Hongera sana mwalimu wa neno la Mungu, na mchambuzi wa kisiasa. Mwalimu mimi nikushukuru saana kwa habari na uchambuzi unawo tufikishia mara kwa mara, LAKINI MWALIMU MIMI NINASWALI, NA SWALI LANGU NI KUHUSU IYI INCHI JIRANI Hapa Rwanda. IYI INCHI INAVYO ONEKANA NA INAVYO SEMEKANA NA WATU WA NGAZI ZA JUU KATIKA INCHI HIYO, INASEMEKANA KWAMBA RWANDA NA KIONGOZI WAKE WAMEISUMBUWA SAANA AFRIKA. 1, AFRICA YA KATI, KASKAZINI NA KUSINI, HUSUSANI RDC, BURUNDI, CONGO BRAZZAVILLE, INCI YA CENTRE ÁFRICA, SASAHIVI HADI MOZAMBIQUE. HIVI IYI INCHI MOJA NDOGO INAYO ISUMBUWA ÁFRICA, HIVI HAMUIONI??!!!! KWANINI HAMUICHAMBUI???!! MARAKWA MARA??!! NAOMBA WEWE NA MWANDAGASE VILIENI NJUGA IYI INCHI NA RAISI WAKE ILI ÁFRICA NZIMA AO DUNIA NZIMA WAJUWE MABAYA ANAYO YAFANYA RAISI WA INCHI HIYO.
@@HashimSwale Mzee hatuwezi kuendelea BILA kukopa kwasasa,,,, Tanzania inakusanya chini ya kiwango YAANI 12% ya GDP WAKATI kitaalamu inatakiwa 15% ya GDP SASA unaachaje kukopa? China, Russia, marekani na ulaya wanakopa SISI ni kinanani hatukop?
Sijui tumekosa mbinu ya kujinasua kutoka kwenye madeni! Naona tunazidi kukuza deni badala ya kupungua. Bahati mbaya hata miradi tunakoelekeza huwa haifanyi vizuri kwa sababu ya ukosefu wa usimamizi mzuri na kukosekana kwa uzalendo. Kwa kweli ukitafakari kwa kina hatima ya deni letu itatufikisha kubaya.
leo Ibrahim Traoré amesha leta magari ya electric ya umeme 50 leo leo mengine yanakuja kwa muda mchache. Anafungu viwanda viwili moja ya chakula yakulea samaki bwawani cha pili cha chakula za nyombe ili wapate maziwa yakutosha
WANAUME WA AFRICA HAWA MPOKI MTANGAZAJI WENU ALEWEKI KIBIDUBIDU AJAYOOKA KATIKA UTANGAZAJI WAKE WEWE MWALIMU NAKUAMINIA SANA KATIKA UCHAMBUZI WAKO ✊️💪🙏👏♥️⚓️🏆🏆🏆🏆
Hata Tanzania by June 2026 nitahakikisha deni lote la ndani na nje limelipwa. Kama ni MUNGU aliyeniita, tutalipa deni lote in Jesus mighty name I truly believe
Magufuri alitenga tirioni kadhaa kulipa deni la taifa kila mwaka..spika Ndugai alisema..kwa awamu yake ya pili ya utawala angemaliza deni lote......bahati mbaya Tanzania yangu JPM mzalendo wa kweli alikufa....deni limezidi kuongezeka kwani mbinu nyingi za JPM zimepuuzwa......Mungu tuinulie kiongozi mwingine mwenye kuleta neema kwa nchi na watu
We upo nchi gani? Hivi kuna Rais aliekopa pesa nyingi kwa muda mchache kama Magufuli? Fuatilia deni la taifa ndio utajua Magufuli alikua mwizi kuliko hata Rais yeyote Tanzania
Usiandike vitu bila utafiti, fuatilia kwanza mwenendo wa deni la Taifa wakati wa utawala wa hayati Magufuli. Unafikiri miradi yote aliyokuwa anatekeleza ilikuwa ni kutokana na fedha za ndani pekee?
