We arrested the most criminal ever seen at dangerous road😭Dci officer pretended to be a Uber driver

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 621

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Месяц назад +79

    Hongera Sana Officer Fred kazi njema kwenu nyote kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awape nguvu afia na uzima tele awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO aliye BWANA na MWOKOZI wetu ameeeen barikiwa Sana nyote shalom

  • @kerrymmsammy
    @kerrymmsammy Месяц назад +150

    Dci Fred deserves a big promotion he is the best.

    • @Barak-ck
      @Barak-ck Месяц назад +6

      Wacha afanye chenye anafanya najua wenzake wanamchukia kwa mioyo zao zote sasa ukiandika hivi ni kama kuwandunga kwa moyo na msumari

    • @PhiliceIsutse
      @PhiliceIsutse Месяц назад +1

      Offcourse😂

    • @CarolyneMmbone-dl2dd
      @CarolyneMmbone-dl2dd Месяц назад +2

      True.but hii kenya iko na wenyewe juu hawapendi ukweli.

    • @miskii-m6t
      @miskii-m6t Месяц назад +1

      Of course 🙏💪💪💯

    • @ShallomAmugune-gd8yg
      @ShallomAmugune-gd8yg Месяц назад +1

      Love ya DCI Fred na true K ❤❤❤❤

  • @beckymaria2125
    @beckymaria2125 Месяц назад +28

    DCI Fred afunguliwe chanel tuanguke huko sote tumpe supports agrow kama wengine asaidie wengi ope hatatugeuka kama Mark be blessed hero❤

  • @josephinemogere8618
    @josephinemogere8618 Месяц назад +40

    Wow Fred you are an Intelligent Officer who knows his job. Forgive some of us who thought that you were going very slowly. But you knew what you were doing. And I congratulate you, True K (Jay) and Senior Dave Staff especially our Queen Wambui, Elvis, Champee and the New young man. I wonder what happened to Jeremy surely when all of us are having sleepless nights? And God bless you all Fred, True K, Wambu, Elvis, Champee and new young man with overflowing blessings that never end in Jesus Christ's Name Amen.

  • @Humble-f7x
    @Humble-f7x Месяц назад +12

    Good job team senior Dave much love ❣️❣️,,hawa wamama wapigwe risasi wakufe juuu hata wakiperekwa polisi watatoka too tena waendelee na hii kazi yao na vile inaumiza aki 😢😢😢😢woiii mungu wangu zingira Dave na damu Yako takatifu 🙏🙏🙏

  • @LidyaAl-i3z
    @LidyaAl-i3z Месяц назад +77

    Atleast leo ntalalaa usingizi juu tangu apotee senior dave sipati usingizi kabisa😢😢

  • @Esther-u1y
    @Esther-u1y Месяц назад +12

    DCI Fred is amazing haki, God Bless you so much DCI

  • @JenpherAchieng
    @JenpherAchieng Месяц назад +29

    Glory to God, DCI Fred God bless you

  • @praxymonique
    @praxymonique Месяц назад +8

    senior dave team,tuombee dci Fred,he is risking,mungu awafunike na damu ya yesu.mungu afunike jay,wamboi,champee,elvis,dante,jeremy na alice.God amlinde senior dave.all the glory will be unto GOD

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 Месяц назад +20

    God protect our hero senior Dave,,en team Fred awasingile na damu yako

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma Месяц назад +11

    Mungu azidi walinda my brothers kwakazi nzuri 👏👏👏👏 uyo nyanya mzee akimtowa Dave lazima awuwawe kabisa kwasababu hatayeye amekosa utu kama hamkufanya ivo mjuwe atamaliza watoto nawatu wakubwa yani siyamini macho 👁️👁️ yangu kama uyo nyanya mzee ndo anafanya mauwaji amakweli ndege 🐦‍⬛🐦‍⬛ mjanja sikuzote hunasa kwenye tundu mbovu. 👏👏👏👏 yani nyiye mashetani mpende msipende lazima mtamrudisha Dave mwaka huyu mmegusa pabaya .

  • @sarahmuli4080
    @sarahmuli4080 Месяц назад +60

    Congrats the Dci officer Fred your skills are on another level.

