

    Unajua kusamehe, unajua kuashau.....NINAKUPENDA YESUUUU... Nikipita kwenye kwenye Moto unapita na mm, hujawahi kuniacha Mwenye Mapenzi ya dhati... YESUUUU....Mimi na wewe,,. WE LOVE YOU LORD... NI UPENDO WA AJABU SANA SANA...Oooooh Jesus

  • @jenisamweli6281
    @jenisamweli6281 4 года назад

    Nakupenda yesu..... Ananipenda yesu... MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI👏

  • @evaleonard5092
    @evaleonard5092 5 лет назад

    Ameeeeeen! Nabarikiwa mno... Mpaka nakosa cha kuandika!!! Ubarikiwe mtumishi

  • @zainabuhashim6916
    @zainabuhashim6916 2 года назад

    Yaaaaan nyimbo zako hakuna nisiyoipenda kweli

  • @peterndullah2611
    @peterndullah2611 4 года назад

    Nakupenda yesu barikiwa sana mtume hii nyimbo nasikiliza muda wote nikiwa. Nafuraha nikiwa na uzuni unanifariji sana

  • @anithajaphet4587
    @anithajaphet4587 4 года назад +18

    When I feel down I come here to regain my hope ,,it's so good to watch the most powerful song

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 6 лет назад +20

    Umebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu Kaka Boaz... I like the way you are humble 🙏🙏 This is your time.

  • @Vincentsyona-bj6qj
    @Vincentsyona-bj6qj 3 месяца назад

    Hondi humu mwaka huu 2024 leo July 31 j.tano ,wimbo huu uwabariki sana🙏🙏🌹🌹

  • @naomijohn1273
    @naomijohn1273 4 года назад

    Wawoooh nzur sana barikiwa Boaz Danken

  • @saraisacc6055
    @saraisacc6055 5 лет назад +11

    Every time when I listen this song I feel crying....I love ur lord ..ur didn't look where am I from ...I love ur lord

  • @atupokilejasson3839
    @atupokilejasson3839 6 лет назад

    Yesu ninakupenda zaidi ya kitu chochote. Wewe ni kila kitu nikikupata wewe napata vyote. Hongera brother wimbo una uwepo wa Mungu.

  • @pendojoseph4492
    @pendojoseph4492 5 лет назад

    Aloo ni full mzuka ubarikiwe !! Unajua kusahau ,unajua kusamehe,Ukajua udhaifu wangu ukanipenda hivyo hivyo hivyo ninakupenda yesuu!

  • @getrudepwele950
    @getrudepwele950 5 лет назад

    Huu wimbo unanibariki sanaa Mungu azidi kukutumia zaidi na zaidi

  • @patriciaedwin1459
    @patriciaedwin1459 5 лет назад

    Naskia kuhudumiwa nikiskia nyimbo hii naskia kububujika mbele za mungu mungu azid kukutunza uzid kuhudumia watu wake katika nyimbo zako

  • @lucyephraim1542
    @lucyephraim1542 5 лет назад

    Mtumishi wa Mungu ...ubarikiwe sana watu wanaoimba kwa roho na kweli wamebaki wachache ukiwepo wew.....ukaona lugha yangu haitoshi.....

  • @lightnessedson4104
    @lightnessedson4104 4 года назад

    Yesuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ninakupenda Bwana na Mwokozi wa maisha yangu

  • @alicemwachofi6637
    @alicemwachofi6637 5 лет назад +26

    From 🇰🇪 with Love. Thanks PPN for always sharing powerful worship songs like this ☝️. I am blessed. Blessings to you Danken and team. Shalom

  • @skolasewando7265
    @skolasewando7265 5 лет назад

    Nakupenda yesu... nabarikiwa sana... Mungu wa mbinguni akuinue mtumishi

  • @stellamntambo4892
    @stellamntambo4892 2 года назад

    Unajua kusamehe unajua kusahau , unajua udhaifu wangu ukanipenda hivyo hivyo.

  • @verroallex9144
    @verroallex9144 4 года назад

    This song👏👏👏🙌🙌 Sasa nina nena tunaongea kwa siri mimi na Yesu

  • @Sp-gi9fk
    @Sp-gi9fk 3 года назад

    Hallelujah Hallelujah Nakupenda ×2 Yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @deborahfaustine1501
    @deborahfaustine1501 5 лет назад

    Oooh AMEN kwa Bwana ukaona lugha yangu haitoshi ukanipa yakwako kwa roho Mt Sasa Nina nena ....barikiwa sana

  • @annabar6603
    @annabar6603 2 года назад

    Nakupenda Yesu nakupenda Yesu nakupenda Yesu nakupenda Yesu nakupenda Yesu nakupenda Yesu kwagala Yesu Christu

  • @rizikikaroli4369
    @rizikikaroli4369 5 лет назад +2

    Aww.. Huu wimbo unanibariki sanaaa.. I just love it...
    Mungu azidi kukubariki Mtumishi uzidi kumhubiri yeye kupitia nyimbo...

