Part10_MUNGU AMENIONYA KUHUSU PETE YA NDOA,SIIVAI TENA|KUOLEWA MARA YA PILI|MWANAMKE KUWA MCHUNGAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 382

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in 23 дня назад +1

    Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 7 месяцев назад +4

    Kwanza unatakiwa uangalie mahali pete imetoka. Pete imetoka Misri kwa Farao. Mwanzo 41:42. Afu pale kwenye kitabu cha kutoka 32:2......utaona pale Haruni aliwaambia wana wa Israel zivunjeni pete zilizo masikioni mwenu afu mniletee, wakazivunja wakampa Haruni, baadae hizo pete utaona Haruni alipoziyeyusha kwenye moto ikatoka sanamu ya ndama. Mpaka hapa utaona Pete zimekuwa sanamu. Kwahiyo pete ni sanamu tu kama sanamu zingine. Usivae hata kama ni ya ndoa ilimradi inaitwa pete. Amen.

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 7 месяцев назад +3

    Mm sitaki kuwa mtumwa wa mafunuo ya watu ,Daudi alivaa ,pete yenye muhuri wa kifalme , mfalme sulemani pia ,Pete inakuwa na shida kama ina alama za mingu ,au zina matambiko au dua flani ,au zenye mashariti kuwa siku flani weka marashi hapo inakuwa pete ya ibada na chukizo ,tukumbuke mwenye haki ataishi kwa IMANI ktk Kristo Yesu .

  • @JonasSabun-vj7vz
    @JonasSabun-vj7vz Год назад +2

    Amina sana Mtumishi ubarikiwe sana!!!

  • @سبحانالله-ف7م3ذ
    @سبحانالله-ف7م3ذ Год назад +1

    Nashukuru mtumishi nimengi nilikua sijui naomba mungu anisamehe nmemkosea pasipo kufahamu

  • @sulemaan8798
    @sulemaan8798 Год назад +1

    Ahsante. Sana. Kwa. Ujumbe mzuri

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee Год назад +23

    Wengi humu ndani ni wasikilizaji tu hakuna aliyethubutu kumtafuta Mungu kwa lengo la kusikia sauti ya Mungu. Ila kwa kupinga hatujambo. Mungu ni wetu sote kama unamashaka na lolote tuingie magotini wapendwa.

    • @kapingalucy2707
      @kapingalucy2707 Год назад

      Haswaa

    • @philemonhakiza1648
      @philemonhakiza1648 Год назад

      Mungu hawai kujipinga
      1 wakorinto 7:15 wala anae amini ambae kaolewa na anae amini asiachane nae.Huyu atakua ameenda mbingu ya pili

    • @jovinrwiza7413
      @jovinrwiza7413 Год назад +1

      Sasa kama wewe una mashaka naye si umuulize Mungu akuambie kuhusu huyu mtumishi

    • @valentinanduku8718
      @valentinanduku8718 Год назад

      Kabisa

    • @andersonchongoma1723
      @andersonchongoma1723 7 месяцев назад

      Sauti ya kwanza ya Mungu ipo kwenye biblia ,soma ujue Mungu anasemaje !

  • @JENNIFERKAJUNI
    @JENNIFERKAJUNI Год назад +2

    Asante Bwana Yesu kwa kumthibitishia huyu dada maana tulikuwa hatumuelewi akitoa shuhuda zako wewe Mungu

  • @SeverinKisey
    @SeverinKisey Год назад +1

    Ubarikiwe dada yangu na mtumishi wa BwanaYesu ujumbe umefika wanyenyekevu tupone

  • @christinaisanguisangu2974
    @christinaisanguisangu2974 Год назад +2

    Mi naomba picha za mavazi ambayo Mungu anahitaji tuvae

  • @mwanuzkamu-yo9ol
    @mwanuzkamu-yo9ol Год назад +2

    Ubarikiwe nabii, umenifungua.

