Tunduma wamkataa Mbunge Silinde mbele ya Makonda, Mwakyonde atajwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 56

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад +1

    MH MAKONDA ANASOGEZA PEKE YAKE

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 9 месяцев назад +5

    leo mwanainchi kawa mweshimiwa jee tukipata katiba mwanaichi ataitwa mungu tutafute katiba mpya ya warioba

  • @BarakaAsukile-ok1mo
    @BarakaAsukile-ok1mo 9 месяцев назад +3

    Dah mheshimiwa mwananchi😁😁😁

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 месяцев назад +2

    Jamani Silinde aliunga juhudi mkono.

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 8 месяцев назад

    Silinde unahal mbaya, tumia vizuri muda uliobaki kurekebisha mapungufu rafiki silinde mh.

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda 9 месяцев назад +3

    Leo mwananch kaitwa mweshimiwa 😮😮 kweli ccm mnayokaz kubwa kumpitisha silinde2025

  • @IbrahimMwasene-me6rq
    @IbrahimMwasene-me6rq 8 месяцев назад

    Mmeanza.huko.Tunduma hakuna wengine.mpaka.mnadhalilishana.ccm.siyo.uwanja.hivyo miaka.yote.mkipa

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 9 месяцев назад +3

    😂😂😂😂leo ndio nimeskia mwananchi akiitwa mweshimiwa 😂😂😂

  • @IbrahimMwasene-me6rq
    @IbrahimMwasene-me6rq 8 месяцев назад

    Munawaomba.wawachague.Silinde.hajawahi..hajawahi.kuwaambia.wapiga.kura.wake.kuwa.walevi.kazi.yao.kucheza ngoma.hajawahi hata.kuwadharauwapiga.kura.wake

  • @petersimba7793
    @petersimba7793 9 месяцев назад +1

    Mama wa mtaani ana hoja nzito kuliko mtumishi wa umma

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 8 месяцев назад

    Silinde katika Jimbo hili hana anachokifanya

  • @IbrahimMwasene-me6rq
    @IbrahimMwasene-me6rq 8 месяцев назад

    Kumbe.uchaguzi.tayari?

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 9 месяцев назад +1

    Kwahiyo silinde atafute kaz nyingine

  • @PastoryPatrick-m3q
    @PastoryPatrick-m3q 8 месяцев назад

    Good

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 9 месяцев назад +1

    Barabara tu ndio wananchi wanataka aibu sana mwaka 60 huuu

  • @IbrahimMwasene-me6rq
    @IbrahimMwasene-me6rq 8 месяцев назад

    Baada.ya.soko.kuhujumiwa.mlijipatia vibanda.humo.leo.munawaomba.wawa

  • @fredsonjaphet
    @fredsonjaphet 8 месяцев назад

    Mheshimiwa mwananchi 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 9 месяцев назад +3

    Siasa za hovyo kabisa hizo

  • @MagdarenaLunyalula
    @MagdarenaLunyalula 8 месяцев назад

    Hiyo ndo zawadi ya ccm atajuta kuwafaham kilimpeleka nini ccm

  • @MnuwiiItowela-vf1td
    @MnuwiiItowela-vf1td 9 месяцев назад +2

    Silinde niandae na shughuli nyingine 😮😮

  • @jamesmghase9781
    @jamesmghase9781 9 месяцев назад +2

    Mheshimiwa mwananchi😅😅😅

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 9 месяцев назад +9

    Ss uyo makonda c wa ccm na Oyo makosa yote imefanya serikal ya ccm

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 9 месяцев назад +1

      Inahitaji uwe na akili kufahamu hilo. Wengi wa watanzania hawana akili ndio maana wanaona hayo mambo ni ya maana

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 9 месяцев назад

      Sikiliza hoja iliyoko Mezani

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 9 месяцев назад +2

    Mambo ya hovyo kabisa, kwahiyo huyo mama ndio anakuja kumuhoji mtu wa TARURA. Nchi ya hovyo sana hii

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 9 месяцев назад

      Upuuzi na maigizo tu

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 9 месяцев назад +3

    Tarura mnatia aibu mnaona mnavyoiangusha CCM.