Sisi Tz sijui tumekosa mbinu ya kujinasua kutoka kwenye madeni! Naona tunazidi kukuza deni badala ya kupungua. Bahati mbaya hata miradi tunakoelekeza huwa haifanyi vizuri kwa sababu ya ukosefu wa usimamizi mzuri na kukosekana kwa uzalendo. Kwa kweli ukitafakari kwa kina hatima ya deni letu itatufikisha kubaya.
Rais wa Mali hatanii 😂😂😂. Kawakamata wakurugenzi wa kampuni zinazochimba madini kawaweka ndani hadi walipe madeni waliyolimbikiza. Bado kawapiga faini za maana.
Daaah hii nimeipenda yaani Africa Ina rasilimali nyingi uwezo wa kuwapiga kwa mwaka tu upo ila tu Bora ninyamaze sina mwanasheria Wala uwezo wa kumlipa mwanasheria😂😂🙌🙌
Tatizo sio mikopo bali inatumikaje angalia watawala wenu matumizi yao wabunge mawazir manaibu makatibu wakuu wa mikoa ma DC nk misafara posho nk lazima tuwe maskini na tukope sana madeni atalipa raia sio mtawala na baado mnawashabikia machawa hakuna akili
Mwl waneno tzn kwa sasa kuna tozo la serikari la mihamala wa simu inayofanuika kwenye simu ambayo kila 10000 serikari inachukuwa tzn sh. 102 unafikiri kwa siku zinakusanywa ngapi? Nimatrion kwa siku? fedha zinaibiwa na mafisadi mafisad i nihatari! Mpaka hapo atakaporudi JPM madarakani yaan kuchagua Rais kama JPM mbona nikazi ndogo tu unajuwa walimuua kwa sababu hatukuwa na umoja wa kitnz hawangemwuua JPM majinga machache yaliyojiaminisha kwa wazungu kuwa hawawezi kuishi bila mzungu. Kwani kabla ya wageni hatukuwa tunaishi?
Huezi kuinganyisha kenya na mali kwa sababu ?? Ruto ni mpambe mtumushi wa mbeberu haswa marekani si uliona hivi karibuni alitakakuuza airoport jkia kwa bahati nzu uzalendo wa mahakimu walikataa raïs kama Ruto kenya itafika wapi ?? ila ushoga na ndoa yajinsia moja
@@RamadhanMbwana-o1j kwani SISI Tanzania hatufanyi Biashara na IZO NCHI za bricks? Hivi unajua NCHI 10 washirika WA kibiashara WA wakubwa WA china ni URUSI TUU ndie zafiki wengine wanamgogoro WA kidiplomasia? Ivi unajua SISI Tanzania tunaagiza ZAIDI KULIKO tunavyouza? Iyo bricks BADO haina manufaa ya MOJA KWA moja
TATIZO viongozi wako na sio wazungu,,,MTU anatembela v8 new model mil 700+ mafuta inanusa ac haizimwi ten percent KWENYE miradi ni kugusa ulipaji WA Kodi ni hafifu HALAFU unakuja kulaumu wazungu
Huku kwetu kenya Amekopa hadi kukopeshwa deni la Ushoga na Usagaji Kipezi cha Baiden aliye jitangaza kuwa yeye ni Shoga. Hogera SAHIL BABA Wa Africa ECOWA Vidudu vya Walowezi weupe 😂
Vipi sasa wewe mtanzania ulie ongesha bandari vipi utaacha kuwa mtumwa wa madeni siku gani mnatamani sasa nchi za wanaume mtaendelea kutamani hadi wote mtageuzwa kuwa misemo yenu itabaki kulaumu wa mama
Bila msaada wa wazungu wengine Ufaransa angekuwa amekwishawaua. Pia hawana kura ya VETO kwenye Umoja wa mataifa. Wanahitaji mzungu mwenye kura ya VETO ili kuwatetea. Bila hivyo watageuka Libya sasahivi. Ufaransa anawafatilia usiku na mchana. Mzungu haepukiki kwa sasa cha muhimu wajue aina ya mzungu na waingie makubaliano yenye manufaa. Huwezi kukaa bila ulinzi wa mzungu mwingine wakati Ufaransa anakufuatilia. Huo ndo ukweli mchungu.
