WAZUNGU WAONGOZA ZOEZI LA UOKOZI "WAFUKUZA WATU WOTE ,WAMEVUNJIKA MIGUU ,HAKUNA ALIYEKUFA MPAKA SASA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 61

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Месяц назад +2

    Jeshi piga bakora hao wapange mstari wabebe mawe na matofali mkono kwa mkono hapo,tupo mbali wana wa kariakoo moyo unaumia ,tahadhari majumba jirani wanajazana kupita uwezo plz ,mungu wape nguvu wote inshallah

  • @JeanMarieMulindwa
    @JeanMarieMulindwa Месяц назад +6

    Kwamaoni yangu ningekuwa nauwezo Hapo ndilo sehemu ningeleta gari la polisi lakuwamwagia maji yakuwasha ili waondoke kazi yakuokoa watu ifanyike mapama . Heri nilaumiwe badaye lakini niokoe watu wanaoitaji msahada. Kunawatu wangepona lakini watakufa kukosa kupumua sababu ya kubembeleza watu waondoke na awaondoki.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Месяц назад

    Huyu jamaa anaonekana wa Kawaida lkn namuelewa mno Asante sana kwake

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 Месяц назад +3

    Hao polisi hawajui kama ni wajibu wao kuondoa hao watu hapo hadi wakumbushwe wajibu wao? Na watanzania kwanini wanapenda kwenda maeneo ya maafa kushangaa?

  • @MosesMtambo-f6h
    @MosesMtambo-f6h Месяц назад

    Poreni sana ndunguzangu inasikitisha sana

  • @Justinamwakajumba
    @Justinamwakajumba Месяц назад +2

    Kweli mzungu kaongea kitu kizuri

  • @majomasliman7856
    @majomasliman7856 Месяц назад

    Lete I WA China 😭😭😭😭

  • @RhodaYohana-s3y
    @RhodaYohana-s3y Месяц назад

    Poleni sana mungu awatangulie😭😭

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 Месяц назад +7

    Upuuzi kabisa, hii inchi haifai hata kidogo. Tunalipa kodi kwa wakati, city service leavy pia. Ukichelewa unalipishwa penalty. Sasa inakuaje katika ukoaji wa wafanyabiashara inakua ngumu

    • @akimuabdallah8039
      @akimuabdallah8039 Месяц назад +1

      Hama nchi tafta nchi Yako uishi uko acha ukenge

    • @taflamohsin2195
      @taflamohsin2195 Месяц назад

      Ni kweli kabisa tukio limetokea mapema sana,na hao waokoaji wamekuja hawajui wafanye nini,hawana vifaa,kwa kweli inasikitisha sana, ila tu tunaomba Mungu awasaidie ndugu zetu, na walotangulia mbele ya haki Mungu awarehemu na awape subra wafiwa wote,hata sisi tumeguswa sana na tukio hili.😭

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Mnataka jitihadagani jamani kazi inataka mbinu na maarifa makubwa kuzidi kuwaacha waendelee kuishi

    • @hassanmtengevu54
      @hassanmtengevu54 Месяц назад

      Usiropoke brother kumbuka hiyo ni professional angalia watu wanavyoingilia kazi za watu hapo wataalamu wanafanyaje kazi eneo Hilo hapo ,

    • @hassangasaba4565
      @hassangasaba4565 Месяц назад

      We hujitambui nchi kama Tanzania haiwezi kukaa bila cranes hapo jijini , hapo cranes ndizo zingetoa vifusi.
      Shame on you my brother unatukana hujui haki yako kwa serekali.​@akimuabdallah8039

  • @HamadRashid-g9b
    @HamadRashid-g9b Месяц назад +1

    Hii inasikitisha sana😂😂😂😂😂

  • @Zuungu
    @Zuungu Месяц назад +1

    Mungu asaidie

  • @eliasmpozamarira2536
    @eliasmpozamarira2536 Месяц назад

    Poreni sana wenzetu wa Tanzania 🇹🇿

  • @hassanmtengevu54
    @hassanmtengevu54 Месяц назад

    Huyo mzungu ni fire and rescue volunteer from hamburg ujerumani Yuko zimamoto ilala field hpo

  • @OmAn-y2h
    @OmAn-y2h Месяц назад

    Mungu wasaidie

  • @AsiaMsenga
    @AsiaMsenga Месяц назад +4

    Watu wengine hawajuelewi jamani mnawachosha waokowaji wanashindwa kufanya jambo la msingi

  • @AnthonyKisaganya
    @AnthonyKisaganya Месяц назад

    Poleni sana

  • @Tinnah-c6v
    @Tinnah-c6v Месяц назад

    Ni kweli kabisa watu wasogee wawaache waokoaji wafanye kaz zao vizur

  • @zashiyzashiy7922
    @zashiyzashiy7922 Месяц назад +3

    Jeshi la Tanzania la kisenge sana mpaka mnaongozo na raia wakigeni

  • @NeemaJuma-t4g
    @NeemaJuma-t4g Месяц назад

    Pole sana 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u Месяц назад +1

    Waandixhi wa Habari wanafukuzwa iliwasijue idadi ya majeruhi na waliopoteza maisha

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 Месяц назад +1

    Umtoa mbongo asiyehusika eneo la tukio ni sawa na kung'oa kisiki cha mbuyu. Hapo kila mtu ana lake kichwani.

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth Месяц назад

    Wazungu?