  • @ErnestinaNkana
    @ErnestinaNkana Год назад +1

    Mungu yupo nasi🎉

  • @SolomonKadege
    @SolomonKadege 9 дней назад

    MUNGU akubariki mtumishi wa mungu Ninapata mafunzo mazuri

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Год назад +5

    Asante Dada MUNGU akubariki Sana mimi nilionywa kabisa nisivae kabisa Pete iwe ya ndoa au urembo

    • @HappynessRobert-df9re
      @HappynessRobert-df9re Год назад

      Asante kwa ushuhuda mzuri mamaaa,

    • @sarahmdindile4301
      @sarahmdindile4301 8 месяцев назад +1

      Na ukishavua Pete ya ndoa inatakiwa kuvunja na vile viapo vinavyotamkwa wakati wa kuvaa Pete, Kuna mtu alivua tu bila kuvunja maagano ya hii Pete kwenye ulimwengu wa roho akakuta bado amevaa

  • @catherinemuoka1322
    @catherinemuoka1322 Год назад +2

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @hakizimanaphilemon9968
    @hakizimanaphilemon9968 Год назад +5

    Tunashukuru kwa ushuhuda ila nivizuri kila ushuhuda unaambatana na verse au biblical references

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Год назад +1

    Asante sana dada haya ndio mambo yafaa tuzingadia sana...nakufatilia nikiwa uwarabuni

  • @gregoryshauri
    @gregoryshauri Год назад +1

    Hongera mtumishi wa Mungu unatupa mwanga mkubwa, Mungu azidi kukuinua ili tupate mengi juu ya ufalme wa Mungu

  • @hdgHdhd-eu7vf
    @hdgHdhd-eu7vf Год назад +1

    Ameni ubarikiwe sana mutumishi wa mungu,kwa ujumbe huu ..mungu nipe mwisho mwema🙏🙏🙏

    • @hdgHdhd-eu7vf
      @hdgHdhd-eu7vf Год назад

      Bwana yesu asifiwe mutumishi wa mungu,mm nilikuwa ninaombi kuhusu mambo na kusherekea siku ya christmas nje ni dhambi kusherekea hii siku,alafu pia lengine kutoa fungu la kumi ni dhambi pia... coz niliona mahubiri mengine yana sema ni dhambi kutoa fungu la kumi hebu nisaindie mutumishi wa mungu,na alafu poa kupaka piko kichwani ni dhambi pia juu hata hili nilipata mahubiri mengine kuwa ni Dhambi naomba pia ni jue ili hizi dhambi ndongo ndongo nipate kuziepuka 🙏🙏🙏

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 Год назад +3

    Amen Amen, utukufu Kwa BWANA YESU KRISTO, jina la BWANA libarikiwe , asante kwa uthibitisho. Na pia umependeza saana mtumishi, na wengine waone kielelezo kwako zaidi.

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Год назад +3

    Amen
    Barikiwa sana kwa ujumbe nzuri mtumishi wa Mungu zidi kuinuliwa Bwana akufunike na damu yake takatifu

  • @PastorPeter00
    @PastorPeter00 Год назад +4

    Zidi kubarikiwa sana Shujaa wa Bwana wetu YESU KRISTO, Hakika Bwana anakupenda Sana.

    • @edmundrobert2740
      @edmundrobert2740 Год назад

      Samahani niulize je nakuvaa saanayo pia nimapambo?

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 11 месяцев назад

      ​@@edmundrobert2740saa za gold au silver ni pambo za kawaida hapana

  • @MenSanga
    @MenSanga Месяц назад

    Amina balikiwa sana Mungu akutunze

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 Год назад +2

    Amen Amen imekuwa ktk jina la Yesu.

    • @rithersospeterkati3355
      @rithersospeterkati3355 Год назад

      Nimejifunza mengi nakubadilisha mavazi, na maeleni, nikija Tz natanunua magauni mengi tu.

  • @joachim5650
    @joachim5650 Год назад +3

    Pete sawaa bana... Sijui ila nyinginee huwa zina uvuvio wa mapepo

  • @daddysalha5883
    @daddysalha5883 Год назад +2

    Asante Yesu Kristo mimezivuwaga mapema sana

  • @christinaonyango6085
    @christinaonyango6085 Год назад +6

    Mungu mwema Sana kweli nimefurahi Sana, nilikuwa namuomba Mungu sana juu ya kitu hiki Mungu akusemeshe na wewe ,maana ni siku nyingi namwambia Mungu Mimi ymenionyesha toka mwaka Jana, naomba muonyeshe na Mtumishi uliyenikutanisha naye ambaye ni wewe Mtumishi Petrida,Leo amejibu Asante sana Mungu

  • @NeemaKiza
    @NeemaKiza 18 дней назад +1

    Asante sana dada

  • @felistasabuni4285
    @felistasabuni4285 Год назад +1

    Amina, tukiwaambia watu juu ya hilo wanatuona vichaa

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 Год назад +4

    Ukweli kabisa kutoka kwa YESU KRISTO…Barikiwa sana kwa kunyenyekea na kueleza Asemavyo ROHO MTAKATI kwa Taifa Lake.Shalom.

