Kumbe FOREX ina SIRI NZITO!/NASOROFX aeleza UTAPELI unaofanyika WAZI WAZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 83

  • @brightontv8019
    @brightontv8019 2 месяца назад +1

    Brother Rick asante sana kumtafuta huyu jamaaaa kwasbb kwa wakati ule huyu alitupigania sana kwenye hii industry na alikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo viovu vinavyofanywa na traders wengi 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @brightontv8019
    @brightontv8019 2 месяца назад +1

    Yupooo real kuliko traders wengi sana, nilipita Kweny mikono yake 2017, kipindi hicho ilikuwa balaaaaa, kweli Patience ni muhimu kwenye trading

  • @castoadrian2655
    @castoadrian2655 2 месяца назад +1

    This guy is very honest

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 3 месяца назад +2

    Huyu mtangazaji ana maswali mazuri sana

  • @brightontv8019
    @brightontv8019 2 месяца назад

    Yes mwamba kabisa huyuuuu since 2017,

  • @brightontv8019
    @brightontv8019 2 месяца назад

    Mungu akubariki sana Rick pamoja na Nassoroforex 😢😢😢😢❤

  • @Batuli-x1n
    @Batuli-x1n 3 месяца назад +1

    Jamaa nimemfahamu since 2018, anajuwa vitu vingi sana kwenye trading sema kumpata ndio ngumu sana

  • @Batuli-x1n
    @Batuli-x1n 3 месяца назад

    Asante sana brother Rick kutuletea huyu mwamba na mwambie tunakubali sana kazi yake. Yupo tofautiii na traders wengi wa bongo. Hapigi kelele ila ndio ametoa watu wengi kwenye forex

  • @godfreymhoja5306
    @godfreymhoja5306 3 месяца назад +1

    Bro bro nakukubali sana Leo nondo umetoa n unyama sana

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 2 месяца назад

    Umetisha brow sikati tamaa nitaendelae kupambana.

  • @Batuli-x1n
    @Batuli-x1n 3 месяца назад

    Anaitwa Nassoroforex the market killer 🎯❤❤❤❤

  • @Mrofficial_lll
    @Mrofficial_lll 3 месяца назад +1

    experience 8 years not bad

  • @Skipper-r8m
    @Skipper-r8m 2 месяца назад +1

    Take a quick trading and not forex trading

  • @brianmushi7004
    @brianmushi7004 21 день назад

    KAMA MNAMJUA RICHLIT….NI TAPELIIIIIIIIIIII

  • @Batuli-x1n
    @Batuli-x1n 2 месяца назад

    Jamaa yupo real sana,

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 3 месяца назад +1

    Issue ngum na inahitaji elimu na muda

  • @alexamiry
    @alexamiry 2 месяца назад +1

    Nataka kujifunza forex

  • @Contentislamic123
    @Contentislamic123 2 месяца назад

    Bro umeongea ukweli kabisa

  • @jacksondidas9403
    @jacksondidas9403 3 месяца назад +1

    Apo kwenye robot nimeguswa sana.

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 2 месяца назад

    Dah jamaa kaeleza mambo yansingi sana

  • @Batuli-x1n
    @Batuli-x1n 3 месяца назад +1

    Wauzaaaa robots😂😂😂😂😂ni msiba kwaooooo

  • @bilekrinton6724
    @bilekrinton6724 3 месяца назад +2

    Mmoja atofautishe kati ya Forex trading na Options tranding

    • @henry7674
      @henry7674 3 месяца назад

      Kwa ufahamu wangu nitaelezea kidogo option trading ni aina ya ku trade forex ambayo inakuwa na expiration tofauti na forex yenyew,option trading sio nzuri kwa sababu unatabiri mwelekeo wa soko ndani ya dakika ,lisaa na kuendelea mfano ume buy EURUSD let say dakika 5 ukifika uo mda alafu uelekeo wako uko tofauti umepigwa na kingine option unaweka kiasi mfano $1 alafu broker anaweka pungufu na kile ulichoweka ili kutabiri lakini kwenye forex yenyew unaweza ukaweka trade yako ndani ya masaa mawili kama stop loss yako haijawa hit unaweza ukapata faida tofauti na option kuna expiration time na kwenye forex kwa risk mfano ya $2 per trade unaweza tengeneza hata $5 tofauti na option trading

    • @henry7674
      @henry7674 3 месяца назад +1

      Bro we unaijua forex kweli ,kwasababu kabla ya kumfundisha mtu forex ni lazima umueleze ukweli ama kutengeneza awareness na kumueleza risk inayokuwa involved

    • @vamos842
      @vamos842 2 месяца назад

      Yote ni forex but option ni contractual exchange ya currencies ila trading inakuwa ni buy or sale no contract or agreement ni just exchange rate

  • @subsasherkafulama722
    @subsasherkafulama722 2 месяца назад

    Nimepata nondo leo sio poah

  • @enockscarllet
    @enockscarllet 2 месяца назад +1

    bora aviator aina mbambamba nying

    • @Contentislamic123
      @Contentislamic123 2 месяца назад

      Weeeeeee

    • @chuchetresha
      @chuchetresha 2 месяца назад

      Aviator ???😲😲😲😲😲😲🙆🙆🙆🙆 Can you beat the Computer logarithm?????¿???????

