Haya niyakweli mjuwe me nilikuwa naishi nyumba moja hiyo nakumbuka siku moja tuliota ndoto zinazofanana tuliota tunakabwa wakati tulikuwa tumelala vyumba tofauti yaani nikawa nalala mchana usiku nakesha nyumba nikali hiyo kigorofa flani hivi amazing
Tin White hii movie kiboko Ile noma Sanaa vibaya sanàaaaaa ..ww na kilangaso muendeleze hii movie ikue series isieshee ichukue Kama miaka mitano Kama prison break 😂😂😂😂😂
Tu like video za huyu jamaa tumpush anastahili push this man is brilliant
Nikiangalia hii series nacheka sana unanikumbusha nilikuwa nakaa mtaa mmoja kulikuwa na nyumba watu wanaikimbia 🤣🤣 daah bro umetisha sana
Mbavu zinauma kwa kucheka yaan dah nimeipenda sana mashaa Allah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah hii inauchiz sana aisee aladini iko safi sana aisee watu wa chache lakini kitu kikali
Haya niyakweli mjuwe me nilikuwa naishi nyumba moja hiyo nakumbuka siku moja tuliota ndoto zinazofanana tuliota tunakabwa wakati tulikuwa tumelala vyumba tofauti yaani nikawa nalala mchana usiku nakesha nyumba nikali hiyo kigorofa flani hivi amazing
😂😂😂😂😂😂😂tunaoangalia sas hivi gonga like tujuwane hapa
Vp tuchat
@@robyshija1227 eeh
Niamby unaweza ukanitumia pich
Unapatikana wap
@@robyshija1227 picha ten
Mimi naamini tinwhite ndiye aliyemnyanyua mkojani kisanaa
Naungana naww✌️
Kabisa
Hasaa
Tin bwana anaweza na anajuaaa. Big up Sana bro
Tinny... Oyaa ishaondoka hiyoo imeyeyaa😁😁😂😂😂
Wap huk?
Yani unatufura hisha sana ss tuliko nchi za watu tuna tunatoa mawazo yete nawapenda kutoka 🇴🇲
Upo sehem gan hbbty
Kabisaaaaa
Martin hakika nyie ni wataalamu nipo hapa nairobi kenya nafuatilia episod moja baada ya nyingine congratulation📢 🙏🙏🙏
Ayiiii😂😂😂 Tin mi mwenzenu nawapenda sana😂😂Love from Burundi
Burundi pia
Mambo
Habari Schiller?
Tin White hii movie kiboko Ile noma Sanaa vibaya sanàaaaaa ..ww na kilangaso muendeleze hii movie ikue series isieshee ichukue Kama miaka mitano Kama prison break 😂😂😂😂😂
Mwendelezo lini sasa
Hata mm pia nangojaa
😂😂😂 this is amazing nmecheka yangu yote nawapenda God bless you guys
Naijua hiyo naona sasa mmeanza kutufuata hadi mtaani😂😂😂😂😂😂😂
Wale wanaotoka TikTok gonga like apa 😂
Eti nilikua nataka nicheze na shoga yangu😂😂😂mamamaaaaaa😂😂😂😂
😂
Mambo
I love it 🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉 congratulations 👏👏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Big up Tin 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tangia cku ya kwanz kukuona naamin unajuwa sema vtuzo vyao ni vya mchongo🔥🔥
Simso mkinga hiyo staili ya kipemba Luka nayo nzuri sana tumeipenda mashabiki
Hawezi kabisa yani sehemu ya R anaweka L
Et we watekenywa wasikiaa rahaa ...doh umepata zari wew 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Oyaaaa ishaondoka hyoo ime yeya
Oyaaa ishaondokaaa hyoo imeyeyaaaaa,,😆😆😆😆😆
Noomaah sana jamaa nawakuli sanaaa
Naijuaa iyoo!!. chai,mkate na juice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣martin akilizako ndogo,eti nilikuwa nachimba kishimo chamdako nicheze na shogaangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘
Huyu jamaa atari🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Naona unafraia na aladini
Nipo nawafatilia sanaaa dugu yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jaman mbavu zangu mie
Umetisha br kazi nzuri sana 😆😆😆😆
Kilangaso umetisha sana