    • @magrethlameck6312
      @magrethlameck6312 Год назад +1

      Ume niponya mpendwa mume wangu anataka kuniacha kwasababu sitaki kufunga ndoa kanisa la roma

    • @owenomwanawayesu6961
      @owenomwanawayesu6961 Год назад

      @@magrethlameck6312 Heri tumtii YESU KRISTO kuliko yeyote,hatma yetu I mikononi MWAKE Sio binadamu.

    • @LydiaKawira-e4j
      @LydiaKawira-e4j Год назад

      Jews women wanavaa mavazi kama ya waislam,..na pia uwa. Awatoi kitàmbaa..Kwa vichwa vya.

    • @shabanihassanikabelela2839
      @shabanihassanikabelela2839 Год назад

      @@magrethlameck6312 mpe muda
      Wakati huo piga goti omba kibali mm nlikua na pingwa na wazazi kwajili ya katoliki kufunga ndoa lkn sasa sjafunga ndoa bado lkn wameshanielewa

    • @philemonhakiza1648
      @philemonhakiza1648 Год назад

      Ila kavunja ndoa na mungu hajipingi 1 wakorinto 7:15

  • @apostlecharlescharles
    @apostlecharlescharles Год назад +2

    Amen ubarikiwe

  • @MaryclaraBasilus
    @MaryclaraBasilus Год назад +3

    Amina sanaaa Halelujah Mungu Akulinde na Kufunulia zaidi na zaidi Amina, ufunuo 22:21.

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael Год назад +10

    NENO LA MUNGU, HALIRUHUSU "KUACHANA' ILA KWA UASHERATI.
    MATHAYO 19:9
    Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
    HIVYO BASI,
    KAMA UASHERATI HAIKUWA SABABU YA WEWE KUACHANA NA MUME WAKO; BASI UPO DHAMBINI.

    • @JaneChissawilo-dr7nn
      @JaneChissawilo-dr7nn Год назад

      Uasherati hasa ni kuabudu miungu mingine Isipokuwa kwa habari ya uasherati. "( 1 wak.11b- 16)Tafsiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni"

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael Год назад +1

      @@JaneChissawilo-dr7nn
      Ninajua uasherati ni kumuacha BWANA na kwenda kwenye miungu (mfano; Walawi 17:7) lakini kwa habari ya mtumishi huyu hicho kipengele hakifanyi kazi kwasababu;-
      wote yeye na mumewe walikuwa kwenye uasherati huo wa sanamu pamoja; sasa mmoja wapo anapookoka na mwingine akakataa kuokoka bado ndoa haivunjiki; maana ni mwili mmoja; ila inavunjika kama ameungwa mwili na mwili mwingine kwa uasherati. (Hili la huyu mtumishi ni suala la mwili na wa kufanana naye na siyo roho pekee.
      HIVYO ALIPASWA KUMUOMBA MUNGU AMBADILISHE MUMEWE AOKOKE NA SIYO KUMUACHA; MAANA MUNGU HASHINDWI NENO

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 Год назад

      What about 1st Corinthians 7:10_11
      It's says a wife must not separate from her husband ,if she does she must remain unmarried (meaning no other man in her life coz atakuwa anaeneza Adultery)it's better wasameheane na warudiane.She can only get married if the wife is dead or the husband is dead..

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael Год назад

      @@carendeborah5687 HUO NDIYO UKWELI KWAMBA HARUHUSIWI TENA KUWA NA MWANAUME.

