At long last...Tanzania tunaanza kupata watu/vijana wana-review magari kitaalam sio wale makanjanja wa: 'Ya mdada'/'Unyama sana'/'Full Kiyoyozi'/'Haijarudiwa rangi'. Hajui chochote kuhusu trim kazi kubwabwaja tu. Well done buddy!
Atakuwa anawekaga vilainishi ambavyo siyo recommended huyo, technology haibadiliki tu bila kufanyiwa utafiti ndo maana gari nyingi mpya zina cvt transmission, means inafanya vizuri @abouharith
Asante kwa ufafanuzi mzuri
Pia Dr. Mechanics Tunaomba review ya VW Golf na VW Polo.
Hatimae Leo nimefikiwa,, this is my favorite car,,,,aiseeeeee Leo umenigusa sana brother @Dr_mechanics🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
At long last...Tanzania tunaanza kupata watu/vijana wana-review magari kitaalam sio wale makanjanja wa: 'Ya mdada'/'Unyama sana'/'Full Kiyoyozi'/'Haijarudiwa rangi'. Hajui chochote kuhusu trim kazi kubwabwaja tu. Well done buddy!
Dr.Mechanics,you mixed the video while driving with T26o at some point?
Mbona unayoendesha ni tofauti
Asante sana 🙏 Dr.
Tunaomba Review Ya Toyota Runx na Allex Pia Na Ya subaru Impreza
Nakukubali kaka unaeleza vizuri
Type review ya Toyota Kruger
Mazda cx3 review
Tunaomba review ya RVR
Sasa Dr imekuwaje unaendesha yenye staring ina option wakati umefanya review yenye haina starng optn
Review ya rav 4
D4 engine mbovu sana uliza vizuri wenye nazo
Engine ya premio yako au zote?
TATIZO NI MAFUNDI WALA SIO ENGINE
Tatizo service
Naam nakuelewa sana.
Kaka ile review ya crown mbona haujaipost you tube
Nataka premio X nzuri. Budget 8 million
Review premio (f)1490
Dr Mechanics, punguza wanga
CVT sio gear box ni takataka, bora yenye engine ya 1ZZ cc1780 ina Automatic gearbox
Binafsi CVT gear box Sina uelewa nayo vizur kaka,,embu nipe somo kidg🙏
Fuata maelekezo bro
Weka vilainishi elekezi kwaajili ya cvt
Nimetumia rav 4 nimetumia outlander zaid ya miaka sita bila shida
@@abouharith 🔥🔥
Gar nyng za kisasa znakuja na cvt
Atakuwa anawekaga vilainishi ambavyo siyo recommended huyo, technology haibadiliki tu bila kufanyiwa utafiti ndo maana gari nyingi mpya zina cvt transmission, means inafanya vizuri @abouharith
1Hz 4D hapana
5W-30
KAKA NAMBA ZAKO ZA SIMU
sauti ilipotea hapo kwenye mwishoni
hiyo gari bei gan bg
Sasa Mbona Kwenye Video Unaendesha Premio Ya 2008??? Acha Zakooo!
Chuma langu