Wacheni mungu aitwe mungu kwa kweli mungu ni mungu abadiliki tena yeye nimungu mwenye nguvu kwake yote yawezekana...wimbo huu uwa yanifariji sana moyo ubarikiwe sana mtumishi wamungu mungu akutie nguvu siku zote uzidi kueneza ijili zake pande zote zainchi amina??
Acheni mungu aitwe mungu...n mungu azidi kunilinda katika maisha yngu y sasa n y baadae..Amen
🎉🎉🎉❤❤ MUNGU akubariki Muimbaji kwa ujumbe wakutia moyo
God bless you mimi E unice
Mungu atabaki kuwa Mungu,, be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
njia zake ni juu saaana nasema hazichunguliki matendo yake yanatishaaaa🙋🙋🙋 mipango yake ni salama🙋🙋🙋yasiyowezekana kwa binadamu kwake yeye yawezekana
Mungu nimukubwa sana❤❤❤🇹🇿
Amen nice song keep up the good up the work yeah God is good at all the time
Barikia xna man of God.....for this songs of urs hunibariki xna
Wacheni mungu aitwe mungu kwa kweli mungu ni mungu abadiliki tena yeye nimungu mwenye nguvu kwake yote yawezekana...wimbo huu uwa yanifariji sana moyo ubarikiwe sana mtumishi wamungu mungu akutie nguvu siku zote uzidi kueneza ijili zake pande zote zainchi amina??
K.kkmkkkkkk0
Aminaaaaaaa
Mungu ni mkuu na asiyependelea yeyote kama binadamu
Acheni Mungu aitwe Mungu, wimbo mzuri sana hongera sana kaka william
Jesus Christ is indeed God..... Being blessed in the big way....
Asande kwawembo poa nkwamba mungu ada Baki mungu skuzode amen
Amen mtumishi wimbo wa kuguza moyo kweli barikiwa sana Mungu wetu hashindwi kamwe
Very powerful song and truelyGod is always God he will never change
God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Acheni mungu aitwe mungu hii song inanishika roho Sana especially nikumbuka penye mungu amenitoa
Ni mungu wakuabudiwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉sio mwanadamu
Huu wimbo ni kama unaongelea Mimi, may the glory be to God
Poleeee Sana my dear
Mungu yuko na mamlaka juu ya kila kitu hapa duniani! Uwezo wote ni wake na kweli hafananishwi na yeyote
Asante ndugu William,kweli anavyowaza Mungu sio vile mwanadamu awazavyo.... Ubarikiwe hata Sana.
Amen frère William que Dieu te bénisse te protège et su il y aide au nom puissant de Jésus Christ Amen
mungu aitwe mungu be blessed man of God
Love from Kenya God bless you man of God
hafanamishwi na yeyoteeeeeee💃💃💃💃💃💃💃💃ni mungu wakuabudiwaaaaa
I love your songs Mr Willam
Naipenda Sana hii nyimbo God bless you my friend
Hallelujah..He is miracle working God
Mungu akupe nguvu zaidi katika kazi unayoifanya
wimbo huu unanikumbusha pale alipokuja iringa PHM MKWAWA tulienjoy sana barikiwa mno kaka William yilima kwa huduma yako
Barikiwa sana ndugu
Be blessed servant of God
Amen ubarikiwe sana ndugu yangu.
Mungu ni mungu tu akuna❤❤kama yeye❤❤ yeye ni mwanzo❤❤❤ tena❤❤ mwisho❤❤❤
Thanking God for His faithfulness and healing. Wacha aitwe Mungu
iyo nikweli acheni mungu aitwe mungu mubarikiwe waimbaji nimependa Sana mwimbo wenu aminaaaaaaa
Iko sw kbs
Amen amen 🙏mungu ni mungu barikiwa kabisaaa
Amen 🙏 wimbo nzuri sauti tamu ❤❤
Kila ulimi ukiri Yesu ni Bwana,acheni Mungu aitwe Mungu,barikiwa sana kwa wimbo wakututia Imani.
Kweli ni mungu mwenye uwezo hakuna kama yeye
NI mungu niko sure wanadamu wameshindwa kumaliza Corona mungu ataifagia amen iyo ndo maombi yangu b4 this year end in Jesus name Ata silali
Amina baba,yeye ni kila kitu Mungu akubariki sana
nice songs always blessed mei God comforts u to continue praising him with sweet songs
AMEN may God use ed lift u higher end higher I know through this song imeponya wengi kuinua na wengine kufikwa heshima be blessed
Of course yes
Anastahili sifa🧡❤️❤️🧡👏👏💃💃💃🌍
Hallelujah hallelujah hallelujah glory be to our almighty God 🙏🙏😭😭😭
Amen yeye ni mungu 👏👏👏👏👏
Acheni Mungu aitwe Mungu maana matendo yake yatisha🙏🙏🙏
Congratulations mr William
Aliweza na bado na Yuko imara.never lose hope.
