Lyrics Dakika moja by Nicole Ngabo Nakuja n'a ujumbe wako siku ya leo. Couple 1. Mungu angali anatenda Angali anatenda miujiza Kufumba n'a kufumbuwa Anaweza kubali mambo Sijuwe nyakati unazo pitiya Sijuwe kiasi gani zimekawiya Mungu anaweza kupasuwa njiya ili uvuke ngambo Uvuke toka inchi ya laana kwenda inchi ya baraka zako .uvuke toka inchi ya utumwa kwenda inchi ya ahadi Refrain Dakika moja tu yatosha kuondowa Tabu za siku , mwezi na mwiaka Dakika moja tu yatosha, kuona muujiza wa Mungu Ohoo ohoo Mungu anaweza yote Hakuna linalo mushinda Umutegemeye yeye, atabadili mambo Atawakupange majina, Ndugu marafiki wakumbie Anabaki rafiki mwema, anatosha kwako Refrain......
Finally I found you. You are truly anointed. God is using your voice to pour down healing in millions of souls. Keep going my sister. Nations are calling.
Ni kweli dakika moja inatosha , Mimi Kila nkisikiliza nyivo zako nabarikiwa sana , Mungu azidi kukuinua zaidi , from Tanzania 🇹🇿 , I love you sister 💖💖🤗
Nasikiya Kubarikiwa sana na mwimbo huu. Mungu akuzidishiye Maman Nicole pamoja na kundi ulilo shirikiana nalo nikimuona Maman Evoddy, Mungu awabariki sana
My dear napenda sauti yako na nyimbo zako always remember to thank God's grace and follow his grace in Patrick kubuya..God had the reason you working together nawapenda here from kenya
Please please please Nicole toa nyimbo nyingi hata kama ni audio we love u from Kenya, your songs are a blessing especially the message and of course your sweet voice
kenyans she is here.I Finally found her. Definately Patrick should have mentioned your name on Moyo Wangu by Patrick Kubuya you hit everything just right. you are such a blessing. Worship on fire
thank God i found her today too, we were with Patrick Kubuya last sunday in Church all the way from Congo, i wish they came together,, i love this dakika moja sana, i thought moyo wangu was the best but here is another drop from her voice, blessings dada, am mazed at your anoitned voice
I must now declare that I have got a consolation. I loved so much Angela Chibalonza. I cried when she died. I never found songs that at least have her taste. But today Nicole you have wiped my tears. Your songs are very powerful
usi tuangushe, na kumuangusha yesu kama wengine.ona dada zawa na kalambayi.ukipima yale utawaangusha wengi na kurudi nyuma.
Lyrics Dakika moja by Nicole Ngabo
Nakuja n'a ujumbe wako siku ya leo.
Couple 1.
Mungu angali anatenda
Angali anatenda miujiza
Kufumba n'a kufumbuwa
Anaweza kubali mambo
Sijuwe nyakati unazo pitiya
Sijuwe kiasi gani zimekawiya
Mungu anaweza kupasuwa njiya ili uvuke ngambo
Uvuke toka inchi ya laana kwenda inchi ya baraka zako .uvuke toka inchi ya utumwa kwenda inchi ya ahadi
Refrain
Dakika moja tu yatosha kuondowa
Tabu za siku , mwezi na mwiaka
Dakika moja tu yatosha, kuona muujiza wa
Mungu
Ohoo ohoo
Mungu anaweza yote
Hakuna linalo mushinda
Umutegemeye yeye, atabadili mambo
Atawakupange majina,
Ndugu marafiki wakumbie
Anabaki rafiki mwema, anatosha kwako
Refrain......
Receive love from Kenya after the song "Moyo Wangu",Blessings
Is she the lady in that song
@@obadiahkipngetichrugut9662 yes
We love you tooo
Yes It's me , Nicole Ngabo Who sang moyo wangu, the cover is coming
@@nicolengabo7843 where can we get it when it does
From moyo wangu here I'm we need more worshipping from you please🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Glory to God,
Amjambo! Nitatia woship songs nyingi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tune saana ,pita na like Mkenya mwenzangu
Mungu akubariki sana Dadangu na akuzidishie Neema ya juu unanibariki sana sauti nzuri ujumbe mzuri zaidi barikiwa sana
MUNGU Wangu unajua siri ya moyo wangu. Just for the reference of this song I still trust in YoU🙏🏾
Amen,dakika Moja tu aweza kubadili,mi ni mshuhuda
Niko hapa kupitia presenter kai from kenya, huduma hii ni ya baraka
Wimbo huu nimeupenda maana unahubiri katika kutia moyo, ila makeup upunguze maana tunakuchukulia kama mwakilishi wa Kristo Yesu hapa duniani
Dakika moja yatosha kwake Mungu.
