MPANGAJI AGOMA KUTOKA NYUMBA ya KUPANGA, RC CHALAMILA AWAKA - ''ATAPATA SHOO ya DAKIKA MOJA TU''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 54

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 Год назад +2

    RC wetu mungu akubariki na kumtangulia katika kazi yake nafikiri utainyooha au kuiongoza vizuri

  • @sophiamvungi1425
    @sophiamvungi1425 Год назад +3

    Safi sana mkuu

  • @hassangauday6272
    @hassangauday6272 Год назад +3

    Uko sawa rc

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 Год назад +4

    Wahaya wanapenda sana kesi yani kitu kidogo twende mahakamani

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 Год назад +8

    Sasa unakatalia kwenye nyumba hujajenga huo ndo ujinga uliopitiliza!

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 Год назад +4

    Nakukubali sana chalamila kwa upeo uliozaliwa nao elimu ni kitu cha uridhi akili unazaliwa nao naamin vitu vyakimurirmthi kuna mda huwa vinapitwa nawakati hao ndgu hicho ndio wamekosa kukielewa pia hongera sana kwa kuwafungua watumia akili sana kuliko elimu

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Год назад +1

    Kasema ukweli,kujuajua kwingi sana

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Год назад +3

    Hahaha wahaya wanapenda sana kesi na kujifanya wanajua sheria

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Год назад +7

    huyu jamaa namkubali kinoma yani

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 Год назад

    SALUTI KWAKO MKUU 🙏🏿🙏🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 Год назад +5

    Kuongoza wahaya nikazi moja kubwa sana kuliko anayeongoza ng'ombe malishoni

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 Год назад +1

    Haya sasa.

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 Год назад +3

    Akajenge yake kama rahisi

  • @PaulKusaja
    @PaulKusaja Год назад +1

    He isa a good man, keep it up Chalamila. Sometimes, vitu vipo wazi tu hakuna haja ya kuzunguka mahakamani kupoteza muda kama wanajiridhisha na taarifa.. Shoo ya dakika moja muhimu. hahahaa

  • @kyaruzilutaadolph1835
    @kyaruzilutaadolph1835 Год назад

    Hakika kwenye hili, tupo pamoja mkuu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +3

    Duhuu mtu hataki kutoka hwenye nyumba ya mtu

  • @yassinnuru4758
    @yassinnuru4758 Год назад

    Kaka chalamila, hawa wahaya watakusemesha sana, kwakweli kaka unajitaidi hawakuelewi.

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Год назад +7

    Nyumba sio yako hutaki kutoka au tapeli anataka kuchukuwa nyumba

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Год назад +2

    Na kweli kajenge ya kwako kwa nn unangangania nyumba si yako

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад +1

    Naishzuri serikali ikapime yale mashamba isaidie kuonsoa byarubanja

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 Год назад +4

    Wachane hao jamaa mahakama siyo kila kitu

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 Год назад +3

    Mpangaji kageuka mhamiaji.😁😁🤭

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 Год назад +1

    Shoo ya dakk 1 haaaa haaaaaa Chalamila oyeee!

  • @raurentkorosso2014
    @raurentkorosso2014 Год назад +1

    Chuma na usu chalamila mm nakuelewa saaana Binafsi mkuu

  • @samiahJoseph
    @samiahJoseph Год назад

    Mimi ningekua nishabimoa mlango nakutoa vyombo nje harafu namsubilia Sasa aje tuzianzishe

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 Год назад

    Walitakiwa kumpa notes ya miezi mitatu free kisha wamwondoe kwa nguvu

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 Год назад +1

    Yaan kwel wahaya wengi wamejenga mijengo mizur vijijin na hawaishi

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Год назад +1

    mkuu una upeo

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад +1

    Nyarubanja ifutwe ndio.sababu ya mkoa wetu kuwa hivi

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 Год назад +1

    Anamiaka kumi uyo tayar katengeneza hat yake uyo

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 Год назад +3

    Kuna hukumu ya mahakamu kuu iliyotolewa mwaka jana - inatamka tarehe ya mwisho ya kodi ya pango ikiishapita bila kulipia pango, mpangaji anakuwa hana uhalali wa kuwepo pale. Anakuwa criminal trespasser. Hivyo afunguliwe kesi ya kuingia kwa jinai na gharama nyinginezo.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад

    Hilo lipangaji lichawi.

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 Год назад

    Atakuwa ndoalie mloga mama mwenyenyumba

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Год назад

    Hii nchi bwana, sasa mpangaji miaka 10 bado huyo ni mpangaji tu, kashachimbia vihirizi hapo leo unataka kumtoa

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 Год назад

      Atoke akajenge yake,,miaka kumi hujajenga yako,utajenga kweli?kadanganywa na waganga was kienyeji.

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    dah baad kuskiliza hii speech wahaya wote nimewaona hawana maana nyumba billion1 kijijin unaend baada ya miaka.miwili😅😅😅 jengen vitu vya biashara

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 Год назад

    Wahaya Mnanini lakini?mbona waga hamfanyi ivyo kwenye mikoa yawanaume kama mtalala😂😂😂 usiku wanakukuta umeshaamua kukusanya watu ukiwa hauongei tu.

  • @fridalazaro3208
    @fridalazaro3208 Год назад

    Mh wewe ilikuwa wapi wewe ndio raid tunsekuitaji Mungu wangu itawezekaksna kweli??? Wananchi wanakuona kweli???

  • @eliahiluka830
    @eliahiluka830 Год назад +1

    Wewe unavyoonyesha hulka yako ni ubabe huna sifa yakuwa Kiongozi

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 Год назад

    😆😆😆😆 unanifrohisha sana

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад

    Nyarubanja ndio zinatusumbua

  • @waltersesuru43
    @waltersesuru43 Год назад

    Wewe jembe mkuu .tuletee maendeleo. Mkoa wetu

  • @bestonmfikwa8510
    @bestonmfikwa8510 Год назад

    Wachane

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 Год назад +1

    Landa amenunua

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад

    Dada acha uonevu msaidie labda hana kodi

    • @maidaamie648
      @maidaamie648 Год назад

      Huyo sio kama hana kodi bali ni jeuri hatua yote hiyo waliyopitia kwanini anakuamkaidi kutoka

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 Год назад

      Sikiliza kisha ukoment acha wehu.