Fidovato x Davan Trappe - Huku Ama Kule (Khaligraph Diss)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 675

  • @fidovato
    @fidovato  2 месяца назад +12

    AUDIO HAPA bit.ly/Davan-x-Fidovato-Huku-ama-kule

    • @olivermwangombe2337
      @olivermwangombe2337 2 месяца назад

      BEYONCE, KHALI ANAKUJA NA MAFUTA

    • @olivermwangombe2337
      @olivermwangombe2337 2 месяца назад +1

      Beyonce, ukilegeza kiuno na sauti utatisha Sana kwa Papa

    • @KenyanEyemedia
      @KenyanEyemedia 2 месяца назад +1

      Fala of the year 😂😂😂😂

    • @chrisforbes66
      @chrisforbes66 2 месяца назад

      WEWE FIDO VIATU OOH SORRY VATO, WE NI MJINGA SANA. You music trash bro. Khaligraph akona awards nyingi kukuliko. He got international recognition by rapping international language which everybody can understand bro. You got "WEAKEST LINK". KHALIGRAPH JONES IS THE BEST RAPPER IN TANZANIA. Wewe acha bangi nyingi.LOSER😠😠

    • @Sherlockmakarezler
      @Sherlockmakarezler 2 месяца назад +1

      Iko trash bro🚮🚮

  • @tobiasalois8045
    @tobiasalois8045 3 месяца назад +41

    THE OG MUST BE RESPECTED!🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Gwenoboy
      @Gwenoboy 2 месяца назад

      Amekaliswa

    • @tobiasalois8045
      @tobiasalois8045 2 месяца назад +2

      @@Gwenoboy Anadiss Khaligraph Ndio Ajulikane..Johns Is Undisputed Champion💯💯

  • @InfiniteIgris
    @InfiniteIgris 3 месяца назад +8

    Nikisema OG, mnasema respect..
    "OG!!!..."
    👇🏽

  • @Yuko58-duke
    @Yuko58-duke 3 месяца назад +40

    Kwa OG mmeenda sana, hata mimi pekee yangu nawaosha nyote🇰🇪

    • @CIELOKENYA
      @CIELOKENYA 3 месяца назад +2

      Swahili ain't international boys y'all need no grow up acha kiki boy fanya kazi ikuuze

    • @hamzaadrin941
      @hamzaadrin941 2 месяца назад +2

      Kama ujuwi kiswahili uwezi kuwaelewa

    • @emmkashtech
      @emmkashtech 2 месяца назад +1

      wanapiga kelele tu ,huku na huku , wacha waambe gospel😂

    • @Yuko58-duke
      @Yuko58-duke Месяц назад

      ​@@hamzaadrin941ingia kwa channel uone kama siwezi imba na swahili

    • @Yuko58-duke
      @Yuko58-duke Месяц назад

      ​​@@emmkashtechkweli kabisa

  • @saviourremungaro-qb4uh
    @saviourremungaro-qb4uh 3 месяца назад +33

    Wakenya lets gather here we support huyu jamaa wetu

  • @SalimuMwashehemu
    @SalimuMwashehemu 3 месяца назад +16

    Akuna ktu hapa, OG is the rapper of Africa

    • @Wil_thug
      @Wil_thug 3 месяца назад +1

      Watoto wa amapiano msije tutatumia baby Johnson huku

    • @fredrickotieno-iu1dt
      @fredrickotieno-iu1dt 2 месяца назад

      Hippop rank ii haitoshi we worth bìllions nigga

  • @charlesmutuku5933
    @charlesmutuku5933 3 месяца назад +34

    Respect the OG usipotaja ili jina hauwezi tamba ili jina nikaa uchumi wa nchi

  • @NelsonMambo-d3r
    @NelsonMambo-d3r 3 месяца назад +4

    Kama mziki haina khali basi haina ladha hiyo ni tasteless respect the OG's men🇰🇪💪💪💪

  • @MTENGWAONE1
    @MTENGWAONE1 3 месяца назад +117

    RESPECT THE OG YANI KHALIGRAPH JONES THE BEST RAPPER IN TANZANIA THE BEST RAPPER IN NIGERIA LIKE ZA OG NIPEWE NA WATAZANIA