Strong leader Africa, congratulations 👏 traoure
Hongera sana kwa sahel..Mungu ibariki Africa
😢Hata Tanzania bajeti kubwa ni ya watumishi nchi Tanzania ndo nchi ya hovyo Africa masharik
Hongera sana mwalimu wa neno la Mungu, na mchambuzi wa kisiasa. Mwalimu mimi nikushukuru saana kwa habari na uchambuzi unawo tufikishia mara kwa mara, LAKINI MWALIMU MIMI NINASWALI, NA SWALI LANGU NI KUHUSU IYI INCHI JIRANI Hapa Rwanda. IYI INCHI INAVYO ONEKANA NA INAVYO SEMEKANA NA WATU WA NGAZI ZA JUU KATIKA INCHI HIYO, INASEMEKANA KWAMBA RWANDA NA KIONGOZI WAKE WAMEISUMBUWA SAANA AFRIKA. 1, AFRICA YA KATI, KASKAZINI NA KUSINI, HUSUSANI RDC, BURUNDI, CONGO BRAZZAVILLE, INCI YA CENTRE ÁFRICA, SASAHIVI HADI MOZAMBIQUE. HIVI IYI INCHI MOJA NDOGO INAYO ISUMBUWA ÁFRICA, HIVI HAMUIONI??!!!! KWANINI HAMUICHAMBUI???!! MARAKWA MARA??!! NAOMBA WEWE NA MWANDAGASE VILIENI NJUGA IYI INCHI NA RAISI WAKE ILI ÁFRICA NZIMA AO DUNIA NZIMA WAJUWE MABAYA ANAYO YAFANYA RAISI WA INCHI HIYO.
Jana wamepewa hela na EU kusaidia kupigana na magaidi nchini Mozambique. Hapo ndo ujue hawa watu ni vibaraka😢😢
Africa can be more better than Europe in development if we can change our mindset and leadership styles and use our resources properly
Exactly 💯
R.I.P MAGUFULI
Wa kwanza mm Leo nipeni like zangu usiponipa we mamluki wa West 😅
Chambua baba unatisha ningekuona USO Kwa USo ntafurahi sana❤
Madeni ya kulazimishwa hio ndio kweli wengi tusio ijuwa Asante sana kwa habri njema utupazo.. Hongera sana 🎉🎉🎉
Hakuna anaelazimishwa kukopa ni wewe na shida zako,,,, SGR ya kenya juzi imepigwa fine na china KWA kuchelewa kulipa mkopo tsh billion 34
@josephwilliam5813 Alicho kiongea mwalimu ungekizingatia ndio ungepata jibu lako bila shaka utanielewa nilicho kuelekeza 🙏😊😊😊
@@HashimSwale Mzee hatuwezi kuendelea BILA kukopa kwasasa,,,, Tanzania inakusanya chini ya kiwango YAANI 12% ya GDP WAKATI kitaalamu inatakiwa 15% ya GDP SASA unaachaje kukopa? China, Russia, marekani na ulaya wanakopa SISI ni kinanani hatukop?