Yaani mbavu zaumia bana tin kiboko,naipata nikiwa🇰🇪🇰🇪 KENYA🇰🇪 MALINDI 🤣🤣🤣🤣
Oyaa! ushaondoka hiyooooo imeyeyaaaaa
I can't wait for 6 episode😂😂
Ishaondoka hiyoo...imeyeyaaa🤣🤣🤣🤣
👍
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂😂😂tego nmelishtukia 😂😂😂wakulungwa 😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Nawakubali sana wazee wa kazi
Kaka unajuwa kila siku lazima niifatilie bless Sanaa
Duuu mnaniuea mbavu 😄😄😂🤣🤣🤣🤣 mnabamba Saba👍
Kazi nzur Sanaa 👊
Tinwhite na kilangaso mumetisha sana 😀😀😀😀😁😀😁
Hiyo rafuzi ya dagobert 😃😃😄😄😄😄😄😁😁😁😁 nawapenda buree
Km watu wamombasa
@@mwanaidisadi5021 ndio lkn wanakipaji chankipekee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣zipu nyuma kha🤐🤐
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Wazee mbavu zinamwisho mana nacheka mpaka na tight😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Absolutely amazing, I love your work!! Keep up
Aisee no one like tin white 🔥🔥🔥🔥🔥gonga like kama unakubali
Nakukubali tini na kilangaso
see mko vizuri sana wadau sema nini mfanye ata ofa ya kuwa mnatuma mbili mbili
😂😂😂 *Toka Kenya Tuko ndani*
Hapo mwishoni "oya imeondoka ishayeyaa🤣🤣
Hahahahhahahahah vijibwa 2 sas me nigeuke nin fupa mie naumia mbavu wallahi 😂😂😂😂
Daah waitin but sijawaa first to comment it pains😥😥😥love from saudiarabia
Nayakubali sana wazee,Moçambique
oyoooooo ni mwendo wakuchekatuu😂😂😂😂😂😂😂
Awakati tamaa awa mabalia🤣🤣🤣🤣wanapambana na mauzauza
Aisee nawakubali big up mala ya pili naangalia jmn
Yuatekenywa hajji..Yuaskia laha kwel hadi akatiwa kidole Tena Cha macho 😛😛
Kak tupe unyama mwengne alaf tunaomba kweny vigongo vyako umuekage na Ringo mkweche ukiwa nae Yule huwa mnaua sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣atampga konzi s konzi mgwangwari utanivunja mbav mm🤣🤣🤣🤣🤣 atar san
Najikaza nisicheke nashindwa😂😂😂
Tunacheza na shoga angu 🤣🤣🤣🤣🤣tin bwana
Twanga chai hio mzee baba acha uwoga
Naona sasa mmeanza kutufuata mpk mtaan😀😀😀
😀😀 kumbe hichi kifaa hiki😀😀😀
Oyaaaa ishaondoka hiyoo imeyeya😂😂😂
ikitokea cku moja nimepigwa kidole Dole la macho lkn😂😂😂😂😂😂😂
Noma sana💥💥💥🌠
Oooyaaa....Imeyeyaaaaa🥳😁😁
Niliisubiri kwa ham😂😂😂😂
Kumbe hichi kifaa hiki😂😂😂😂😂😂😂
😂😂 ishaondoka iyooo imeyeyaaaaa🙌🙌
Kilangaso kubali nyongeza😅😅😅
Siku wakinitia kidole adamu wee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah aisee tini utatuua mbavu zetuu
Bomba sana👍👍👍
Nice work.respect broo...
😂😂😂😂😂so funny
Tamaaa izi unaweza kufa ameni😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 tin unaogopa kwa hawa
Tini akili zake Eti ishaondoka iyoo imeyeyaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamniiiiiiii hii pich inatak moyo maan dah ni zaid ya ukweli ata kwenda choon naogopa
I was waiting for this
Nakubalii kaka tin white a.k.a aladin barikiw
Hatar Sana brother
Oyaaa imeyeyaaa 😂😂😂
Aseeeeeeee ni nouwmaaaaa sana
Mimi nirisha hama mapema sio kwa vitimbwi hivo Et
Hahahahahaa dole la macho😆😆😆😆😆😆😆
hahaha nlikua naingoja sana
😂😂😂😂🥰🥰 oya ishaondoka iyooooo imeyeyaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣jamani nyie Mungu anawaona 🤣🤣🤣🤣
Ikooo vizurii ❤👍
Watiwa dole la macho weye 🤣🤣
Hahaha naijua hiooo...
Kazi nzuri sana
Nakubali sana 👊
🤣🤣🤣 Watiwa dole la machooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nawapata vzuri nikiwa 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦Woow mmetisha sana
Hivi ingekua kweli unaweza kukaa ht siku moja?acha iitwe move
🔥🔥🔥💫