MAJADIDA WAVULIWA NGUO NA KATIBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @yanifaakukufaa9032
    @yanifaakukufaa9032 2 месяца назад +1

    Hii ndio shida ya majadida

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 месяца назад

    Duh mzee umekwama.
    Watu hawajui Dini yao.Uhakika haswa.N ndio mana hali zao ngumu za maisha

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад

      Ww, una matatzo ya akili ndugu, Kwa iyo hatuwezi kujishughulisha na mambo ya uchumi Hadi watu wafaham dini. Hatuwezi kuelekezana dini sambamba na kujishughulisha na mambo ya uchumi halali wa kiislam? Mbona ww unakua mjinga kias hiki? Hao masheikh wanaokudanganya eti waislam wanatakiwa kujishughulisha na elimu ya Sheria na tauhid peke yke ni wanafiki sana maana wao wanamiliki mataasisi ya kujaza matumbo yao....alafu wanawashambulia masheikh wenzao. Acha umwehu na ujinga

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Месяц назад

      Jibu kwanza iyo katiba ni ya kasim Mafuta au kasema uongo sheikh barahiyan?😂😂

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش Месяц назад

      @@HemedSerious Katiba ya nin sasa.
      sisi na katiba wapi na Wapi.??
      Kam kuhusu Taasisi hili ni agizo la Serikali la sivyo Unafungiwa Hupasw kujishughulisha Na Dini usiposajili Taasisi yako.
      Na ndio mana mwanzo Abul fadhwil alipinga jambo la Taasis kwa mujib wa Dini lakin taratbu za Nchi hakuzijua la sivyo unafungiwa kituo chako.
      Kwa hyo ikabid iandaliwe taasisi ya Uongo kwa ajili ya kutii Weny mamlaka tu basi.Lakin Sio Malengo ya Masalaf na wala hatuish kweny Mifumo ya kitaasisi yaani Uvyama Na uhizbiyyah.

  • @MohamediMsumali-m6v
    @MohamediMsumali-m6v Месяц назад

    hii Sasa sio did za waislam Kwan sofa hiz no zakijahilia
    2:54

  • @yahfatmudswiddiq2271
    @yahfatmudswiddiq2271 2 года назад

    Endelea shekhe

  • @swalehhamisi9694
    @swalehhamisi9694 2 года назад

    sheikh baraiyan , usishindane na wao nikibri ndicho walicho nacho , si kassim mafuta ni wote . wao wajiweka wema wapeponi kuliko wng .

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 2 года назад +1

    We lizee mche Allah umri umekwenda.

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 4 месяца назад

      mche Allah wewe wamwitaje hivyo au ND usalafi wenu huo unawafundisha ujinga

    • @MusaMkata
      @MusaMkata 4 месяца назад

      Wewe mzee acha uongo bhaana kwani mbn kama haumuogopi muumba wko ww

    • @MusaMkata
      @MusaMkata 4 месяца назад

      Acha uongo ww kumbuka kuna kifo lkn hii dunia tu ww

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 месяца назад

      Ujadiida unakufanyeni muwe hamjui mnachotetea

    • @issamnyoroka1361
      @issamnyoroka1361 2 месяца назад

      Amche Allah kwenye engo ipi ?, nyie wengi wenu munafuata mkumbo tu ...kikundi Cha kiuni muko mbali Sana na usalafi waukwel,munapigania maslahi kwaku muangusha mwengine ndiomana mtoto wa Bachu anawanyoosha

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 2 месяца назад

    Mche allah nani kasema sheikh hana kituo cha kulea yatima usiongee mambo isiyo na ushahidi nayo yaani jitahid uwe na tabia za kiume kwani kuongea mambo yasio na mashiko ni tabia za uke

    • @shabanimataka8418
      @shabanimataka8418 2 месяца назад +1

      Muna mahoma nyny mukiona jambo amufanyi nyny munaliaranisha kesho mukilita munaliaralisha sijui mkoje majadida

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 2 года назад

    Mzee wewe mwizi umechangisha peds sana kwa njia zs mayatima kua unalea mayatima Kumbe hulei mzee muongo mkubwa sana wewe mzee

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 2 года назад

      Umejaa kibr na uchache wa nidham.
      Mjibu kama muislam sio kama siasa hii. Duuh..

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 2 года назад

      Kiburi sicho

    • @HajiShauri-o6p
      @HajiShauri-o6p Год назад

      Duu

    • @AbdulMalik-zw1mo
      @AbdulMalik-zw1mo 2 месяца назад

      Nyinyi mshaishiwa mwamwita shekh mwiz zimliuza waqfu nacharo utawdanganya wenzio so sisi

    • @salehrashid-fx9rq
      @salehrashid-fx9rq 2 месяца назад

      Wewe unaeasema hivi ni muislamu? Kama ndie bac katika uislamu unasema hivi unapopata taarifa fulani bac kabla ya kuifanyia kazi bac hakiki usahihi wake.

  • @HajiShauri-o6p
    @HajiShauri-o6p Год назад

    Hivi vita vitaisha lini? Hebu tufundisheni dini muna tutesa wanafuxi

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 2 года назад

    Kwani mtu akisoma dini Kisha akafundishwa kwani hawezi kufanya hayo wewe mzee unamambo mengi tunakustiri tu