Haposasa unatetea ili samia andelee kukopa 😢😢😢nyooo
Magufuli iwezaje kuleta maendeleo bila kukopa @@josephwilliam5813
tanzania.yeti.sisi ni.vibaraka wa.marekani.kwa.hali hii tutatobowa kweli
Waramba pus
Tena Tanzania 🇹🇿 ni vibaraka wa Marekani na China. Wanakopa weeee alafu hela zinaingia kwa watawala
Sijui tumekosa mbinu ya kujinasua kutoka kwenye madeni! Naona tunazidi kukuza deni badala ya kupungua. Bahati mbaya hata miradi tunakoelekeza huwa haifanyi vizuri kwa sababu ya ukosefu wa usimamizi mzuri na kukosekana kwa uzalendo. Kwa kweli ukitafakari kwa kina hatima ya deni letu itatufikisha kubaya.
Hawa jamaa wa saher wamekata utumwa nawapenda sana❤
leo Ibrahim Traoré amesha leta magari ya electric ya umeme 50 leo leo mengine yanakuja kwa muda mchache. Anafungu viwanda viwili moja ya chakula yakulea samaki bwawani cha pili cha chakula za nyombe ili wapate maziwa yakutosha
MashaAllah ❤❤❤ safi sana
Kenya mnaenda mbali sana tuzungumzie uozo wa hapa kwetu kwanza
HAPA VIONGOZI wote kalibia hawajielewi
Kazungumzia Tanzania ila katumia code😂😂😂😂
Safi kbsa kwa inchi ya Mali safi sana
Safi sana...natamani wakupe kipindi kabisa katika tv ya taifa
Nimewapenda Bure hawo jamaa
Tanzania 🇹🇿 tunatakiwa tujifunze kitu hapa . VIONGOZ WENG NI WACHUMIA TUMBO NA SIO WAZALENDO
Hata hapa kwetu Jeshi lichukue nchi.
WANAUME WA AFRICA HAWA MPOKI MTANGAZAJI WENU ALEWEKI KIBIDUBIDU AJAYOOKA KATIKA UTANGAZAJI WAKE WEWE MWALIMU NAKUAMINIA SANA KATIKA UCHAMBUZI WAKO ✊️💪🙏👏♥️⚓️🏆🏆🏆🏆
Mpoki akienda kijijini shamba tena huko anakula kijiti ana changanya maneno😂😂😂😂
Mimi huwa nawafuatilia sama vipindi vģ
Hata Tanzania by June 2026 nitahakikisha deni lote la ndani na nje limelipwa. Kama ni MUNGU aliyeniita, tutalipa deni lote in Jesus mighty name I truly believe
kumbe wewe ndo makonda
Amina
Hovyo
Tupe mbinu utafanyaje? Maneno matupu hayavunji mfupa
@@gyestudios267 mhm!
Magufuri alitenga tirioni kadhaa kulipa deni la taifa kila mwaka..spika Ndugai alisema..kwa awamu yake ya pili ya utawala angemaliza deni lote......bahati mbaya Tanzania yangu JPM mzalendo wa kweli alikufa....deni limezidi kuongezeka kwani mbinu nyingi za JPM zimepuuzwa......Mungu tuinulie kiongozi mwingine mwenye kuleta neema kwa nchi na watu
We upo nchi gani?
Hivi kuna Rais aliekopa pesa nyingi kwa muda mchache kama Magufuli? Fuatilia deni la taifa ndio utajua Magufuli alikua mwizi kuliko hata Rais yeyote Tanzania
acha uongo au soma sana mdogo wangu anatengaje matrilioni wakati nakusanyo yetu ni Tshs 1.2 trillion
Naisi ww ulikua mfakazi hewa ulitumbuliwa ndo mnamchukia tunafatilia deni Gani kaacha acha chuki zako binafisi mtumbuliwaje wezi wakubwa nyie @@minicooper9642
Usiandike vitu bila utafiti, fuatilia kwanza mwenendo wa deni la Taifa wakati wa utawala wa hayati Magufuli.
Unafikiri miradi yote aliyokuwa anatekeleza ilikuwa ni kutokana na fedha za ndani pekee?
