DIAMOND akimpa wosia ESMA kuhusu NDOA mbele ya MUMEWE, Mama DANGOTE naye amwambia MAMENO mazito

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 июл 2020

Комментарии • 143

  • @sophiaamblessed7754
    @sophiaamblessed7754 3 года назад +5

    Bwana Yesu Asifiwe Kabisa.. HALLELUJAH Amen Amen

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl 3 года назад +3

    Amena amena Sana njomana nampenda Sana dangote baba Lao eti tumsifu Yesu Kristo amena Sana baba tifa

  • @Umuganwarose3720
    @Umuganwarose3720 3 года назад

    Wow, so pretty!

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 3 года назад +4

    Chibu wetu izi siku iko na furaha sana 😂😂 kila la kheir Esma

  • @doreennasike6298
    @doreennasike6298 3 года назад +1

    Congratulations 🎉👏 dada Judah

  • @lapozzydone5203
    @lapozzydone5203 3 года назад +8

    Diamond sio mtu wa kumpa mtu Wasia kuusu ndoa maana yeye mwenyewe haijui ndoa napia yaonesha haiwezi ndio Mana yuwaiogopa..

    • @salimamalongo8832
      @salimamalongo8832 3 года назад +1

      But pia wewe unaweza sema mambo ya ndoa.Jameni nicheke nilie

  • @maryanahmedali9059
    @maryanahmedali9059 3 года назад +1

    Subuhanallah yesu kaa alikuwa arusi ya weeki Yesu he is one of messenger of Allah nabi Issa and i love him so much us savant of Allah

  • @AliAli-by7vb
    @AliAli-by7vb 3 года назад +1

    Mansha Allah

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 года назад +1

    Safi sana mond.yan utasema ww ndo unaoa.mashalaah umechngamka babalao.ALAH AKUWEKE.ILA MOND UNA VTUKO UMECHACHUKA🤣🤣🤣🤣🤣umeongea POINT

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 3 года назад +3

    Sio kwa mbwembwe izo 🤣🤣utazani yy ndie bwana harusi

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 3 года назад +1

    mashaallah esma

  • @ashamatolla1756
    @ashamatolla1756 3 года назад +1

    USIA gani ,

  • @ashaomina1136
    @ashaomina1136 3 года назад +1

    Toba jamani

  • @husseinmillinga1920
    @husseinmillinga1920 3 года назад

    kweli

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 3 года назад

    Harusi lazma uchangamke sio ukae km upo msiban bwna,Safi chibu

  • @bunny_dailylife
    @bunny_dailylife 3 года назад +1

    Yani diamond 😜🥵🥵🥵🥵🥰🥰🥰

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 3 года назад +1

    I do like how Tanzania 🇹🇿 country people’s us to respect the others religion 👏🏽🙏🏽 aslamaleku Bwana yenu asifiwe 🙏🏽👏🏽

  • @rahmahassan3206
    @rahmahassan3206 3 года назад

    Hii si dini ya kiisilamu

  • @rahmaali4009
    @rahmaali4009 3 года назад +1

    Ndoa iwe yaher kwenu

  • @milcahsamoei6696
    @milcahsamoei6696 3 года назад

    Gosh what is happening here..

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 3 года назад +1

    Subhna Allah bwana yesu asifiwe

  • @salimamalongo8832
    @salimamalongo8832 3 года назад +1

    Ako na ball ama?

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 3 года назад +1

    Bibi harusi si hufanya haya jamani hizi harusi za siku hizi balaa

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 года назад

    ♥️♥️♥️♥️

  • @zainabthimis4025
    @zainabthimis4025 3 года назад +1

    Mmm

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 года назад +11

    Mondi kapendeza utafikiri yeye ndio arusi

    • @peterokalo9632
      @peterokalo9632 3 года назад

      We call that protocols 🧏🏾‍♂️to respect others religion 👂🏾

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 года назад +1

      Mwenzangu kumbe na ww umeon nikajua mm tu kwa hapo kapendeza kweli

    • @rahabwanja7833
      @rahabwanja7833 3 года назад +1

      Nikazhezhe tu ya Mondi 🙈🙈🙈🙈

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 года назад +1

    Mama G 🔥 🔥 dangote 😂😂😂

  • @amanarts255
    @amanarts255 3 года назад +1

    Dada yetu kapendeza sana

  • @wisperfect1960
    @wisperfect1960 3 года назад +3

    Duuh sasa atampa wosia gn jmn wakati yy mwenyew ataki ndoa

  • @safinamdingi2338
    @safinamdingi2338 3 года назад +1

    Piga kelele kwa kuolewa

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 года назад

    Lini hii?

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 3 года назад +11

    DIAMOND huwa wanipunga na hizo mbwembwe zako🤣🤣🤣

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 3 года назад +2

    Mke wa pili ahaaaaaaaaaa,,,ndoa hoyeeeeee,,,mke wa pili oyee

  • @brendaatieno8816
    @brendaatieno8816 3 года назад

    kwani esma anaolewa mara ngapi ????

