Dube mwaka huu goli 21 Stephan Azizi kii goli28 chama goli 16 Clement mzize goli 19 max mpia mzengel goli 12 pacome goli 19 chukuweni hii Nisha chungulia
Ni club ya mpira wa miguu iko ktk ushindani kama vilabu vingine wakati yanga inamtengeneza Mzize na kumvumilia mlikua wapi?leo Yanga inavuna ilicho kipanda mnataka nn?
Tutaacha kuangalia ben tv
Watu wanalalamika sana huku wakiona hili ni friji bovu,ktk kitu kibovu mnataka kupata kitu kizuri
Yaani Tanzania hatuna wachambuzi jamani,,maana wao huwa wanaenda na upepo. Hawa ndio wanaodumaza soka letu. Hawaelewekiii
Pascal wewe kama unataka dube afunge zaidi leta mke wako amusaidiye kufunga
Hyu hajui mpira
Dube mwaka huu goli 21 Stephan Azizi kii goli28 chama goli 16 Clement mzize goli 19 max mpia mzengel goli 12 pacome goli 19 chukuweni hii Nisha chungulia
Jina tu friji mbovu msitegemee ataongea cha maana
Kwani Yanga haitakiwi kuwa na wachezaji wazuri?
Ni club ya mpira wa miguu iko ktk ushindani kama vilabu vingine wakati yanga inamtengeneza Mzize na kumvumilia mlikua wapi?leo Yanga inavuna ilicho kipanda mnataka nn?
Mbape hakoseyagi wewe acha chuki na yanga
leo umeteleza,unafikiri yanga wanacheza peke yao,kipa alijua sana kujiposition golini 3:07
Wewe unamkataa dube kama nani wewe unahasara gani hata hatofunga unapungungiwa nini
DUBE ACHANA NA HAWA WAHUNI. WAPANIE SIMBA KUWAFUNGA MAGOLI 10
1. WANASAHAU POINT 3 WANALETA USHABIKI.
2. WASIKUTUMIE KUBETI WEWE CHEZA KITIMU WACHAMBUZI NI WANAFIKI
3. SALAAM NAWAPA NYIE WASHABIKI WA SIMBA ALAHALY ITAWAFUNGA 3-0 (MIMI NACHOKA)
4. DUBE KAJITAHIDI SANA ILA SEMA CHALAMANDA ALIPANIA KUTOKUFUNGWA NA DUBE.
5. DUBE WALA USIHOFU WEWE CHUKULIA FUNDISHO NA UTUMIE KUWAFUNGA SIMBA KUWAFUNGA MAGOLI MENGI
6.
Hakika br
Hata mbape ndani lial madlid mechi tatu hadi leo hajafunga gori lolote