Mototo huyu anakipaji kikubwa Allah amemjalia.insha Allah mwenyezi mungu amlinde amuepushie hasad,namungu amuepushe nawale wenyekutumia vipaji vya Walio jaaliwa kuwadidimiza na kujinufaisha wao binafsi.mungu amuepushe nao insha Allah.amjalie kwa wale watakao msimamia wamjali na kumtendea haki ili nae faundar aone neema aliyo barikiwa na Allah imfae yeye na wazazi wake na nduguze pia.na Allah amzidishie hekma busara elmu na neema insha Allah.
Let's go please brothers Mun City Council we improve for kindness our by supporting you for me these My followers will be happy fourth for people they do it if i see them the message my
Mdogo wangu hata usipokwenda wcb mungu akikuinua atakuinua tu huko WCB siyo kwamungu mwamini mungu alie kutoa nyarugusu atakutambulisha duniani kote watakujua
Hivi huyo dogo si alichukuliwa na wale wa congo kina nyoshi elsadate walimtoa kwa babu tale vip karudi tena?? Kwa tale mbona wanamybisha sana huyu mtoto😂😂
Biology = biologie in french Science = science ( the same ) pronunciation ndo tofauti Kigoma dogo alikuwa anasoma kwenye program ya kikongo ambayo wabatumia french tu
Mototo huyu anakipaji kikubwa Allah amemjalia.insha Allah mwenyezi mungu amlinde amuepushie hasad,namungu amuepushe nawale wenyekutumia vipaji vya Walio jaaliwa kuwadidimiza na kujinufaisha wao binafsi.mungu amuepushe nao insha Allah.amjalie kwa wale watakao msimamia wamjali na kumtendea haki ili nae faundar aone neema aliyo barikiwa na Allah imfae yeye na wazazi wake na nduguze pia.na Allah amzidishie hekma busara elmu na neema insha Allah.
Nakubali mwanangu
Nakubali sana
Let's go
please brothers Mun City Council we improve for kindness our by supporting you for me these My followers will be happy fourth for people they do it if i see them the message my
Tunakupenda sana
Faundar in burundi bro❤❤❤
Mm nankubali sana founder talentoso jovem from mozambique 🇲🇿 sadrinho
Nakubali sana Founder Tz ❤❤❤🎉🎉🎉
Ana kubalika sana ule bro❤❤❤❤
Mungu ambariki ndogo kubali chake kiendelee
Verry smart
❤❤dogo unajitaidi kabisa❤❤🎉
Founder Tz anawazidi wasanii wakubwa wengi kwenye kujibu maswali
Dogo ni smart kwenye kujibu anawazid had wasanii wenye majina makubwa
Kweli kbs
All the way from malawi❤❤❤pamoja sana
KIGOMA NDIVY TULIVYO
Founder big up bro, from 254❤❤❤❤❤❤❤❤
Msaidie jamani mungu atawabarikini Kwa moyo wenu
Upcoming star📌🔥
Mdogo wangu hata usipokwenda wcb mungu akikuinua atakuinua tu huko WCB siyo kwamungu mwamini mungu alie kutoa nyarugusu atakutambulisha duniani kote watakujua
Anaakili saaaan 🎉🎉🎉
namkubali sanaa founder tz,ila pia Mimi nasema asome kwanza akisha maliza aendelee na mziki🎉🎉🎉
Hivi huyo dogo si alichukuliwa na wale wa congo kina nyoshi elsadate walimtoa kwa babu tale vip karudi tena?? Kwa tale mbona wanamybisha sana huyu mtoto😂😂
Namjubali sana dogo
Good
This founder Tz ni brave
Founder TZ 🎉🎉🎉
Burundi 🇧🇮 tunamupenda
Saw👍tal❤
Haki jama ni kwa kali sana
Smart sana kwenye kujib maswali🥊
Saan😊
Nakubali
hata kenya tuna ku follow tanu kwatanu FOUNDER, naomba wew tukopamoja wakati huu bonyeza kwa hii piture yangu tupate mazuri zaidi na mafunzo
❤❤ok
Tumpe dogo sapot
❤❤❤
Biology = biologie in french
Science = science ( the same ) pronunciation ndo tofauti
Kigoma dogo alikuwa anasoma kwenye program ya kikongo ambayo wabatumia french tu
❤
Kipaji og mmm tupo pamoja
Nakubal San dogo founder tz
Mtangazaji boya sana. Hili nalo ni tatizo, kuwa katika media wakati huo nauna exposure ya mambo ni changamoto sana.
Ana weza sana
Dogo jidaidi mungu atakuwaja
Uhakika found kaza shule kisha mziki kwasababu kipaji kipo
Kama unamukubali founder gonga like
kamaunamukubali founder na gonga like
Ana kipaji duuuu
Ndugu zangu mushikeni dogo
FOUNDER TZ 🎉🎉🎉🎉
Xan dg letu
Kigoma one
Watangazji ndo wanazingua
❤❤❤❤❤❤❤ 1:27
🎉🎉🎉
Mtangazaji jinga....nyooo u can't ask such questions
Sema kakutana meneja ngangarii
👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mwambiye dogo focus sana na shule
Upcoming young king 🤴 🔥
Ivi kwann watu wote huwa mnapenda kusema wasafi wasafi mnasahau kuna Konde kuna Crown wambien nako waende tu
Science imeji group kwakundi nne
Dogo yupo makini saana
Kwenye makambi ya wakimbizi mitahala tofauti
Dogo yupo vzr tupambane tu
muungeni.mtt mkono kielem.napika kikazi
Hayo maswali magumu jamani punguzeni maswali
🇨🇩🇨🇩✌️
Mtoto mdgo uyo maswali mnayo muuliza fezea
Dogo mkali sana
Dogo mkali uyo. Mtoe kimaisha
Sema mnamuuliza maswali magum mno
KISWAHILI CHA DAR KIMESHAPANDA KWA DOGO
kam yeye🤣🤣🤣 anaikazia zabibu
😂😂ww umemuelewa vibaya zabibu anasoma sana na anapita darasani sasa dogo anatamani watoto wengine waige tabia za zqbibu
Dogo anawashinda kuwajibu
Sahii
Nimewaelewa
Ahendee delete muziki na muslins❤❤❤❤
Babu tale nimemuelewa
Pambana pia shule usiache utatoboa tu
Dogo piga kazi
Na mkumbali mdogo uyu
Dogo Ametisha saana congole kwake
Dogo focus
Dogo atari
HUYU DOGO ALIKUWA KAMBINI NYARUGUSU ELEWENI
Kinachokusumbuwa nini
Mambo
S
Naombeni saport bas na mim kweny account yang ikue jamani nawaomba sana
Janja janja founder
Dogo mkal sana
Namjubali sana dogo
Kama unamukubali founder gonga like
❤vipi
❤❤ mimi sofia
@@MackErasmus-w2o saf
@@MackErasmus-w2o nambie uk wap
❤❤❤❤❤
❤❤❤