Mdahalo Kuhusu Tawassuli - Sheikh Kassim Mafuta na Sembe Dhidi ya Kazuba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 79

  • @abutwalhaahmad2157
    @abutwalhaahmad2157 5 лет назад +10

    Masha Allah Allah ampe umri mrefu shkh kaasiim mafuta umma upate faida kusm kwel hakki nje njee

  • @UB40X1
    @UB40X1 7 лет назад +18

    Allah Akuhifadhi Sheikh Qassim Mafuta. Kila muislamu aliyetaka kujua haki sina shaka ameiona.

  • @abuuzaynab3447
    @abuuzaynab3447 5 лет назад +10

    Allah tabaraka wataala amlipe kheri sheikh kassim,akupe nguvu ya kupambna na watu hawa wa bidaa na allah atuongoz wote kwa ujumla

  • @mohamedkyuta9384
    @mohamedkyuta9384 4 года назад +7

    Alhamdulillah. Allah amlipe heri Abul Fadhwil

  • @ahmadfirdaus6608
    @ahmadfirdaus6608 2 года назад +2

    Ustaadh qassim Allah akulipe kila la khayri kwaku tufunza i'lmu nafi'i.

  • @amidasoah2012
    @amidasoah2012 3 года назад +2

    Maashaallah,Allah akuhifadhi sheikh wetu kusema kwa dalili.

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 лет назад +8

    Allah akuhfadh daima kwa msimamo wa sunaa

  • @abumusabmohammadkarama4287
    @abumusabmohammadkarama4287 6 лет назад +11

    Sheikh Qassim Mafuta ni shekhe alietuzidi ki umri na kiusomi. Allah amthibitishe katika sunnah. Wameongoka kupitia mikono yake wengi kutoka kwa makhawarij na masufi

  • @abdulkarimumnokotq1742
    @abdulkarimumnokotq1742 3 года назад +4

    Mashaallah shekh kasim mafuta Allah amuhifadhi

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 3 года назад +4

    Allah akuhifadhi shekh mafutaa weka dozii watu waelimike .

  • @aliyabasi2058
    @aliyabasi2058 2 года назад +1

    Sheikh qasim Allah akubarik nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @Abdulrazaaq-Mbusho
    @Abdulrazaaq-Mbusho 3 года назад +2

    Mashaallah shekh kasimu mafuta

  • @abdulhakimallynassor1914
    @abdulhakimallynassor1914 5 лет назад +4

    BARAKALLAHUFYKUM SHEIKH QASSIM MAFUTA ALLAH AKUHIFADHI

  • @ahmadfirdaus6608
    @ahmadfirdaus6608 2 года назад +1

    Allah akuifadhi kabisa sheikh qassim mafuta

  • @nasirmmaka7188
    @nasirmmaka7188 7 лет назад +8

    Shukran Sana akhy wng

  • @nasirmmaka7188
    @nasirmmaka7188 7 лет назад +9

    Abuu Mus Abu Allah akulipe kheri

  • @hassansharifu8961
    @hassansharifu8961 6 лет назад +6

    MashaAllah!!!!

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 5 лет назад +4

    Duh masufi Allah awaongoze maana ni weupe sana

  • @muadhishaabani5936
    @muadhishaabani5936 2 года назад +1

    Allah amthibitishe sheikh Qasim mafuta ktk kuongoza watu kutoka ktk kiza la bidaa na upotevu kuja ktk nuru ya sunna na uongofu

  • @alijuma7204
    @alijuma7204 3 года назад +2

    Mwenyezi muungu anasema mkizozana rudini kwa Allah na rasuli sio kulumbana waislam hatutakiwi kuzozana

  • @saidiabubakar458
    @saidiabubakar458 3 года назад +3

    Shekhe qassim allh akulipe kheri maana dalili za watu upande wapili hawanahoja sahihi kabisa

  • @maryamyassin5758
    @maryamyassin5758 5 лет назад +3

    baaraka llahu fiika

  • @almasrluhagami1497
    @almasrluhagami1497 6 лет назад +30

    Ukisikiliza maneno ya mtaani utamchukia sheikh Kasim Mafuta hata Mimi nilikuwa namtilia shaka ila kwa sasa duh! Kweli haki haifichiki itapenya na kudhihirika kwa umma

    • @almasrluhagami1497
      @almasrluhagami1497 6 лет назад +5

      Allah awalipe kheri na umri ili umma uzidi kupata ukweli

    • @mustafamohd6143
      @mustafamohd6143 6 лет назад +2

      Swadaqta

    • @MrAmissi
      @MrAmissi 5 лет назад +1

      njoo mawahabi tunahoja kweli kweli

    • @ankaldally2734
      @ankaldally2734 4 года назад +4

      Allah subhana wataala amlipe, mie pia nlikua kama wewe nlivyowajua akina shykh ibn mafuta ujinga umenitoka.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 лет назад +4

    Shekh Qassim uciumize kichwa cc huku london tumefatilia sana mdahalo huuu
    tumekuelewa vizuri sana
    maana kweli kila ukisema unatoa na dalil lk wnzetu
    wanahanya hanya tu
    kweli watu wa sunnah hawafanyi vitu et 7 b kasema dhekh .

  • @habibukavabuha6461
    @habibukavabuha6461 6 лет назад +5

    ila nawashangaa sana hao masheikh wanaokumbatia bidaa bila ya kuwa na ushahidi madhubuti wala kitabu kinachoeleweka ALLAH awaongoze.

  • @saidmaarifa6944
    @saidmaarifa6944 6 лет назад +13

    Hii ndio dini yetu yaenda kwa dalili sio maneno maneno tu.