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 Месяц назад +24

    Anakaa mama mzee ndiye anaua watoto wa watu aki😢😢😢😢senior you are protected by the blood of Jesus Christ of Nazareth

  • @BintiDanford
    @BintiDanford Месяц назад +9

    Fred na dci wenzio mliojitoa kwa moyo wa Upendo kusaidia maisha ya dave Mungu awabariki sana familia zenyu zifunikwe kwa dam ya Yesu

  • @benavunga1672
    @benavunga1672 Месяц назад +20

    Good job team DCI Fred keep up the spirit i am behind you all 🎉🎉🎉

  • @VeronicaMabonga
    @VeronicaMabonga Месяц назад +7

    Thank you Lord for bringing this team to senior Dave 🙏🙏 bless DCI Fred abundantly

  • @magdalinewangari7329
    @magdalinewangari7329 Месяц назад +13

    Thank Fred for the work god,, remember senior Dave ni Jesus name amen 🙏

  • @gladysmueni2534
    @gladysmueni2534 Месяц назад +20

    Thank you Jesus 🙏🙏🙏🤣🙏🤣🤣 let's celebrate 🥂 🥂 🥂 🥂 🎉🎉. SD is alive and coming back 🎉🎉🎉🎉🎉🎉. Asante Yesu

  • @LuckyBonita
    @LuckyBonita Месяц назад +13

    Big thanks to God for the protection and strength 💪 in DCI Fred so grateful keep it up 💪🙏🏽

  • @Kanze-q4r
    @Kanze-q4r Месяц назад +7

    Akitoa David amalizwe huyo hio tu ndio dawa yake hongera sana mkubwa good job👏👏👏

  • @happinessnyaboke4940
    @happinessnyaboke4940 Месяц назад +11

    Hope pia Dave akipatikana mtasaidia hao madem wamefungiwa wenye ameforciwa kulala nao😮😮😮

  • @gloriakhakasa-om8fk
    @gloriakhakasa-om8fk Месяц назад +45

    Huyu msipeleke ndani aki atatoka tu,,,maliza yy mkishapata senior

  • @kevinkevohvoke
    @kevinkevohvoke Месяц назад +6

    Congrats Fred, good work Mr.. bidii yako Mungu atakupea award you can't forget in your life.. hakuna cha hongo ety upewe transfer, you're anointed to help the community, wao ndio wataenda wakuaje huku

  • @lucymuya4486
    @lucymuya4486 Месяц назад +11

    Congratulations dci fred for your good job,you are talented to that job

  • @MuchiriAgnes
    @MuchiriAgnes Месяц назад +8

    Hi ni Kenya 🇰🇪 ama ni dunia gani???Mungu shuka akina mama mko. YEHOVA..hapana hii ni kali

  • @PhiliceIsutse
    @PhiliceIsutse Месяц назад +9

    Huyu mwanamke kama ni mzazi,atalipia😢So sad😢

  • @carolinemwenze8831
    @carolinemwenze8831 Месяц назад +16

    Wouh goood news❤❤.God protect daves team ..we cover u by the blood of JESUS

  • @lazokmusictopic4855
    @lazokmusictopic4855 Месяц назад +30

    GUY'S LET'S US GATHER HERE AND GLORIFIED OUR HEAVENLY FATHER AMEN

  • @PaulineNdirangu-ys1jv
    @PaulineNdirangu-ys1jv Месяц назад +10

    Fred ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 God bless you wachana Na hongo OCS amekulà honga

  • @Barak-ck
    @Barak-ck Месяц назад +11

    Haki huyu Boss ni gaidi alishuku FRED for the first time,Alafu mwenye alikuwa anajifanya wazimu saa amechangamuka ndiye master plan. nimecheka 😅😅😅😅😅

    • @Moren-os3fn
      @Moren-os3fn Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @blessed_one6
      @blessed_one6 Месяц назад

      Walai😂😂

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f Месяц назад

      Alidanganywa ataachiliwa akisema ukweli

  • @marymutavi
    @marymutavi Месяц назад +17

    Mungu tenda mashetani wahaibike .

  • @JanyfferNyambura
    @JanyfferNyambura Месяц назад +20

    at least Elvis ameanza kuandika headlines ziko poa😂😂😂😂

  • @zippyjamesmwangi6551
    @zippyjamesmwangi6551 Месяц назад +5

    Wooooiii Senior Dave atiunafanyishwa kazi gani Mungu wangu🙆🙆alafu hiki kimama kinasema kitaitiisha watu wenu pesa??