    • @horemow9832
      @horemow9832 Год назад

      Hmmm our God is not the author of confusion, hapa lazima kieleweke ukisha Fanya ndoa nakuna kutoka haijalishi ni madhabahu gani yalikuunganisha, hata kama uliolewa na muislam kisha ukaoka bado ni mume wako na kama mtaachana usiolewe kabisa mpaka yule mime au mke atakapo farika kwa hivyo , remember God honor his word more than his name unavyo sema kabisa havyiambatani n na neno LA Mungu Mungu

  • @emmanuelsamson7992
    @emmanuelsamson7992 Год назад +1

    Jamanii wakristo tusiishii kwa shuhudaa, Balii tuishii kwa neno,tusome biblia sana mana na tushike neno sana mana Mungu hajipingi ,mengine ni ya wanadamu (mazabao zao)

  • @janepeter4566
    @janepeter4566 Год назад +2

    Mungu wa Mbinguni akubariki sasa kwa huu ujumbe

  • @mariamyinga2141
    @mariamyinga2141 Год назад +1

    Amina MUNGU azidi kukutumia zaidi

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 Год назад +2

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU,
    MUNGU akutie nguvu katika maish yako yote katika kusem neno lake.

  • @makaumathew9392
    @makaumathew9392 Год назад +2

    Ni uKweli mtumishi wa mungu barikiwa sana 🙏

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 Год назад +1

    Ndiomana nasema tuacheni kuhukumia binadam muhukumu ni Mungu

  • @LinnahHery
    @LinnahHery Год назад +1

    Naamini ktk Jina la Yesu

  • @michaeljacobo269
    @michaeljacobo269 Год назад +3

    Ni kweli mtumishi kwa hilo ulilo funuliwa ndivyo lilivyo..!!

  • @zawadiomari7409
    @zawadiomari7409 Год назад +1

    God bless you. Nimbarikiwa sana

  • @MagdalenaJosephat-qt3td
    @MagdalenaJosephat-qt3td Год назад

    Jamani dada petrida uko wapo,mbona kimya,tumemiss mafundisho yako

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 Год назад +1

    Aminaa ubarikiwe

  • @sulemaan8798
    @sulemaan8798 Год назад

    Sasa. Mm. MTUMISHI wangu. ni. Mwanamke je. Unapo. toa sadaka na. Fungu. la. Kumi ni. Sawa

  • @carolinemasaka1400
    @carolinemasaka1400 Год назад +2

    Amen Mtumishi wa Mungu

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs Год назад +3

    Huyu ni mwanamke wa kuheshimika sana kwetu sisi wanaume. Huyu ana utume kutoma kwa Bwana wetu YESU KRISTO. Hii ni Injili ya kweli kabisa. Anafuata BIBLIA kama inavyosema. Ni wanawake wachache kabisa sio tu Tanzania au Kenya bali ulimwenguni. Abarikiwe sana na sisi tumuombee. Wakweli kama huyu dada ni wachache sana. Na abarikiwe sana asije akaanguka.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Год назад +1

    Watu wa Mungu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ya NENO si maombi bali ufunuo wa Neno la ufalme wa mbinguni.

  • @madumamaduma8571
    @madumamaduma8571 Год назад +9

    Samahani sana ndugu.
    Nimefuatilia maombi Yake ya mwanzoni au yaufunguzi, kabla ya ujumbe. Nime note something unusual.
    Jamani tusome Biblia ndo mwongozo wetu.
    Haya Mambo yakusema: nimetokewa na Yesu, au Bwana ameniambia, au Roho Mtakatifu amesema nami. watu wa jinsi hii SI wakuzingatiwa Sana.
    Tusome Injili ya Yesu, mdo, nyaraka, ufunuo. Halafu agano la kale. Lakini kwanza tuzame Sana kwenye AGANO JIPYA.

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 Год назад

      😂😂😂😂nani kakudanganya agano jipya pekee ndilo twazingatia ?Yesu kasema pale Kwa mathayo yeye hajakuja kuondoa angano la kale Bali kutimiza Yale waliosema huko Kwa angano la kale..usijidanganye eti agano jipya pekee
      MATHAYO 5:17
      Msidhani nimekuja kutagua sheria na mafundisho ya manabii,sikukuja kutangua Bali kukamilisha,kweli nawaambieni mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita,hakuna hata nukta Moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa mpaka yote yametimia basi yeyote atakayevunja hata amri ndogo kuliko zote malizia ...

