Hali Ilivyo: Mume wangu hana Uwezo wa kusoma katiba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 306

  • @djhillarythemaster9970
    @djhillarythemaster9970 4 года назад +4

    Good teachings especially for those who are young in marriage...hata mi yaniguza...

  • @halimakiponda9516
    @halimakiponda9516 3 года назад +2

    i am glad kenyan they have platform to open up, AM and J you are talented everywhere you go i will follow u,, i dont listen to maisha anymore

  • @omaidonald8178
    @omaidonald8178 5 лет назад +6

    Jalas i love this show more God bless you

  • @BABANAMAMATHE
    @BABANAMAMATHE 5 лет назад +46

    Alex na Jalas tupe uwezo wa kuzungumuza na nyinyi kutoka dispora. Tunapenda milele breakfast :)
    Thanks for good work and funny presentation...

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 5 лет назад +3

    Jamni mm nimtz ila nipo namkenya naweza kutoa namm Hali ilivyo kwenu maan namm nayangu 🙏🏼🙏🏼

  • @faizamohamed7417
    @faizamohamed7417 4 года назад

    Jalas nawa fata vyema kila siku, pongezi kwa kazi nzuri mfanyayo, min loch from doni

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane4377 4 года назад +3

    Wanzee niwengi hawa somi katiba pia wangu alisidwa iribidi awa ananisoma katiba na kidole

  • @josepholoo1236
    @josepholoo1236 4 года назад +1

    mzee ajaribu kuvuta bangi puff kama mbili hivi, atachangamuka mbaya sana

  • @nawalnawy851
    @nawalnawy851 4 года назад +1

    Nitaptaa mtu mzur bwana mzur mtulivuu mtu atakae nipaa mdaa na time ww uconee joking nasema nachokaa nashibaa natoshekaaa na kulishwaaa uchunguu and you god bless always black star horosp😂😂😂😂😂😆😆😆🙏🙏🙏

  • @tabithandinda422
    @tabithandinda422 5 лет назад +28

    63 ameisha wee usitake mzee akufie juu yako

    • @58667679
      @58667679 4 года назад

      Kweli...63 is old. The engine has lost power! It is the reality of life.

    • @benardsikuku7104
      @benardsikuku7104 3 месяца назад

      😂

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 лет назад +23

    Mama akubali uzee umeingia 63 years its not a joke

    • @kiiaknia7232
      @kiiaknia7232 5 лет назад +2

      hahaha john mwangi ni ukweli huyo ni mzee hawezi linganizwa na mtu wa 30.

    • @estheralbrechtsen8999
      @estheralbrechtsen8999 5 лет назад

      63yrs bado wanasoma katimba🤔🤔

    • @faithfoundationministry437
      @faithfoundationministry437 5 лет назад +1

      @@estheralbrechtsen8999 Hata moi anasoma katiba, Njenga karume alisoma mpaka akiwa 80 mpaka akazaa mtoto

    • @estheralbrechtsen8999
      @estheralbrechtsen8999 5 лет назад +1

      @@faithfoundationministry437 Wacha mimi nisome nikiwa young nikingongo 40 no way.

    • @elijahmwangi4055
      @elijahmwangi4055 5 лет назад +1

      John Mwangisasa

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 5 лет назад +15

    Dctr jalasi na Nurse Alex😂😂😂😂😂

  • @shadrackkitai5977
    @shadrackkitai5977 5 лет назад +6

    Mariga Leo ako na redcard

  • @joengar8163
    @joengar8163 5 лет назад +6

    The problem could be his HBP medication... that end with pril like lisinopril

  • @xoxomacx2539
    @xoxomacx2539 5 лет назад +3

    Very true Jalas. Most Kenyan men drink too much. Starter zimekufa.