God bless you.
Got your name from a comment on MOYO WANGU song. You are blessed
Amen amen
Same
Same here
Go up sister
Wimbo wako huu hakika MUNGU Alikutumia kuuimba kwaajili yangu endelea kumtumikia MUNGU wetu aliyehai
Amen,Dakika moja Tu yatosha
Ata mimi nimetoka kwa 'Moyo Wangu' hadi hapa,
I thank God for you & His gifting upon you. I'm blessed!
Dakika moja 1yatosha kwa mungu 🙏🙏🙏amen sister Nicole
Nimekutafuta sana baada ya kusikiliza "Moyo Wangu" ulioimba na Patrick Kubuya. Nina amani sasa🖤
Huúu umekuwa wimbo wngu kila mda nipo hapa
And after a whole year of looking for you nimekupata...
Mungu azidi kukubariki... Baraka tele kutoka Kenya🇰🇪
Finally I found you. You are truly anointed.
God is using your voice to pour down healing in millions of souls.
Keep going my sister. Nations are calling.
Thank you, God bless you
Karibu. Amen 🙏
Ni kweli dakika moja inatosha , Mimi Kila nkisikiliza nyivo zako nabarikiwa sana , Mungu azidi kukuinua zaidi , from Tanzania 🇹🇿 , I love you sister 💖💖🤗
Thanks alot dear
🙏🙏
Barikiwa Sana ...I am Patrick from Tanzania 🇹🇿
Nguvu ya roho mtakatifu unayo kubwa sana. Ameni!
Asante sana
Amen amen 💖! Karibu Nairobi Kenya Dada Nicole. Tunakupenda sana pamoja na waimbaji wenzako.
Moto wangu ikuje hapa ndio imetuleta hapa..we are totally blessed in Kenya
Asante sana, Mungu aweza tenda hata kwenye chaîne hiii, ubarikiwe
Nasikiya Kubarikiwa sana na mwimbo huu. Mungu akuzidishiye Maman Nicole pamoja na kundi ulilo shirikiana nalo nikimuona Maman Evoddy, Mungu awabariki sana
If you could be in Tz, you could be famous, trust me!
Karibu sana Tz nicole huduma yako ni njema sana
Blessing Song,tume kuwa na matumaini zaidi ku pitiya huu wimbo
Amen
Nimekuja hapa baada ya kuona interview ukiwa Tanzania nimepata kitu kizur toka kwako
Asante sana
After listening it on MBCI,here to get more blessings
Mungu akubariki love from Kenya
Dakika Moja tuu yatoshaa kuona muujiza wa Mungu niliosubiri kwa miaka, Hooo haleluya, ubarikiwe sana dada Nicole kwa ujumbe mzuri
Kwa hakika dakika moja inatosha.. Mungu si mwanadamu. Yeye Ana nguvu
Yesu akutunze dadangu. Wewe ni wa thamani kwake
My everyday song dakika moja tu... Yatosha Mungu
My dear napenda sauti yako na nyimbo zako always remember to thank God's grace and follow his grace in Patrick kubuya..God had the reason you working together nawapenda here from kenya
Dakika moja tuu yatosha🙏
Dakika moja tu yatosha yesu kubadili mambo.
Mungu Awaongezee ujuzi zaidi
I cried first time I listened this song....
From moyo wangu comment nikapata jina lako, dakika moja
Nime itafita sana hii nyimbo mwisho nime ipata
Please please please Nicole toa nyimbo nyingi hata kama ni audio we love u from Kenya, your songs are a blessing especially the message and of course your sweet voice
Kutoka Kenya twakupenda, ubarikiwe sana
Am here after you blessing us on Sunday afternoon at Worship Experience pale Kingdom Seekers Church 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dakika moja. Asante sana Mama Nicole. Mungu aku bariki. Songa mbele.