  • @mr.michaelHb3491
    @mr.michaelHb3491 9 месяцев назад +2

    Tumepigwa

  • @MagdarenaLunyalula
    @MagdarenaLunyalula 8 месяцев назад

    Ulihama chadema kwa mbwbwe umeiona asante ya ccm harafu eananchi mnaitwa wajinga mkutano mzima ama kweli mmelishwa limbwata si muwapige chini ccm

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 9 месяцев назад

    Ebooo kuana busara makonda

  • @AlexMbembelaa
    @AlexMbembelaa 9 месяцев назад +2

    𝕊𝕚𝕝𝕚𝕟𝕕𝕖 𝕦𝕟𝕒𝕜𝕦𝕛𝕒 𝕜𝕨𝕒 𝕟𝕒𝕕𝕚𝕣𝕒

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 9 месяцев назад +1

    Hii ni mara ya pili Silinde kukataliwa hadharani

  • @gaspermatovu2899
    @gaspermatovu2899 9 месяцев назад +3

    Tamthilia

  • @chescomhema2810
    @chescomhema2810 9 месяцев назад +3

    Kwanadira

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 9 месяцев назад

    Huu ni ujinga

  • @josephcharles6315
    @josephcharles6315 9 месяцев назад

    Epsod2 ni lini

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 9 месяцев назад +1

    Comedy

  • @abulaaliyah77amani91
    @abulaaliyah77amani91 9 месяцев назад

    Mhh

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 9 месяцев назад +1

    unaita wananchi wajingaa?
    daah nchi kweli viongozi hawajitambui kabisaa wananchi ndo bosi ALAFU unamwita mjinga?
    Watz tunadharaulika saana hususani wananchi coz hatujitambui tupo kama makaburi

  • @twahamaulid
    @twahamaulid 9 месяцев назад +2

    Mh. Makonda ni mtu na nusu ndani ya Chama chetu.
    Uhalisia wa aina ya viongozi wasio na mapenzi kwa wapiga KURA umejionea hapa Tunduma

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 9 месяцев назад +1

    MATATIZO HAYATATULIWI MAJUKWAANI MIFUMO NDIO HUTATUA MATATIZO,HAYA NI MAIGIZO

  • @SaraSanga-n5p
    @SaraSanga-n5p 9 месяцев назад +2

    Makambako

  • @koletakilasa5988
    @koletakilasa5988 9 месяцев назад +1

    Mungu akukumbuke mama unashindwa kulea watoto kazi umbea tuu mama taratibu mimi sina chama chochote ila sijapenda kutaja majina watu wewe ungedili na barabara huyo mbunge amekusea nn?

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 9 месяцев назад +1

      Imekuuma ee kwa kuwa amemtaja silinde naona unatumia nguvu kubwa kumlinda silinde lakini kaa mkao wakujua kuwa silinde hatokuwa mbunge Tena kulingana na jinsi alivyo wahasidi na kuwadhalilish chadema akawaona matakataka watu walio muosha na kimtoa kamasi za utoto

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 9 месяцев назад

      ​​@@andrewkissava9184Silinde aliwasaliti Wanatunduma kajitoa ufahamu kakubali kuhongwa uwaziri na ubunge kwa chama tofauti Huyo ameshawaibia haki zenu msipoamka kutoka usingizini ataanza kuwatukana kama Makonda anavyowafokea hapo mjitambue

  • @benny4345
    @benny4345 9 месяцев назад +1

    This sucks

  • @ezraochora8495
    @ezraochora8495 9 месяцев назад +2

    Pwagu.na.pwaguzi.mama.anamhoji.tarura..mmm.ccm.

    • @Chiefmaua
      @Chiefmaua 9 месяцев назад

      Lazima haoji maana ni haki yake kisheria

    • @angelmteli611
      @angelmteli611 9 месяцев назад

      Kodi yake

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 9 месяцев назад +5

    Jamani Silinde aliunga juhudi mkono.