Assalam aleikm wrt wbt. Tunashukuru Sheikh Diwani kwa darasa nzuri na yenye faida kubwa. Nataka unijibu swali hili. Bismillahi ni zaidi ya daktari #3 iko wapi. Ao imeisha toka? Mana naitafuta siioni. Sehemu ya tatu ndio sehemu muhimu, ambapo tutapa kujuwa maana ya (772). Naomba ujibu Sheikh. Maana sijaona sehemu yoyote ukijibu maswali. Nimekupigiya simu haukupokea. Kama kuna sherti zozote ili tuweze kupata sehemu ya tatu, naomba utufahamishe. Samahani kama nimefanya kosa. Wasalam aleikm wrt wbt.
Shukrani jazira, Tumuombe Allah awazidishie mzidi kufundisha zaidi.
Allah akupe shifaa ya haraka ili nasi tuzidi kufaidika nawe upate jaza Kwa Allah itayo kufurahisha kesho mbele ya Allah (S..W)
Shukrn JAZAKAA Allah khry
Nshaallah mola ata kuondolea mafua sheikh wetu
Pole sana tunakupenda kwa ajili ya Allah
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Jazzakallahu kheir
جزاك اللهُاجیر
Sheikh unajitiada sana.
Sahihi
Allah awalipe frdaos kwamasom nayotup mimi kivyang umenirimisha tosh
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakaatuh
Assalam aleikm wrt wbt. Tunashukuru Sheikh Diwani kwa darasa nzuri na yenye faida kubwa. Nataka unijibu swali hili. Bismillahi ni zaidi ya daktari #3 iko wapi. Ao imeisha toka? Mana naitafuta siioni. Sehemu ya tatu ndio sehemu muhimu, ambapo tutapa kujuwa maana ya (772). Naomba ujibu Sheikh. Maana sijaona sehemu yoyote ukijibu maswali. Nimekupigiya simu haukupokea. Kama kuna sherti zozote ili tuweze kupata sehemu ya tatu, naomba utufahamishe. Samahani kama nimefanya kosa. Wasalam aleikm wrt wbt.
ndugu #3 alhamisi itakua tayari ndugu na kama ulinipigia sikupokea nilikua kwenye majukum ndugu ila muda wowote rukhsa kupiga
Nashuku sana Sheikh.
Ila huyo mkaka mwingine anaboa xaxa ni yeye ndo anafundisha au shekh unaboa bhana muache shekh afundishe na w toa masomo yako