    • @madumamaduma8571
      @madumamaduma8571 Год назад

      @@carendeborah5687 soma VIZURI ujumbe wangu. Sikusema agano jipya PEKEE.
      Usiubadili ujumbe wangu.
      Ndiyo maana hamuielewi Biblia.
      🖐️. Agano la kale soma, lkn Agano jipya ndo KEY POINT ya mkristo. Vinginevyo utaenda off point. Nimewahi kujiunga group fulani kwa watsap, waliokuwa na mitizamo Kama yenu. Nikagundua wanafanya mengine kinyume cha agano jipya. Lkn baadae walinielewa lkn baada ya zaidi ya mwaka mzima. Hata ninyi mnahitaji muelimishwe taratibu kwa kipindi Cha muda mrefu.

    • @DIGNAJASTIN-dl8yj
      @DIGNAJASTIN-dl8yj Год назад

      Kwa kweli

    • @Angependo9141
      @Angependo9141 Год назад +1

      Nawewe unachekesha kwani uliona Rebeka kavaisha pete Iska??uliona Iska kavaisha pete Rebeka??uliwahi kusoma kwa Bibilia Adam kampea pete Eva??jamani Pete navingine vipambo jakobo kavichimbia shimo kavizika

    • @BeatriceVahaye-e1i
      @BeatriceVahaye-e1i 11 месяцев назад

      Kweli biblia ndo mwamuzi wa mwisho

  • @SusanAshle-zj8do
    @SusanAshle-zj8do Год назад +2

    Amen Amen God bless you

  • @benithafredrick2465
    @benithafredrick2465 8 месяцев назад +1

    Amina Asante

  • @leahrotich8955
    @leahrotich8955 Год назад

    13:51 Bibilia inasema siku za mwisho kutatokea manabii wauwongo.

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 Год назад +2

    Thank you so much may our lord bless you 🙏🙏

  • @diananaswa4842
    @diananaswa4842 Год назад +1

    Kweli kabsa pete n mapambo .....hata klecheti cha ndoa n makaratasi..... MUNGU hakupeana pete na vyeti vya ndoa

  • @blessinggal9310
    @blessinggal9310 Год назад +1

    Kumbe watumishi wakiwa wa kweli pete inakubalika wawoooh ....

  • @solangemukuna4997
    @solangemukuna4997 Год назад +2

    Mungu akubariki saaana kwa ujumbe huyu mjakazi wa Mungu.
    Nilikuwa natamani unijulishe iyo website yamanguo umepewa nawale wa dada wa ki Islam, basi Mungu aendeleye kukulinda na familia yako yote, na Mungu pia aendeleye kuku tumia kwaajili ya kazi yake.

    • @devetgoodness285
      @devetgoodness285 Год назад

      Biblia inasema mtu akiwa na mke au mume asieamini na yule mume au mke akikubali kukaa nae asimwache ila ikiwa yule asieamini anataka kuondoka amwache aondoke na huyu aliebaki hafunguki
      Sasa kwanini msingeibariki iyo ndoa kanisani

    • @ElinatEliamin-fq9dq
      @ElinatEliamin-fq9dq 8 месяцев назад

      Nina swali ikiwa mume wangu anasali mahali ambapo haku

  • @LydiaKawira-e4j
    @LydiaKawira-e4j Год назад +3

    Ata kama mungu ajanena NAMI kuhusu Pete ya ndoa,..I believe this is true,...

    • @kapingalucy2707
      @kapingalucy2707 Год назад

      Haswaa

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 7 месяцев назад

      Sio kwasababu, Pete inatoka Misri kwa Farao, kwahiyo hiyo ni miungu ya farao. Usijaribu kuivaa kwasababu ni miungu utakuwanayo ndani ya mwili wako. Mwanzo 41:42. Afu Matendo 17:30.

  • @OlipaBless
    @OlipaBless Год назад

    Sawa sawa, je Kama minagauni lenye shanga nitoe shanga au niache kuvaa?

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 Год назад +5

    MUNGU humfunulia Kila mtu kwa wakati wake ubarikiwe mtumishi

  • @JohnFisha
    @JohnFisha Год назад +2

    Be blessed so much.Amen.

    • @manassekyalondawa2477
      @manassekyalondawa2477 Год назад

      swali, hili andiko la Marko 10:11-12 na warumi 7:2-3, linahusu watu gani?
      sisi tunamsimo kwa neno la MUNGU, yaani biblia.

    • @manassekyalondawa2477
      @manassekyalondawa2477 Год назад

      swali, hili andiko la Marko 10:11-12 na warumi 7:2-3, linahusu watu gani?
      sisi tunamsimo kwa neno la MUNGU, yaani biblia.