    • @tanumzalendo1567
      @tanumzalendo1567 4 года назад

      Xoxo Macx
      Starter imekufa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nawalnawy851
    @nawalnawy851 4 года назад +2

    Cyo kmaas huyu mzeee loh ukisema 28 litaminii sawaa sawaa kma ako na 28 hyaa mukae salama lakini tamaaa babaa usishikee kwanza yalishaa ilee cku ya mwisho kilaa ckuu kumbukaa moyoo ukisemaa leo basi nime chokaaa namuwaa💔💔💔💔😂😆💪💪💪

  • @nawalnawy851
    @nawalnawy851 4 года назад

    Na kilaa kiji forse ati nirudi moyo na kichwaa chaku agnow ww cwez cwez ctaki haikua khr ynguu mwanzo ilkua kwl lakini ulionaa boraa pesaa umri wangu hukunijali tangu nkijaa nko na 34pkaa sahi 44 na west time always my life just its you try understand whats im talking shukran💔💔💔💪💪💪💪😂😆😆🙏🙏🙏🙏

  • @hkn125
    @hkn125 5 лет назад +6

    Wife says he has hypertension. This could be a side effect of medication

  • @gsamoei
    @gsamoei 5 лет назад +22

    Jalas and Mwakideu, I suggest in some cases pls invite professional doctors. It'll spice the show, my opinion

  • @millykadzo5834
    @millykadzo5834 5 лет назад +9

    Aaachane na mzee akule retire pole pole haezi hiyo league

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +9

    mama pole kwa hiyo hali karibu tu kwa team dry spell na pia pressure huwa inaapunguza makali ya kusema katiba....lakini pia kunajia mingi zakusaidiana pia mpate wote Raha Yule

    • @classyliz0608
      @classyliz0608 5 лет назад +3

      Heheee ati team dry spell 😂😂😂😅 we wacha

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 лет назад +2

      @@classyliz0608 😂😂😂tunamkaribisja kwa champ ya team dry spell

    • @classyliz0608
      @classyliz0608 5 лет назад +2

      @@nzisakasau8234 akuje tunga'ang'a hii side 😂😂😂😅

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 лет назад +1

      @@classyliz0608 kabisa😂

    • @classyliz0608
      @classyliz0608 5 лет назад +1

      @@nzisakasau8234 😂😂😂😅

  • @susanmamaafrica6874
    @susanmamaafrica6874 5 лет назад +16

    Huyo mzee aende gym. 81kg at 63 he needs a exercise kabisa.

    • @kenyanniggar357
      @kenyanniggar357 5 лет назад

      niko na 110 kgs with 33 yrs, na nina perfom extra mile

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 года назад +1

    Mzee anaweza kuwa na msongo wa mawazo, ajaribu kumchangamsha motomoto akule mzigo wake.

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 лет назад +2

    🙆‍♂️🤣🙈🙈🙈63 uzee umekaribia tunguvu tunadidimia.akule mugombero n njugu kwa wingi

  • @theprince2548
    @theprince2548 5 лет назад +5

    Kitale home kabisa

  • @denilsonmecha2370
    @denilsonmecha2370 3 года назад +1

    Stivo Mariga apige simu amwambie akule njugu,managu,sagaa,asali,simsim.Uyu Stivo jamani

  • @fridahmso6744
    @fridahmso6744 5 лет назад +5

    Jameni ni uzee, 😏😏 leave him alone to relax wah! Lakini wewe Alex 😂😂😂

  • @michaelimbiru6739
    @michaelimbiru6739 5 лет назад +8

    Mwakideo wewe ni nurse, achia daktari kazi😂😂😂😂😂😂

  • @joseky254
    @joseky254 4 года назад +1

    Linah wacha kubother 'guka' amezeeka. Kusoma katiba na kupewa mate sahau, ile mate imebaki in ya kubariki wajukuu pekee!

    • @marytitus4732
      @marytitus4732 4 года назад +1

      🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

  • @harrietkerubo4500
    @harrietkerubo4500 5 лет назад +48

    Stivo mariga asipige simu 😂😂😂

    • @abdimajidjimale5645
      @abdimajidjimale5645 5 лет назад

      Stivo mariga the legendary advisor of milele fm😂😂😂

    • @albertohpunisher8212
      @albertohpunisher8212 5 лет назад

      n mtoto......mama anaumia😂😂😂

    • @tarrusbigman4919
      @tarrusbigman4919 5 лет назад +1

      Stivo mariga mwenyewe hapa aki he needs a job at this show🤟🏿🤟🏿🤟🏿🖤

    • @collomulastborn1163
      @collomulastborn1163 5 лет назад

      Kwa nn😂😂😂

    • @harrietkerubo4500
      @harrietkerubo4500 5 лет назад +4

      @@collomulastborn1163 Si ju anapiganga kila siku unaeza dhani ako na shares milele 😂😂

  • @benedictkinyingi8399
    @benedictkinyingi8399 4 года назад

    Nipee uyo madam

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 5 лет назад +2

    Hapana Jalas c uzee ntarudia tena,mimi bwanawangu meingya 76 leo na 2yrs and seven months mtoto wetu,hata tuko katika process yakutafuta mwengne,na mm niko 39,tena ako fresh kila leo.Zena from Croatia.