Magufuli ALIKUA deni la trillion 28 LKN ameacha deni la trillion 52,,,,
Safi kuendelea na hamasa kwa mwanamajumui wa Afrika ili adumu kwenye ukuu wake wa enzi za jadi. Asante!
Hapo nawaelewa kwa hali hiyo makonda anafaa awe raisi wa Tz
Ngoja tuzidi kumwombea tu kamanda wetu
Ubarikiwe Ibrahim Traoré hataki kupata cheo cha juu anataka akaye na cheo cha capitain kwa kumbukumbu cha Thomas Sankara
Safi mtangazaji
Mashaallah ❤❤❤
Ndio ukweli 💪🏾..Bongo mtaweza hivi? Hiyo akili haipo na haiwezekani!
Magufuli angelifanikisha lakini ameondoka😢😢😢
Magu
Sisi Tz sijui tumekosa mbinu ya kujinasua kutoka kwenye madeni! Naona tunazidi kukuza deni badala ya kupungua. Bahati mbaya hata miradi tunakoelekeza huwa haifanyi vizuri kwa sababu ya ukosefu wa usimamizi mzuri na kukosekana kwa uzalendo. Kwa kweli ukitafakari kwa kina hatima ya deni letu itatufikisha kubaya.
Siyo kweli tunaviongozi waovu wanaotuibia
Watangazaji taratibu msije mkajikuta ununio😂😂😂😂
😆😆😆😆😆😆
Safi sna
Yah, hivi ndivyo vinafaa kusikika Masikioni mwa Waafrika.
Zaidi sana viongozi waislam ni bora
Tunaomba traoile aje tz aongoze miaka 3 naamn deni tutakuwa tushamalza
Rais wa Mali hatanii 😂😂😂. Kawakamata wakurugenzi wa kampuni zinazochimba madini kawaweka ndani hadi walipe madeni waliyolimbikiza. Bado kawapiga faini za maana.
Natamani vijana kama Traole wangekuwa Tanzania
❤AES❤👍🤲
My Africa tuungane kweli tulipe maden yote
Good
Ww taja tu jina la nchi tunajijua
Mnaishangaa kenya kwa madeni,wakati tanzania ndio kufuru!!!acheni uoga ongeeni ukweli,tanzania ndio hovyo kabisa
Kenya ndio wajinga sana mmekopa Hadi ndege mbwa nyie
Nataman kufika wagadugu, nionane na traore kwakwelo mwamba ni fire
Mna ongeya ukuweli lakini mnaweza mkapotezuwa😅😅😅😅
Natamani angekuwa mtanzania daaah
AES👍👍👍👍👍🤝🤝🤝🤝
Safi sana mwalimu VP ulirudi BBC?
Daaah hii nimeipenda yaani Africa Ina rasilimali nyingi uwezo wa kuwapiga kwa mwaka tu upo ila tu Bora ninyamaze sina mwanasheria Wala uwezo wa kumlipa mwanasheria😂😂🙌🙌
Sio KILA MTU anaweza kukopa JE unachakulipa?
