Nilisema kuhusu Mkuu huyu tangu mara yake ya kuteuliwa kwamba, mpaka sasa Mkuu wa mkoa mwenye uwezo wa kufikisha ujumbe kwa wakati na tukamwelewa is CHALAMILA messeji hii ukiisikia inaujumbe wa mwenyezi Mungu
Kwa jinsi Dunia hii inavyokwenda, na ukilisto unapoelekea. Hawa mitume na manabii wa kisasa, watatufanya sote tuanze kujitafakali upya kuwahusu. Waislamu kweli hawana mambo zaidi ya ibada. Na ukifa unakwenda kama ulivyokuja. Safi mkuu
Shalamila mnyalokolo mwenye upeo wa kua mtawala utawala ni kipaji chapa kaz comred daresaslaam ndio Tanzania so inafaa mtu makin kwa kumsaidia Rais hongera sana
Waislamu wana mambo mengi mazuri ,mazishi ya maskini na tajiri katika uislam ni sawa ,sasa kwa wakiristo, mazishi ya maskini utayajuwa tu ,lakini at the end of the day,kaburi halina tajiri wala maskini
Watumishi walio wengi kuanzia Watandaji wa Mitaa ni wala rushwa. Huduma umma zinatolewa kwa rushwa. Wasiokuwa na uwezo wanateseka sana. Tunakusubiri uwakamate na kuwaanika hadharani. Na hiyo sijui utumie mbinu gani kulifanikisha hilo, maana huwezi kufika kila kona ya mkoa huu. Ukitaka ufanikiwe uanzishe utaratibu wa kutenga walau siku mbili kila mwezi kuweka kambi kwenye wilaya wananchi wakuletee malalamiko yao moja kwa moja. Kwa kutegemea wasaidizi wako, ndio hao hao. Kazi uliyonayo mbele yako ni kubwa sana. Ninasubiri kuona matokeo. Ninakutakia mafanikio.
Kuna shida NIDA ambayo inayoyikana na sheria kukataa kubadili majina zaidi ya mawili,lkn mahakamani umeapa,ardhi wamehakiki jina na kulipitisha ukienda kujiandikisha nida wanakataa kwa sababu ulijiandikisha majina mengine mwaka 2004,sasa naweka sawa kulingana namali nilizo nazo na vielelezo vingine vya ajira tunagomewa ,fuatilia tusije poteza haki zetu.
Kataa rushwa chalamila,swala la kibali cha ujenzi wananchi wanapigwa hela nyingi ukikataa kutoa wanakuwekea bango sitisha ujenzi hasa kipunguni,wakati ujenzi ulianza mika 6 iliyopita na hukuambiwa lolote.
Mkuu na Sisi bodaboda tunaotumia bolt tunateseka sana tunaomba utusaidie makato yamekuwa makubwa tangu Magufuli afe yamepanda kutoka asilimia 10 mpaka asilimia23 tulishaenda kulalamika hata ratla wakatusikiliza walipowapigia hawakuja mwisho wa siku wamezidi kutokandamiza
Uyu muhehe nikiboko anaongeaga ukweli mtupu ata jocksi zake uwa nikufikisha meseji usika awa vijana wapewe nafasi zaidi watatusaidia ktk Taifa ili mlinganishe uyu na anaesimamia umeme uone nani mzalendo?
Chalamila nawe wakati mwingine MLOPOKAJI SANA. Kitu usichokijua Kwa kina usijifanye MSEMAJI wa hilo. Mfano swala la majeneza, siyo la wakristo KWA SABABU SIYO LA KIMAANDIKO. Ni swala la utamaduni tu wa watu. Kama lingekuwa limeandikwa kwenye Biblia ndipo lingekuwa la dini. Kwa hiyo uwe unatafakari kabla hujaropoka Kwa watu
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
jamaa ni MTU aisee mama ahsante Sana kwa huyu MTU naomba like tulio tizama pamoja hii clip
Safi.sana.mungu akuongezee Imani na akupe ujasiri wa kutetea wanyonge
Asantee mkuu yan nimekupenda bure mungu akulinde sana babaaa
Mwamba na nusu mungu AKUBARIKI SANA PROUD OF YOU
Mweshimiwa mkuu wa mkoa wewe ndiyo musa hapa dar
Masha Allah mh mkuu wa mkoa ni nasaha toshaa mungu akupe umri mrefu uzidi kutetea wanyonge
Hapo sawa. Hongera sana mh. RC Chalamila.
Mungu akubariki.
Nilisema kuhusu Mkuu huyu tangu mara yake ya kuteuliwa kwamba, mpaka sasa Mkuu wa mkoa mwenye uwezo wa kufikisha ujumbe kwa wakati na tukamwelewa is CHALAMILA messeji hii ukiisikia inaujumbe wa mwenyezi Mungu
Tunakushukuru baba kwa kuja, Asante mama kwa kumleta🇹🇿
Kweli kabisaa
Mweshimiwa mkuu wa mkoa tulikuitaji sana kaka
👍👍👍👍👍👍asante sana mkuu tunataka watu kama wewe nchi hii
Somo zur sana umewapa, sema wengine hawaamin kuwa kuna maisha baada ya kufa hii ndio shida, so waweza ukaongea lkn watu hawabadiliki
Kwa jinsi Dunia hii inavyokwenda, na ukilisto unapoelekea.