  • @ashaboke8849
    @ashaboke8849 5 лет назад +2

    Ni uzee jamani

  • @Endurancevlogs
    @Endurancevlogs 5 лет назад

    Good evening Mwakideo and Jalas mm nimejua mahali tatizo ipo so i need to help this man dawa tuko nazo nzuri sana na huyu mama atasaidika for real

  • @raymondtanui4012
    @raymondtanui4012 5 лет назад +8

    Mzee ako na erectile dysfunction as a result of hypertension so blood pressures should be controlled and erectile function treated.

  • @fabyscarl
    @fabyscarl 4 года назад +1

    U guyz mnanivunja mbavu😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwakideu aendelee kumeza

  • @samuelgitahi4294
    @samuelgitahi4294 5 лет назад +1

    Shida ni tofauti ya miaka...ukiwa na 63 bibi anafaa kuwa pia amepunguza iyo joto..

    • @ufalamtawacha6402
      @ufalamtawacha6402 5 лет назад

      Samuel Gitahi joto ya wanawake huwa inapungua wakifika 80yrs.

  • @levindalolalola7255
    @levindalolalola7255 5 лет назад +8

    Aki amezeeka atamuuwa akiwa juu ya kapendo 😂😂miyaka imeenda sasa

  • @godwinwandera5300
    @godwinwandera5300 3 года назад

    Seek for God

  • @Afrikanticha96
    @Afrikanticha96 5 лет назад +1

    Uzee umeingia kabisaaa na pressure ilhali mama mdogo damu ni motoooo! Atafute spare tyre!

  • @josephichechi7251
    @josephichechi7251 4 года назад +1

    I am 30yrs and am 82kgs

  • @dennohdboy.8783
    @dennohdboy.8783 4 года назад

    Jalas good show but u don’t look as settled as u were in hot 96. Bring it back.

  • @sylviaabuor9494
    @sylviaabuor9494 5 лет назад +1

    Uchawi hiyo

  • @bonnieboy4729
    @bonnieboy4729 4 года назад +5

    Huyo mathe awache kusumbua guka, n anitafute nisome katiba kuanzia page one hadi mwisho

  • @collinsomondi2784
    @collinsomondi2784 4 года назад

    the biggest problem there was stress, sex is psycological,sex is coordinated from the the mind. Mzee ako na stress because of cancer and the wife said at some point mzee alisema ako stressed up, and then again High Blood Pressure may also contribute

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 лет назад +2

    This is tricky,mbona anakufa tu kabla kuingia kwa gari,better kuingia na afe sasa....

    • @hadijaateya7623
      @hadijaateya7623 5 лет назад

      Mulamwa nlkupa no hujashungulika

    • @aggycherry9400
      @aggycherry9400 5 лет назад

      @@hadijaateya7623 mbona sijaiona,ulituma wapi...please confirm but am sorry

    • @aggycherry9400
      @aggycherry9400 5 лет назад

      @@hadijaateya7623 aiii mbona sikufahamu,hata Hadija nilikuwa nadhania si wewe,nikumbushe plz

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 года назад

    Pressure inaendanisha na sukari 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @kaderejames2532
    @kaderejames2532 5 лет назад +15

    Does he respond to the other party well? Kwa yule mke mwingine

    • @estheralbrechtsen8999
      @estheralbrechtsen8999 5 лет назад +1

      It could be more better kama wangepigia bibi nr 1 kiujaja.

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 4 года назад

      Kweli tena ndio tujue kama huko anafunction ndio tujue kuna isue hapo

  • @chrissmutanga8909
    @chrissmutanga8909 5 лет назад +1

    Pia ni vizuri kuoa rika yako 63 na 42 miaka 21 hii hata ni mingi.
    Ama mwanamke kuna uwezekano unalipa deni la mke mkubwa...uenda kwa kuolewa kwako hukuolewa kwa njia mzuri...

  • @teresiahkiarie8440
    @teresiahkiarie8440 4 года назад +1

    Achana na mzeee akure retirement yake pole pole uzee umeingia jalas na wewe wacha mzaha

  • @mulinzinga9981
    @mulinzinga9981 5 лет назад +3

    Hio ni uchawi.

