Hii sio hit pekee,hii ni Medicine maana inatibu matatizo yote ya mapenzi. Kusah never disappoint. This is a Banger guys. Nitasema from Best hit to Bestest jamani. Wakubuni maneno ya kiingereza wasikie hii SASA. #WASASA
That's a sign that love is between two people na tosheka na uliye nae na msonge mbele ,Can you watch that video before adding comments 🙄🙄izo zingine zinakuanga based na entertainment yaani hua hamuelewi Music ama waah that's a love song acha ujinga wewe
@@evelynealbano3206They cant becoz Kila mtu anaimba kulingaana na kipaji chake nyinyi ndio wale wakuruka kamba kabla irushwe weuh 😂😂😂tulieni angalia nyimbo ndio u judge waah mko na mbio na mnaongea ujinga tu
Upendo ni hisia tamu. Inakubadilisha kutoka ndani, hata kutoka nje. Unaanza kupenda kila kitu, upepo, maua, mchana, usiku, mwezi, nyota. Kwa hivyo uwe katika upendo milele.
I LOVE YOU GUYS 🏆❤️ ENJOY,COMMENT AND SHARE 🎶
Umeua mzee
Tunakupenda pia alafu, endelea kutia bidii kwenye kaz zako brooh.
Unaweza ukawa Dai ntafrah sana mimi shabki wako.
Good job
mrs mchina
❤
This boy Kusah, never disappoints ❤❤ we love you Kusah... Eenh bana wapi likes za huyu mwamba twende sawa 🇰🇪🇰🇪
Who else noted he has Kenyan bangle on his hand... Mob love from Kenya🇰🇪🇰🇪
faced downwards
jamani nyie mwenzenu mimi sijawahi pata like kwenye kazi zako kusah ila huwa nafatilia kazi zake mno sijui mbona sifahamiki popote mieh😌😌😌😌
Nimechelewa kigogo sorry My friends please from Tanzania 🇹🇿 naomb like ata 50
Remix
ruclips.net/video/jkLUm5FzOXg/видео.htmlsi=9vswBZriAWfXOF7F
❤❤❤❤
Adi unakosea kuandika sorry pia c kwa ubaya😊
Utapata na zaid bro
@@Silvanny_Tz love kusah from Kenya
Tunaomkubali kusah mikono juu from Tanzania 🇹🇿❤️
Asantesana
Usijari
All love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Drop Love for Kenya 🇰🇪
🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@@Kusahsasa iv tutasikia ni wa chumba😅
Wapi Aunt Ezekiel, dondosha like hapa kwa ajili yake.
Amazing 🔥 song,i love you bro,from Congo 🇨🇩 Kinshasa 🇨🇩🇨🇩 wa Congo wanao mukubali mwamba kusah nipe like zangu 🔥🔥 gunshot 🔥 Amazing
Wallai nisipompea like Nitakuwa Kabisa sifanyi poa. Nyota unayo Kusah. Pongezi na Kazi safi.
#Mbele Iko sawa Nyota wa Kitanzania.❤
Na pia usisahau na bumbuli
Uyoo dada ndio kafanya nitazame hichi kichupa black mamba 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ nimerudia kutizama huu wimbo zaidi ya mara 5 black mamba ni🍎🍎💥💥🔥🔥🔥
Waiting from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 kusa the machine lets go
I'm a Kenyan music artist and I learn a lot from you Kusah...well done ✔
Woyooooo salute kwaa watanzania wote japo wakenya mnatuandama sana shame on you majirani.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 km mnatukubali watanzania mje mlike apa.
This girl is so beautiful, African beauty......mob love from 254
The only tz artist mwenye hajaingiwa na ugonjwa wa amapiano
KUSAH be the reason i am working hard to be better than him someday,im coming my mentor 🎤🎤 inshallah 🙏🙏❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nani ameona bracelet ya kenya❤❤❤❤piga like tukiendaga
Ñakubal sanà damu yangu Mungu zaidi kuinua kipaji chako uzidi kufika mbali God bless you
Kusah nae habahatishi ,,much love from kenya❤❤
Hii sio hit pekee,hii ni Medicine maana inatibu matatizo yote ya mapenzi.
Kusah never disappoint. This is a Banger guys. Nitasema from Best hit to Bestest jamani. Wakubuni maneno ya kiingereza wasikie hii SASA.
#WASASA
🏆🙏✊
I love this song.... wanaompenda Kusah from 🇰🇪🇰🇪 and 🇹🇿🇹🇿 naomba likes zenu plz
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 you never disappoint we love hou
Sing za kussh in nxuri mnooo❤
❤Mrs.Energy all the way🥳🥰🥀
Mwamba unatisha......
Bonge la Ngoma yani
Why is no one saying Mrs energy just completed the video with her beautiful smile❤❤
Watu wa long distance relationship ii song ni yetu💃💃💃💃💖💖much love
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ndugu na Dada zangu wapi likes mnikaribishe kwa nyumba
Kusah anaonesha ukuaji kila siku🔥🔥
With Mrs energy ❤❤ wonderful nawapenda nyote
Kusa is a G.O.A.T 💯..
According to me this is a hit.
