Ooooh... Wimbo mwingine mzuri kutoka kwa Queen mzuri mwenye kipaji kizuri... Na sauti nzuri ambayo inaupa moyo faraja ya aina yake... Nandy you are the best right now...
Tanzania and Tanzanians needs to start supporting women seriously this is just a gender issue, if it was Diamond or some male it would have been a huge deal. We need to support women not only Nandy but all the female singers out there.
Wimbo bora zaidi kutoka kwako
nakubaliana na ww
nandy ake
Dah hiyi imenikosha kweli❤
bonge moja LA ngoma aiseee keep it up dia @nandy
nandy huu wimbo nikiusikiliza hadi nalia naupenda aswa Na umenigusa hongera sana
Huuu wimbo naupenda nand MUNGU akubariki sanaaa unafundisha
Yani kuna nyimbo nzuri kama huu sijui kwanini watu hawasikilizi mziki wetu umeharibiwa na ma team
Kiukweli umetisha sichok kusikiliz nice song
Awa ndio watoto wa Tanzanian house of talent T.hT
Daaaah huyu nandy hata wakina jide wajipange na zilipendwaaa zaooo
nakupenda sana nandy unasaut nzur
nandy unajua sana una sauti nzuri pia mrembo
Hio wimbo na hipendaga kinyama yani kila siku paka nihisikilize mungu akuzidishie kwa kanzi yako nandy . bila wewe siwezi hishii dhaaaa!!!! Kali sans
nice song mrembo mwenzetu wa nguvu 😘😘😘😘
nice mumy iko vzur xn
Yaani naisikiliza hii nyimbo mara kumi kumi hongera zako nandy
Wimbo mzur yan cchoki kuusikiliza kiukwel
we mtoto ni noma zaidi ya kilo
Umetisha Dada, penda sn sauti yako..
Ooooh... Wimbo mwingine mzuri kutoka kwa Queen mzuri mwenye kipaji kizuri... Na sauti nzuri ambayo inaupa moyo faraja ya aina yake... Nandy you are the best right now...
Crab videos club videos
nice voice u are talented nandy
uko vizuli dad nandy nakukubali san
ila me niko alusha napenda sana sauti
Kiwimbo kitamu haswaaa mumy
👍 amazing voice
unajua mapenzi ya dhati nilikosa lol nandi nakupenda bure unajua my dia nice voice mamy
Nomaaaaaaa duuuuu
mi nakupenda tokea kwenye lile shindano silikumbuki jina lake na hii ndoo nyimbo yngu yakufungia mwaka coz inahusu kila verse
Tecno own the stage
we Kiumbe hatari,,sana,,,ruby ajiangalie,,,beautiful timbre,,,melodic ,,what a tessitura ,,mezzo soprano
Umeimba aswaaaaaa
i love you nandy.....keep it up bby gal,,,,
I like t mamiii... big up to you
nampenda sana nandy
nzuri mama
napenda huuuuuu wimbo
pale, "siwezi ishi ila inabidi nijifosi" dahh, speechless..
One of my favorite
Wow ujumbe umefika
Kwel msanii ni kioo cha jamii
Nyimbo nzur saut nzur everything is good....bigup cc
Nafkiri tungemuachia Ruby sauti yakee tuuu... Afu na cc tutumie yetuuu... Nyimbo nzur
unajua sana.......
Noma sana🥰
daah ni wimbo mzuri nice
Tz oyeee kiboko babu
nice song mmy God bless you
Been listening to this song since yesterday and the whole of today girl you rock my world with your beautiful voice..
nandy ur superb ✌✌✌✌✌
Daah kna galz wanajuaaa kuimba wallah
Very nice,, nyimbo nzuri watu hawasikilizi sijui kwanini
nice song nice talent keep it up nandy
Amani Chang'a all replies
this song is good....waiting for the video
nyce song.i just can't get enough of this song.av listen to it over and over again, you are very talented Nandy.good stuff
ukovizul ad aman atal
hongera dadaa nyimbo mzuri sana.
umetisha nandy nice love it
Bado unanifariji huu wimbo
👍nice music
Duuuu?love sana this songs mppppppy
umetxha San na ninogexhe,I love you
Woow so amazing...i love it you've nailed it gal👍👍
very good voice, good song from da beatufuly galy nandy....keep it up galy i cant get tired of this song anymore
Nandi nataka kukuoa, njoo Nairobi.
TaigaSoft hah hah hah
nampenda huyu dada jaman
Nice one
C'est bon vraiment i like it
Nice song
Wimbo mzuri sana I just love u even more
Ngoma ni kali kiukwel
naomba no zako nandy nahitaj kuimba na wewe my
i love you Nandy my best female musician in tanzania ever
nice song niiliona Kwa hamisa mobeto
Nice
saut mashaalh
Girl your voice ... Daaah
Tommy flevour umeua
cute..en amazing voice darling
Nice song Nandy!
Your a voice wonder nandy...big up the good work
ngoma kali hii...much love from kenya
Nandy my lovee
Wow 🔥
very nice song..👌👌👌
Tanzania and Tanzanians needs to start supporting women seriously this is just a gender issue, if it was Diamond or some male it would have been a huge deal. We need to support women not only Nandy but all the female singers out there.
Nice I love you 😍 💝
am gonna be with u bby
awesome work
Nandy mamy unafanya vizur sana but take care usiishie hapo tu ,
wen yu love someone obviously yu wil love kila kitu the sound rocks nice song
good song mamito, pliz naomba beat yake ili na mimi niruke nayo
Up there ... Top
Special talent
safi Nandy,keep it up girl
So talented @Nandy
oi nandy lv u am Minnie lv ur voice 2
nice song nandi
it rocks
i love the arrangement its a good song and its originality
you show that ur best...emprovement from gusa gusa to one day one step ahead
Nice official
Nandy verry beutffl girl
Brilliant nandy
nice
Nice
your song is so good
people let's help nandy by liking this song
Omg I love this song 😊😘💞❤
mambo motoo💞