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 5 лет назад

    That song juzi nilibarikwa sana tuliimba live na wewe,UKANIPA LUGHA YAKO,UMENIPENDA JINSI NILIVYO,HUKUANGALIA UKOO WANGU,YESU YESU ,MUNGU AKUTUNZE MNOO

  • @neemamakishe635
    @neemamakishe635 5 лет назад +1

    anajua udhaifu wangu, akanipenda hivyo hivyo🙏. An amazing and Everlasting love, i love you Lord and be blessed mtumish

  • @lovenessmbonea2807
    @lovenessmbonea2807 5 лет назад

    Umenipa lugha mpya Bwana ili tuongee kwa siri mimi na wewe kwa Roho Mtakatifu. Hallelujah

  • @hekimajonifas1000
    @hekimajonifas1000 5 лет назад

    Ni kweli kuwa Yesu aliona lugha yangu ya kawaida haiwezi kuwa enough mimi kuongea na yeye ndiyo maana akanipa Lugha ambayo kupitia uwezo wa Roho Mtakatifu tu ndiyo naweza nikaiongea hivyo ashukuriwe Yesu kutuachia msaidizi.........Nami naungana na boazi kusema Ninakupenda Yesu............You real real touch My Heart Boaz.......On how always You sing in SPIRIT Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi ya hapo ulipo............

  • @cpahappyjonas9676
    @cpahappyjonas9676 5 лет назад

    Mungu akubarilki sana kaka boaz yaani nimejikututa namtukuza Mungu kwa ajili ya huu wimbo Mungu azid kukuiunua, ni wimbo wenye mafuta ya kipekeeee,

  • @stevegwajmatv7129
    @stevegwajmatv7129 5 лет назад +3

    Hakika Mungu Akubarik ktk viwango vya juu sana Brother, Nyenyekea chini ya mkono wake ili akuinue

  • @samweljerome8181
    @samweljerome8181 4 года назад

    Wimbo huu kweli unafanya mtu unaona uthamani wa yesu

  • @happinesshaonga8488
    @happinesshaonga8488 Год назад

    Ninakupenda bwana mungu akumbuke mwisho wako zaidi.

  • @amonijames5183
    @amonijames5183 2 года назад

    Ninakupenda yesu love this song no God no life.

  • @catherinekazimil2234
    @catherinekazimil2234 4 года назад +1

    Ninakupenda sana Yesu🙌 umejua udhaifu wangu ukanipenda hivi hivi ❤️

  • @sayuniobed2233
    @sayuniobed2233 4 года назад

    Ulijua udhaifu wangu ukanipenda hivyo hivyo 😊😊😊Ninakupenda Yesu

  • @carencheptoo4063
    @carencheptoo4063 3 года назад +1

    Nakupenda yesu. God bless you MOG

  • @festonkandonga85
    @festonkandonga85 5 лет назад

    Mungu aendelee kukupa maisha marefu na hazina ya kutosha ya nyimbo nzuri ili tuendelee kufaidi uzuri usio na kifani wa kristo Yesu

  • @Yoha-yd4nx
    @Yoha-yd4nx 5 лет назад +1

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu nikisikiliza nyimbo zako nabarikiwa Sana na pia sikati tamaa

  • @antusaadelard751
    @antusaadelard751 5 лет назад

    ukaona lugha yangu aitoshi ukanipa yakwako ili tuongee vizur mmi naww, kwa roho mtakatitifu sasa nina nena tunaongea kwa siri mm na ww. NINAKUPENADAAA NINAKUPENDAAAA NINAKUPENDAAA YESUUUU YESUUUUU YESUUU. This is powerfull song. mush apreciate u brother. i love u JESUS

  • @doreenshayooo
    @doreenshayooo 4 года назад

    Nimebarikiwa na huu wimbo asante Yesu wangu ninakupendaaaaaaa

  • @philberthpatrick4987
    @philberthpatrick4987 4 года назад +1

    Ninakupenda Yesu wangu 2020 nataka nikuone Bwana ukitutendea wanao mambo makuu ya ajabu kama unasonaga na huu wimbo 2020 gonga like nyingi sana kwa utukufu wa Mungu wetu

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 5 лет назад +1

    Huu wimbo ni mzuri sana,kama upo rohoni, ni maombi yako tosha kwa MUNGU wetu.naupenda sana.

    • @gracemagoma4873
      @gracemagoma4873 4 года назад

      Nikipita kwenye moto upo na mimi: Haleluya!!!

  • @MegKimani
    @MegKimani 4 года назад

    Asante Sana mtumishi wa Mungu kwa kuruhusu kutumika kwa njia hii ya ajabu