    • @EDGEHILLBBKE
      @EDGEHILLBBKE 3 месяца назад

      Respect the Fkn O.G Khaligraph Jones..is the reason why this giggas's trending now😂😂😂 much love from Miami

    • @simbaedouardo8499
      @simbaedouardo8499 3 месяца назад +5

      The best chumbani kwenu we msenge vip

    • @FahadAli-ni5eu
      @FahadAli-ni5eu 3 месяца назад +3

      Chukua like baba michano gani hii

    • @eneswaggy1835
      @eneswaggy1835 3 месяца назад +1

      Anafanya nini zaidi ya kelele,? Kenya NZIMA namdondosha FID Q , mchezo unaisha mapemaa

    • @Roadman4real
      @Roadman4real 3 месяца назад

      Khaligraph gossip rapper

  • @Omahdilompa12
    @Omahdilompa12 3 месяца назад +18

    Hamfiki OG 😢tusibishane

  • @nurumelody8392
    @nurumelody8392 3 месяца назад +4

    Fido vato wewe ni mjinga bila brain. Diss huwezi wewe 🇰🇪 tuko best always

  • @IssaMollelMasaiBondia
    @IssaMollelMasaiBondia 2 месяца назад +3

    Nakubali Fido vato Nouma sana kaka

  • @mathiaspeter7024
    @mathiaspeter7024 3 месяца назад +20

    Nyimbo mbovu sijawahi kuona

    • @nickminja704
      @nickminja704 3 месяца назад

      ww n mbasha mmoko ambae uelew kitu

    • @mathiaspeter7024
      @mathiaspeter7024 3 месяца назад

      @@nickminja704 we puru tulia, hakunaga Dis Track ya ivo

    • @rae7902
      @rae7902 3 месяца назад

      😂😂😂

  • @BALOZIWAGHETTO
    @BALOZIWAGHETTO 3 месяца назад +2

    Respect the OG always,,,katika hizo bars zenyu za mtu mbili bars nne za Khalii zimeteketeza zote,RESPECT OMMOLLO🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alenike_tz5106
    @alenike_tz5106 3 месяца назад +16

    Msanii ni Ney wamitego tu wengine ni makuma tu

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @KakaMwebz
      @KakaMwebz 3 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 2 месяца назад

      Hata huyo Ney wako pia kwa OG hawezi.OG is the Best.

  • @salimmwinyi7825
    @salimmwinyi7825 3 месяца назад +28

    Ngoma wenyewe haileweki

    • @edgarAce
      @edgarAce 3 месяца назад +3

      Exactly..

    • @ISMAILMBONGO
      @ISMAILMBONGO 3 месяца назад

      Kweli bado sana kumdiss Jones hawezi

    • @gstone830
      @gstone830 3 месяца назад +2

      We mwenyewe mwandiko wako haueleweki

  • @ONFIRETV-cf4kg
    @ONFIRETV-cf4kg 3 месяца назад +6

    Mmechukua mb zangu za buree ngoma sija ielewa

  • @JohnKamau-i9r
    @JohnKamau-i9r 3 месяца назад +12

    The OG doesn't need to reply to this ...Bado chini sana ya ligi yake..😂😂😂

  • @PennyPaul-s5t
    @PennyPaul-s5t 3 месяца назад +1

    Naona machotara two coloureds wameamua mchapa og..CHUGA NI CHUGA TUUUUUUU we are who we are huku mkenya atulie kabisa!DAVAN NA FIDO BIG UP SANA MALEGEND WETU

  • @edumizzy2141
    @edumizzy2141 3 месяца назад +10

    OG amewaosha....mrudi shule vijana

  • @speaklifeafrica6681
    @speaklifeafrica6681 2 месяца назад +5

    OG MUST BE RESPECTED

  • @anombi
    @anombi 3 месяца назад +4

    Hawa Wachaga Wa Kishumundu bado hawafikii Stevo Simple Boy...ilibidi wafanya collabo ila bado.. bado sana. Respect The OG

  • @Chosen23-l5z
    @Chosen23-l5z 2 месяца назад +2

    Hawa wasee hukua chini ajab😂 ata kwa map ya EA bado mko chini yetu😂
    Respect the OG🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ihaa1
    @ihaa1 2 месяца назад +6

    You have a very long way to go, stay on your lane na achana na OG, huyo si league yako. THE OG MUST RESPECTED 🙌

  • @soulegadaffy3615
    @soulegadaffy3615 3 месяца назад +2

    @Fidovato Bonge LA Mbupu aaissee.. BIG UP LEGEND apo miamia💪🏿 michano mwanzo mwisho mama omolo anajua..