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 Год назад +1

    Nimekukubali mama.

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Год назад +2

    Asante sana mtumishi wa Mungu, kwa mafundisho mazuri sana, ilaah naomba kujua,hili kuhusu kupanda mathabahuni, iwapo unaeza kuitwa kua utasoma andiko,je pia hilo halifai? ushauri wako utanisaidia 🇰🇪.

  • @gbi380
    @gbi380 Год назад +2

    Mafunuo n mazuri lakini Neno n muhimu sana kabla ya mafunuo

  • @tulibumimsomba-ri5kb
    @tulibumimsomba-ri5kb 9 месяцев назад +1

    ubarikiwe sana

  • @nelsonkazaura5713
    @nelsonkazaura5713 Год назад +1

    Mafundisho kama haya ylijificha wapi jamani? Mbona Mwanadamu amepotea kwa kuyakosa haya? Naomba Mungu azidi kukutumia sawa na kusudi lake.

  • @evelynekomba7216
    @evelynekomba7216 Год назад +2

    Asante Mungu, vyote ninaviona kama mavi, kama paulo alivyosema.ya nn nipate dunia yote niikose mbingu!??

  • @AnnaAnna-n1r
    @AnnaAnna-n1r 10 месяцев назад +1

    Dada kaa makini usije ukawa kama manabii ktk agano la kale kwamba wanasema nimewatuma wa mm sikuwatuma ......na kumbuka kuna malaika wabshetani wanajibadilisha kuwa malaika wa nuru ili wakudabganya useme uongo .....wewe unaweza ukawa unadhani ni Mungu kumbe ni shetani(be careful usije ukadaiwa kwa roho unazipoteza)

  • @Jesus-y1j9r
    @Jesus-y1j9r 8 месяцев назад +1

    Mhhhhhh,,,, hivi kwanini watu wasiolifaham neno la Mungu siku hizi wanaongezeka na kuleta mafundisho potofu? Ww ni nabii wa uongo, haulifaham neno la Mungu kabisa,,, unaamini sana maono kuliko neno la Mungu,,, tubu uiache hyo njia, Mungu haongei na watu nje ya neno lake,, sisi tunauhakika gani ni Mungu ameongea nawewe? Kama ni pepo wachafu wajigeuzao kama malaika wa nuru, tutajuaje? Funga huduma hii, ya mafundisho ya uongo, hulifaham neno pa Mungu bado, yaani hata kidogo. Njoo kwa Yesu.

  • @nestorygilbert6170
    @nestorygilbert6170 Год назад +1

    Amen TUNASUBIRI AKUONYE KUHUSU USHUHUDA ULIO UTOA KUHUSU TOBA YA KITAIFA ULIVYO SEMA ULIOMBEA TUKASAMEHEWA TUNASUBIRI AKUONYE UKANUSHE na useme KUWA WATU WASIPO FANYA TOBA NA KILIO KULINGANA WATAANGAMIA

  • @blessinggal9310
    @blessinggal9310 Год назад +1

    Nimeelewa madhara ya pete isiyoombewa na mtumishi mwenye nguvu za Mungu

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 Год назад +2

    Ubarikiwe sana Petrida Mungu asidi kukufunulia mengi, utufundishe, utukufu kwa mungu

    • @daudikasabuku3235
      @daudikasabuku3235 Год назад +1

      Pete ni pambo, haina connection na utakatifu. Dada nakubaliana na wewe. Sina mafunuo ila maandiko yako wazi kwamba kuoana ni kwa tamaa za miili yetu wenyewe. Ingekuwa Pete inamsaada kusingekuwa na michepuko

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 Год назад +1

    Mtumishi Petrida Mungu Akubariki sana na Akusimamie. Umeelezwa mambo mengi niliyoelezwa. Watu hawakukubali Mungu kaniambia. Mungu Anaendelea kuthibitisha Neno Lake. Kuhusu Pete, nilivamiwa na mapepo yakakataa kutoka kwa kuwa Pete ya ndoa na engagement yalisema ni vitu vyao. Kuhusu mwanamke kutokuwa Mch. Mapambo, mavazi, nywele nk. Mungu Akuatamie. Nimefurahia unyenyekevu uliopewa kurudi mbele za Bwana kuuliza.