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 Месяц назад

    May God protecting them people in there?

  • @GraceMpanda-y8r
    @GraceMpanda-y8r Месяц назад

    Ila binadam muda mwingne tunakosea asa kwa nini watoke2 ili hata mtu anaeokolewa huko anakuwa napata na hewa jaman mbn huruma amna

  • @AbdullwahabAbdullqadir
    @AbdullwahabAbdullqadir Месяц назад +1

    Kiufupi jeshi letu la uokozi ni heri lihamishiwe kwa jeshi la wananchi

  • @leahkarangi960
    @leahkarangi960 Месяц назад

    Sasa hao wanaojaa hapo wanataka nn jmn?!kwann was iache nafasi wengine waokolewe😢😢😢😢

  • @PaulOdongo-ze8kg
    @PaulOdongo-ze8kg Месяц назад

    Kwenye Ajali jeshi slo hila kwenye mandamano wako fasta

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi Месяц назад

    Subhanallah 😢😢

  • @AnnaEdward-w3u
    @AnnaEdward-w3u Месяц назад

    Pisheni watoe watanzania wenzetu jaman

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 Месяц назад

    N kweli watoke hpo kwa usalam wao

  • @NataliaProtas
    @NataliaProtas Месяц назад

    Munguwapoke😢

  • @MbaroukKhamis-o7i
    @MbaroukKhamis-o7i Месяц назад +1

    Subha Allah
    InnalilahiwainnalillAhirajugh,uun

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f Месяц назад

    Sasa msio nakazi mwangojani hata kipande chatofar husogezi pungueni msionauwezo wakufukua hapo Hadi mnakera mmejaa juunachin pisheni wanao pambana hapo

  • @ezekielmubofu234
    @ezekielmubofu234 Месяц назад

    Hizi stupid online media zinakua kwa kasi mno

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 Месяц назад

    So sad!

  • @mosesndiwu2680
    @mosesndiwu2680 Месяц назад

    Hakika kujaa hapo kuna zuia zoezi la uhakika

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Месяц назад +3

    Eti wazungu kwani ajabu wazungu wakisaidia au ushamba wako

    • @zully756
      @zully756 Месяц назад

      Raia wa urusi kajitolea.

  • @marionkaswii9099
    @marionkaswii9099 Месяц назад

    Watu wasio na ujuzi watolewe wote pabaki Red cross na jeshi na watu mahalumu wa kuokoa majanga na wana hapari tu ndio zoezi la uokozi iendelee jamani na wizi wa Mali za watu muache muwe wastarabu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u Месяц назад

    Yani watu wamezingira wangeacha nafasi waokoaji waokoe watu vibaka pia wapo hapohapo

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 Месяц назад

    The white man is so right ! Am

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Месяц назад

    Ajali popote inatokea kwahiyo tuwape nguvu waokoaji sio kushambulia kwa maneno maana taharuki ni kubwa sasa kwani ajali hizi ni bongo tu huko ulaya pia zipo

  • @RamlaNasri
    @RamlaNasri Месяц назад

    Kila kit kinata msaada siion ajabu mzungu kusaidia

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 Месяц назад

    usaidizi upo chini sasa serekali ya Tanzania watu tangia asubui wamefinikwa na ilo jumba na nyie akuna msaada wowote wa maana mumesaidia

  • @JeanMarieMulindwa
    @JeanMarieMulindwa Месяц назад

    Watu watoke wanasababisha kazi isifanyike kwa ufasaa ivi najiuliza greda ikianzatoa vifusi itavimwagia wapi Wakati watu wapo sehemu pote

  • @MrishoMindu-zq7mz
    @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад

    Wabongo Dahh? Kila mtu anataka kua wakwanza. Kwanini msikae mbali kazi ifanyike watu chini na umia kwa ujinga na ubishi wa Watu wachache.

  • @GEDIONSOPIA
    @GEDIONSOPIA Месяц назад +1

    Aibu kwajeshi la polisi, kumbe hamwesi kitu mpaka msaidiwe na wasungu wawasaidiye kwenye jambo dogo kama hili, inasikitisha sana, nyie mnawesana na chadema2 bc.

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 Месяц назад +1

      Kwanza katafute elimu ufute ujinga ulionao😂😂😂

    • @alexmwakaseka
      @alexmwakaseka Месяц назад

      jukumu la uokozi ni la jeshi la zimammoto sasa labda iyo hafahmu​@@jumamnemo8383

    • @alexmwakaseka
      @alexmwakaseka Месяц назад

      najua kk hujui kazi za majeshi ya nchi yako utakaa kulaumu pasipo kuerewa jukumu la uokozi .

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 Месяц назад

      Wee mjinga nn? Jambo hili dogo kwa binaadamu 😢😢 haya ni maafa makubwa lingekua jambo dogo mda huu watu wote wangeokolewa

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Naskitika sana kwa ujinga ulio wagubika watu watz wezetu apo pana maisha ya watu ujuzi unatakiwa apo ukiona msongomano uo ujuwe wabongo wanpanga kuiba tu

  • @noelpalla9646
    @noelpalla9646 Месяц назад +1

    Peleken jeshi l wokozi kutoka JWTZ zimamoto hamna kitu

  • @MkaliWagoka-bz6im
    @MkaliWagoka-bz6im Месяц назад

    Ujinga mtupuuu

  • @RamadhanHassan-k8t
    @RamadhanHassan-k8t Месяц назад

    Poleni
    Sana