Yes Okanga I agree with you 💯. Sakaja just knows how to buy things, watu and buying Certificate. Okanga a man of knowledge and wisdom. You're a prophet.
@@charlesisrael4510 Wacha nikwambie bro Hawa wote ni mafisi wanafaa kutoka wote tubaki na new generation juu Kuna wale Mungu ataweka hapo, mm sihurumii mtu,.
Sheria zenu (Katiba) inasemaje kwama impeachment motion inaanzia mtaani? Rejea hiyo Katiba yenu. Aidha, mtu akibwabwaja ovyo mitaani na kuteheshimu Katiba na aliyemwandika kazi why not be impeached?
Sudi n Kindiki must b surprised by the HONESTY of this guy Nuru.... he didn't trade his character for their "favours" If wht he's said of Sakaja is true, then Shame on the governor 🤬
All my life, I have been so proud being a Kenyan,, today I wish I could get another country citizenship,, politicians are slowly killing my lovely mother,, my beautiful country,😭😭😭,
Yes Okanga I agree with you 💯. Sakaja just knows how to buy things, watu and buying Certificate. Okanga a man of knowledge and wisdom. You're a prophet.
At least Nuru Okanga is speaking sense
My brother wapashe kabisa wametuzoea ,kama Gachangua anaenda waende wote period.
Kweli kabisa
Okanga Sasa amekua your brother sababu anaunga gachagwa
Gachagua wetuuuuuuuuuu, GOD BLESSS YOU
Alot of wisdom like you Nuru
We love this man unasema ukweli tuko nyuma ya dp
@@charlesisrael4510 Wacha nikwambie bro Hawa wote ni mafisi wanafaa kutoka wote tubaki na new generation juu Kuna wale Mungu ataweka hapo, mm sihurumii mtu,.
Mnafanya nini nyuma yake
Jamaa nampenda anawapeanga maneno yenye iko
Ushoga tupu@@dicksonsang8085
A
This young man is a politician in the making,hes so brilliant and humorous,keep up
We will impeach Ruto himself, Gachagua is actually stronger than ruto
Sheria zenu (Katiba) inasemaje kwama impeachment motion inaanzia mtaani? Rejea hiyo Katiba yenu. Aidha, mtu akibwabwaja ovyo mitaani na kuteheshimu Katiba na aliyemwandika kazi why not be impeached?
Nuru nakupenda 😂😂😂,ati ama nisiongee juu walinitolea mtoto hospitali, you're a loyal citizen Nuru ❤
Teachers are doing good work in kenya producing brilliant critical minds
Sure
You're right bro.Tuko nyuma yako.Ongeleeni wanyoonge.
Spongeze akiingia kwa mtego mruke futi kumi
I love watching Bunge La Wananchi.
Following from Kleve in Germany 🇩🇪
Lazima utaje Germany yawa😅😅
😅😅😅😅
Rudi kenya wajeremani wa AFD hawawataki kwao
True broo ongea ukweli ukweli husaidia
Omosh one hour nakupenda Bure siku hizi and my brother here Nuru okanga 😂😅😅😅😅
🎉🎉🎉 Nuru hapo umenena
For the 1st tym....i concur with u Okanga!!...
Nuru okanga 😂😂😂😂 but your speaking sense
Nonsense nuru Okanga senseless human being on earth
Wewe ndio waongea sense ukweli ndio uo anze ruto.kuenda gachagwa amfwate yeye ndio mbaya zaid akweende zake
😂😂😂😂😂😂😂😂Niko hapo kwa Pk isia man...We refuse to be divided..Riggy G usitoke😮
Impeachment of Both, Ruto & Gachagua.
Mbunge la wananchi is a great platform to express one self of our country's current affairs.
Exactly ruto was stubborn during Mr Uhuru but he didn't go anywhere let him finish his work.
Nothing but pure truth
Very true agree with you
Hes logic...they need to know Kiuks dont impeach because they respect people who elected them.
Keep that fire burning papa..🔥🔥🔥🔥
You are speaking very sensible quality points ❤
I love this man😂😂
Okanga ameongea ,,truth be toid,,God will stand
Love from Kampala to Nuru Okanga.
