My brother kaa la moto niombe kukuweka sawa.. Siyo kwamba tunanda kusikiliza mziki wetu ama kupenda vyetu hapana nikwamba kama ulivyo elezewa na nikki kuwa wasanii up coming niwengi kuliko kenya sasa utasikiliza je kenya wakati akuna up coming mpya……kuhusu ww na Khali nikwamba mnajua mnacho kifanya wapi mnataka kwenda na ndio maana tz mnaskika yan kwa ufupi nikwamba mnapenda mnapenda mnachokifanya na nidhamu jitiada..
My brother kaa la moto niombe kukuweka sawa..
Siyo kwamba tunanda kusikiliza mziki wetu ama kupenda vyetu hapana nikwamba kama ulivyo elezewa na nikki kuwa wasanii up coming niwengi kuliko kenya sasa utasikiliza je kenya wakati akuna up coming mpya……kuhusu ww na Khali nikwamba mnajua mnacho kifanya wapi mnataka kwenda na ndio maana tz mnaskika yan kwa ufupi nikwamba mnapenda mnapenda mnachokifanya na nidhamu jitiada..
✊🏿
Ofcoz nick ni mtu Tosha kutoa majibu ya muziki in general...
Essence ya interview kutoka vipande vipande tena dakika chache chache ni nini?
🤦🏾♂️ Isimchoshe msikilizaji "mtizamaji".
✊🏿