Mpaka Shetani anashangaa, Mungu awainue wengi zaidi kupitia kwako Ambwene, Mungu anajivuna kwa Shetani kupitia nyinyi mnaoimba Uweza wake kwa wanaomtumaini.
Jama huyu ambwene kila nkimsikiliza najkuta kuna kitu kinanijaa moyon hata yan ananifrahsha sana nakupenda sana broo daah nabarkiwa sana japo cjaokoka bado naamin nakarbia
Giza,mawe,nyavu,kamwe haitanasa miguu yangu......wimbo mtamu Mungu awabariki.
...Giza..mawe..nyavu..misumali..kamwe..haita..NASA..miguuni..mwangu...💃💃💃💃💃💃💃
Dada angu huu wimbo sikusikiliza vzr jaman umeimba vzr Dada ang
Yaani kwakweli nimeipenda hii nyimbo ni fayaaaaaa yaani Ambwene umefanya huu wimbo ukanoga Sana dada Mungu akubariki Zaid
Ambwene meneno yako yamenigusa baba
kweli kumbe unajua
Pale anapoanzia Ambwene sasa👌👌👌....alafu instrumentals pia ni A1 level.
Mungu azidi kuwabariki sana .Wimbo mzr sana kama kuna mtu anazikiliza gonga like hapa
Hawataimba kamwe amekoma wala hawatapelekeana tena zawadi Ahsante Mungu
Ameeen
Ambwene wewe ni mwalimu hata Mungu ajua hilo
Baba yangu ananilinda, nawapa pole wanaoniwinda o lord!!?🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana ila tunaomba mjilekebishe mavazi mkiwa kama watumishi wa Mungu mbarikiwe
Mavazi yamefanyaje mbona yko vizuri au wivu unakusumbua
Kwa kweli hii nyimbo bila Ambwene haikuwa sio kabisa mdada mashauzi yamezidi kha! Unatufanya tunatenda dhambi!
We dada mwenye wimbo njoo ututie hata moyo kwenye comment bando linaisha kila cku kila saa kuckilza huu wimbo alfu hujibu hata comment zetu
asante
Uko vizuri dada mungu akutie nguvu uzidi kutoa nyimbo nzuri Tena na tena
Wow wale waliotumwa wanidhuru watalia kama wale wazazi wasisera kwa jina la YESU
amen
Huu wmbo Kwa sasa nauelewa sana Mungu awabarik waimbaji
Wale waliotumwa wanidhuru watalia Kama wazaz wa sesira#nipo nurun#
Alienifanya niitafute hii nyimbo Ni Ambwene ubarikiwe baba Abwene
Hata mm
Ambwene ni noma Sana mungu aendelee kukutunza Sana Kaka yetu mpendwa🙏🙏🙏🙏
Yaan mungu aendeelee kukuweka ambwene jaman nabarikiwa sana Na nyimbo zako
Ambwene mwasongwe mwamlenga Mungu tutunzieee
Is there anyone feel #Ambwene_mwasongwe as anointed man!? 🕊🕊
Kazi nzuri hongeren ambwene huyu jamaa anamafuta sana
Ubarikiwe Dada kazi nzuri mnooo
Naaaaaam Barikiwa sana mapambano yako sii Buree kwakwelii Tajii ni Kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Ameeeen
Kama una dhambi mungu akusamehee Kwa kazi unayoifanya ameen ambwene
Baad ya kuickiliz hii nyimb nkawa ciijui jina nmeangaik san kuitafut,😄😄😄
Heshim kwenu watumish wa MUNGU 🙏
Amen ubarikiwe
Aaaaah nimependa hapo alipoanzia ambwene Ni fire Hongera Sana Madam Wangu wimbo mzuri mno
asante sana
mimi pia
Mimi happy alipoanzia Ambwene,nausikili kwa ajili ya happy.
Ni kweli Ambwene level nyingine, Lakini na huyu dada kaimba ki unique unique vile ikawa poa.
Pamebamba sana hapo kwa Ambwene, GIZA, MAWE, NYAVU, MISUMARI kamwe haitanasa miguu yangu
Na shukuru Mungu kwa huduma hii amboyo ame wapa ninyi.nime barikiwa sana na nyimbo,ambwene mubarikiwe na bwana
Yaaan nataman ningekuwa mm nabarikiwa saana kweli nipo nurun
Wooooow, Dada Entu ninakupendag bureee, Mungu azidi kukupa mafunuo nyimbo iko vzr mnoooo everrr.
asante sana
Mama fatha umetisha mnoo dada yangu songs mbele mungu hatakuacha 👏👏👌👌
Nimependa sana umenitia moyo kwa wale wanaoniandama
Niko nuruni bila shaka lolote. Ndani yangu kuna Neno, nuru ya kila jambo na maisha yangu. Sifa kwake Bwana Mungu.