    • @ronahemmajay1807
      @ronahemmajay1807 5 лет назад

      Nimekubaliana na wewe...coz mtu wa 63 hajakuwa mzee sana

    • @tanumzalendo1567
      @tanumzalendo1567 4 года назад

      Amewekwa kwa uteo🤣🤣🤣🤣🤣🤣😱

    • @ikhayerejoseph1184
      @ikhayerejoseph1184 4 года назад

      Muri mzinga. Niukweri kabisa ni mama wa Kwanza arimfanya ivo

  • @izack9191
    @izack9191 5 лет назад +1

    Doctor hawezi kusaidia hata robo naisi mitishamba ndo poa zaidi

  • @upcomingevangelist6158
    @upcomingevangelist6158 3 года назад

    Pia kumbuka kuna uchawi, wizi wa nguvu za kiume

  • @ladynyajogem6361
    @ladynyajogem6361 4 года назад

    Mwaka ija enda sana... mbona akuku ame kua na guka na bado alikua ana owa waschana wadogo

  • @aliceondeko3455
    @aliceondeko3455 5 лет назад +3

    Ni uzee

  • @joengar8163
    @joengar8163 5 лет назад +3

    There is nothing like UZEE in kusoma katiba! You find very very active men at even 90, just watch the no good chemicals that might hinder your activity

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 5 лет назад

      Mugabe alifanya kazi mpaka mwisho!

    • @eunicewairimu5015
      @eunicewairimu5015 5 лет назад

      😂🤣😂😂Hata Kuna slay queen anadai kupachikwa mimba na Daniel moi 2019 😆

  • @webnet8453
    @webnet8453 5 лет назад +1

    Hiyo blood pressure ndio shinda

  • @etonabintu
    @etonabintu 4 года назад

    Hahahahahahhahahaha endelea kumeza

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 лет назад +1

    Wewe Dada kubali matokeo!! Utaua huyo mzee na katiba, uzee inaingia 63 yrs sio mchezo,, linah wacha mzee apumzike Sasa hizo dawa za herbal akizizoea zimuua,

  • @vincentnyangicha1649
    @vincentnyangicha1649 5 лет назад +6

    Stop bothering mzee wa wenyewe. He has retired.

  • @dullymushsa1450
    @dullymushsa1450 5 лет назад

    Nauliza ?

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Год назад

    Je hajawahi kukushuku kama una mpango wa kando? Je unamheshimu na unasema naye vizuri? Je anakula vizuri? Je hana madeni kama bank? Je wewe mama ni msafi kwa ujumla? Nk. MUNGU AKUPIGANIE MAMBO YASONGE.

  • @kelvinemdalinyange6417
    @kelvinemdalinyange6417 4 года назад

    Mzee amechoka ako na bibi wawili bn

  • @johnwatt7661
    @johnwatt7661 4 года назад

    Mzee is just suffering from fear of under performance. this is a worst feeling hata kijana inaweza kataa. hizi vitu hutaka relaxations especially mentally.

  • @misseamour7471
    @misseamour7471 4 года назад

    mwambie huyo mzee akuje mombasa tumlishee supuu ya pweza aone gari venye itajiendesha yenyewee😂😂

  • @Cityplumberpro
    @Cityplumberpro 3 года назад

    😄😄😄😄endeleeni kumeza tembe

  • @abdimajidjimale5645
    @abdimajidjimale5645 5 лет назад +10

    Mzee akule chakula kama mukimo natural viagra watermelon,ndizi njugu n.k kituu itarudi kwa system roho safi later u will thanks the job will be like Afrosinema continues shortly🤣🤣

  • @bettykiki7442
    @bettykiki7442 5 лет назад +1

    Nimebaki hapo kwa taa heheehe

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 5 лет назад

    Penye mzee amefikia,just accept it,though u have enjoyed alot,relax mama.

  • @edinahmoraa1289
    @edinahmoraa1289 4 года назад

    Junga kufugwa mama wee tulia tuu 😁😁😁😁😁😁hehehehe sisemi kitu

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +6

    😅😅😅😅😅😅😅mwakideu anaweza jalas jamani😅😅😅😅😅😅

  • @detypitah7331
    @detypitah7331 5 лет назад

    Pliz help frequency nairobi

  • @johnkariuki437
    @johnkariuki437 4 года назад

    akunywe supu ya ngamia it works.