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs Год назад +5

    Mavazi yako ni nadhifu na ya kuheshimika kabisa. I wish all women could wear just like you.

  • @YESUNIBWANA84
    @YESUNIBWANA84 Год назад +1

    Amen Amen ahsante dada kwa hili ubarikiwe

  • @elizabethmjema1730
    @elizabethmjema1730 Год назад +1

    Yesu atusaidie

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 Год назад +1

    Hata Bibilia inasema mwanamke asiseme ndani ya Kanisa lakini mimi naelea skuhizi ni business wanatafuta maisha

  • @neemamwalende9740
    @neemamwalende9740 Год назад

    Asante YESU .

  • @حسن-ح7م1ق
    @حسن-ح7م1ق Год назад

    Amesema Mungu sio mungu wa waroma ko Waroma wanamwamudu nani

  • @mbuerecarlos1396
    @mbuerecarlos1396 Год назад +1

    Nikweri kabisa Pete ni nuksi kabisa .Wazazi wetu walikuwa hawana Pete na waliishi miaka mingi mpaka wanazikana wakiwa pamoja.

  • @bazurimwemdi9060
    @bazurimwemdi9060 Год назад +2

    Amena dada

  • @ShukuruHangi-re3gs
    @ShukuruHangi-re3gs Год назад +1

    Amen 🙏

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 Год назад

    Tutajuaje madhabahu aliyopo yeye Mungu kwani madhabahu mengi naona ni ya shetani tunayaonabpia matendo yao

  • @RosemaryManyaza-oc7te
    @RosemaryManyaza-oc7te Год назад +1

    Ee mungu wewe ndo unaye jua zaburi 24:1

  • @neemayusuph476
    @neemayusuph476 Год назад

    Hongera sana

  • @EmanuelaBoay
    @EmanuelaBoay Год назад +2

    Ila Kuna ukweli flani maana mm baada ya kufunga ndoa pete ilinisubmbu sana nikaiacha.

  • @emilylyimo2803
    @emilylyimo2803 Год назад +2

    Asante ni kweli kabisa haya mapete ni mashetani kabisa

    • @andersonchongoma1723
      @andersonchongoma1723 7 месяцев назад

      Sio kweli inategemea hiyo pete umeipata au unavaa kwa mashariti au taratibu gani

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Год назад +1

    Bora kujikalia kimya kuliko kutunga hadithi za kumshirikisha Mungu na uyuda Eskarioti

  • @nelsonkazaura5713
    @nelsonkazaura5713 Год назад

    Je! Ni Siku Gani Ambayo Ni Sahihi Kumwabudu Bwana? (Siku Ya Bwana).

    • @AnethSam
      @AnethSam 5 месяцев назад

      Pole mungu hana siku yakuabudiwa kila siku kila saa unatakiwa ukae madhabahuni mwa bwana hilo nikosa kuchagua siku yakuabudu

  • @asnamchema7810
    @asnamchema7810 Год назад +1

    Naomba unitumie hiyo website unayonunua hayo mavazi yanayompendeza Mungu, ubarikiwe sana

    • @victorianchimbi8640
      @victorianchimbi8640 10 месяцев назад

      Nisaidieni mimi kuna wakati, naenda kwenye mazizi ya ng'ombe kutokana na kazi yangu na lazima nivae gumboots nafanyaje hapo

  • @PatrickMkwabi
    @PatrickMkwabi 6 месяцев назад

    Mtumishi huduma yako iko wapi?iko mkoa Gani?naomba no yako Nabii wa Bwana!Barikiwa sana.

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 Год назад +1

    Ni sawa swali hili sasa tutafanyaje ili kuthibisha ndoa? Maana wachungaji husemaga hii ni ishara ndoa itawekwaje sawa siku ya kufunga? Ubarikiwe mtumishi

    • @jairusannalo
      @jairusannalo Год назад

      Ishara ya ndoa kusimama yaregemea msingi wake, kama msingi wa ndoa yako ni katika Bwana Yesu basi kilicho Baki ni kufuata yote ambayo neno lafunza kuhusu ndoa .....ishara ya uimara wa ndoa ni uaminifu kwa mwenzi wako, na utiifu kwa Bwana

  • @tabithajeremiah4589
    @tabithajeremiah4589 Год назад +3

    Asante mtumishi Kwa ujumbe,Mimi nimfuatiliaji wa shuhuda zako,ninakumbuka wakati ukishuhudia juu ya vita vilivyoinuka baada ya kuokoka ni pamoja na mmeo,ndugu zake,marafiki zake kukutaka urudi Roman Catholic inamaani Sha mlikuwa mnasali wote huko na tayari ulishatengana na mmeo wa kwanza,unaposema Mungu aliitenga ndoa Yako ya awali Kwa sababu hakuitambua je,huyu mmeo uliyenaye sasa mulioana baada ya kuokoka?

