JORAMU NKUMBI RESPONDING THE QUESTIONS AFTER HIS SPEECH AT 6TH TANZANIA NATIONAL PRAYER BREAKFAST

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 38

  • @emanueleugen921
    @emanueleugen921 26 дней назад

    Joram you are a genius,you are young but you are really knows a lot like a old man

  • @bashirhassantipa5581
    @bashirhassantipa5581 Год назад +3

    Endelea na kile ulicho
    Jaaliwa nacho iposiku
    Nawe utasimama na kuwa kiongozi bora zaidi🤲🤲🤲🤲🤲

  • @ShabiruMsagati
    @ShabiruMsagati Год назад +4

    Mungu akubarik maono yangu I see you come to be a president in this country

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 Год назад +4

    Joram you are the great young boy ..I appreciate you and I see you far away in the near future.

  • @mihayonyakamwe7544
    @mihayonyakamwe7544 27 дней назад

    Mungu akubariki

  • @JosiahAtancha-hx7eb
    @JosiahAtancha-hx7eb Год назад +3

    Wow what a intelligent man rooted in the word of God

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 2 месяца назад

    Those 3 are most important got you sis

  • @chriskimaro942
    @chriskimaro942 Год назад +3

    kijana mdogo Akili kubwa👏👏👏

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 Год назад +2

    For sure character is everything, pia mapinduzi makubwa ni mapinduzi ya kifikra (mindset), umenena vyema ndugu Joram

  • @juliusosoroomwoyo8848
    @juliusosoroomwoyo8848 10 месяцев назад

    Joram wewe ni gwiji,sidiriki kugusa gidamu za viatu vyako.Jalia akujalie mbawazi fokofoko❤
    Natumai siku moja tutakutana ana kwa ana.

  • @Patrickmcharo63
    @Patrickmcharo63 Год назад +3

    The next Pro Lumumba

  • @charlesjohn5792
    @charlesjohn5792 Год назад

    Yes sir

  • @HermydahAbdulrahman
    @HermydahAbdulrahman Год назад

    Mwamba uko vizuri sanaa keep going

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Год назад

    Nakuelewa sana ndugu Joramu

  • @bashirhassantipa5581
    @bashirhassantipa5581 Год назад

    Mzee nakukubali sana

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 Год назад +1

    Akili nyingi sana joram

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 Год назад

    Safi sana schoolmate (Dr Salmin Amour SS) na homeboy.

  • @gwishtztz8784
    @gwishtztz8784 Год назад

    Akili kubwaa sanaaaa

  • @SamsonMartin-jd6pm
    @SamsonMartin-jd6pm Год назад

    Joram wewe ni mtu muhimu kwenye taifa letu sana

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 Год назад

    Ni kitu kizuri sana hikiii

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Год назад

    Good

  • @MagamboSalum-j7v
    @MagamboSalum-j7v 5 месяцев назад

    Sayansi ya siasa

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 Год назад +6

    Dk ya 5 ina mfano hai kabisa kuhusu JPM alikuwa jabari na mwamba wa kutaka twende tusimame kama watanzania

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Год назад

      Usitugawe watanzania kwa mtu wako unayetupachikia hapa tuache kidogo muache apate malipo yake kwa aliyoyatanguliza kwa mikono yake..!

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 4 месяца назад

    Watu wa singida kwa ndonga

  • @steynjohnr5930
    @steynjohnr5930 Год назад

    😂😂😂😂 Jamaa linajua asee

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo Месяц назад

    Ww mjinga kisiwa Cha amani Gani watu wanapika barabarani watu tunauziwa vitu vilivyo expaya

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 10 месяцев назад

    Uzungu saana umekutawala hata wewe niwalewale tuu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Год назад

    Hiyo mifumo iliwekwa Kwa ajili ya nchi maskini Africa na Latin America na ndio Kuna Maliasiri waliweka Kwa ajiri ya viwanda vyao baada ya industrial revolution wao hawana vikwazo vyovyote ndilo maana wapo tayari kufanya ujambazi mfano ni Vita ya urusi na USA wote hao ndio wahuni.

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 Год назад +1

    You must ask yourself,
    Hiyo mifumo ya ulimwengu inahusu nchi za Africa pekee yao na siyo nchi nyingine?

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Год назад

      swali zuri maana sidhani kama rushwa na uongozi mbovu unasababishwa na mifumo.

    • @emmanuelpaul3017
      @emmanuelpaul3017 Год назад

      Kuna kitu kinitwa white supremacy

  • @salimmgangq6425
    @salimmgangq6425 Год назад

    Maneno unayo ongea yamekuzidi umri yaani umri mdogo mambo makubwa

  • @nancykagera9197
    @nancykagera9197 Год назад

    jamaa kajibu maswali kwa ufasaha mpk kimya kimetanda

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 10 месяцев назад +1

    Huna akiili wewe unaegemea dini

    • @joramunkumbi
      @joramunkumbi 4 месяца назад +1

      Asante kwa Ukarimu wako, maana ungeweza kunitukana zaidi ila umenivumilia tuu, Asante sana Ndugu yangu 🙏🙏🙏

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 4 месяца назад

      Kwa Tanzania mtu huwezi kufundisha kwa dini zote lazima utasemea kile unachokijua, kosa uliloliona wenzio hatuoni ila tunashiba mafundisho yake.

  • @nolascopungu5280
    @nolascopungu5280 8 месяцев назад

    Good