Sudi n Kindiki must b surprised by the HONESTY of this guy Nuru.... he didn't trade his character for their "favours"
If wht he's said of Sakaja is true, then Shame on the governor 🤬
Nuru absolutely smart words
Thank u Mr orange God bless u so much
😂😂😂😂 true
Gachagua is there to stay, he contributed alot in this Government .
AWEKE MITEGO ZAIDI.
Really?
Acha gachagua wa impeach..najua hatokubali kunyamaza .huyu n mropokwaji..acha aropoke Ili tujue Siri za Kenya zote
Yes..hata chenye Kiko wanaficha uizi wa Jkia na adani
Richad.Kashagwa never go away,stay at yuor office.
Eee haki wewe ni wetu wakikuyu wote Tu unit wote tutor zakayo
Eiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Man is right 👍
Yeah mwaambie mr deputy president tuko nyuma yake 😊😊😅
Let Gachagua explain the truth as he continues with good official work,he's doing well!
Wow!!i like that a very wise man
Kohoa okanga😂😂😂😂 i love youu
If Rg go then ruto must go
True mr okanga
Nuru unasema ukweli
Aki Woye Kenya 😂😂😂😂😂
Tribal and egocentric leaders have no place in new kenya
Okanga the truthful man. ❤
Very true afanyie wakenya kazi nothing else period
But they guy is talking the fact without kununua uoga big up kiongozi kazi nzuri sana
I agree
Huyu ndiye Ney wa mitego wa Kenya👌
❤❤kabisa Ila ney said hatujui ako wap
it true bro unasema ukweli kabisa .majen tukooooooooo
All my life, I have been so proud being a Kenyan,, today I wish I could get another country citizenship,, politicians are slowly killing my lovely mother,, my beautiful country,😭😭😭,
Nuru usitishwe na mtu ongea hizo pesa pia zetu
These people unlike the Christians love each other and very united
Hapo sawa okanga
Young brilliant minds
Good Luo man
One man 4 all.Gachagua 1
Hapo sawa Nuru 😂😂
Nuru you are talking sense
Uko sawa sana bro hauna ukabila uko sawa
Good men,these,Nuru and Omosh
Leo umeongea Nuru ,I second you
Congratulations Nuru, umeongea kama wanaume tatu nakuonga mkuno mia kwa mia
Our young men finaly saying things in black and white
Nuru uko sawa ,sasa naeda lakeside 😂😂 Gachagua hoooiye
Aende
I love this guy❤❤❤❤
Kenya ni nchi ingine kivyake
Kenya mnanishangasa😮😮,,,, following from Arusha Tanzania
Washangaa Kenya Tu ww
Trueth man
❤ okanga stand still
Unasema ukweli Bazenga ,simama kiti ya Genzi tukuchague
Unasema ukweli kabisa
I saluty this guy tell ty the truth
Salute btother you're smart man
Nuru nakupenda Bure, wise thought
Vijana mko vizuri, round hii tunakaonea mbali
Ukweli kabisa onganga ngonga huyo deno😂😂
Yes I agree
Yes vzr kabsaa
Ww hunatusi governor utapitiwa nyuma ka Bruce
Keep going you will be there
Ni kweli bro
Hizii zote mi propaganda the govt is trying to divert the real issue like adani
That's the fact
We are together my brother
Apo sawa kabisa
I like this man
Yes I agree with u
I support this speech.🙏🙏🙏
Ukweli brother
My guy 😂 Nuru Okanga .....waambie ukweli usiogope mwanadamu ogopa Mungu
Hapo sasa
For the first time you are talking sense about Eugene
Its good for him to strengthen DAP
Vizuri Sana kijana
Mwampia kabisa ha mungekuwa na nampari zao mungepigia simu Asante
Kabisaaa ❤❤❤❤❤❤
Mt Kenya we r together
True 💯
Nuru ❤
Hapo sawa ground ndio mwizo
Well talked
Okanga una kitu ndani yako...sauti yako iko sawa..wakupee cheo