  • @najmaqassim2379
    @najmaqassim2379 6 лет назад +7

    Yani hii si debate hii ni ahlu sunnah wanafundisha hawa watu mwanzo tu kuanza walishachekesha watu wa bidah wangesoma wengi wao wangeacha bidah but tawfeeq ya Allaah..Allaah atuhidi sote

  • @ahmadziggy2714
    @ahmadziggy2714 3 года назад +4

    Ama kwa kweli wengi ni WASOMI lakini wachache ndio wajuzi...

  • @abutafawa
    @abutafawa 7 лет назад +16

    Watu Wa ahlul-bida'ad huwa hawana dalili bali dalili zao hazina hoja

  • @husseinahmed5216
    @husseinahmed5216 5 лет назад +6

    Kazuba na wenzie wamepwayaa hahahahahah eti nguzo za din?hiyo sio mada kazuba Yan kapwaya vibaya sana Mzee kazuba, Sheikh kasim anatoa hoja na uthibitisho wa waz waz ila upande wa pili wana panik sana mbona hawaeleki hao!! Watete hoja zao sio kuyumba yumba

  • @adamujuttojuttoadamu2525
    @adamujuttojuttoadamu2525 6 лет назад +8

    dah jamaaa kavikomesha visufi ,gogo la pongwe hafidhwahu llah

  • @nasirmmaka7188
    @nasirmmaka7188 7 лет назад +9

    Endelea kutupia vitu

  • @abuualban12
    @abuualban12 6 лет назад +10

    huwa natamani niwe kama sheikh kasim lakin wap
    hilo ndio gogo la pongwe, gogo lengine lipo tabora Abuu musa abubakari kiza,.

    • @abumuswab1815
      @abumuswab1815  6 лет назад +7

      Takasa ni yako na utoe Juhudi kubwa katika kusoma anasema Imam Ibn Wardiy katika Mandhuma Yake hali ya kutoa nasaha
      لا تـقلْ قـد ذهبتْ أربابُهُ * * * كلُّ من سارَ على الدَّربِ وصلْ
      Usiseme kuwa Hakika wameondoka watu wake (Wanachuoni) Kila anayepita katika njia za elimu Hufika

    • @abuualban12
      @abuualban12 6 лет назад +1

      +Abu Musw'ab Baraka llahu fiyk

  • @abuutwalhat61
    @abuutwalhat61 2 года назад +2

    Sheikh kazuba alipo ona hanatena hoja aliamua kukimbia kiujanja

  • @yunusfaki9911
    @yunusfaki9911 6 лет назад +3

    Muendelezo please

  • @mussatunda2062
    @mussatunda2062 6 лет назад +7

    sheikh Qasim mafuta allah amuhifadhi kaaah!.Huyu shekhe ni faswaha mno

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 3 года назад +2

    Tatizo amejadiliana na kazuba hakujadiliana na mwanazuoni

  • @zainabusaid8431
    @zainabusaid8431 3 года назад +3

    Dah we mtu unajua

  • @athumanabubakary5930
    @athumanabubakary5930 2 года назад +1

    hawaa watu wasiokua na elimu mtihani saanaa wanatia khasira mnoo.

  • @athumanabubakary5930
    @athumanabubakary5930 2 года назад +1

    shekh kassim mafuta anatoa dalili ila upande wa pili hawana hojja bali kupanic tu na maneno ya ushabiki

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 3 года назад +2

    Shehe kassim mafuta.
    Unashindana kuhusu kuonekana kwa ALLAH .
    CC ITATUSAIDIA NINI KATIKA KUFANYA IBADA NA KUITAFUTA PEPO. SIO SUALA LA KUGAWA WAISLAAM .PIA KUIGIA MOTONI NA PEPONI .
    NI MIZANI ITATUMIKA .
    maanake nini .

    • @abumuswab1815
      @abumuswab1815  3 года назад +1

      Wajinga kama wewe huwezi kujua itasaidia nini ila wasomi wanatambua

  • @zulfas6243
    @zulfas6243 5 лет назад +6

    hiyo ndio haki salaf fuateni Qur'an na sunna mtafaulu

  • @ahmedjuma2674
    @ahmedjuma2674 3 года назад +2

    She kassm njoo na pemba

  • @abdiomar6832
    @abdiomar6832 3 года назад +1

    Dah jambo la dini hawataki kuwaazima wenzao kitabu mpaka warudi Dar

  • @seifsuleiman1815
    @seifsuleiman1815 5 лет назад +2

    Wee ulie wasikiliza zvr ao akina kazuba umefaham nini hem tuweleze nasie tulio kuwa hatuja waskiliza vzr.

  • @selemanihassani4419
    @selemanihassani4419 5 лет назад +4

    Watu wa bida3aa mnababaisha

  • @amidasoah2012
    @amidasoah2012 3 года назад +1

    Hii ndioo daawah ya salafy.

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 2 года назад +1

    Huyu mafuta hn elimu mashk kwl tawassul ananijua huyu mbumbumbu huyu kila kitu a aping elimu hna akasom

  • @abuualban12
    @abuualban12 6 лет назад +5

    hiyo ndio daawa salaf

  • @jailanimedia4683
    @jailanimedia4683 5 лет назад +1

    Mafta ya taa ni kopo tu

    • @mohamedkyuta9384
      @mohamedkyuta9384 4 года назад +6

      Linawaka na kutoa nuru. Alhamdulillah

    • @ankaldally2734
      @ankaldally2734 4 года назад +1

      Allah akuongoze

    • @salumulumumba7113
      @salumulumumba7113 3 года назад +1

      Allah akuongoze ewee jalalani

    • @fadhilimussa5067
      @fadhilimussa5067 3 года назад +2

      watu wako wabidaaa mbona hawatoidalili wanakazi kubwata tu na kupaniki ..unaleta dalili dhaifu hatutaki ..dini ni dalili strong na cyoo porojoo.