  • @kulway4669
    @kulway4669 3 года назад

    Mh

  • @salimamalongo8832
    @salimamalongo8832 3 года назад +1

    Kwa uislamu mwanamke haneni kama kuna wanaume.Ama ilibadilika juu mimi mkristo

  • @rinatar8051
    @rinatar8051 3 года назад +3

    Wanao shangaa momdi kumtaja YESU achen ubaguzi apo Kuna watu mchanganyiko arusi aiangarii dini😏😏😏

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 года назад

    Yahaya unaishi wapi😁😁😁😁 yajayo yanafurahisha. KWA hiyo hii ni sendoff au harusi maana sijaelewa

    • @aictz2138
      @aictz2138 3 года назад

      Hii ni maulid, ndoa walishafunga mda kidogo kesho ni reception

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 года назад +1

    Simbaaa baba lao

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 3 года назад +16

    Bwana yesu asifiwe kwenye harus ya kiislamu 🙄🙄🙄

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 года назад

      Ndo wasafi hao

    • @edissa9958
      @edissa9958 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅Mbavu zag

    • @maryamhassan7000
      @maryamhassan7000 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @ndegetv2131
      @ndegetv2131 3 года назад +5

      Kwan wakristo awawez kuhudhulia acha fikra potofu

    • @sherryshazala7123
      @sherryshazala7123 3 года назад +7

      Thy have Christian frnds that's how thy recognize them. We are one in the eyes of God.

  • @rahmahassan3206
    @rahmahassan3206 3 года назад

    Pili mnamtaja mtume kwenye ufuska wenu

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 3 года назад

    Yani kwa kweli mavazi haya Naseeb unavaa kama Muislam kamili ila wakati ukienda sehemu zengine mbne unavaa kijinga mpaka maherini SubhanahAllah

  • @mahijamasukuzi9246
    @mahijamasukuzi9246 3 года назад

    Kwenye maulidi bwana yesu imekuaje hapo

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 3 года назад

      Hapo hawako waislam tu, kuna mchanganyiko wa madhehebu mbalimbali, yuko Sawa.

  • @swalhashuaibu8149
    @swalhashuaibu8149 3 года назад +3

    Wallah waslam mmekua nini lakini maulidi haramu katika dini yetu sasa kila kitu kinakua namauli sherehe ya mtume kuzaliwa mnafanya maulidi mtoto akizalia maulidi na harusi pia maulidi laaaaaaaa izi bida waslimu mntaca lini
    Tena kwenye hiyi siku ya leo ya arafa laaaa wallah ni hatari waslimu inabidi tukerebeke

  • @edissa9958
    @edissa9958 3 года назад +11

    😂😂😂😂😂Bwana yesu asifiw kwenye harus ya kiislmu🤪😜🙄😱😅🤣

    • @lynetoto2616
      @lynetoto2616 3 года назад +1

      Asifiwe sana

    • @rukiamsomi6869
      @rukiamsomi6869 3 года назад +1

      Kwani hapo hakuna wakilisto we nae

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 3 года назад

      Mhm mtihan.kwan ASLKM haitoshi? Coz hata hao wakristo wanaijua ASLKM

    • @safariadrien5348
      @safariadrien5348 3 года назад +3

      Acha kua shabiki wa dini ivyo kwani wanapo taamuka ivyo wenyewe wanajua Kuna wakristu pia

    • @rukiamsomi6869
      @rukiamsomi6869 3 года назад

      @Change Mindset 😀😀😀👌👌👌 mpe huyo tanzania hatuna ubaguzi kama huwo

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 3 года назад +2

    She looks PG

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 3 года назад +3

    Kwani hapo ni kanisani au munazalilisha dini yetu tukufu

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 3 года назад +1

    Yudaaaaa

  • @hadijaateya7623
    @hadijaateya7623 3 года назад

    Mhu

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 года назад +2

    Uyo baba kafata hela mmh 🙄

    • @theceefamily7764
      @theceefamily7764 3 года назад +1

      Huyu mume mbona tajiri sana,tena sana.Mungu kamjalia hio🌞🙏.

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 3 года назад

      @@theceefamily7764 we ukajuaje🤣

    • @gloryshimi9644
      @gloryshimi9644 3 года назад

      ashura ussein ashura ussein baba hyo kachafuka hela kila Mahali

    • @queenseptember4640
      @queenseptember4640 3 года назад

      @@ashuraussein7582 kafata hela kwani kaoa benk?
      Acha kujidhalilisha wewe

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 3 года назад

      @@queenseptember4640 kaowa familia yenye pesa😜

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 года назад +2

    Upuzi mtupu

  • @shamimhassanzimzimahuyokij4521
    @shamimhassanzimzimahuyokij4521 3 года назад +1

    Yesu tena

  • @jmnafaka9451
    @jmnafaka9451 3 года назад

    WHOZU NAE AFUNGUKA KUHUSU KUMFUMANIA TUNDA 💥🔥💥
    LINK Hii hapa 👇👇
    ruclips.net/video/m915JRu4XCs/видео.html

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 3 года назад +1

    Bwana yesu asifiwe iyo kwio 😳😳😳🤣uyo n alizan yupo kanisani

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 3 года назад +2

    Hii familia hua haina akili harus yakiislam bwanayesu katoka.wap

  • @shamimhassanzimzimahuyokij4521
    @shamimhassanzimzimahuyokij4521 3 года назад +1

    Tumsifu yesu nasibu mbona sielewi

    • @konsolatatutu423
      @konsolatatutu423 3 года назад +2

      Kwan kwenye dini ya kiislam hamtambui YESU? (ISSA) achen kujitoa ufaham na ubaguzi usio na maana

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 3 года назад +2

      Waisilam wa buza dio hawamjui Yesu ila waharabu wanamfaha sana tuu

    • @yudatadeshayo4434
      @yudatadeshayo4434 3 года назад +1

      Mbona nyie wabaguzii sana kwani hapo wote waislamu

    • @judithfrank8820
      @judithfrank8820 3 года назад +1

      utaelewa tu

    • @judithfrank8820
      @judithfrank8820 3 года назад +1

      @@konsolatatutu423 cjui wanakwama wap