NIMPENDE NANI? ❤️ Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 94

  • @KavusaKanakake
    @KavusaKanakake 8 месяцев назад +4

    Loveness ni mwanamuke mzuri bakiya naye like zangu tanu naomba

  • @ImmanuelnghaliloSitta
    @ImmanuelnghaliloSitta 11 месяцев назад +5

    Nawapenda wote wanadonta nimefurahishwa na movie zenu, lakn pia namongeza loveness kwa ujasir weke.

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 Год назад +6

    Brown sema unazingua wakati mwengine 😂😂

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад +1

    Nacy hongera nakupa mauwa❤❤❤❤🎉🎉 mchambue Brown mwambie ukweli wke acha kuzengua

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 7 месяцев назад +2

    Jamani mm nawapenda sanaaa

  • @MunyaoJulius
    @MunyaoJulius Год назад +9

    😂😂😂😂😂Brown unachanganya warembo kweli😅😅😅likes zangu🎉🎉❤❤❤

  • @wotb1708
    @wotb1708 Год назад +7

    Nawapenda nyote wana donta❤❤❤

  • @Beibstacy
    @Beibstacy Год назад +6

    munanichekesha sana nawapenda sana❤❤❤

  • @FatmaMbarouk-si6dv
    @FatmaMbarouk-si6dv Год назад +4

    Nampenda loveness anavoongea

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy Год назад +7

    Hii story inamfanano na yangu yaani dah mwanaume wangu akatembea na mdogo wangu mtoto wa mama yangu mdogo mpaka kupeana mimba na sahivi ndo mtoto Ana karibia mwezi 😢 na hayo yote yanatokea kila nikimuliza alikua akinibishia yaani wakinibishia wao wote leo matokeo tunayo na aibu wanaona wao looo kudadeki alafu bado tunapendana na huyo mwanaume maana ni mtu na story nae ndefu sana ila nyie wanaume 😢😢😢😢 mmm mpaka sasa sielewi nimwache au nipambanie kombe na siyo kwa mdogo wangu tu ni wengi anatembea nao loo wanaume Salut kwao 😢😢😢😢😢😢😢 shikamo mapenzi

    • @Elikanashileka
      @Elikanashileka Год назад +1

      Kama ni chaguo lako na unapenda kutokwa machoz ktk maisha yako jichome kwenye huo moto mwanaume asiye mwaminifu.atayafanya maisha yako yawe na machoz kila wakat nakama ameshindwa kuw mwaminfu kwako.ujue hakupend angekuw anakupenda angependa kufany uwe na furaha kila siku

    • @MillfatDee
      @MillfatDee 10 месяцев назад +1

      Muache tu mom huyo sio mtu mzuri kwako

    • @benderasixmuhoreza2941
      @benderasixmuhoreza2941 9 месяцев назад

      Umuache

    • @SaidaAli-kr3bi
      @SaidaAli-kr3bi 6 месяцев назад

      Pole xana dear

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 2 месяца назад +1

    Kumbe tina ni mdomo tu wakuongea lakin nguvu hamna😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад +4

    😂😂😂brown ni brown tu mtachanganywa mpaka mkome😂😂😂😢

  • @rumbemwanarusi
    @rumbemwanarusi Год назад +4

    Lovness natina wakipatana nawapenda ❤

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry 8 месяцев назад +1

    brown duuu salute hongera kwa mafunzo mazuri love all wana donta...

  • @Eunicekasupuu
    @Eunicekasupuu Год назад +3

    Tina wamdomo😂loveness Wa mdomo Na vita aayea Na babalao brown mix wao😂😂😂kiwarambe❤❤❤❤❤😂

  • @JekaBoy-ul8gq
    @JekaBoy-ul8gq Год назад +1

    Braunimbona hatukuelewi upandewangu nampenda lovenessmzuri Sana lovenessilove you.