Unasema kweli kaka bila africa inchi za maghalibu wangekuwa wanatoa funza tunako enda tutaanza kuwapa misaada sisi
Sisi hatuwezi kulipa deni mama anajua kukopa tu hana ubunifu was kubuni njia za kuingiza mapato, hajui rip jpm
mifumo ya elimu ndio imeiharibu African ndo maan hmn ubunifu zaid n kuwaza kuwanyonya raia
Mnaisema Tz
Njoo kwenye uharo wa afrika mashariki sasa deni mpaka mimba halaf gari moja million 400 la mkuu wa mkoa
Dah!Ushenzi mtupu
Iyo NCHI ya mali mji mkuu wake WA Bamako unazidiwa HATA na tabora KWA uzuri
@@josephwilliam5813uzury wa mji una maana gani ikiwa Wananchi wanateseka na Kodi na shughuli za kijamamii zenyewe sio za uhakika
Kazi ni kudanganya tuuuuu! Dah uongo tuuuuuuu
Watanzania kutoboa kwetu ni ngumu tuna ardhi lakin mbunge anakuja jimboni na mradi wa mashindano ya draft
Jitahidi kua mpya ktk informations zako unarudiarudia data ulizozungumza Siku za nyuma
Tangu lini mkuu umekua na kigugumizi, taja tu hiyo nchi
Hawa ndio wanaume africa wengine wote ni vibaraka tu
Niko tayari kujiunga jeshi chance application mbukinafaso militarily jeshi
We dogo akili yko unaijuwa mwenyewe😂
Mapolisi walio pelekwa Haïti wanateseka sana bado mishahara yao hajaliowa na huu huu Ruto mtumushi wamarekani muhuzaji kenya kwa wabeberu
Wabaya niviongozi hakuna mzarendo nchi zetu ndiyo maana hakuna kiongozi anayeenda kuwasalimia haomiamba utawakuta wanaende kuwasalimia mabwana zao
Tanzania tunamlaumu saaana MABEYO kwa uzembe alioufanya
Matatizo ya africa ni ya kujitakia wa africa wenyewe
Hiyo ni Tanzania unaificha tu ya asilimia 65 ya bajet kuhudumia viongozi na 35 maendeleo
Tanzania tupo uchumi wa ngapi saivi😊
Tz harakati za mkombozi wa kiuchumi nothing bcoz we are dependant upon western countries
Kukopa ni utumwa au njaa
MALI EMPIRE INASIMAMA TENA
Africa ndo tunashangaza kuwa na misafara mirefu ya maraisi yani mpaka kituko😂
Yaani kama sio aibu basi ni kituko, yaani tunadhalaulika ya kwamba hatujielewi hata kidogo
Tatizo sio mikopo bali inatumikaje angalia watawala wenu matumizi yao wabunge mawazir manaibu makatibu wakuu wa mikoa ma DC nk misafara posho nk lazima tuwe maskini na tukope sana madeni atalipa raia sio mtawala na baado mnawashabikia machawa hakuna akili
Putin siyo mjinga aliwahi Kasema siku africa ikijitambuwa ulaya itaishi maisha magumu
Tanzania tupo upande gani
Tanzani ni kibaraka mtiifu
Watangazaji mnatumia mifano ya kenya wakati ninyi ni WA Tanzania je Tanzania kuko sawa?
Tanzania ni amevuka kwenye uchawa yeye Yuko kwenye levo ya mende wa mgaribi
Mwl waneno tzn kwa sasa kuna tozo la serikari la mihamala wa simu inayofanuika kwenye simu ambayo kila 10000 serikari inachukuwa tzn sh. 102 unafikiri kwa siku zinakusanywa ngapi? Nimatrion kwa siku? fedha zinaibiwa na mafisadi mafisad i nihatari! Mpaka hapo atakaporudi JPM madarakani yaan kuchagua Rais kama JPM mbona nikazi ndogo tu unajuwa walimuua kwa sababu hatukuwa na umoja wa kitnz hawangemwuua JPM majinga machache yaliyojiaminisha kwa wazungu kuwa hawawezi kuishi bila mzungu. Kwani kabla ya wageni hatukuwa tunaishi?
KARUME ALIPOPINDUA NCHI ZANZIBAR ILIKUA HAIDAIWI
Na alikuta ina mali kibao
Internet unayotumia mkongo wake ni WA mkopo
Huezi kuinganyisha kenya na mali kwa sababu ?? Ruto ni mpambe mtumushi wa mbeberu haswa marekani si uliona hivi karibuni alitakakuuza airoport jkia kwa bahati nzu uzalendo wa mahakimu walikataa raïs kama Ruto kenya itafika wapi ?? ila ushoga na ndoa yajinsia moja
Jpm alitaka tuelekee huko ila watanzania hamkutaka mabadiliko
Njia ni ku-nationalize rasilimali kuu za nchi migodi na mafuta na gas tuachane na private sectors ni ukenge
Ninekuwepo 1967 nationalisation ilipofanyika mabenki, mashamba mashule n.k . Lakini baada yapo uchumi ukawa juu ya mawe
Wakijiunga na Brics wamemaliza mchezo....