Hawa mitume na manabii wa kisasa, watatufanya sote tuanze kujitafakali upya kuwahusu.
Waislamu kweli hawana mambo zaidi ya ibada. Na ukifa unakwenda kama ulivyokuja. Safi mkuu
Nenda Na wewe..😅 sisi tutamuhubiri Kristo
ndiomaana wanasemaga mapungfu ya mtu yaache angalia amejaliwa nn. rc chalamila good leader
Well said chalamila..magufuli yuko wapi? Kaacha kila kitu na kupambania watanzaia na tz. Sure we just live at once..
Big up mheshimiwa
Amina
Umenena vema mheshimiwa🙏🙏
❤❤Tunakukubali mkuu wetu wa mkoa tunamshukuru mama kukuleta❤❤❤
Jamaa big up wallah mashaallah
Asante sana kaka
Nakuelewa sana mkuu wamkoa
Safi Sana nakubali sana mkuu wa mkoa
Jaaaama ni mtu sanaa
Uko poa sana mkuu wa mkoa Dar.
Safi Sana Mkuu piga kazi
Mwamba huyu hapaa 👋🏽👋🏽
Nampenda sana mkuu wa mkoa daaa ana mesg nzurili sana
The Best leader ever
good speech
Great speech
Deeply and truthfully
Kweriiii kabisaaa
Asante baba
Ahsante sana mh. Albert Chalamila. hapa umeleta ujumbe sana kwakweli.
Masha allah hongera mkuu wa mkoa apo kwenye mazishi ya kiislamu ume ni huzunisha pia ku nichekesha hongera sana 🙏🙏🙏
Kaka nakuelewa sana sana
Umekuwa mtu wa pekee kwangu chalamila.
Good leader
Mkuu uko vzr Sana tungekuwa na wakuu wa mikoa nchi nzima kama huyu mwamba rais asingekuwa ana tabu Sana kuliongoza taifa
Huyu jamaa Ana akili sana
Shikamoo chalamila,
Kweli Mh..
Ni kweli hao watu wa kati hovyo ni tamaa za rushwa kila sehemu
Shalamila mnyalokolo mwenye upeo wa kua mtawala utawala ni kipaji chapa kaz comred daresaslaam ndio Tanzania so inafaa mtu makin kwa kumsaidia Rais hongera sana
Huyu msanii anafikisha ujumbe kwa wakati. Tunamtaka huku Mbeya.
Chumaaaa hiki bhana Mungu ampe Maisha marefu na uongozi uliyotukuka
Asant mkuu
Siku watanzania tukijua maana halisi ya 'UTUMISHI' basi tutafika mbali sana..... Kwa sasa hivi tunalifahamu kama 'DILI'
Upo sawa chalamila Hawa watendaji nikilo sana pia weka namba yako ya cm hadharani tukupashe na mengineyo ya Hawa watendaji
Huy mwamba mbona namuona full kiongozi wa nchi kabisaa sio kuishia ndani ya mkoa 🙏🙏🙏
Waislamu wana mambo mengi mazuri ,mazishi ya maskini na tajiri katika uislam ni sawa ,sasa kwa wakiristo, mazishi ya maskini utayajuwa tu ,lakini at the end of the day,kaburi halina tajiri wala maskini
Watumishi walio wengi kuanzia Watandaji wa Mitaa ni wala rushwa. Huduma umma zinatolewa kwa rushwa. Wasiokuwa na uwezo wanateseka sana. Tunakusubiri uwakamate na kuwaanika hadharani. Na hiyo sijui utumie mbinu gani kulifanikisha hilo, maana huwezi kufika kila kona ya mkoa huu. Ukitaka ufanikiwe uanzishe utaratibu wa kutenga walau siku mbili kila mwezi kuweka kambi kwenye wilaya wananchi wakuletee malalamiko yao moja kwa moja. Kwa kutegemea wasaidizi wako, ndio hao hao. Kazi uliyonayo mbele yako ni kubwa sana. Ninasubiri kuona matokeo. Ninakutakia mafanikio.
Huyu baba kumbe ni kichwa.
Watanzania asilimia 9956% nikiwemo Mimi nimekukubali kwa muda mfupi
Muheshimiwa Njoo Mbweni Mikoko imekatwa
Watu wanajiita Mabosi
Rais wa dar
Sasa naelewa kwanini JPM alikuwa anamuamini huyu kamanda.