    • @tabithaibrahim8493
      @tabithaibrahim8493 Год назад

      sikiliza tena ujumbe wake unaeleweka.

    • @AnethSam
      @AnethSam 5 месяцев назад

      ​@@tabithaibrahim8493haja sema chochote hapo maana nimemsikiliza vizuri

  • @catherinenestory9514
    @catherinenestory9514 Год назад

    Naisikiaje sauti ya Mungu

    • @MariaJuma-q2k
      @MariaJuma-q2k Год назад

      Ishi maisha matakatifu,omba kupitia neno la MUNGU,YEREMIA 33:3,isaya 55:6'7,

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 Год назад

    Watu wa Mungu tujifinze Neno kwa kusoma Biblia. Sio kila asemaye ametokewa na BWANA YESU ni kweli.. Wako wanaotokewa na mapepo na huja na ujumbe unaopingana. Na NENO la MUNGU.
    MUNGU ameumba kila kitu, shetani hajaumba dhahabu wala kitu chochote. MWZ 1-3; ZAB.24; Mungu hataki kuachana wala talaka. MAL.2:16..MATH.19;8. Utaratibu wa kuja kanisani kufunga ndoa umeanza juzi, ndio maana hata za kimila Mungu anazitambua na hataki zivunjike.
    Biblia inaweka wazi tabia na mambo yanayotutenga na Mungu, pete na mapambo mengine hayapo.
    Huu ndio mwanzo wa imani potofu!

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 7 месяцев назад

      unauhakikaa soma mwanzo 35 je Mungu ni mjinga juu ya mapambo Mungu kakataza soma kutoka soma kitabu cha isaya mwili wako ni hekalu la Mungu na Roho soma agano jipya jinsi paulo na petro wanakataza mapambo soma.neno usitetee dhambi kemea tubu acha kua mtakatifu aston mbaya na petrida na Rachael mushala hawajakosea hata kidogo

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 7 месяцев назад

      shida husomi neno acha uvivu utahukumiwa tubu @ednalugano pete wigi mapambo suruali za kike ni dhambi ni ushetani soma.neno sali piga magoti tubuuu

  • @levismike16
    @levismike16 Год назад

    Bwana asifiwe.Dada yetu tunafurahia kua Mungu amekupa onyo mapema.Sisi kama wafuasi wa channel hii ya promover tulikuonya mwanzoni lakini hukutuelewa.Bwana asifiwe sana.

    • @mtumehosana7081
      @mtumehosana7081 Год назад

      Mungu hajazuia Pete someni vizur biblia. Kumbuken mfano alioutoa Yesu kwamwana mpotevu.

    • @levismike16
      @levismike16 Год назад

      Tuwachane na pete.Niwapi pete inaongelewa kwa biblia?

    • @helenbahati8038
      @helenbahati8038 Год назад

      Anazungumzia pete ya ndoa, sio pete ya mwana mpotevu @mtumehosan

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Год назад

    YESU si mtu bali ni NENO limerudi kwa mjumbe wa agano Duniani. Ufunuo wa Yohana 19.11-16.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Год назад

    Je inakuwaje pale kanisani tunapokuwa kwenye maombi baada ya sifa watu hukaa kimya kwa mda kusikiliza kama Roho Mtakatifu atanena na Kanisa. Je ni sawa au siyo sawa mbelevza Mungu?

  • @YustoClement-w7v
    @YustoClement-w7v 20 дней назад

    Je kuhusu wake wa wachungaji?

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Год назад

    Ndoa haifungwi na watu, imeandikwa alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe, hivyo dini na madhehebu ya watu wanaojifanya wanafunga ndoa kwa viapo,huo ni uongo, na wewe ni mwongo pia.

  • @salamadzinyau5162
    @salamadzinyau5162 Год назад +1

    Mungu aturehemu