Daaahh ndugu zangu kwanza niwape pongezi kwa qaswida zenu , nawakubali sana MUNAWAWARATU, tuko pamoja we are the family , nikiwa na stress huwa natazama na kusikiliza qaswida zenu Masha Allah, kuanzia BEATS , SAUTI MPK KILA KITU, Fanyeni kazi tuko pamoja🤝🤜🤛♥️🤲🙏
NIMEIRUDI QASWIDA HII ZAIDI YA MARA 10 ONLINE MPAKA NIMEIKARIRI QASWIDA YOTE, THEN NIMEIDOWNLOAD , HILO BEAT HAPA NDANI KWANGU NI BALAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥 MPAKA MAJIRANI NAO NAWASIKIA WAKISEMA WALE WALE MUNAWWARAAAAAAAAAHHHHHH
Natamani sana MUUNGANO UVUNJIKE ZANZIBAR IBAKI KUWA NCHI HURU YA KIISLAMU NITAFUTE URAIA NIHAMIE ZENJBAR❤️❤️❤️🙏🔥🤝
Mashaallah Muna warat
Daaahh ndugu zangu kwanza niwape pongezi kwa qaswida zenu , nawakubali sana MUNAWAWARATU, tuko pamoja we are the family , nikiwa na stress huwa natazama na kusikiliza qaswida zenu Masha Allah, kuanzia BEATS , SAUTI MPK KILA KITU, Fanyeni kazi tuko pamoja🤝🤜🤛♥️🤲🙏
Mashallh
Nipo KONDOA _DODOMA ila nakula raha za PWANI, Masha Allah 🔥🔥🔥🔥
Al-tawbah On hot quality🔥🔥
NIMEIRUDI QASWIDA HII ZAIDI YA MARA 10 ONLINE MPAKA NIMEIKARIRI QASWIDA YOTE, THEN NIMEIDOWNLOAD , HILO BEAT HAPA NDANI KWANGU NI BALAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥
MPAKA MAJIRANI NAO NAWASIKIA WAKISEMA WALE WALE MUNAWWARAAAAAAAAAHHHHHH
Mashallah ni nzuri sana hii💕
Asante.
Muna waara au tauba mban sijaelew hapa
Munawwara ni ao wenye shuhul apo dada
Wanaopiga shuhuli ni tauba, wanaopigiwa shuhuli ni munawara.