God is good. I was Blessed to hear the Word of God from you at a tender age of 14, and I was saved. May all you descendants be saved. In Jesus Christ Mighty name.
Ni huzuni kuu na uchungu wenye majonzi mazito kuona kuwa umetutangulia mbinguni kwa baba, nasi tumebakia na upweke na ukiwa ambapo kamwe hatuwezi kukusahau ... Kazi uliyoifanya ni kubwa sana maana umewaleta maelfu kwa maelfu kwa Yesu Kristo, ukizingatia kwamba injili ni mzigo, ni kazi ngumu wala "si lelemama" lakini umevumilia mpaka mwisho! Umevipiga vita vya imani, "naamini sasa umevikwa taji huko juu mbinguni"! Mchungaji Daniel Moses Kulola pamoja na familia yote nawapa pole wakati huu mgumu!
Ahsante sana na ubarikiwe na Bwana Pastor Daniel. Moses Kulola kwa kutuwekea video za mahubiri ya mtumishi wa Mungu Askofu Moses Kulola! Nimefurahi sana kusikia sauti yake tena, tafadhali nakuomba utuwekee nyingine ili tupate kubarikiwa na ujumbe wake mzuri utokao kwa Mungu ... Mungu aendelee kumtunza na kumbariki mtumishi wake Askofu Moses Kulola pamoja na wewe Pastor Daniel Moses Kulola - Amen!
Hawa ndio watakatifu wa BWANA, yani mafundisho yake huchoki kusikiliza kila unaposikiliza unakutana na kitu kipya na unasisimka. Mafundisho yamejaa upako Mungu akupumzishe kwa Amani baba Kulola.
“Man who is born of woman is of few days and full of trouble.He comes forth like a flower and fades away;He flees like a shadow and does not continue.Job 14:1-2. Rest In Peace Bishop Kulola.
Mhubiri wa kimataifa huyu, pumzika Kwa amani mteule, Kenyan watching this great man's sermons
God is good. I was Blessed to hear the Word of God from you at a tender age of 14, and I was saved. May all you descendants be saved. In Jesus Christ Mighty name.
Rest in peace Bishop Moses Kulola......kazi yako si bure Mungu atakulipa na taji utavikwa..
Ni huzuni kuu na uchungu wenye majonzi mazito kuona kuwa umetutangulia mbinguni kwa baba, nasi tumebakia na upweke na ukiwa ambapo kamwe hatuwezi kukusahau ... Kazi uliyoifanya ni kubwa sana maana umewaleta maelfu kwa maelfu kwa Yesu Kristo, ukizingatia kwamba injili ni mzigo, ni kazi ngumu wala "si lelemama" lakini umevumilia mpaka mwisho! Umevipiga vita vya imani, "naamini sasa umevikwa taji huko juu mbinguni"! Mchungaji Daniel Moses Kulola pamoja na familia yote nawapa pole wakati huu mgumu!
ni mmoja kati ya watakatifu ambao Mungu aliwatambua,mfano mzuri wa kuigwa katika vizazi vyetu
Nakupenda nanilikupenda tena mno pumuzika kwa amani
Ahsante sana na ubarikiwe na Bwana Pastor Daniel. Moses Kulola kwa kutuwekea video za mahubiri ya mtumishi wa Mungu Askofu Moses Kulola! Nimefurahi sana kusikia sauti yake tena, tafadhali nakuomba utuwekee nyingine ili tupate kubarikiwa na ujumbe wake mzuri utokao kwa Mungu ... Mungu aendelee kumtunza na kumbariki mtumishi wake Askofu Moses Kulola pamoja na wewe Pastor Daniel Moses Kulola - Amen!
Jesus' Brother ⅞7
Ni mteule wa Bwana , mwendo ameumaliza na imani ameilinda Mungu amemuandalia taji mbinguni. Tujitahidi kumsikiliza Mungu ili nasi tufike mbinguni
Hii ni injili yakweli
Mungu aliweka kitu kikubwa sanaaa ndani yako barikiwa
Hawa ndio watakatifu wa BWANA, yani mafundisho yake huchoki kusikiliza kila unaposikiliza unakutana na kitu kipya na unasisimka. Mafundisho yamejaa upako Mungu akupumzishe kwa Amani baba Kulola.
I MISS YOU MY FATHER
You leave as but your words is still alive.
You were one in a million. I know you are happy with Jesus, the Lord.
nilikutana naye mwaka 1992 Mungu amrehemu mtumishi wake aliifanyanya kazi Mungu ilivyotakikana
Injili ya kweli Baba Mungu awe naye huko aliko naponywa sana na mafundisho yake.
He's resting in peace in eternity. Mahubiri yalio hai .Mungu aturehemu tuishi katk utakatifu wake.
Mbarikiweee watumish
Watumishi WA Leo wanalipotosha kanisa Mungu awasaidie sana mpate kulipoñya kanisa Aimee!
Ameeeeen in Jesus might name amen
God blessing Moses kulola
RIP his man the my Rory model___❤
“Man who is born of woman is of few days and full of trouble.He comes forth like a flower and fades away;He flees like a shadow and does not continue.Job 14:1-2. Rest In Peace Bishop Kulola.
Apumzike kwa AMANI Baba yangu Moses
huyu ndio jembe la injili duniani leo yupo paradiso sio peponi kwa mapepo, gGOD bless u
amen
Neme reginashukurani
Ndio huyu n baba wa imani
Peponi sio sehemu ya mapepo
Hakika yupo mbinguni
Mtumishi utakumbukwa daima baba
hili ni neno la Mungu amen!
u bless my heart in great deal
I know god rest you in peace.. I miss you pastor.
mungu awe nawe daima
Watumishi WA fanyeni kazi ya Mungu Kwa uaminifu kama huyu.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi, Amen!
Nimekupenda...neno lako linaishi
Amina
Love xana, my bishop,,,, RIP
Nabarikiwa sana sina neno napenda nikizifata nyayo hizi
Mhubiri wa kimataifa Dr. Moses Kulola.
Bwana ametwa kilicho chake,jina lake lihimidiwd,
moses nihatali sana kwamahubli.
Rest in Peace bishop Kulola
Role model pastor
Amen baba Yetu .
may your soul rest in peace our hero
rest in peace bishop
AMEN
Amen