  • @TitusMutemi-y4b
    @TitusMutemi-y4b 3 месяца назад +4

    Yaani OG diye anawaweka pressure hivi wa tz duh!! Kiukweli OG always must be respected....

  • @yakstasivak
    @yakstasivak 3 месяца назад +2

    YOU RESPECT KENYA THAT'S WHY MKO NA KENYAN FLAG MMEVAA.
    Fido vato you need twenty years beyond ndio ufikie level ya khaligraph jones

  • @badvinofficia928
    @badvinofficia928 3 месяца назад

    Fido verse yako n hafifu sana
    Keti chini jipange tena

  • @GhettoGangNambaNane
    @GhettoGangNambaNane 3 месяца назад

    Bombowall

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 2 месяца назад +1

    Kali Sana hii

  • @SakibuSwaibu
    @SakibuSwaibu 2 месяца назад

    Respect OG wew fido vato bado hujui kitu

  • @Daniel-qq3zy
    @Daniel-qq3zy 3 месяца назад +3

    Hufikii OG hata kidogo OG is best in All Africa

  • @officialwachafufamily1336
    @officialwachafufamily1336 3 месяца назад +6

    Who are this guys!!? RESPECT THE OG

  • @AllyMadagascar
    @AllyMadagascar 2 месяца назад

    Ngoma Kali Sanaa

  • @jameskasololo8594
    @jameskasololo8594 3 месяца назад +9

    OG akireply huu ufala atakuwa ametuangusha class haifiki jazeni tattoo hadi kwa haga ,p diddy atazivuta

    • @DavidAxwesso
      @DavidAxwesso 3 месяца назад

      😂😂😂 si ku replay tuu kapost

    • @jameskasololo8594
      @jameskasololo8594 3 месяца назад

      @@DavidAxwesso bado hajajibu hii Ile ya kitambo ndio kamwita beyonce

  • @joxepndoro137
    @joxepndoro137 2 месяца назад

    Respect the OG 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..Alafu ushaona wapi diss track ika fanywa collaboration nyote wawili mbwa2

  • @happyjohn3088
    @happyjohn3088 3 месяца назад +1

    Hiyo sauti yako ni noma baba

  • @IssaMollelMasaiBondia
    @IssaMollelMasaiBondia 2 месяца назад

    Best song, Best video respect broh vato...

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 2 месяца назад

    Big up sana heshima,nama noma vato ni noma,waliopima wamekwama hatuogopi lawama,,,kama noma tokea tunasomaa,

  • @AntoSafari-n5k
    @AntoSafari-n5k 2 месяца назад +1

    UMEKUTWA WEWE MKIA WA KIDULE , WACHA KUTUPIGIA NGENGA ZAKO OG 👑👑NDO YULE MSEE KINESI CHA NGURUWE🫥

  • @issamushi6389
    @issamushi6389 2 месяца назад +1

    Nimemuelwa saana fido ukweli mtupu humu bg up bro

  • @SamuelDzombo-j2x
    @SamuelDzombo-j2x Месяц назад

    Hakuna kitu hapa..

  • @willyjohn8488
    @willyjohn8488 3 месяца назад +2

    Marc Cortex alishasema East Africa OG ndio King 👑 wao wengine ni mawanabbe

  • @petermkindo456
    @petermkindo456 2 месяца назад

    Hafifu Sana.

