Am liking this song thousands times its just becoz we have to like once but am really in love with the song n the couples u r so powerful akii Mungu anawapenda siz LOVI I like wat ur r doing n ur husband Mungu amewabariki na sauti za kumsifu.. na ndio wengine wanatumia sauti zao kukemea wake zao Mungu tusaidie
Nataja zote sai nikilia
Baba nisamehe
Ethel Wanjala. .forgive my sins🙌🙌🙌🙌father we need your mercy!!May God bless you Nico for encouraging many.
Eeh nzuri zaidi nimetaja
Amina
Mungu nimejua Yale nomefanya yenye sio nzuri mbeleyako naomba unisame najua umenijua kiliko vile nimejijua
Mungu unisame naunifungulie macho ili nizidi kukujus zaidi
Eeh Mungu wangu, najua n mengi nmetenda kinyume na mapenzi yako Ila tu naomba msamaha
God I repent all my sins tonight
God I have sinned and fell short of your glory.forgive me father.So touching
Father forgive me my sins.Teach me your ways oh Lord so that I may walk according to your statues.Wonderful worship.Be blessed Uncle Nico
This song iliniea likes tictok Mungu amubariki sana
Nimeona huu wimbo TikTok .naupenda sana
From tiktok now am here, wow very touching, lord forgive me my trespasses and let me live a holy life
Siku zote ukweli auachi njia be blessed my brother
Ninyi ki ukweli mnamaanisha kuwa mnamtumikia Mungu.
Asanteni sana
Be blessed,huu wimbo unanifunza kitu katika maisha yangu
Mungu naomba unisamehe yale yote nimetenda kwa siri,machukizo mbele yako nimeyatenda yesu nisamehe.ahsante sana ndugu na mungu akuinue
From someone's status to here now being blessed
MUNGU WETU NI WA REHEMA🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏 HALLELUJAH GLORY BE TO GOD ALMIGHTY 🙏 🙌🏼
for the first time i can comment on RUclips sijaiguzwa hivi ni wimbo
Nyimbo zako hunibariki ndugu. Mungu aendelee kukutumia kueneza injili kupitia nyimbo 🙏🙏Baba nisamehe, samehe ujana wangu😭😭
Forgive me father 🙏🙏😭
Forgive me God.wonderful song that’s the spirit of God to Christians let’s repent and stop being hypocrites
From tiktok, direct to you tube,, hallelujah wimbo mzuri sana.
Mungu nisamehee
Powerful song wimbo mzuri Wa mafunzo hallelujah 🙏
I love this information that is anointed. I love the mix.. GOD bless you. Watching from kingdom of Bahrain
Wimbo huu unanihubiria..umebeba maneno yakutia moyo nashangaa hujafikia milioni,,wakristo wanataka nini jamani
Barakiwa zaidi uncle niko🎉
Hahaa neema itoshe
Emungu wangu nisamehe Dhabi zote nakuomba 😢🙏
Nataja dhambi zangu na mungu atanionea huruma na kunishahewa
For all this years have never heard this song really and the way i love uncle Nicos songs hii ilijificha wapi
@@princessj7192 Asante sana
Naomba siku Moja mungu anitumie kama combo number kama were🙏🙏
Mungu nisamehe dhambi zangu .watching this every morning be blessed bro
Niko tayari kukiri dhambi zangu nisamehewe oooh Jehovah
I love All of your songs
Ninasikia roho wa Mungu aliniabia niombe Sana
Saudi Arabia watching am blessed
Wow I thank God for this.. glory to the almighty
Nimeupenda huu wimbo, amen
Wow wow amazing, oh my God forgive me, Baba nisamehe nisamehe, ninapo imba huu wimbo Baba wetu wa mbinguni ameni samehe hallelujah Hallelujah Amen.
Waaaah! Bro unaangusha vitu tamu sana! Aki nyimbo zako zinapatilisha mtu sawasawa na mapenzi yake mungu. Congratulations kaka.
