Mbali Na Kelele - Healing Worship Team (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- We are about to release a new album,
Your support is highly appreciated
Click the link below to join our support group
chat.whatsapp....
Mbali Na Kelele - Healing Worship Team (Official Video)
/ healingworshipteam
Booking : healingworshipteamrwanda@gmail.com
Contact US ON : +250788863840
take me away from the noise the noise of diseases, the noise of words, the noise of intrigue place my soul by the still waters so that I may worship you
Powerful
Hakika mungu awakumbuke katika ufarume wake ni mm juriusi kutoka ngara kagera Tanzania imana ibahezagire
Nabarikiwa sanaaa, mungu awabaliki
Nani anaangalia wimbo kama mimi than anabarikiwa
Hakika mnajua kujipanga , kuset nyimbo zenu na kupanga sauti, hakuna kelele. Wenye kujibu pia wanajibu kwa wakati mzuri.Hakika mnapendeza.
Ubarikiwe sana ❤
Uiweke Roho yangu kwenye utulivu. Yesu, mbali na Magonjwa, mbali na uzinzi, mbali na Walozi na wachawi, mbali na vishawishi vya shetani. Asante Yesu.
Amen amen
Amen amen
Mbarikiwe sana
Vita vya Muovu Mimi siwezi
Hizi nyimbo sijui kwann hazifikishagi viewers milion 1 nahisi watu hawazipendi hizi nyimbo
Zimefikisha juu ya milioni tatu
Zilikuwa kwenye channels za wengine
Utunzi wenye uongozi wa Roho Mtakatifu kwani ndiyo hitaji letu kuu kwa Mungu wetu mwenye nguvu.
Almost 2 years ago the Holy spirit led me to this song.
I was going through a tough time in my academic journey..the enemy had intentions that I'd not complete school.
But Jehovah came through this song...made me deaf to all enemy's attacks.
Now I'm a graduant 🙏 Praise be to my most High Father.
That's my testimony ❤
My advice:
When you feel the urge to sing a particular song during a certain period... please sing.. because that's a prayer you're making and God hears you.
Amen.
Stay blessed 🙏
Oh haleluya and amen
We thank God for his power
The Almighty God
Wapendwa Mungu awabariki sana nawapenda nina fuhata nyimbo zenu sana nikiwa hapa Marekani Mungu awatiye nguvu awape ufunuo zaidi nazaidi
Ubarikiwe sana
Hakim sitaki kelele hata mimi Mungu! 😍😍😍😍😍
Vita vya muovu siwezi pekee Nahitanji Msaanda wako Baba
Aminaa, kazi nzr, Africa mashalik Rwanda mpo juu namba 1 chukuen ,🇹🇿🇹🇿
How I must rush here every morning. And thats how I decided to look for my in-laws here ....Kenya we love you sana.
This song makes me always to move a one step daily ❤❤❤
Combination yenu ni moto napenda sana uyo mwanaume akiwa anaongoza nimesikiliza nyimbo zenu nying saut yake ina upako sana Mungu akubariki na awabariki nyote na azid kuwainua nawafatilia from Syria 🇸🇾
So blessing song l always listen before i go to work morning hours
Uniepushe na kele za Tina,WIVU,cho,FARAKA na MAGOMVI, ee Bwana Yesu
Hakika vita vya muovu tumuachie Mungu atupiganie,,hongereni sana kwa nyimbo nzuri,,nawapenda!!!
Eeeeh Yesu christo tuondolee kelele za corona (CVD) kwa jina la Yesu
Nipeleke mbali na kelele yesu wng
Nyie watumishi Mungu awahifadhi. Hii huduma yenu ni ya baraka Kwa mwili wa kristo
Asante sana
We destroy all the plans and tactics of the enemy in the mighty name of Jesus
Mungu awabariki sana nyimbo zinanifariji sana napenda team yenu kwa huduma nzuri
Hallelujah hallelujah 🙏🙏 make a way everyday for us God 🙏🙏peleleza kila jambo lisilostahili katika maisha yangu🙏😭moyo mwangu umempenda yesu zaidi hii asubuhi kupitia nyimbo zenu🙏😭
Nawapenda...💖💖💖💖💖💖💖💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
Baba sikia ombi langu uniepushe, mbali na kelele Amen. Nice song be blessed.
Nawapenda mungu awalinde
Amen amen 🙏
Uniweke loho Kando yamaji kelele zawujanja uniepushe Baba ili Nikuabudu Amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Napenda hizi nyimbo zenu zinanibariki sana
Weka mbali roho yangu mbali na kelele za maadui na miungu yao ili nikutukuze
Mungu awabarki sana kwa nyimbo nzur za kutufanya kuwa karbu na Mungu ...From Tanzania
I'm blessed. Yesu tuondolee kelele za magonjwa na mauti 🙏
Alafu gisi munahimba kiswahili kizuri mubarikiwe sanaaa wengi wanawafataga kupitiya lugha munatumiya 🙏❤️
Nice you're songs 🎵
Karibuni Tanzania,,Lutherans Church Kurasini Daresalaam.