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile 3 месяца назад +4

    Mimi nim🇹🇿🇹🇿 ila fido vato humwez khaligraph yule nikama ahemagi

  • @fittyblack2549
    @fittyblack2549 3 месяца назад +1

    Dope track🙌🙌🙌 +254

  • @jflycommanderhofficial
    @jflycommanderhofficial 3 месяца назад +1

    Nyinyi kabla khaligraph Jones my first bn anaweza waosha tz mzima kwa Diss Anyway ngoma iko juu sana uku Kenya tunawependa sana big up fido🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 3 месяца назад +1

    ❤nilikwambia mwaka huu Ni wako

  • @ringicnation3722
    @ringicnation3722 2 месяца назад

    Ni noma

  • @ericmuthiani1676
    @ericmuthiani1676 2 месяца назад

    Vibe kali...love and respect from 🇰🇪

  • @MrBright_B5B
    @MrBright_B5B 2 месяца назад +2

    Msianze beef hamuezi maintain,TZ hamko level yetu🇰🇪

  • @Dicedeboy
    @Dicedeboy 2 месяца назад

    Fido always your the best rapper tuilindea amani tusishikiane mitutu🔥🔥🔥👏🏿👏🏿👏🏿

  • @JohnKamau-i9r
    @JohnKamau-i9r 3 месяца назад +10

    Mrudi shule kwanza ....hamfiki moto ya OG 😂😂😂

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 Месяц назад

      Inshu ni style tu lakin kila mmoja ni mkali

  • @noOneBeMe
    @noOneBeMe 2 месяца назад

    Atar sana fido, mzungu mweusi kuma tu

  • @MwanajumaHassan
    @MwanajumaHassan 3 месяца назад +4

    Acha shobo we fido we wafkiri wewe wamfika OG Acha kujichanganya Acha uboya wewe bado ni mtoto Sana kwa game hata ufanye nini huezi kumfunika khaligraph yaani humuezi kwa kila kitu sio kwakurap sio kwa kwa maokoto Acha shobo respect the OG

    • @BlaqBobby
      @BlaqBobby 2 месяца назад

      Mwambie jamani bwanamdogo huyu amepungukiwa kiakili 😂😂😂

  • @MarcBoniphace-lj8lz
    @MarcBoniphace-lj8lz 2 месяца назад

    Good mr fido

  • @collinsnyoro1450
    @collinsnyoro1450 3 месяца назад +18

    Huu ni wimbo ama kelele tu, hata mukiungana, matusi kumtukana😂😂😂. OG bado hamumufikii. Bado sana, hamjui😂😂😂. +254

    • @johnsonlekashu7901
      @johnsonlekashu7901 2 месяца назад +1

      angalia marinda vzr bado yapo kweli una kunya kwa mdomo jomba angalia vzr mda wote tume dinda bila mkongo na tutq kupiga mtungo wewe over

    • @collinsnyoro1450
      @collinsnyoro1450 2 месяца назад +1

      @@johnsonlekashu7901 we choko tu, kwako io ngoma sasa😂😂😭😭

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 2 месяца назад

    Hakuna kitu kabisa

  • @ZainabZuena-ip5vf
    @ZainabZuena-ip5vf 3 месяца назад +3

    Bado Sana bro punchline zimezorota wataka kushindana na og

  • @fredrickogoti7460
    @fredrickogoti7460 3 месяца назад

    😂😂😂 hii wimbo peleka sunday school mzee! Shenztype!! Hauwezi shindana na ndovu kunyia! OG MUST AND SHALL BE RESPECTED!

  • @TpproGames
    @TpproGames 2 месяца назад +1

    Wewe sio soldier we ni lil boy3:18

  • @EDGEHILLBBKE
    @EDGEHILLBBKE 3 месяца назад +4

    Respect the Fkn O.G Khaligraph Jones..is the reason why this giggas's trending now 😂😂😂 Much love from Miami..! Great effort East Africa. K.Jones malo! malo!....🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @majidjuma1321
      @majidjuma1321 3 месяца назад +1

      angalia huyu sasa ame toka Miami, ku support an Artist or is it an OG? story ya Hollywood acha uko across the Atlantic. Usi ngilie Beef ya EAST Africa, concentrate uko na Mr .... hahahaha

    • @eliasaNgahehwa-l2f
      @eliasaNgahehwa-l2f 3 месяца назад +1

      Na rap ya tz ndio imemlea og

    • @alexandermcqueen.7555
      @alexandermcqueen.7555 3 месяца назад

      ​@@majidjuma1321unafagilia watu ambao Ata ngoma Zao hajijulikani mkoani nyi vipi lkin mbona mna leta ukatuni

    • @alexandermcqueen.7555
      @alexandermcqueen.7555 3 месяца назад +1

      ​@@eliasaNgahehwa-l2fimemlea kivipi yani?