    • @kassiannyamba805
      @kassiannyamba805 2 месяца назад

      😂😂😂pyuuuu

  • @Batuli-x1n
    @Batuli-x1n 3 месяца назад

    Mwambaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChaliiPro
    @ChaliiPro 3 месяца назад

    Hot 🔥🔥

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 2 месяца назад

    Forex na future trading zinaongoza kuwa na loss nyingi , hakuna mbabe kwenye forex na cryptocurrency hasa future trading

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 2 месяца назад +1

    Mimi naona p2p ni bora sana ukiwa na mtaji

  • @user-ps4pq8ic4g
    @user-ps4pq8ic4g 3 месяца назад

    jamaa ilibidi aekewe kipind kirefu sana

  • @LaurentHongoli
    @LaurentHongoli 3 месяца назад +1

    Tamaa ndio inatufany tuwe tunapigwa

  • @Abuushaymaatz
    @Abuushaymaatz 3 месяца назад

    😂😂😂 kuwa makini na forex vijana, itawafilisi

    • @JenipherUsumba
      @JenipherUsumba 3 месяца назад

      Neva givapu,fx 4 laifu

    • @frankshayo5832
      @frankshayo5832 3 месяца назад

      ​@@JenipherUsumbaExactly

    • @Marketprince100
      @Marketprince100 3 месяца назад

      Hujui kitu bro....pole sana traders mpaka brokers waseme we never quit

    • @monicagerald6676
      @monicagerald6676 2 месяца назад

      @@Marketprince100 ambao hawana knowledge ya forex wanateseka sana na maneno ya kukatisha tamaa.

  • @thronemoneyfx9730
    @thronemoneyfx9730 3 месяца назад +4

    Kuna jamaa anaitwa I am liquidator nafikir ndo top trader tz na africa mashariki yule jamaa ni robot, 200lot ktk gold like 0.01

  • @michaelcheyo4072
    @michaelcheyo4072 3 месяца назад

    This guy is genuine..

  • @castelac
    @castelac 3 месяца назад +4

    kueni naemakini sana kwa sababu hasara zimekua nyingi kuliko faida

    • @Mrofficial_lll
      @Mrofficial_lll 3 месяца назад

      😂😂😂

    • @donkhan6841
      @donkhan6841 2 месяца назад

      Hata matajiri ni wachache kuliko maskini​@@Mrofficial_lll

  • @AmanPeter-u5r
    @AmanPeter-u5r 3 месяца назад

    Shida tamaaa

  • @Bim941
    @Bim941 2 месяца назад

    Lopoken Tu WAKATI NI illegal watu hawana lesen za kufanya biashara hio,mkidakwa mnasema oooh TRA oooh serikali

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope 3 месяца назад +2

    Huu ukuma acheni uzeni nafaka

    • @mofatunes1432
      @mofatunes1432 3 месяца назад +8

      kaka najenga kwa ajili ya Forex Kaka...nasomesha mdgo angu kwa ajili ya Forex kaka nilikuwa masikini wa kutupwa ila natabasamu yote sababu ya Forex acha kutukana invest kwenye elimu ya hii kitu sio kuropoka kama shoga pesa ni popote hizo nafaka zako we kauze tu kila mmoja na life yake mazafaka mkubwa

    • @havefun4free615
      @havefun4free615 3 месяца назад

      ​Niforex inakulipaa au ndo hela za mentashipu😂😂@@mofatunes1432

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 3 месяца назад +1

      Kama umeshindwa wewe sio kila mtu itamshinda wewe endelea kuuza nafaka

    • @omydre6012
      @omydre6012 3 месяца назад

      ​@@mofatunes1432 Bro Me Natumia Exness Broker Je Ni broker Nzur Au Kuna Broker nzuri zaid ya Hii

    • @emmanuelmasabo8194
      @emmanuelmasabo8194 3 месяца назад

      ​naomba mawasiliano @@mofatunes1432

  • @binuqaasha675
    @binuqaasha675 3 месяца назад +1

    Mbona jamaa hayupo ata ktk top 1,000,000,000 ya watu wenye pesa duniani? Forex pesa ipo lakini wanao pata 3%-5% ktk 100% Kwa iyo jamaa mzushi tu

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 месяца назад +1

      Hajasema imemtajilisha bali imekuwa ni kazi ya kumpatia kipato kama wafanya kazi zingine

    • @godfreymhoja5306
      @godfreymhoja5306 3 месяца назад +1

      Ww ndy humjui tunaomjua ndo twamfaham pia c mtu wa majivuno uyu n mwamba Tena mwamba

    • @Ramadhanzaidi
      @Ramadhanzaidi 2 месяца назад +1

      we ni miongoni mwa wauza roboti mbona kama unahasira sana

    • @user-cq5ox8cz2t
      @user-cq5ox8cz2t 2 месяца назад

      ujinga wakoooo meshaaaa muuza robot wewe 😂🤣

    • @JosephMunisi-xj5yu
      @JosephMunisi-xj5yu 2 месяца назад

      Mbwa wewe muuza robot ilo roboti siku moja litakuinamisha likuingizie chuma huko nyuma.