  • @josephmule
    @josephmule Месяц назад +4

    Congratulations DCI live long mtu wetu,,naikiwezekana uyu gaidi usipeleleke ndani auwawe,, Incase of revenge

  • @beckymaria2125
    @beckymaria2125 Месяц назад +8

    Government ya kenya huyo ataachiliwa akipeana pesa anawachiliwa huyo alifaa tu ateswe hadi kufa cos akiachiliwa atafanya more harm God bless u team fred❤❤❤

  • @MalkiaMimi
    @MalkiaMimi Месяц назад +3

    This Dci Fred officer anahitaji hongera sana,,plz Dci be my husband 🙏🙏

  • @PeterJuma-u8w
    @PeterJuma-u8w Месяц назад +4

    Dci mungu akufunike tu waskujuwe aki mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @feleshaatello
    @feleshaatello Месяц назад +3

    Good job DCI Freddy.....tumia mwizi kushika mwizi....a very good trap😅😅😅😅

  • @Tabydan-x9x
    @Tabydan-x9x Месяц назад +13

    Niko hapa nangoja kungoja where is senior dave

  • @ConceptaNasimiyu
    @ConceptaNasimiyu Месяц назад +19

    Weiting God protect our team as they rescue our brother ❤

  • @rebeccamwende5039
    @rebeccamwende5039 Месяц назад +22

    Waooooh good job Fred and team Dave praying God that Dave to be okh 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @florencekembabazi3006
    @florencekembabazi3006 Месяц назад +6

    Dci Fredrick May you be protected by God's protection always 🙏 🙏🙏

  • @centrineomar5958
    @centrineomar5958 Месяц назад +1

    Waa hii ni Kenya my mother Land, Mungu tenda jambo, salute team DCI 🙏

  • @HANNAH-kc5kz
    @HANNAH-kc5kz Месяц назад +2

    Wow thank you God 🙏 pahali tumetoka NI wewe Fred and your team may God bless you🙏 for your good work bila wewe Fred hii kazi haingewezekana mungu akubariki sana🙏

  • @jerryrolins
    @jerryrolins Месяц назад +3

    Fredrick the DCI I salute you Sir 👏👏💥💥

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 Месяц назад +4

    Kitu kidogo imehalibu Kenya 🇰🇪 DCI Fred ubarikiwe 🙏Mungu aku Promoted 🙏akili de nawabsya na juwa naweye unamahaduyi mengi juu ya ukweli wako.🙏🙏🙏🙏

  • @ppatop
    @ppatop Месяц назад +2

    Fred the professionalism in you is top notch.God continue giving you more favor as you keep saving life

  • @RebeccaYego-s4v
    @RebeccaYego-s4v Месяц назад +3

    so long as Dave ako uhai watajua fred na jay ndiyo more 🔥🔥🔥

  • @MargaretWangui-v2i
    @MargaretWangui-v2i Месяц назад +6

    Groly to God good work team sd natrue k na fred praying for our sd to b found while he is okay ambient huyo gaidi aligusha mlima wa zayuni wenye hutingiziki

  • @HappyFrancis-p1s
    @HappyFrancis-p1s Месяц назад +2

    Wow yan amejiingiza mwenyewe kwa kichinjio bila vurugu😂, congrats Mr Fred

  • @Charity-k9r
    @Charity-k9r Месяц назад +3

    Mr DCI Mungu akubariki

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 Месяц назад +3

    Watching from Tanzania 🇹🇿💥💥......kazi nzuri dci

  • @Mariam-v2i
    @Mariam-v2i Месяц назад +2

    Hongera DCI kazi nzuri aki mungu ni nani mahali Dave yuko mungu amulinde

  • @ajiamboeunice5671
    @ajiamboeunice5671 Месяц назад +5

    May the almighty God bless you and gives you protection Dci Fredrick for the good job your doing be covered by the blood of Jesus Christ Amen Amen ❤❤❤❤❤

