@@MwanaGulu Mm sijasema hivo kama mm naenda peponi hilo liko katika uezo wa Allah ila ninayo nafasi ya kukutaza maovu kama wanayo fanya hao wapiga ngoma sasa ikiwa hutaki kukatazwa endelea ila hicho kitakua ni kibri ila kwa wangu upande kama umegundua kosa kwangu nakuomba unikataze kwa sbb ndio binaadam hakuna mkamilifu ila Allah. Naamin umenifaham ila kama nimekosea kukutaza kucheza ngoma naomba unisamehe
Mashallah pambeee can 🥰🥰🥰
😂😂😂😂 kumekucha hhhhhhh ❤❤❤❤
Hapana kaz
Mh jaman hayafay hayo mambo mnofanya kweny uislam
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah awazdishie kwa mnachokfanya
Kibaya sas mshamba hayajuwi ya mjinii ❤❤😂😂😂
❤❤❤❤❤
Hamna tafauti na hadija. Kopa
😊😊😊
SIJUI LINI TUTAJUA KUA HAYA MAMBO YANAUDHALILISHA UISLAM😢😢😢
kaka Potezea mambo mengin si lazima Uwangalie ww na kukomment
Jifunze kukaa kimya ndo jibu tosha ❤❤
@@DirectoRaqqaso Kukaa kimya maovu yakiendelea ni udhaifu wa iman si kila jambo unakaa kimya
@@HashimSalim-qj7zn ahsante kwa ukumbusho
❤❤❤
❤❤❤😅😅😅😂😂😢😢🎉🎉😊😊
Hadithi hadithi
Bunuwasi
MUNGU AMUJAALIE MUTUBIE KABLA YA KIFO CHENU KWA KUPIGA KWENU TAARAB
Sorry, hawa wasanii wanapatkanan sehem gani?
@@NdevuBarid Nahisi wapo Unguja
@@HashimSalim-qj7zn انا الله وانا إليه راجعون
Ukihutubia wew pia sio vibay au ushajijua unaend pepon moja kwa moja