  • @RichardCharo-zx3sy
    @RichardCharo-zx3sy 2 месяца назад

    Bado sana huyu kwa OG respect OG the best rapper in Nigeria and Tanzania

  • @DesayG
    @DesayG 2 месяца назад +13

    Bibi ya Jay Z , OG ako ligi ya bwana yako Jay Z, Respect The OGs All Day, and just so you know papa jones sent us hear to support you wannabe 😂😂

    • @fredrickotieno-iu1dt
      @fredrickotieno-iu1dt 2 месяца назад +1

      Iyo ni khali bana👍

    • @DesayG
      @DesayG 2 месяца назад

      @@fredrickotieno-iu1dt 😀😎♥️

  • @masumbukomoussa977
    @masumbukomoussa977 3 месяца назад +1

    Kama umeuskia mstari wa Chidi Benz kwenye hii nyimbo gonga like hapa(Umetuna umevimba ila mashine haikui)

  • @realvoky
    @realvoky 2 месяца назад

    Achana Og mi peke yangu nakuosha

  • @Nairobi.Central.Niccur
    @Nairobi.Central.Niccur 2 месяца назад

    Bado uko chini

  • @exop-r7z
    @exop-r7z 2 месяца назад +1

    Big uuuup

  • @samuelmwangi324
    @samuelmwangi324 2 месяца назад

    Hio ndio mnaita Nakala Chafu😂😂😂...Respect the OG

  • @majidjuma1321
    @majidjuma1321 3 месяца назад +1

    FidoVato !!!! droooooop it, representing Chuga in 254. Davan - much respect

  • @Mistar_Vybist_Intronix
    @Mistar_Vybist_Intronix 3 месяца назад

    Huyu Beyonce wa TZ kama alivyoitwa pale IG ni attention ya Wakenya tu anataka na ameipata finally
    But swala nyeti labakia vile vile ndugu yetu " RESPECT THE OGs"
    Na hiphop ni culture ya love usisahau na bado one love TZ👊🏾💪🏾🇰🇪🔥

  • @laxmajor
    @laxmajor 3 месяца назад +1

    FidoVato kaka angu inatosha 🙌🌄

  • @AngosoBedezoLapiraterie
    @AngosoBedezoLapiraterie 2 месяца назад

    💪🇨🇩🌟🎶💥🔥🎶🎶🎧✨✅🇨🇩🇨🇩fire boyS,ngoma tamu

  • @Beckycitizentv768
    @Beckycitizentv768 2 месяца назад

    Rap bila kiingereza hyo ni kuimbia Tanzania pekee

  • @thelegacytv254
    @thelegacytv254 2 месяца назад +1

    RESPECT THE OG,,,,khaligraph to the world

  • @Blackhawk-vh8os
    @Blackhawk-vh8os 3 месяца назад

    One love wakuu mmetisha sana jiwe la ukweli

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi 2 месяца назад

    Excellent!!

  • @EliabApeli-un4th
    @EliabApeli-un4th 3 месяца назад

    @ hao ndio marapa bure kabisa....flag ya Kenya 🇰🇪 to the world 🔥 💪

  • @felyzi254
    @felyzi254 3 месяца назад +4

    OG ❤❤ TO the top

  • @9starferuz033___
    @9starferuz033___ 2 месяца назад

    Respect 254 rappers apo sijaskia kituu nawapeq stivoo Mafii Mafiiii😅😅😅

  • @Smasherwabs
    @Smasherwabs 2 месяца назад +3

    Huyu WA homa anaimba kama amenyongwa,wueeh ata tz we huwezi bro Mimi🇰🇪 tz narespect the rostam,toxic na nay

