Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mazungumzo yenu yamenifurahisha sana. Asante kwa kuendelea kukipenda lugha ya Kiswahili
Vizuri sana mwalimu wangu mpendwa kwa mahojiano mazuri. Nimeyapenda pia nnakupenda sana mwalimu❤👍🙏😁👏
Nyie watu mnajua kuongea kiswahili kuliko sisi wenye kiswahili chetu😂😂😂😂😂
Asante kwakuendeleza kiswahili mnajua .
Sauti ya ushindi sasa 🔥🔥🔥
Safi sana wenzetu
Safi Sana Ushindi kwa kukitangaza Kiswahili Kimataifa
Wow...mnaongea vizuri kabisa swahili.
Ushindi na baridi kali mko vizuri sana MUNGU awabariki sana
Nimefrai sana kuona mnaipenda TANZANIA na mnazungumuza lugha ya kiswahili vizuri mungu awabariki muendelee kuisambaza kwa vizazi vyenu
Ishaalah mungu atuzidi kutufanyia wepesu
Dah!!! Mmetisha sana karibuni mle ugali tena...😄😄😄
I really enjoyed watching this video. Karibuni sana Tanzania
Waoooooh 🔥🔥🔥🔥
Kiswahili kinapata nguvu sikuiz
Kiswahili lugha nzuri, ahsante ushindi huyu jamaa anajua kiswahili vizuri
Safi sana
Baridi kali na ushindi hongerenii
Hongereni Kwa kujifunza kiswahili na kukikuza lugha hii
Nimeipenda hii sana sana, msalimie baridi kali, mwambie muonekano unaacha umri
Nakupenda sana USHIND
Dah uyu mzungu anajua kuongeza kiswahili staili yake ya kuongeza ni nzuri Sana Yuko anaongea taratibu
Karibuni tanzania tutawapa uraia
Safi sanaaaaa 😍ushindi na baribi kali 👌👌👌👌💯💯😘
Niko mzima na wewe shijui😁😁😁😁 kwann jina lako ni Badiri kali😁😁😁😁😁😁
Love you guys😘
Ushindi
Jaman dada ushindi nakupenda san
Waooooh!
Dada ushindi, hongera sana
Wow vizuri sana ....naomba kuongea na wewe kuhusu mambo ya RUclips channel ningependa kuwa kama wewe niwe na subscribers wengi
Jamani nawapenda mnooo❤❤❤❤❤💋💋💋
Kijana anaongea vizur sana
Vizuri sana jaman
nafurahi sana jaman
Jaman hadi raha😍😍
Dada ushindi nakupenda sana
Bass haya
Sawa naku Bali
👏👏👏
Natoka mbeya tanzania uyo jamaa anaongea vizuri. Nimependa
Well done 👏
Kiswahili unajawa sana
Damn😂🔥🔥
Daah ama kweli leo nimefurahi sana yaani😆😆😊😊
Hahahaaaa nimependa mnavyoongea kiswahili.
Anyang haseyo ushindi mimi ni mtanza nia nimeolewa na mkorea nipo hapa chuchang
Kitanda kigumu,..🤣
Njoni mujifunze kirundi 👉🇧🇮 sasa mumenifulaisha kweri
NAWAPENDA SANA
Ushindi Park msalimie jumong
Hivi ushindi Serikali ya Tanzania🇹🇿 inatambua jitihada zako kubwa za kuendeleza kiswahili na kuitangaza nchi ya Tanzania duniani? Ningependa siku moja Raisi akukaribishe ikulu au uitwe bungeni👏👏👏
😂😂😂😂
Penda sana
Daa naisikia raha kuona wageni wakiongea kiswahili vzuri
Pongezi kwenu mwanadada na ndugu kutoka Estonia. Tukienzi na kukidumisha lugha yetu adhimu ya Kiswahili kwa dunia nzima.
Jamaa anajua kiswahili kuliko ushindi
kwel
❤️🇹🇿
제 이름은 elisha입니다. 저는 탄자니아에서 왔습니다. 저는 한국어를 배우는 것을 정말 좋아합니다. 그래서 ushindi 선생님이 더 가르쳐 주시겠습니까?
좋아요 화이팅💪💪😍
Kiswahili chenu ni sanifu