Nzuriii sana, je wakina ngobo ni ukoo mukubwa huko kwenu
enyewe "Moyo Wangu" imetupatanisha...barikiwa sana.
Asante sana
Nicole you are such a blessing. Mungu azidi kukutumia kwa ajili ya utukufu wake.
The Moyo Wangu Song owners should acknowledge you. I am here from comments there
What a blessing indeed God is faithful blessing from Kenya , 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
YOURE A BLESSING NICOLE...LOVE FROM KENYA
So powerful dakika moja maisha yangu yabadilike
karibu dada kanisani kwetu ufufuo na uzima ungo
Waaao, nyimbo njema sna ndugu
Mungu anaweza kufungua njia
I am here after watching you on Citizen T.V
Be blessed.
Nimefikishwa hapa na song ya moto wangu
kenyans she is here.I Finally found her. Definately Patrick should have mentioned your name on Moyo Wangu by Patrick Kubuya you hit everything just right. you are such a blessing. Worship on fire
Sure
thank God i found her today too, we were with Patrick Kubuya last sunday in Church all the way from Congo, i wish they came together,, i love this dakika moja sana, i thought moyo wangu was the best but here is another drop from her voice, blessings dada, am mazed at your anoitned voice
@@josatinooking388 Ooh is this the lady who sang Moyo wangu with Kubuya?? Loooh. I din't know if she has her own songs
I must now declare that I have got a consolation. I loved so much Angela Chibalonza. I cried when she died. I never found songs that at least have her taste. But today Nicole you have wiped my tears. Your songs are very powerful
Amina
After;"Moyo Wangu"usilie lie"....."Bila Yesu mimi ni mtu bure"always blessed and uplifted
Love you MUNGU Akubariki Mnoo
Endelea dada Nicola unasauti nzuri Mungu akutie nduvu
From 254 with Love ❤️❤️
Be Blessed Servant of God for this Song 🙏 🇹🇿Tz🇹🇿 Tunabarikiwa Mno Na Huduma yako Hakika Yesu Azidi Kukuinua Viwango hadi Viwango..
Amina.
Just came here after seeing her comment from Moyo wangu page.... Beautiful
Finally found her...am blessed
Angel sent to me with a strong message. Dakika moja yatosha. blessings be with you forever ❤️❤️❤️
Kazi nzuli ubazikiwe sana
Much love sis 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sauti tamu Dada,may u be blessed as u continue blessing us with your songs.Nakupenda.
Amen , je ne perds pas espoir
God bless you my sister,u've really bless me,
Thanky you Jesus
Here from 'moyo wangu'
Waoow amazing, dakika tu moja yatosha 👏👏👏"moyo wangu "ulinifanya moyo wangu ukabondeka, barikiwa sana dadangu, more love from Kenya
Amen
Wow!!! Amen 🙏Hakika ni dakika moja tu yatosha kuona muujiza wa Mungu!!! Ubarikiwe sana dada Nicole!!!
Finally...your voice is a blessing from Moyo Wangu to Dakika Moja. Much love from 254.
Thanks a lot, and glory to God
Be blessed dada!!! From Tanzania
God is ever faithful
mchungaji Josephati Mathis Gwajima anakusalimia anakupenda
Yes, i believe in it : dakika moja tu yatosha kuona muujiza wa Mungu ❤️❤️❤️❤️❤️💯
Powerful testimony in Kenya Citizens TV you have blessed me . Pastor wilberomuyoma
Great song my dear sister 💕
Its awesome long last have found you after Kai interview, indeed anointed voice#dakika moja, from kenya
Moyo Wangu lifted me through difficult times. Be blessed
Yes I believe
Am here to support this lady after listening to her in Patrick's song moyo wangu. Love all the way from Kenya 🇰🇪
Que Dieu t bénisse encore
Barikiwa sana wimbo mzuri, Pastor sabas kutoka Mwanza Tanzania.
This song makes me crying to God according to my situation Nicole God bless you dear
You gave it at your level of best in Moyo wangu may God bless you na utaenda mbali
I am here after seeing you being interviewed...Nimefurahi sana kukujua zaidi kupitia kazi zako💕all the way from Kenya lots of love Nicole
beautiful hopeful song
New subscriber from chomoza tv.
You are a great blessing Sister Nicole... Keep soaring..
Finally have found you..💖💖💖🇰🇪