AJABU YA MASIMAMO WA DR.ISLAM NA WANAFUNZI WAKE/ACHA KUWAZULIA UONGO WANACHUONI MCHE MOLA WAKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 27

  • @athumanikagimbo3396
    @athumanikagimbo3396 3 месяца назад +2

    NAMUOMBA ALLAH AMUHIFADHI SHEIKH WETU KIPENZI ABULFADHLI QAASIM HAKIKA TUNAJIVUNIA SANA UWEPO WAKE ALLAH AMHIFADH NA AMKINGE NA KILA BAYA

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 3 месяца назад +3

    KASSIM mafuta mjibu bachu kama manamume wakweli kimnya ukiamka doctor doctor bachu anataka umjibu naona unajihumuza

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 3 месяца назад

      Bachu ni kifaranga ambaye ata mbawa hajaota mwambieni akasome kwanza

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 3 месяца назад +2

    mbona ww humjibu bachu mjibu bachu kwanzda ni chuki ndio yakusumbua ni kweli unachuki maneno yako yaonyesha wronged kwa chuki

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 3 месяца назад +2

    Mm sijawahi kumsikia Duktuur hata siku moja akijibizana na Hizbu salaf hawa sijui kwa nn nyie huwa munapenda kuwadanganya watu kwamba Duktuur huwa anajibizana na nyinyi! Acheni hasad jamaa.

  • @MzukoZaki-i8y
    @MzukoZaki-i8y 3 месяца назад +2

    yoyote anayemchukiya Abdul FAdhil Kasim Mafuta Allah amuhifadhi na ampe maisha mingi kwakunibainishia mashehe ambao wamepinda

    • @MzukoZaki-i8y
      @MzukoZaki-i8y 3 месяца назад

      bassi ampe moyo mzuri na aifahamu dawa

    • @MzukoZaki-i8y
      @MzukoZaki-i8y 3 месяца назад +1

      Acheni chuki na uwaduwi juu ya Shekhe Kassim Allah amuhifadhi fahamuni huyu ndie tegemezi yetu katika dawa

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 3 месяца назад

      Katika walio pinda basi huyu Mafuta ni namba moja

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 3 месяца назад +3

    kasimu mafuta anatafuta Kiki zakishamba mjibu bachu doctor kwanza maaana mabosi WA doctor wewe hawakukubali Maana tapeli tapeli maaana qasssim Acha na docta ushamwita hizbi SASA ACHANA naeeeee NAO Kiki yako imebakiw Kwa doctor bachu anahitaji majibu yako Kwa muislamu nai doctor islam na bachu muislamu anahitaji majibu

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 3 месяца назад

      Shk kasim allah amuhifazi hawezi kumjibu kifaranga cha ndege ambae ata mbawa hajaota aote mbawa kwanza kisha atajibiwa

  • @IsmailGavara-n9p
    @IsmailGavara-n9p 3 месяца назад

    Dini ni dalili majamaa sio madai bila dalili. Hapa dr islam ni ajibu hujjah kwa addillah shar'iyyah ameyatoa wapi au nani aliemtangulia....hivyo tu masalafi twasubiri atueleze sio kukurupuka tu wacha ujinga hii ni dini bro. Abul fadhil qasaim mafuta Allah amwifadhi namfatilia sana nko Kenya Nairobi

  • @IsmailGavara-n9p
    @IsmailGavara-n9p 3 месяца назад

    Anae sema huyu baba atakufa tunamuuliza sisi masalafi wa kenya kwani abul qasim hafidhahullah ni babako???

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 3 месяца назад

    ww ndie wakwanza kukataza wafuasi wako wasimsikilize nawewe kilasiku wamsikiliza unakua kama makuraishi walivyo kua muogope allah

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 3 месяца назад

    Unaulizaje kiziwi wako... Alafu unatunga maswali kulingana na unapotaka ww. Alafu ww ukiulizwa unasema ooh c jibu wasokua rikalako. ama unawivu na shahada yake nawe nenda ukasome utapata tu... Lkn ebu Sema kwa sauti yako kuwa Huna uongo n ukanasihiwa na hukukataa. Ebu tuone

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад

      @@rashidandayi5514 ni sahihi ductur akwenda madina kuchukia uductur sababu ya kurumbana na wajinga kama hawa,bachu tuuh kamshinda kihoja anakazana na ductur. Haitatokea kamwe doctor islamu ashushe heshima yake kujibizana ovyo ovyo atakuwa anaishusha hadhi shahada yake atajibu inapo itajika kujibu so marumbano na mipasho ya mafuta

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 месяца назад +1

    unayejiita user ,unacoment yale ambayo huna elimu nayo,sheikh abul fadhili anayetea dini!fatawa aliyokuja nayo ductuur wenu eti u anaweza chukuwa elimu kwa watu wa baatwil ni fatawa ya baatwil!!

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +1

    Huyu baba atakufa huku anamuwaza doctor islamu, hakki ya mungu yani ilmu yake anaitumia vibaya kama jinamizi fulani hivi limetumwa kutukana watu, huyu mtu na genge lake ni madhalimu wakubwa na wameleta fitna mpk baazi ya wanazuoni wamelitungia vitabu kundi hili, yani labda ahamini akhera na kumuogopa allah na kwamba ipo siku utafufuliwa mtu anae muogopa allah hawezi kuwa fitinishaji kama ww unajiona maasumina, tunamuomba allah atuongoze sisi na ww wallahy ww huyu shkh hata akifa, hakuna hasala yeyote atakayoacha chuki na kumsakama doctor islamu,huna ilmu ya kufundisha sema watu wakuandikie vipengele, kukicha kusengenya watu kukicha doctor islamu, heeeeee kakuchukulia nini ww mbona unagubu kifuani hapo, uislamu gani huo ulosoma wew???

    • @RamadhanMusa-ep1me
      @RamadhanMusa-ep1me 3 месяца назад

      Mche Allah na usiseme kama sio kheri. Vita ya wasomi iache kama ilivyo

    • @RamadhanMusa-ep1me
      @RamadhanMusa-ep1me 3 месяца назад

      We hauzioni hojja hawa hawagombani wanarumbana kwa hojja ni elim hii

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 месяца назад

      Haya

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 3 месяца назад

      Upumbavu wanachuoni wangapu wamekuwa wakiradiana wewe kama hujielewi ondoa comments za ujinga hapa

    • @Dawah99
      @Dawah99 3 месяца назад

      Kwahiyo na wewe pia ni wale wanaochikua ilm kwa shaytwan? hemu tujibu tafadhali.