  • @MerlinamerlinasPhalikia
    @MerlinamerlinasPhalikia Год назад +3

    Mwanipa furaha wana donta TV wanao Jubal mikono juu

  • @JustinaMumbua-j2k
    @JustinaMumbua-j2k Год назад +4

    Nani mkali😂 Tina na loveness wamepatana!!! Dah kasheshe😂 nawapenda ❤❤

    • @jamillahassan3405
      @jamillahassan3405 Год назад

      Huyu tina ni magoma nare😂😂😂😂hatari..tena wamepatana vichwa vibovu😂😂

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr Год назад +2

    brown kakata mzizi wa fitina good job kwa donta Tv

  • @peteraraka158
    @peteraraka158 9 месяцев назад

    whenever i see loveness that movie is worthy watching ... i really like you

  • @JacintaMaloba-io3qf
    @JacintaMaloba-io3qf Год назад +3

    Boys are chameleons 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MwanaAbdallah-k3e
    @MwanaAbdallah-k3e Год назад +1

    Jmn sita kichwaaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅nmechk kw saut

  • @GladnessMwanri
    @GladnessMwanri Год назад +1

    Ndo mchezo wao, Brown anafikisha ujumbe

  • @SAMWELSIKUKU-y1n
    @SAMWELSIKUKU-y1n Год назад +1

    Unamamunzi makali aki wewe braun ❤❤

  • @Charleskulwa-hp5ow
    @Charleskulwa-hp5ow 11 месяцев назад +1

    Good job

  • @merihabibu2493
    @merihabibu2493 Год назад +1

    Nampebda tina sana❤❤💗💙

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 7 месяцев назад

    Brown Sio vizur kabisa unavyofanya si uchague mmoja

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 Год назад

    Wewe loveness umezidi kuwa kuwa king,Ang,anizi sana

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 2 месяца назад

    Mpende tina coz ❤ness ni wa kelvin🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is Год назад +1

    Nice movie ❤❤❤

  • @ZindunaJaphar
    @ZindunaJaphar 2 месяца назад

    Mmependeza.sana.lavunes

  • @trystanbertand1603
    @trystanbertand1603 Месяц назад

    Lavnes unapenda shari !!! Ila unapatiya kila mahali.

  • @petermhigira6445
    @petermhigira6445 Год назад

    Sema nn love unasauti nzr sana

  • @beautifulafrica6886
    @beautifulafrica6886 Год назад +1

    😂😂😂😂😂 mmetwangana vzr kweli 😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @ianmurithi799
    @ianmurithi799 9 месяцев назад

    Kucheza siezi pia kucheza siezi ukinicheza tunaachana papo hapo na ninamove on haraka sana

  • @RechoMwaki
    @RechoMwaki Год назад

    brown tin lovness kaz nzur nimewakubal kinyam

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 Год назад +2

    Balaa kubwa

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 9 месяцев назад

    Brown kacheza kma yye 😂😂😂😂

  • @msokole5050
    @msokole5050 3 месяца назад

    Heeee brown jaman kumbe kweli anawachanganya jaman wanaume wote ni umbwaaaaaaaa

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard Год назад

    Shikamoo wanaume 😢😢😢😢💔💔

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Год назад +1

    Nice one ❤❤❤

  • @naimamohamedi2695
    @naimamohamedi2695 Год назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @KanselaAslay
    @KanselaAslay Год назад +1

    Mr Brown🎉🎉🎉

  • @Shariphashabani
    @Shariphashabani Год назад

    😂😂😂ety unasuka sita kichwa

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 2 месяца назад

    Wanawake wanapigana kisa ni brown 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ReboBelascor
    @ReboBelascor 5 месяцев назад

    🎉🎉muko biee🎉

  • @paulomotto3394
    @paulomotto3394 10 месяцев назад

    Ila levonesi nakukubali sana

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 9 месяцев назад

    Hivi mkilala hivo mnatoka salama mnakuwa na brazia na kangaa Moja Hivi mnatoka salama Kwel Bila lolotee kabisa Mambo yote hayo

  • @hancebariki
    @hancebariki 4 месяца назад

    loveness nakupend bure

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Brown kiukweli Kati ya hao madada wawili changua mmoja ucwachaye mwisho wke utajutia