  • @MargaretWambua-p8g
    @MargaretWambua-p8g Месяц назад +3

    Oooh God 🙏Fred tembea na mungu siku zote

  • @gladysmueni2534
    @gladysmueni2534 Месяц назад +5

    Jehovah God.Gaidi iko ndani ya gari ya SD.Thank you Jesus 🙏.watajua hawajui.lazima wamtoe SD immediately

  • @mercyshany6400
    @mercyshany6400 Месяц назад

    Glory to God🙏we hv hopes senior Dave anaenda kupatikana DCI fred hongera sana mungu akubariki na hupate promotion in Jesus name 🙏

  • @Marykim4
    @Marykim4 Месяц назад +3

    Ooh my God hadi OCS,,,,ati amehonga huko DCI fred apewa transfer....mungu fanya job

  • @marymutindindeti9247
    @marymutindindeti9247 Месяц назад +2

    May God continue to protect you from and add more wisdom. Bravo 🙏🙏🙏

  • @marykaruga9305
    @marykaruga9305 Месяц назад +15

    Uyu mama amaliziwe after kupata Dave juu anaweza revenge

  • @manniebarume2154
    @manniebarume2154 Месяц назад +1

    Kweli napenda kazi ya DCI sana, Mungu atuchungiye wewe DCI WETU

  • @naomiadieri9939
    @naomiadieri9939 Месяц назад +1

    Big up DCI Fred and your team.May you never be corrupted to betray not only SD funs but Kenyan's at large.May God protect you always

  • @Sylvia-k2p
    @Sylvia-k2p Месяц назад +1

    Fred dave wetu akipatikana awa wote waende mungu awaukumie nauko mbele

  • @violeteliza6300
    @violeteliza6300 Месяц назад +5

    Ooh huyu mama mzee ndo anatesa watoto wa watu,,,sasa dci cork the gun after ashatoa senior,tandika risasi bila huruma

  • @HellenWanyonyi-v4n
    @HellenWanyonyi-v4n Месяц назад +8

    Dci fred tunaomba utfinyie huyu mama hadi atapike yote kuhusu senior don't joke with her juu haijakuwa rahisi maombi tu,mungu wetu endelelea kuwa nao juu wanadeal na shetani

  • @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
    @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw Месяц назад +3

    Haki DCI,,,❤️❤️❤️❤️👍God has given you wisdom from on high,Congratulations,Magaidi hamna bahati

  • @PeterMuhu
    @PeterMuhu Месяц назад +1

    Kazi Safi team DCI Fred may God grant you wisdom to overcome the wind's ahead,we are together in prayers

  • @BoscoMutavuta
    @BoscoMutavuta Месяц назад +4

    Thanks for God for answering our prayers Glory to you Lord Amen.... congratulations Fred and team Dave

  • @annastaciawanjiku2199
    @annastaciawanjiku2199 Месяц назад

    Wasiwahi toka jela,, hata mungu wanamtusi,, Fred na watu wako salute mungu awalinde, forever amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @henrymwangi6465
    @henrymwangi6465 Месяц назад +3

    Eti aliongea na o c s kweli we need to pray to our president ruto,because he had a difficult work.very few faithful. Police.

  • @jacintamumbi-c6v
    @jacintamumbi-c6v Месяц назад +1

    Congrats Mr Fredrick na truek and your team Mungu azidi kuwabariki na kuwaprotect

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 Месяц назад +6

    jehova asante kama S Dave ako uhai 🙏

  • @berrisodhiambo5607
    @berrisodhiambo5607 Месяц назад

    Good job 👍 mr fred mungu hakuzidiishiesana

  • @virginiagichero-j9v
    @virginiagichero-j9v Месяц назад

    The best vedio ever naeza i watch 100 times am so happy for your work mr fredi ..may God reward you 🙏

  • @Saud-o9i
    @Saud-o9i Месяц назад +3

    Kazipoa sana fredy mungu azidi kukuongoza

  • @NancyKhisa-w5x
    @NancyKhisa-w5x Месяц назад +1

    Good job DCI Fred and True K and all SD team may God protect SD wherever he is

  • @DeanahOnea
    @DeanahOnea Месяц назад

    Fred with your team senior dave fans we really appreciate a lot mungu akubariki bora Dave apatikane sherehee itakua kwa office