Amen 🙏 be blessed bro such powerful song 🎵 team uncle nico
Nilitaja na nikasamehewa,our God is loving
Amen
So amazing ❤️❤️🙏🏿.God bless you the Nico's
Actually this song blesses alot,may almighty God bless dhe singer
Hallelujah...kwa kweli ukikiri na ulimi wako mbele zake unasamehewa
Sure sure utasamewa
Nyimbo zako nilizijua juzi na nilitokea kuzipenda asante sana brother
Baba nisamehe dhambi zangu,,so powerful song
May Almighty God forsake my sins
Tiktok imenifikisha hapa
More grace
Mungu naomba unisamehe 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
😢😢😢😢😢this song slaps all corners ,pls God forgive me
God forgive me please 😢😢😢😢
God forgive me all my sins 😭😭😭
Baba nisamehe dhambi zangu😭
Baba nisamehee dhambi zangu
Mungu akutie nguvu ndugu yangu
Amina
I converse all my sinners,ooh Lord forgive
Wow what's abeutiful song be blessed an may our heavenly father continue giving you new revelation bro🙏🙏
Waaawoooh ubarikiwe mnoo
Baba nisamehee🙏
kishi smart khandi sirmwana
UJUMBE MZURI ILA WANAWAKE HAYO MAMIDOMO MALANGI MAHERENI MAWIGI YA NN KWA WALOKOLE
nakupenda bure mjomba niko
Ihave been blessed by this song keep it up bro🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nisamehe Dhambi zangu nilizozitenda Baba
Baba nisamehe🙏🙏
MUNGU WANGU NIMETENDA MENGI SANA MENGINE NI
AIBU
EEEH MUNGU NISAMEHE
Baba tusamehe🙏powerful song.
Nisamehe baba🙏🙏🙏😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Wow!wow this song a blessing to me.Barikiwa sana kaka
Amen Tanja usamehewe
Hey nico((boyiiii) great work to the body of Christ continue en don't look back
Glory to God siz
God bless you bro...you are inspiration to all incoming christian industry
Nakumbuka niyotenda except All God for given me
Amen umesamehewa kwa imani
Well done @uncle nico and wife
Powerful Glory to God
Am liking this song thousands times its just becoz we have to like once but am really in love with the song n the couples u r so powerful akii Mungu anawapenda siz LOVI I like wat ur r doing n ur husband Mungu amewabariki na sauti za kumsifu.. na ndio wengine wanatumia sauti zao kukemea wake zao Mungu tusaidie
Blessings to you sister
Blessed my beloved siz
Nime watch na ww please like comment share and subscribe nausisahau kugusa kengere
Oh Yes nisamehe,🙏🙏 amazing song
You have been a blessing to me, whenever I listen to this...I feel I'm a siner and always repent.. it refreshes every me every time...
Amina God is good
Nice song brother
Touching,,, nmebarikiwa kupitia kwa huu wimbo,, barikiwa sana bro Nico
Nice song nico make changes someone's heart 👍🏻🙏
Hii wimbo ukii launch naoba uniarike plz
Amazing song,,,truly blessed 💞🙏💯
Nisamehe Mungu wangu
It's touching
Am so blessed by this.....waiting for more from your sweetheart.You are blessed
Wow! I can't stop listening to this beatiful worship! I'm truly blessed! Thank you servant of God!
Amen be blessed too
Same here I can't stop rewinding....
Be blessed its a nice touching song
Team Auncle nicho
Amen, This song is a school of its own to anyone who want to enter into Heaven.its really a blessing.
Good job
Very powerful song
Wonderful . God bless u all
Wow this song has ministered to me be blessed my brother Nico.
Glory to God mtoto wetu..be blessed
Amen 🙌 be blessed brother
Be blessed bro amina
nice song.listen from Tanzania
Wow great..help me to share it with friends
The song is so power am just seeing the presence of God
God I ask forgiveness
UN
Amen your thank for good songs.
Amen 🙏 dear Amen again
Just powerful