Mtumwa ( Slave )hurejela wafanyikazi (Mjakazi na mtwana ) The opposite I would say is Bwana / Mwajiri (master / Employer ) Mtumwa - Bwana / Mwajiri Mjakazi ni wa jinsia ya kike Mtwana ni wa jinsia ya kiume *Ingawa sio nomino zote huwa na kinyume kwa mfano : nomino mtoto haina Kinyume
Naomba uniambie kinyume cha mtumwa
Mtumwa ( Slave )hurejela wafanyikazi (Mjakazi na mtwana )
The opposite I would say is Bwana / Mwajiri (master / Employer )
Mtumwa - Bwana / Mwajiri
Mjakazi ni wa jinsia ya kike
Mtwana ni wa jinsia ya kiume
*Ingawa sio nomino zote huwa na kinyume kwa mfano : nomino mtoto haina Kinyume