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 Месяц назад

    Asante mungu kwa kua Dave uko hai.... Mungu ni mwaminifu kwa kila kitu...we thank you Fred and all team ya SD Dave

  • @CaroMwende-d9l
    @CaroMwende-d9l Месяц назад +1

    DCI, thanks for good job you deserves a promotion ❤,I have faith in me that Dave ako save though anatumiwa vibaya,mkimpata mpelekeni hosi for check up

  • @IreneMamati
    @IreneMamati Месяц назад +1

    Congratulations DCII Fred and true k jay shikeni hao watatoroka tena

  • @RedemptaMumbua
    @RedemptaMumbua Месяц назад +5

    Finyeni huyo mama alete senior dave

  • @hawababy120
    @hawababy120 Месяц назад +2

    Mungu Asante san huu mama kupatikan Mungu pea cheo kikubwa Fred !!Naimani Dave atapatikana sasa.Aki hao wa mama wanamaneno nyie😂😂eti DCI anakaa Gaidi😂😂😂😂😂

    • @lilianmbeyu
      @lilianmbeyu Месяц назад

      Huyu DCI ako intelligent sana,good job Mungu akulinde sana,pamoja na team yote

  • @JaneMacharia-w2d
    @JaneMacharia-w2d Месяц назад +6

    DCI true k good job God bless you

  • @janenjenga8906
    @janenjenga8906 Месяц назад +5

    Naona mmerudi back to your senses.....good Tittle.....

  • @LumonyiBrian
    @LumonyiBrian Месяц назад +1

    Good job dir.jay and DCI Fred

  • @IreneWasike-pn4mx
    @IreneWasike-pn4mx Месяц назад

    Freddy jo mungu akulinde sana akupee maisha marefu usaidie kenya yetu plus your time mungu akufunike na damu yake na senior dave pia apatikane salama mashaalla

  • @praxymonique
    @praxymonique Месяц назад +1

    Kitu inaniuma vile eti dave azalishe wasichana watoto wakiuzwa..God have mercy

  • @rachaelwambui3407
    @rachaelwambui3407 Месяц назад +4

    Sikwaubaya huyu muue mucimusimusamehe ikiwa ako na askari marizieni yeye Weye amemaliza ndiyo wengi

  • @linnangetsa765
    @linnangetsa765 Месяц назад

    Freddie may God grant you many many years kazi yako ni safi kababaa

  • @kjyusuf7839
    @kjyusuf7839 Месяц назад +4

    Our hero dci friedie may God be with you always good job we do love you always

  • @nmogaka889
    @nmogaka889 Месяц назад +2

    Leo tunapona pressure tukiona SD wetu aki
    ❤❤the ❤❤❤❤love we have for SD ata kama.sometimes kwa live tunamutusi this matusi inaonyesha upendo tuko naye
    Freddy
    Truek k
    $ the staff we love u all

  • @trizahmasilah1663
    @trizahmasilah1663 Месяц назад

    Congrats dci fred you are chosen. by God mbarikiwa Sana you did awesome job

  • @9089pam
    @9089pam Месяц назад +1

    Good,hizo gaidi zimecheza vizuri but huyo mama anafaa achungwe sana coz anashilikiana na watu huko juu,nimeskia akisema ata amepigia ocs .😢

  • @judyagano
    @judyagano Месяц назад

    Good job huyo afinywe vizuri kabisa atoe SD...God protect this team in Jesus name...

  • @dianah3797
    @dianah3797 Месяц назад

    Dci fred is amazing haki ,god bless you more blessings 🙏🙏

  • @RuthKavithe-bz6pq
    @RuthKavithe-bz6pq Месяц назад

    Fred unafanya kazi nzuri sana mungu akubariki

  • @susangathii2782
    @susangathii2782 Месяц назад

    Hawa mangaindi walicheza kama wao, May God bless our team 🙏🙏

  • @RobbinSamwel-q7f
    @RobbinSamwel-q7f Месяц назад

    Oooh our own dci congratulation you have a big heart den your skills is more than ..I salute you

  • @agnesmuthiani
    @agnesmuthiani Месяц назад

    Hongera kwa kazi njema dci Fred

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 Месяц назад

    Ehee Mungu kinga Senior Devo Maharishi popote yupo 🙏umufunike na Damu ya Yesu Christ 🙏🙏🙏