Kelele za maneno, kelele za vitina Baba sikia ombi langu uniepushe kelele, Lucy from Kenya. Loving every beat of the song
Mmependeza mnamtumikia mungu wakwel kutoka tanzania
This is what we really need now Lord.....tuweke mbali n kelele ya hii covid
Well done
Uweke roho kado ya maji ya utulivu ni kuabudu
Oooooh what a good gospel song....I can feel being healed spiritually
Nimerudia Mara kumi wimbo mzuri Sana Mungu awabariki sana
Wimbo huu unanibariki Sana
Ni kweli kelele za maneno,ujanja huwaweka watu mbali na MUNGU. Very good song amongest of your songs into your healing song album
Uiweke roho yangu Kandi ya maji ya utulivu ili nikuabudu
Mbarikiwe sana
Baba nipeleke mbali na kelele Baba .vita vya muovu siwezi pekee nacoka na zalawu ya muovu kabisa😞😞🙋♂️🙋♂️🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌30.12.2021
Mungu awabark wapendwa👭👭👭👭👭👫👫👬👫👭👭👭👭👭👭👭 wanakwaya wooote.
Nyimbo nzuri kbisa hawa watu wabarikiwe aisee
Nice song I like it from tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝💝God be with all of them
❤
Uniweke mbali na kelele za magonjwa
Baba skia Ombi langu uniepushe
Baba tuweke mbali na kelele za mauti
Hakika ninapenda huu wimbo Mungu awabariki sana
My favorite choir. May God continue to uplift and use you as his special vessels for his own Glory. Much love from Kenya.
Nawafatilia sanA pía nawakubali sana hunduma yenu izidi kupaa viwango vikubwa
Mubarikiwe sana ,Watumishi wa Mungu Asante Kwa Nyimbo hiyo inakonga moyo wangu Aminaaa!!!
Barikiwen from🇹🇿
Shalom Aleichem, blessings from Tanzania 🇹🇿
Dress code na wimbo vinanibariki. Ahsanteni kwa kukikuza kiswahili
Mlalilimba neza chane mlakoze
Ameen nabarikiwa sana👏🇹🇿🇹🇿
Mungu awabariki kwa nyimbo nzuri
Nawapenda sana nyimbo zenu zina nifalijie
Wimbo mzuri Sana wenye uwepo wa MUNGU nawapenda bureeeee
Woo! You guys makes my spirit strong and strong everyday I listen to this song. Be blessed watu wa Rwanda🙏
Tukiwa ndani ya yesu hakuna kelele zozote za kipepo zinaweza kutukaribia🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Kuimba kwa roho na kweli kuna raha yake
Baba nipeleke mbali nakelele...my prayer too
🥰🥰🥰💃💃Lazima ningelipata hili nyimbo,much blessed🙏🙏.
Powerful SONGS..my hrt really enjoys playing yo songs .from zambia 🇿🇲🇿🇲
if I start giving account on how your songs have been a blessing...then a lot of time and patience would be needed...may God continue using you guys to accomplish his work...much love and prayers from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nipeleke mbali na kelele Baba . Amen
Nawapenda sana ,mnaimba vizuri sana ,Mungu azidi kuwabariki
From Burundi nabapenda sana
Komesha kelele za maadui
Niweke mbali na kelele za magonjwa 🙏🙏
I love this song, nabarikiwa sana mungu awabariki
Mnaimba kwa utulivu sana mbarikiwe!!
Worship healing team Rwanda you are highly lifted. Keep up the spirited worship. God bless . Love 🇰🇪
Nice song
Kweli wimbo mutamu sana
Wimbo mzuri san
Nawapenda bureee mungu awainue kwa viwango vya juu 💕
This choir, this choir... Guys your lite God bless you beautiful people... 🙏🙏.. 🔥🔥🔥✌️✌️🇰🇪
Shalom Aleichem blessings from Tanzania 🇹🇿 God Bless you abundantly
Healing Worship songs become my daily bread ,I have to listen 🥰🥰 with calm beats and Voice....Kenya we love you 💓
Exactly same thing here Mombasa Kenya
Good choir
qAaqQa
qAaqQa
Indeed is a blessing song👍
East African pipo let’s gather
This wonderful worship team the best....Their songs👌🏻 I listen everytime
Abavandimwe Imana ibagirire neza cyane. Mwuzuye umwuka wera.
Mungu awabariki aisee mnaimba. Watching from Toronto
World youth for Christ Jesus!
Amen
From 🇰🇪 mnabariki sana
Mbarikiwe watumish
Aliko ndabakunda chanee mana ibambazii ♥️♥️♥️
I love this song♥️♥️♥️guys mmependeza Sana I'm blessed 👏
Mbarikiwe mnaimba vzr tunabarikiwa na mauzui kelele za fitina.magonjwa. from Arusha.
I'm proud to the song from Tanzania,very good and God blessing for good work
Mnanibariki sana...Mungu Awaimarishe
Mungu nimwema Azidi kuwaongoza
Barikiwa sana ❤
Halelujah from Tz - bongo