Dada angu umeimba vzr kwakwel sikuusikiliza wimbo vzr umeimba vzr my dear
Ambwene i love u man of Jesus
Umeimba vzr sana dada nimejikuta nimekupenda burreee
Nimebarikiwa sana..... nimemkumbuka rafiki angu marehemu alinitumia kipande alichoimba Ambwene
Watakuja njia moja, watatawanyika kwa Njia saba. Wale waliotumwa kunidhuru watalia
Ambwene , hongera Sana, umeubeba Sana huo wimbo , hyo dada bdo aendelee. Kufanya mazoezi atakuwa fresh
Ambwene uuuuuuh your blessed bro hiyo decoration uliyoweka Mungu akutunze Umenogesha wimbo mnoo ujumbe mzuri na umeeleweka...am speechless
🎉🎉🎉🎉🎉 ambwene kutisha sana wimbo huu
love you my brother Ambwene kipengele hiki ni hatari kimenigusa
Nimehisi kubarikiwa, Ambwene umeimba maneno mazito sana, Bwana awatunze watumishi Wa Mungu
Nabarikiwa sana na kazi yako Ambwene Mungu akupe miaka mingi uzidi kutufundisha barikiwa sana
Nyimbo nzuri kweli kweli ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
Niko NURUNI ee bwana wangu
Entujael hukufanya makosa kumshirikisha ambwene kwenye hii song
Wimbo umenoga kuanzia hapo kwa Ambwene,nakushauri kaka kabla hujashirikishwa kagua Kwanza mazingira ya mwimbajia anaetaka kukushirikisha maana looo
Ubalikiwe sana MUNGU wa mbinguni akubaliki sana
Nimebarikiwa mno, Kazi za mikono yenu ipate kibali zaidi mbele za Mungu aliye Mbinguni
Barikiwa
Ubarikiwe saana sana dear kwa ujumbe mzuri sauti nzuri.. hakika hata mimi nalindwa bure
Ambwene sauti yako haijawahi niacha katika huzuni,,,, barikiwa sana
Kwel kabisa
Amen,,, Kwa kweli Mungu akubarikie Obadia
Wow giza, mawe, nyavu, misumari kamwe haita nasa miguu yangu
Ubarikiwe sana na hongera pia
Ameeen
Kiramtuu kaimba jamani kasoro nikorasi aiko poa kabisa
Bwana azidi kkubariki katika kazi yko
Ambwene fireeeeeeee
Abwene mungu akubariki kuinua waimbaj wapya kam huyo dada wimbo umeunogesh sana abwene ubarikiwe mpk ushangae
Giza, mawe, nyavu ,misumari, kamwe haitanasa miguuni mwangu wamekoma wala hawatapelekeana zawadi♥️♥️
Weeee msangi Hatariiiii sana hiiiii kitu ni tibaaaaa
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU nabarikiwa xana na huduma yako
Ambwene wewe daaah🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Jmn huu wimbo umenibariki sana.kaka ambwene mungu akutunze
Ambwene anaimba kwa unyenyekevu kwa Mungu,
Ubarikiwe
Hongera sana mtumishi....
Amen..nabarikiwa sana..dada na kaka mbarikiwe sana nawapenda..Mungu awainue
Ambwene kAfanya makubwa humo an kwamba giza,mawe,nyVu haxitanasa miguu yangu.
Hallelujah nitapita katikati yaoooooooo!!!
Piga keleleeeee kwa BWANA!!!!
Barikiwa kwa ujumbe mzuri
Kazi nzuri sana ubarikiwe
ameeeen
Barikiwa sana mtumishi kazi ni nzuri
Nyimbo nzuri mama wa mie
Wimbo unabariki Sana. Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu.
Kazi nzuri best Mungu akuinue
wimbo ulionifanya ni-subscribe kabisa kwa mengine mazuri
Naipenda sana.giza Mawe nyavu misumari kamwe haitanasa miguu yaangu.pana nguvu Sana hapo mahali.
Mpaka Shetani anashangaa, Mungu awainue wengi zaidi kupitia kwako Ambwene, Mungu anajivuna kwa Shetani kupitia nyinyi mnaoimba Uweza wake kwa wanaomtumaini.
Watakuja kwa njia moja watatawanjika kwa njia saba ubarikiwe madam
Kawimbo kananibariki hadi raha,hasa kipande alichoimba abwene,
Hongera sana dada na kaka ambwene MUNGU awape afya njema ila alipo imba ambwene kaimba kipisi kidogo mno
Jama huyu ambwene kila nkimsikiliza najkuta kuna kitu kinanijaa moyon hata yan ananifrahsha sana nakupenda sana broo daah nabarkiwa sana japo cjaokoka bado naamin nakarbia
Kwakweli nyimbo zake zina upako sana
Fanya uokoke kaka
Unasubiri nini frank mbogo
@@asteriankwera9317 mdogo mdogo c unajua hadi moyo uamue
Ameeeeeen ni ta pita kati kati yawo 🖐️🖐️
Daaaaa sina neno la kusema kwenu ninyi ndugu kazi imenibariki wacha niseme MUNGU NI MWEMA
Ambwene jamani❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤🙏 mbarikiweee sanaaa
Watachoma mahindi sana wanaoniwinda 😊
toa kazi collegement umetisha balaaa
Mbarikiwe mnoo watumishi wa Mungu
amen
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki.
Mungu akubariki mama yangu kwa kuihubiri injili
Kaka Ambwene Mungu anajua anavyoweza kukubariki
Wimbo mzuri kweli Mungu akuzidishie dadaangu
Barikiwa sana na jehova
Entujael Msangi na Ambwene, asanteni kwa huu wimbo. Nafsi yangu inazidi kuimarika. Naucheza huu wimbo on replay. Mzidi kubarikiwa
Ameeen
Wimbo mzuri lakini ulizovaa shingoni zina ishara zake ambazo sio za kiungu(mungu)
Hongera ila kakumeza Ambwen
ndio maana ya kumshirikisaha
nilijua amenizidi
Barikiwa mtumishi Mungu akuinue
Wimbo Mzuri sana
Oooh amina
MUNGU akubariki Mtumishi wa MUNGU abwene unachokiimba ndio maisha yako! MUNGU akutunze
This is a rich song musically and message.. bless you.
Kaka unasauti nzuri sana,barikiwa Ambwene.
Barikiwa sana