Mkuu wa mkoa upo sahihi
Hii ni talanta ya uongozi hakika
Muheshimiwa kuna serikali ya mtaa inanyanyasa vijana nguvu kaz kwa kuomba rushwa
Maneno mazito mkuu
Kuna shida NIDA ambayo inayoyikana na sheria kukataa kubadili majina zaidi ya mawili,lkn mahakamani umeapa,ardhi wamehakiki jina na kulipitisha ukienda kujiandikisha nida wanakataa kwa sababu ulijiandikisha majina mengine mwaka 2004,sasa naweka sawa kulingana namali nilizo nazo na vielelezo vingine vya ajira tunagomewa ,fuatilia tusije poteza haki zetu.
Nikweli
Hapa nimekuelewa umetumia hekima hujatumia ubabe
NASHUKURU MKUU WA MKOA KWA MANENO YAKO YALIYOTUKUKA WENYE AKILI WAMEKUSIKIA, MUNGU HAKUPE NGUVU.
Malalamiko mengi kweli
Kataa rushwa chalamila,swala la kibali cha ujenzi wananchi wanapigwa hela nyingi ukikataa kutoa wanakuwekea bango sitisha ujenzi hasa kipunguni,wakati ujenzi ulianza mika 6 iliyopita na hukuambiwa lolote.
Mkuu na Sisi bodaboda tunaotumia bolt tunateseka sana tunaomba utusaidie makato yamekuwa makubwa tangu Magufuli afe yamepanda kutoka asilimia 10 mpaka asilimia23 tulishaenda kulalamika hata ratla wakatusikiliza walipowapigia hawakuja mwisho wa siku wamezidi kutokandamiza
4:29 nyumba ni falsafa tu fulan za wahuni eti lazima ukae ndanii 😂😂😂😂
Mh,, uko sahihi kabisa
Uyu muhehe nikiboko anaongeaga ukweli mtupu ata jocksi zake uwa nikufikisha meseji usika awa vijana wapewe nafasi zaidi watatusaidia ktk Taifa ili mlinganishe uyu na anaesimamia umeme uone nani mzalendo?
Sahihi kabisa mkuu
piga kaz mkuu tunakukubali wanyonge
Nimeona kitu kwa huyu mkuu..wako wachache kama yeye.
Watawala wamelewa amani,ikafawafanya.watafute mafanikio kwa kutuadhibu ili wapate mafanikio.
😂😂😂😂😂😂 hapa mkuu wa mkoa tumepata
Sasa hao waliokata Mikoko wanajiita viongozi
Nani kama Mama njooo
Dahhh chalamila umeongea ila ondoa vijana wa fird maofisini hawana Adabu kabisa
Password nyingine zinamsumbua Mungu wetu 😂😂🤣😆🤣😆🤣😆
Rais Wetu Samia Ungepata Viongozi Kama Huyu 10 Tu 2025 Ungepata Kura Zote Za Ndio Mama.
Chalamila atakuja kuw mtu mzito😂😂
Kabisssa
Huyu jamaa akili nikibwa
Mkoa umepata mtu
Jamaa ndio naanza kumuelewa
mkuu chukua pccb 2 tembea na private uone trafik wanavyo kula rushwa
Uislam unafata uhalisia😂😂😂
Sadataka umesema kweli
Sasa wizara ya aridhi ndio imeoza haifai hata senti 1 inanuka rushwa trf tiarae haifai alimuradi mtihani tanzania watumishi wananuka dhuluma
Huyu nampa mauwa yake mapema anapazwa miaka ya mbele kuwa rais wa TANZANIA
Wa barabarani watapata laana.
Chalamila
Huyu jamaa ana kitu sana moyoni
Wewe jamaa una AKILI kubwa. Tatizo ni kwamba wenye akili ndogo na za kawaida huwa hawawaelewi wenye AKILI kubwa
Usiwe unakngelea mambo.ya see ktk.mikutano
Nahitaji
Mh rais aliona mbali kumrudisha huyu jamaa ana kitu
Unaongea,ukweli,mtupu,saidia, SUNA tulivunjuwa, nyumba,zetu
Chuma ya MWAMBA jpm
NENDA PALE NIDA KAMA UNAWEZA
Ninakuelewa japo kunajamaa wanakuona mnoko kwahili.
duh chalamika ninakuona kama nilivyomuona Rais Magufuli kipindi alivyokuwa waziri na hatimae Rais. wewe ni Rais mtarajiwa. hapa mama aliona mbele san
Hakika tumepata jembe R C CHALAMILA
Huyu BWANA MKUU … NYUMBA ni falsafa ya….
Chalamila nawe wakati mwingine MLOPOKAJI SANA.
Kitu usichokijua Kwa kina usijifanye MSEMAJI wa hilo.
Mfano swala la majeneza, siyo la wakristo KWA SABABU SIYO LA KIMAANDIKO. Ni swala la utamaduni tu wa watu. Kama lingekuwa limeandikwa kwenye Biblia ndipo lingekuwa la dini.
Kwa hiyo uwe unatafakari kabla hujaropoka Kwa watu
Nimeamini mtu mzuli hapendwi nawatu wote chalamila chapa kazi mpaka mwisho
Nyumba ni falsafa na gari ni jeneza linatembea, hakika nimekupenda maana vitu vyote ni Mali ya bwana