  • @margretmakungu-qi1gd
    @margretmakungu-qi1gd 5 месяцев назад

    Nzuri sana

  • @AlexRichad
    @AlexRichad Год назад

    Lavness umemugalagaza kweli mbona ninawasiwasi naww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TabiaNchimbi
    @TabiaNchimbi Год назад

    Nawapenda sana ila leo mmekutan wote vibok

  • @EricLushekanya-zy8gt
    @EricLushekanya-zy8gt 11 месяцев назад

    Kazi zuli nawapendeni sana

  • @DanielPeter-r7i
    @DanielPeter-r7i 7 месяцев назад

    Mpende lovenes

  • @JanetMueni-f9m
    @JanetMueni-f9m Год назад +1

    Kwani brown unapenda nani?

  • @AlfredKomba-dk7xn
    @AlfredKomba-dk7xn 9 месяцев назад

    Huo ndo unyama nao upenda mm

  • @wynesesthertchuwa2139
    @wynesesthertchuwa2139 Год назад

    Brown Brown kua mkweli broh but get ur flowers 🎉🎉🎉🎉

  • @AndreConstancio
    @AndreConstancio 4 месяца назад

    Kunamby nini kaka

  • @MeshackWilisonDaniel
    @MeshackWilisonDaniel Год назад

    Wakomeshe wot saw brown

  • @SelinaSelina-yh3zx
    @SelinaSelina-yh3zx Год назад +1

    Acha umalaya brown

  • @JoshuaWafula-g8m
    @JoshuaWafula-g8m 5 месяцев назад

    Brown wewe ni mwañaume na nusu blaza dah!

  • @SaidaAli-kr3bi
    @SaidaAli-kr3bi 6 месяцев назад

    Loo haya yashanitokea

  • @Gody-db9sx
    @Gody-db9sx Год назад

    Kwishaa

  • @PendoAmani-f5x
    @PendoAmani-f5x Год назад

    jamani wembe na hansi wako wap

  • @Nadzuamwatsenze
    @Nadzuamwatsenze Год назад

    Brown Acha kuwachanganya warembo broo

  • @yafitaalghtany3812
    @yafitaalghtany3812 Год назад

    ❤❤❤❤number 2

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 7 месяцев назад

    Rangi ya CT+

  • @kazefiacre8392
    @kazefiacre8392 Год назад

    Donta tv💪

  • @JoanNdinda-e3k
    @JoanNdinda-e3k Год назад +1

    Brown acha umalaya

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 Год назад

    Brown😂😂😂

  • @BonifasiMaiko-bl6ke
    @BonifasiMaiko-bl6ke 6 месяцев назад

    Nishid

  • @ZindunaJaphar
    @ZindunaJaphar 2 месяца назад

    Kakayangu wewe.nimashine.

  • @EdwinOtieng-i5c
    @EdwinOtieng-i5c Год назад

    Huo mkono umeumia kweli

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 Год назад

    Alafu brown acha uongo bwana umezidi

  • @wotb1708
    @wotb1708 Год назад +3

    Brown muongo ukweli unawachanganya akili warembo

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri Год назад

    😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @kanywelemgangamganga4381
    @kanywelemgangamganga4381 Год назад +2

    Kazi nzuri

  • @SaudaMuhammedyussuf
    @SaudaMuhammedyussuf Год назад

    ❤❤

  • @Agnes764
    @Agnes764 Год назад

    ❤❤❤😂😂😂😂

  • @johnman4619
    @johnman4619 Год назад

    Kkkkkkkkkkk

  • @RechoMwaki
    @RechoMwaki Год назад +1

    brown tin lovness kaz nzur nimewakubal kinyam

  • @JanetMueni-f9m
    @JanetMueni-f9m Год назад +1

    Kwani brown unapenda nani?

  • @NdtrHgdEstlla
    @NdtrHgdEstlla Год назад

    😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @LydiaMute-y2n
    @LydiaMute-y2n Год назад

    ❤❤❤