Bricks? Bricks wanaofa NINI ambacho hakipo magharibi?
@josephwilliam5813 wamebase kwe biashara kuliko mawest wanapenda kulambwa matako
@@RamadhanMbwana-o1j kwani SISI Tanzania hatufanyi Biashara na IZO NCHI za bricks? Hivi unajua NCHI 10 washirika WA kibiashara WA wakubwa WA china ni URUSI TUU ndie zafiki wengine wanamgogoro WA kidiplomasia? Ivi unajua SISI Tanzania tunaagiza ZAIDI KULIKO tunavyouza? Iyo bricks BADO haina manufaa ya MOJA KWA moja
Hawa jamaa MUNGU AWALINDE
Uswahili unatuponza,hatuishiwi visingizio.Hatukuibiwa chochote.
Ndio maana mimi napenda tutawaliwe na jeshi.
Tatizo siyo kutawaliwa na jeshi majibu yake ni sifa mbili tu uwe mzalendo na ukubali kujitowa sadaka kama haya jpm
Unaitaja kenye kwenye madeni na wewe kwenu,au hunaogopa kutekwa
Afrika tuamken wazungu ndio wanaotujazia umasikin na ufukara
Tatizo viongozi wengi niwanafiki nduguyangu
TATIZO viongozi wako na sio wazungu,,,MTU anatembela v8 new model mil 700+ mafuta inanusa ac haizimwi ten percent KWENYE miradi ni kugusa ulipaji WA Kodi ni hafifu HALAFU unakuja kulaumu wazungu
Huku kwetu kenya Amekopa hadi kukopeshwa deni la Ushoga na Usagaji Kipezi cha Baiden aliye jitangaza kuwa yeye ni Shoga. Hogera SAHIL BABA Wa Africa ECOWA Vidudu vya Walowezi weupe 😂
Kenya deni KUBWA ni la china na juzi mmepigwa fine bil 34 ya SGR
Isaya Benson ubarikie unatufunulia mambo mengi watu afrika
Vipi sasa wewe mtanzania ulie ongesha bandari vipi utaacha kuwa mtumwa wa madeni siku gani mnatamani sasa nchi za wanaume mtaendelea kutamani hadi wote mtageuzwa kuwa misemo yenu itabaki kulaumu wa mama
Tanzania ndio tunaongoza kwa madeni acheni kuongea nchi zingine sisi ni wajinga
Sisi ni wajinga huo ndio ukweli hata Nyerere alisema tuna maadui watatu umasikini maradhi na ujinga
Wajitowe kwa wazungu wote; sio wanajitowa huku na kujiunga na wazungu wengine!
Bila msaada wa wazungu wengine Ufaransa angekuwa amekwishawaua. Pia hawana kura ya VETO kwenye Umoja wa mataifa. Wanahitaji mzungu mwenye kura ya VETO ili kuwatetea. Bila hivyo watageuka Libya sasahivi. Ufaransa anawafatilia usiku na mchana. Mzungu haepukiki kwa sasa cha muhimu wajue aina ya mzungu na waingie makubaliano yenye manufaa. Huwezi kukaa bila ulinzi wa mzungu mwingine wakati Ufaransa anakufuatilia. Huo ndo ukweli mchungu.
Bila msaada wa mzungu mwaka jana Ufaransa ingevamia Niger. Hawana namna maana Afrika hakuna nchi yenye msaada . Wamejaa vibaraka watupu
Sio kila mzungu ni mbaya
Hongera mwalimu,❤
@SihabaMsechu umemsikia nani? Au unahisi huoutajir wanauokota ee?