  • @BedMos-e3r
    @BedMos-e3r 2 месяца назад

    Poleni sana muko chini kama Surwali ya Malaya

  • @keiarts7021
    @keiarts7021 2 месяца назад

    Lazima u diss papa ndo uone ka mbogi itaku discover....respect OG

  • @DesayG
    @DesayG 2 месяца назад +2

    Sasa Beyonce anatakaje surely😂

  • @livingstonemeela
    @livingstonemeela 2 месяца назад

    Fido Ni motooo

  • @excavatorman.2155
    @excavatorman.2155 2 месяца назад

    Wameamuwa kuchokoza tena...utazimwa vato #RESPECTTHEOG

  • @mnenemakweta8871
    @mnenemakweta8871 3 месяца назад

    Ni yetu hii,Imeendaaaaaaa

  • @Zakofficial-ik1ji
    @Zakofficial-ik1ji 2 месяца назад

    The best rapper in Africa OG siku zote ❤

  • @Benz_mugo_official
    @Benz_mugo_official 3 месяца назад +2

    Bongo flava ya hip-hop ... respect Kenyan flag lil biich

  • @Ruganzu.
    @Ruganzu. 3 месяца назад +5

    My advice to Khali is hii hata haistahili reply, itz not worthy the effort, kama vile kumchapa nzi na nyundo, alafu tunafaa kua proud of our country na EA, lakini vipi bendera ya Tz imefichikafichika pale, naiona imekunjwa inaonekana tu shingoni kijisehemu kidogo kidogo lakini ya Kenya inapeperushwa wazi mzima mzima mgongoni, inaangaziwa sana hapa utathani hawa ni WaKenya, infact the only thing inapendeza sana kwa hii song ni hiyo Black_Red_Green ya 254.

  • @CheakatanaKambi
    @CheakatanaKambi 2 месяца назад

    Acheni hizo kelele zenu hamuezani kwa khalgraph jones nyiyi salute kwa OG bana

  • @DirHassan
    @DirHassan 2 месяца назад

    Wewe nyimbo nzima unashinda huku ama kulee, bro Respect the OG. Lines za chekechea hizo man

  • @willsonkamau2849
    @willsonkamau2849 3 месяца назад +1

    Lazima muongelelee OG ndio mueke sima Kwa meza respect the OG

  • @mamaanyapara1170
    @mamaanyapara1170 2 месяца назад

    Hakika kubw🙌🙌

  • @HezronAyiaga-vw8kv
    @HezronAyiaga-vw8kv 3 месяца назад +2

    Fido n nani,mbona simuelewi bombooo clat😊

    • @MdogooMdogoo
      @MdogooMdogoo 3 месяца назад

      WEWE MUSKILIZA SINGELI HPAPU HUWEZ ELEWA

    • @rulimbiyesaid5907
      @rulimbiyesaid5907 3 месяца назад

      Uyu nani nae hawez ata andika vzur asee😅​@@MdogooMdogoo

  • @khalfani3566
    @khalfani3566 3 месяца назад +10

    Mziki gani hii punguza kelele tafadhali na hueshimu kenyan flag🇰🇪

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 2 месяца назад

    Respect vatoloco.
    Fidoo

  • @MohammedGayoye
    @MohammedGayoye 3 месяца назад +2

    Mex cortez alishawai kusema katika moja ya interview kwamba alianza kupata mashabiki nje ya tanzania ikiwemo afrika ya kati,,afrika ya magharibi,, africa ya kusini na Kenya kwa ujumla baada kuamua kwenye nyimbo zake kutaja taja jina la Khaligraph ikiwemo ile diss track ya "queen B" aliyomdiss msanii wa hip hip wa cameroon ambaye hata hajulikani kwenye uwanja wa hip hop humo ndani alitaja jina la OG kwa njia nzuri sio ya kumdiss...sas huyu naye Dada Vato nadhani anatafuta pa kutokea manake hata kazi zake sidhani kama hapa tanzania zinatambulika kisawa sawa...OG APEWE MAUA YAKE hatuna rapa wa kumlinganisha naye afrika mashariki kama alivyosema cortez

  • @pitterpittkorima4298
    @pitterpittkorima4298 2 месяца назад

    Just wait for the reply from the OG PAPA JONES. Itakuwa ni mazishi!!! hii ngoma ya ufala na kitoto.

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 3 месяца назад

    Ngoma kali