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 лет назад

    Uliza mke mwenza

  • @hassanalimagessa3966
    @hassanalimagessa3966 5 лет назад

    Hili tatizo linahitaji utafiti wakina aise let her confirm frm her co-wife if it's happens at the other end also pliz

  • @lmdelos7609
    @lmdelos7609 5 лет назад +1

    This is completed

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 5 лет назад

    Muulizeni mama kwa mke mkubwa ni vipi kama hali ni hiohio

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +3

    stevo Mariga ajapiga simu😅😅😅😅😅😅jalas na mwakideu😅😅😅😅😅

    • @classyliz0608
      @classyliz0608 5 лет назад +2

      😂😂😂 wacha atulie watu wameteta sana pia

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 лет назад +1

      @@classyliz0608 hahahaaa huyo stevo Mariga huwa Ana choma kwelikweli

    • @classyliz0608
      @classyliz0608 5 лет назад +2

      @@nzisakasau8234 kabisa sana

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 лет назад

      @@classyliz0608 😅

  • @thomasmachuma9271
    @thomasmachuma9271 5 лет назад +2

    hahaaa eti ni rika za kina mwakideu

  • @fridahmso6744
    @fridahmso6744 5 лет назад +1

    The face #jalas is making yawah 😂😂😂😂

  • @poulapoula6354
    @poulapoula6354 4 года назад

    63 yrs unatafuta dactari wa nini huyo ni kuchoka mwache mzee apumzike wewe utulize makali

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 4 года назад

    Ataka mazowezi

  • @KONKIFSHOW254
    @KONKIFSHOW254 5 лет назад +4

    na kwanini msimpee advice atafte vijana. Kwani hamtutakii kazi

  • @dullymushsa1450
    @dullymushsa1450 5 лет назад

    Akiwa nauyomke makubwa
    Mambo yanakuasawa?

  • @janejanny672
    @janejanny672 5 лет назад

    Aki jalas 😂😂😂eti mwakidio endelea tu kumeza

  • @fredolocho
    @fredolocho 4 года назад +1

    Ati wale wa kukwama no drama. 🤣🤣🤣🤣

  • @kensawe1919
    @kensawe1919 4 года назад

    Ati lights isizimwe ....ukiona katibu..umuzigidi nayo nayo😂😂😂😂

  • @rodgersbaraza446
    @rodgersbaraza446 5 лет назад

    Alikuwa anatumia dawa za kuongeze nguvu akiwa kijana that's are disadvantage of using

  • @hadijasulley857
    @hadijasulley857 5 лет назад +2

    Jalas and mwakideu failed to ask her if mzee performs well without problems kwa nyumba kubwa.

    • @eunicewairimu5015
      @eunicewairimu5015 5 лет назад

      Haezi kuwa anaperform poa kwa first wife may there is worse na hata labda haendagi huko, mzee akizeeka want the young lady

    • @ufalamtawacha6402
      @ufalamtawacha6402 5 лет назад

      Hadija Sulley nime elewa kitu umemaanisha, and it’s very possible.

  • @Jsploit
    @Jsploit 5 лет назад

    Your frequency in Thika?

  • @annrose4574
    @annrose4574 4 года назад

    Uyo caller wa kwanza🤣🤣🤣

  • @williamdigge6940
    @williamdigge6940 4 года назад

    Umri huo hata nikishindwa kusoma katiba sipati mawazo najihuzulu/ staafu

  • @detypitah7331
    @detypitah7331 5 лет назад

    Milele fm frequency nairobi

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 лет назад +2

    63 yrs ni mtu wakuvu bana katiba imepata mkurukenzi

  • @terersheila1292
    @terersheila1292 4 года назад

    Alex nimefuatilia hii mjadala...na kama Daktari halisi alex kuna condition huitwa Hormonal imbalances kwa mwili,mara nyingi zinabadilika na maybe ndio inasumbua hyu mzee.....

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 5 лет назад +4

    Marriage last

  • @jospinedarani180
    @jospinedarani180 5 лет назад +3

    umezeeka mummy wacha kumusumbua mzee neenda udugwe shindano uwache kusikia mahaajamu

  • @evansotieno333
    @evansotieno333 5 лет назад +2

    amendment

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane4377 4 года назад

    🤣aki nyinyi daktari munaskia katiba muna ruka

  • @devannamatsi7049
    @devannamatsi7049 5 лет назад

    Nipewe number ya Linah