Powerful songs, acheni mungu aitwe mungu,am blessed,
The sms is for me . Have seeing the hand of God working in my life .
Thank you Jesus .
Amen mungu ni mungu afananishwi na chochote
acheni mungu aitwe mungu.... amen am blessed.
barikiwa Sana wacha aitwe mungu amenitoa mbali abadiliki kamwe wacha aitwe mungu
May the Lord Bless you richly Servant of God
Be blessed mtumishi wa Mungu
nakubali sanaaaa yilimaaa na wimboo wakoo acheni mungu aitwe mungu ubarikiwee na mola
Mungu aendelea kutumia kwa maisha yako daddy God bless you..
May God bless you... your songs are blessing.
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙌🙏🙌🙏🙌🙏🇺🇬 and 🇸🇦🇸🇦
Wacheni Mungu aitwe Mungu KWA kweli yeye hafananishwi na yeyote Barikiwa sana Huwa wanibariki tu sana.
Ameen acheni mungu aitwe mungu maana nilikotoka mungu pekee ndiye awezaye pokea sifa na utukufu yehovaa
Mungu ni mwaminifu acha nimutukuze jina lake milele
Mungu ni mwema mawazo yake siyo Kama ya wanadamu ubarikiwe yalima ninajivunia Sana nyimbo zako
Kweli achen Mungu aitwe Mung,,naupenda huu wimbo,, kila nikickilza nafurah moyoni sana,,tena unanikumbusha mbali mnoo,,,,ww kimbilio la kwel
Mungu ni mkuu na ni wa ajabu, acheni Mungu aitwe Mungu
powerful song blessing my soul
Mungu akuzidshie mtumishi hakika bwana amekuinua barikiwa
Miracle working God
What A Mighty Song! Thank you Father! For Blessed Glory
Thanks again and again God
God will always remains on the thrown under all circumstances
Let the Name of the Lord, be Glorified upon all the nations
1àkkmmaaqq1ĺqkksssmkaalkkkskk1llLL
great songs may God bless u in abundance, ni Mungu astahili sifa pekee
Surely yeye ni Mungu mwenye ako.
Kweli Mungu ni Mungu,Anavyowaza yeye sivyo binadamu anavyowaza
Mungu ni mungu Milele na Milele 👏🙏🧎♀️
Barikiwa sana kaka💃💃💃Ni Mungu wasitahili sifaaa👏👏👏
Those songs are very empowering,
Wacheni mungu aitwe mungu
Ni mungu wakuinuliwa haiii n mungu mkuu
Ni Mungu. Mungu pekee anastahili sifa amen
Maki Tivo siyeshindwa
Am a Muslim and I believe mungu ni moja and kweli mungu ni mungu
Acha mungu aitwe mungu happy New year
LOVE FOR THE SONG
ni mungu anastahili sifaaaaaa💃💃💃💃💃💃💃💃
I lov the song...He is God ,He deserve to b worship..
Waja Mungu aitwe Mungu Kwa yote ambayo ametenda katika maisha yangu.
Evalyne oronyi from saudia wiliam nikisikia nyimbo zako ninapona wacha mungu hakupaliki
acha mungu aitwe mungu ata wakati huu mugumu wa corona bado atasalia kua mungu milele na milele.amen
Acheni mungu aitwe mungu ameniponya magonjwa yaliyoshinda madaktari
Acheni mungu aitwe mungu, umbali amenitoa nasema Ahsante
Mungu ni Mungu 👏👏👏
Acha Mungu aitwe Mungu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wanavyo waza wanadamu sivyo Mungu anavyo wazà in Jesus
Amen
Mungu ni mungu TU amen 🙏🙏
Hallelujah Hallelujah Amen Amen🙏
Power full song
2020 still watching...nice song indeed
Gosto muito dos louvores dá África do Sul Deus abençoe vocês
Pp
Mungu anaweza yote afananishwi na kitu kingine
We luv this song and like it us kenyans💕💕
Nyimbo hizi zinantia nguvu pale nshiwapo nguvu pia zinanfariji hakika achen mungu aitwe mungu
Acheni mungu aitwe mungu jamani.hakika hakuna Kama mungu
Muito lindo os louvores dá África do Sul Deus abençoe, eu amo muito
Ongera my broth kwa wimbo we wacha mungu aitwe mungu
Ni Mungu kweli acheni aitwe Mungu
Kweli n mungu amen