Maashaallah walhamdulilla, eeeehe haya ndio khaaaswa sio kila kitu bid,aaa hizo nyiradi wamefanya wabora walio tangulia wengi tuu tena watukufu kuliko hata huyo muhammad abdul wwahaab, na yao kwa ikhilaswi nniya zao walifanikiwa sana tu tena zaid ya sana.
Mashaallah Allah. akupe kheri nyinyi. Na waislam wote ndunia nzima innshallah
Mansh'Allah Allah awape mwisho Mwema Amin Manshallah
🔥🔥💞💞 kisomo kizito Manshallah ❤️❤️❤️
MAA SHAA ALLAH natamani ningeipata hii Dua
Mashaallah shemeji yangu,,,allah akulipe kwa kaz hiii🙏🤲
Mashallah mashallah mashallah jazakallah kheir inshaallah
Amin Allahuma Amin
Maa shaa Allah,Maa Shaa Allah,Maa Shaa Allah ,Jazaqa Allah Kher❤❤❤❤❤
Mashaallah jazakallah kheit
Maashaallah walhamdulilla, eeeehe haya ndio khaaaswa sio kila kitu bid,aaa hizo nyiradi wamefanya wabora walio tangulia wengi tuu tena watukufu kuliko hata huyo muhammad abdul wwahaab, na yao kwa ikhilaswi nniya zao walifanikiwa sana tu tena zaid ya sana.
Machaallah
Maashaallah
wasilla nimeielewa hapo ila hiyo annsyoisoma shekh sjajua imo kwa kitabu gsn naomba mnifahamishe. ndh zangu
Assalaam Aleykum, Naomba mwenye kujua kitabu chenye dua hii anifahamishe inshaALLAH
Nenda kwenye maduka ya vitabu vya dini mwambie nipe kitabu cha waswilatu shafii ndo jina lake
Hiyo Wasillatu Shaafi iliyoboreshwa nahisi ni ubunifu wake hivyo bora uwasiliane naye kwa namba alizotoa.
Maulid ni bidaa
Uzushii mtupuu huwoo
Ibadaa zotee zinaa ushahidi
Mohamed Ahmed Soma kwanza
Maulid ni sunnah
Mashallah