Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
What a great leader,yaani hii wizara asibadilishwe uwa anaitendea haki sana💪🏽🇹🇿keep up the good work
Naomba fomu
Naomben fomu
Mungu akuhifadhi sana wee jamaa
Mweshimiwa nipo hapa napenda sana ufugaji wa kuku , nguruwe na nyuki nimethubutu lakini changamoto yangu kubwa ni elimu na mtaji ndio imekuwa tatizo kwangu
Bashiru hodari sana kwa kazi yake smart siku za baadae tunataka uwe raisi wetu unajuwa ufanyaji wa kazi
Bashe your so intelligent man!
Yani Mh. Bashe wewe umeshushwa na Mungu 🙌🙌👏👏
Naomba anwani ninahitaji nafasi hiyo
Mweshimiwa sisi wafugaji je? Pia nimepoteza namba ya mkulima naipataje?
Hiyo fursa ikiwa serikali itaweka mikakati ya kuinuwa vijana na kuwapatiya mikopo nafuu kwa mkulima itakuwa ni support for young people
Sio tu uwaziri tunakuombea uhai mrefu utakuja kua kiongozi mkubwa kabsa
Jaza fomu bbt
Mbona hao waliojaza fomu hawaelewi mpaka leo kinachoendelea na mafunzo mlisema yanaanza tar 15 feb
Na walisema wanapangiwa vituo vya ku report lakin mpaka leo iv wako kimya