Sending love from Zambia 🇿🇲❤
No naked women,
No weed,
No swearing,
Just a good melody and classic music,
A king of Newschool is here🔥🙌🏿
This Man knows better ....can't Tz fellows see it
Ya bro simple song
ACHANA NA WEED 7383
That's a sign that love is between two people na tosheka na uliye nae na msonge mbele ,Can you watch that video before adding comments 🙄🙄izo zingine zinakuanga based na entertainment yaani hua hamuelewi Music ama waah that's a love song acha ujinga wewe
@@evelynealbano3206They cant becoz Kila mtu anaimba kulingaana na kipaji chake nyinyi ndio wale wakuruka kamba kabla irushwe weuh 😂😂😂tulieni angalia nyimbo ndio u judge waah mko na mbio na mnaongea ujinga tu
Ujawai kuferi kaka 🎉
Ngoma kali sana ujawahi niangusha mdogo wangu
Miss Energy katuwakilisha vizuri mno 💗
Kusah, hapa umefanya kazi nzuri kabisa🔥🙌👏💥🇰🇪
Wimbo mzur hujawah kosea
Waiting from Kenya kusa my crush❤❤❤❤❤
Ukweli juu ni mrembo sana ❤❤❤❤
From kenya kibao ni kikali kwelikweli kudis
Waaah kusah I really love the song congrats bro 🎉🎉🥳🥳
Kenyan bracelet to the world ❤️❤️💥⚡
🇰🇪🇰🇪mob lobe from Nairobi..this song is lit
KAKA unaweza🔥🔥🔥🔥
Upendo ni hisia tamu. Inakubadilisha kutoka ndani, hata kutoka nje. Unaanza kupenda kila kitu, upepo, maua, mchana, usiku, mwezi, nyota. Kwa hivyo uwe katika upendo milele.
Wow Setfiby humu katisha💥👏❤
❤❤❤❤❤I just love this girl how lovely she looks and the confidence ❤❤❤❤❤goodluck
Is that mr energy,,🤩🤩
Let's support my bro, anajua Kusah nakuombea Mungu akujalie maisha mazr zaid don't go back
Dah my bro umenigusa sana na hii nyimbo big up sana baki HATA NA ME NIMEFIKA NIME MUIMBIA MCHUMBA KWA GUITAR HADI AMELIA ❤️❤️❤️💯✍🏻👊🏻
😂😂😂afadhali nyinyi 😂😂😂😂😂
@@RizikiNurikwakweli 😂😢
nimeona mrs energy hapa 🥰🥰 she attracted me to this song
Nimesikiza hii ngoma more than 1000 time's for real imeniguza i love it wapi love for kusah❤❤
Nakubl brother Ujue...
Wrist band ya Kenyan broh ,much much love for your music
"kweli wabaya wapo, ila wazuri wapo"
Absolutely phenomenal sir! Kazi safi kabisq
Mi nakutambwa kusah love song doctor..
My favorite artist in East Africa.
Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Kusah top artist hit I see kenya band representing kenya Tanzania to the world
huyu wa sasa na hisi nimefika oooh good song
Wahou je valide Wandani dé puis RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 show
Mungu akujalie jmn umetoka mbali sna
Kusah hingoma ni zaidi
Ya i wish aiseee nomah hujambo sana king wa 94 sambaa finest
Nakula zangu mraatu nasubiri ngoma yko kaka
Good song hapo nisawa tu kabisa kk tumeikubali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wooooow,,, i ngoma noma sana,,, yan icpofkisha anzia 1millions view bnadam mnalenu jambo nakukubl san bro kusah god bless 🙏
Ujawahi kuniangusha my brother 🔥🔥🔥
Naomba likes zangu ... Mtanzania wa kwanza kutazama video hii nikiwa Marekani...
😍
Kusah moto wa kuotea mbali
Humo ndani mixer Mrs energy ❤️
I love this guy is singing good❤❤🇰🇪🇰🇪
uo mdada mzuri sanaa❤nataka iko kiatuu alichovaa uyo dada
nooma saana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎶
Wow Mrs energy nakupenda sana dada angu,kazi Yako nzuri❤❤
nimeona wrist band ya kenya..mkenya daima❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
hey waiting is over judt gonga likes 👍 here
Kusa never disappoint,,,,,Mrs energy you nailed it,,💕💕💕💕
NGOMA ZAKO NZURI KAKA UBARIKIWE❤💯
napenda sana nyimbo zako,,uko vizuri bro 🔥🔥🔥🇹🇿☑️☑️💖💖
This is only the only one for me who has remained in bongo flava🔥🔥 others have lost in amapiano loosing their taste of bongo flava
Vita vya wasanii hainihusu, You're my favorite sending love from Kenya
Keep it up itajipa daily 👌
Much love bro from 254 watamu mitaa ya JJC natumai unapakumbuka safi sana😁😁😁😁
Nakupenda sana baba nono mungu akubariki na kazi zako uwezefika mbali zaid 🙏🙏🤲💯💯
Habby Wang jamn Ngoma kaliii sanaaaaaa ❤❤❤❤
Wimbo mtamu❤na vixen my favorite Mrs Energy 😊❤
My favorite artist from Tz ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakimbize 💥💥💥💯💯 kaboom ☄️💥💯
Nice song na Mrs energy kafanya ipendeze Zaid
Daah yuhu mdada amecheza vizr kwenye hii bitii
Mrs energy 🎉🎉🎉
Mmmh apo ange kuwa aunt ezekier Inge pendeza sanaa
Unajuwa kaka 🔥🔥🔥🔥🤜🤛
Nyimbo hii inanifanya nipende
I like is voice because all of my friends ❤❤❤ it as well...
Hakuna km wew mzee.. Hii imeenda🎉🎉🎉
Ngoma Kali sana
KUSAH IS UNDERRATED...he is doing it
Every time Kenya and Tz "fight" on these platforms i just sit and look., staki kuingilia juu sijui kwetu ndo wapi...
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪all the way
Haka kajamaa kanajua