Agape Gospel Band - Hallo Mbinguni (Uinuliwe Tena Remix)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2023
  • Waebrania 11:1
    Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
    HALLO MBINGUNI ni tendo la Imani Mbele za Mungu wetu,
    Ni njia yakuzungumza na MUNGU kwa habari ya matarajio ya moyo wako,
    Unataka Mungu afanye Nini kwaajili yako mwaka huu 2023 ??
    Je ! Ni ndoa ?
    Ni gari ?
    Nikumiliki Nyumba ?
    Ni uponyaji ?
    Ni Biashara ?
    Piga simu Mbinguni tuzungumze na mbingu kwa habari ya hitaji lako mwaka huu 2023 .
    Yeremia 33:3
    Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
    Main keys : Innocent Justice
    Aux keys : Maestro Keys
    Lead guitarist: Kaz Benjamin (MD)
    Bass guitar : OfficialJohnKaz(JP)
    Drummer : Baraka ngowi
    BGVs
    Soprano :
    Neema Mlay
    Joycelyne Bryson
    Alto :
    Hannah Malu
    Victor Bakenda
    Tenor :
    Jonas Moshi
    Daniel Bahizire
    Victor maestro
    Sound engineering & Capturing by Mujwahuki
    Mixing and mastering by Baraka Ngowi
    Video Director : Amigo Johnson, AMIJOJI
    Venue : Reality of Christ Church (ROC)
    Back Line : HaddyPro company limited
    PA : ROC
    Lights : HaddyPro
    C.E.O Agape Gospel Band: JP John Peter.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

Комментарии • 480

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe Год назад +285

    You are blessed family!! Muongezeke sana sana

  • @DonMoenBestChristian

    "You can go 40 days without food.3 days without water. 8 minutes without air.But you can't go single second without God.Amen!Whatever may happen in this world;Christ remains unchanging forever & ever"

  • @cosmasmaweu-wx8nb

    From kenya 🇰🇪 Reedmed gospel church athiriver praise and worship team we love this song 🎵 ❤ we sing it every Sunday 🎶 wapi 👍 likes kwa hello mbinguni?

  • @marymutisya8219
    @marymutisya8219 Год назад +28

    Agape gospel Band huku Kenya twawatambua sana 🇰🇪

  • @veronicamwita9723

    ❤❤❤❤❤❤so much 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿yangu mungu wetu magari tunapokea mm nimemepokea prado

  • @deniswildlifephotographer7263
    @deniswildlifephotographer7263 Год назад +18

    Halooow Mbinguni 📞📞📞📞📞📞☎️ Baba Nataka Toyota Land Cruiser Air Bag V8 new model from Australia

  • @daccordaurevoir5526
    @daccordaurevoir5526 Год назад +20

    Naona wazi saaaana muziki wa injili ukichukua nafasi kubwa katika masikio na mioyo ya watanzania.... Keep it live keep it alive.... Gospel music to the nations....

  • @tabithasalim1644

    I'm addicted to this song😢

  • @PraiseGodall

    i’m no longer a slave of anxiety, depression, self harm, social standards, anorexia, suicidal thoughts, or invasive voices in my head. I AM A CHILD OF GOD

  • @emmanuelabdielnsumbu-im1vp

    Hummm le fond de la musique gospel congo🇨🇩🇨🇩 je vois le serviteur Michel bakenda et fiston mbuy

  • @MalakiThompsonAkyoo

    The bass guitar man- ni cheche !!! be blessed AGB wote..

  • @femmyjunge3210

    Nap0kea kila kitu ambacho ni kizuri katika jina la yesu naamini amen

  • @user-nq7ir2ll3h

    Hallo mbinguni naomba Mungu anivushe kipindi hiki salama

  • @magrethlaizer4791
    @magrethlaizer4791 Год назад +5

    Mungu awainue sana Agape viwango vya juu zaidi kwa ubunifu wenu.

  • @wondersworld8112

    Jeremiah 33:3 best part

  • @hannahkahuga510

    Hallow binguni nataka kazi,,,,I know God will do it for me,Amen team of God

  • @MarthaAtieno-qq4py
    @MarthaAtieno-qq4py 21 день назад +1

    Am really blessed seeing youths praising God may He bring unity in this band

  • @jamessteven8405
    @jamessteven8405 Год назад +27

    Nafurahi sana maaana ni viwango vingine tunaenda Sasa kwa utukufu wa Mungu 🙇🏿‍♂️🙇🏿‍♂️🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @kalebobed3502
    @kalebobed3502 Год назад +11

    Huu wimbo nishausikiliza zaidi ya mara 1000 be blessed u guys

  • @FredrickPeter-hq4ss
    @FredrickPeter-hq4ss 28 дней назад +1

    Mungu nsomba ufanye moyo wangu uwe wenye kuyawaza na kuyatenda mapenz yako