the end of road for Anita after senior dave's father declared war

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @gillianshikote6266
    @gillianshikote6266 День назад +4

    Nimekuwa huko kwa danga danga nimeckia mambo mengi sana huko

  • @philvankadenge7805
    @philvankadenge7805 День назад +3

    Sasa hiyo ndio furaha Yako,, mwanaume mpubavu,,mjinga,,vitina

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia День назад +2

    Anita ni Pepo mkubwa senior hata useme tusitukane yye tutamtukana Hadi mwisho na ukitaka kaburi ya mapema achana na hyo ngoko wa ngole called Anita

  • @FloraMeeme
    @FloraMeeme День назад +2

    Hi simo, yaani auncle wa sd alisema kila kitu, annita ni msimbufu apendi dave ndo maana anamwaribia jina

  • @jacintam3422
    @jacintam3422 День назад

    this man talked the truth ad the truth is bitter,,, sema yote kabisa

  • @JanewambuiWambui
    @JanewambuiWambui День назад +1

    Ata mimi nimechanganyikiwa

  • @EdinahMogire-d4w
    @EdinahMogire-d4w День назад +2

    Anita amekataliwa kila mahali

  • @olivialilian7212
    @olivialilian7212 День назад +1

    Dave simalaya kamawewe bibi ykeni annita hahamlie damu

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 День назад +1

    Davii wetu baraka amepewa from home and God

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 День назад +2

    Annita chochote amefanyia davii kitamramba mwenyewe na maisha yake

    • @olivialilian7212
      @olivialilian7212 День назад +1

      Akunakitu. Amefanya ni love namahali wametoka dave akosawa

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara День назад

      mtashangaa anita akiprogress,kimrambe dave big time na wambo wake

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara День назад

      hakuna kitu anita amefanya niku move na inawasha watu wengine kama pilipili choma.

  • @trizahcate9582
    @trizahcate9582 День назад +1

    Hello Minster Simeon ,Do you remember what Mtume told Amina Dangulo concerning Dave's Case, and also said kikulacho kinguoni mwake so the truth is out Anita has been the betrayer in Dave's Studio and even Using Dave's money to betray tarnished his name na kukosanisha Dave na wafanyikazi.

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara День назад

      pia anita ako na pesa zake,cz ako na channel take pia

  • @PaulineNdirangu-ys1jv
    @PaulineNdirangu-ys1jv День назад +1

    Ya kuinulia Dave wetu kisu na kutusi pastor Elijah

  • @lizbethnkarara
    @lizbethnkarara День назад

    Mali ngani dave ako naye, they married akiwa bodaboda guy, now mnasifu kama ako millionaire yet kila time ako live akiomba msaada. Anita pia ana make pesa zake. wangole amekupea spirit of hate.

  • @FelistusLya
    @FelistusLya День назад

    We have heard all ni uncle not Father

  • @Morgan-k8q
    @Morgan-k8q День назад

    Sasa ndio utasikia mtu mahali akisema aty anko ya dave alitaka tu kutrend ndio watu wajue yye ni anko wa davr
    bt si hii hvyo ni vile hyu mzazi ameona uchungu yenye hyu mtoto wao amapitia so hyu anita anaharibia mtoto wao jina na maybe anita alipata dave akiwa na channel you tub so ni vibaya sana kufanyia mwenzako hivo😢😢😢

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 День назад +1

    Yes well said annita ni hypocrite but ya dunia hulipiwa hapa duniani tutacheka akilia bila huruma

  • @NuruNdegwa-yg2bm
    @NuruNdegwa-yg2bm День назад

    Pia mm nikocoast but uwa sipendi kudate mcoast na ata kuoleka naomba nsioleke na mcoast mwenzangu

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 День назад

    Watu wa familia wakianza kuingilia sasa its getting worse😢

  • @Ruthmpoa-sv9ul
    @Ruthmpoa-sv9ul День назад

    Ata huyu anaongea juu ya annita si yeye pia alikua anamtaka ni venye tu alikuwa na Dave sai najua anafunikatu Dave na mavi ndio asijue nkt

  • @Ruthmpoa-sv9ul
    @Ruthmpoa-sv9ul День назад

    Hizo yenu ni Maugo.sasa anita mschana mdogo na nyinyi wanaume wakubwa mnampigania nini. Wacha uwivu kwa mschana ya wenyewe nyinyi ndio anapoteza Dave.kichapo kina kuja na kitaanzia na wewe.

  • @RechoIndeche
    @RechoIndeche День назад +3

    Wewe Wacha uchungu Annita na Dave walipata mali pamoja wewe tunajuwa unaatafuta content

    • @Simeondci
      @Simeondci  День назад +1

      Wewe kwenda uko

    • @rachelranyawa8866
      @rachelranyawa8866 День назад

      😅😅😅😅😅merry Christmas .​@@Simeondci

    • @rachelranyawa8866
      @rachelranyawa8866 День назад +1

      Weeee no weapon is formed against Davii will prosper in the mighty name of Jesus Christ Amen

    • @abdullahiabdi4727
      @abdullahiabdi4727 День назад +1

      @@Simeondcieeee mwambie aende zake😂😂

    • @rachelranyawa8866
      @rachelranyawa8866 День назад

      Tunamkemea Kila siku Hana mamlaka .....

  • @gracegigi2773
    @gracegigi2773 День назад

    danga danga aliacha show za watu wakona miguu za ng'ombe?

  • @aminasalim7429
    @aminasalim7429 День назад

    nilisema pia, annita uko kwa dave but anataka mali ya dave, shindwe, kemea kbsa semion

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara День назад

      mali ngani, walioana wakiwa watoto dave akiwa bodaboda guy, she makes money as well ako na youtube yake pia. kama ni hiyo gari anita contributed more % kuliko dave fuata story

  • @kagonyamorine7829
    @kagonyamorine7829 День назад

    Fake ,,,,,fuatilia sd na annita videos before, mali walitafuta wote ,annita ni hardworking woman amesupport dave financially thats y dave anapenda annita , mbona mvunje hii ndoa ? SD NA ANNITA WAMETOKA MBALI SANA

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara День назад

      tell them anita alikumbali kuolewa na maskin dave akiwa bodaboda guy,wengine wetu hatuzi