MKOMESHE MCHAWI AJUTE KUZALIWA KWA QUR,AN NO 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 31

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 10 месяцев назад +4

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR MY BROTHER SHARIFU SULEMANI FROM TZ .I AM PROUD OF YOU UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 10 месяцев назад +4

    Shukrani,Allah akulipe mara dufu,kwani mbora ni yule mwenye elimu akawafundisha wengine nawe huna choyo kwa hilo😊😊

  • @RamadhaniMabwani-tv8zg
    @RamadhaniMabwani-tv8zg 9 месяцев назад +1

    Shukran nasumbuliwa sana na uchawi mm na familia yangu hatuna raha

  • @sadikisaisjr88
    @sadikisaisjr88 2 месяца назад

    Ma Shaa Allah

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 3 месяца назад +1

    Jifunze hapa👇 kwa kiswahili:
    Bismi LLAAHI rrahmaani rrahiim.
    WARADDA LLAAHU LLADHIINA KAFARUU BIGHAIDHWIHIM LAM YANAALUU KHAIRAA.
    WAKAFA LLAAHUL MU'UMINIINAL QITAALA,WAKAANA LLAAHU QAWIYYAN AZIIZAA✔️.
    Asubuhi👉 X33 na jioni 👉x33.

  • @leilahkassim909
    @leilahkassim909 9 месяцев назад

    Jazzakallah kheyr ya ustadh..

  • @JonathanKebaso-yk8le
    @JonathanKebaso-yk8le 10 месяцев назад

    Shukurani cyalabu ningumu tufafanulie kwakiswahili asanteni Sana 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @firdausassouman7115
    @firdausassouman7115 7 месяцев назад

    Barak Allahu fikum

  • @machanomossjuma9459
    @machanomossjuma9459 10 месяцев назад

    shehe ukiandika jee haifanyi kazi

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 10 месяцев назад

    Asante mwalimu

  • @saidinyomela8387
    @saidinyomela8387 10 месяцев назад +1

    Allahu Akbar

  • @johnalweba1831
    @johnalweba1831 10 месяцев назад

    Mwaka mpya Sheikh

  • @RamadhaniMabwani-tv8zg
    @RamadhaniMabwani-tv8zg 9 месяцев назад

    Yaan USTADH mi nimefanyiwa mpk sielewi

  • @johnalweba1831
    @johnalweba1831 10 месяцев назад

    Mwaka mpya Sheikh !

  • @qingbusiness6713
    @qingbusiness6713 10 месяцев назад

    Asante sana sheikh, waweza kutunakilia sura ,mimi si muislamu napata ugumu kushika hayo majina ya sura

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 10 месяцев назад +1

      Kwanini usiwe muislam ndgu yngu

  • @EgideNkeshimana-xl2of
    @EgideNkeshimana-xl2of 10 месяцев назад

    Shukran sana sheikh wetu,🙏🙏🙏

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 10 месяцев назад

    جزاك الله خير

  • @Khadija-qy4lf
    @Khadija-qy4lf 9 месяцев назад +1

    Mbona upatikan shekhe whatsap

  • @msdherve6181
    @msdherve6181 7 месяцев назад

    Assalam alaykum !Allah akujalie kila la khery cheikh,Ila iyo application haipatikani tena iyi ya tiba

  • @hakizimanasadec3612
    @hakizimanasadec3612 9 месяцев назад

    Please nitumie audio

  • @shambebro382
    @shambebro382 10 месяцев назад

    Assalamualaikum Sheikh, Asante sana kw darasa Allah akuzidshie... Sheikh Barahatiya Sehemu ya 3 vp?

  • @ElijahRaphael-n8d
    @ElijahRaphael-n8d 10 месяцев назад

    Asante,na mkristu atasoma aje?

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 10 месяцев назад

    Sheikh samahani mm sio muislam lkn naenda sana kukusikiliza ila hapa sijakuelewa jinsi ya kusoma hiyo aya

    • @LatashaDeogratius
      @LatashaDeogratius 9 месяцев назад +2

      Wa rada rahu radhina kafaru bighaidhihim ram yanaru khaira wakafarahu muhminina khitari wakana rahu kawiyan aziza

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 3 месяца назад

      ​@@LatashaDeogratiusSiyo hayo maandishi yake.
      Nawe pia ujifunze usawasawa wake.

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 10 месяцев назад

    Sheikh natamani nije kukuona uso kwa uso unisaidie uchawi nafitina husda vinasumbua sana familia