One thing I love about OG is that he's not choosy, he works with anyone weather famous or not. And it's because of this humility that I know God is not yet finished With OG. Respect respect bro
@@HopeKidHk .....you are doing a great gospel work...its real and deep......be blessed.....soon we will cover you live performance the world has to see how great your work is.
Waapi likes za General🙌🙌🙌🔥🔥, Vnye OG alisema simwogopi shetani juu mimi n OG😂😂🚶🚶🚶🚶
Salim Memes but you people who keep asking for likes. SMH 🙄.
@@RadBunny2269 Ninii inakuwasha 🤔🤔🤣🤣🤣🤷♂️🤷♂️🤷♀️🤷♀️
@@RadBunny2269 hhahaha na hapa pia ..ruclips.net/channel/UCTJ4uU_-Tx5Dg9bo2aGPbEw
😂😂alafu sisi ndo anatutuma tumuambie ✋✋
Gospel artists wanafaa kulearn from here.kama wafanya collabo na secular artist wacha iwe gospel tu💥💥💥💥
I call upon your name to defend me...From chipo za moshi skuizi mi ni uOrder chiken inn🙏🏾...Wacha aitwe Mungu
#Testimony
Iyo verse imeweza
Likes Za OG Zikam through
👇
Khaligraph is so amazing. Thats why i made a video of him 'The Life Of Khaligraph Jones' and Soon 'The Life Of Hope Kid' will be out.
Mwambie shetan Mimi OG simwogopi,, from Tanzania 🇹🇿.
I love how the OG collaborates with everybody he's a genius indeed... Amazing song it is Hopekid🙌🔥🔥🔥
I see you
Hallo bro hehehe
General asilale tena ama..jibu na like
Al_ Jahdon 💯
Came back again here ,,Acha aitwe MUNGU FOR EVERYTHING HE HS DONE FOR ME😢🎉❤🙏🙏
AISHII KUPEWA SIFAA MILELE❤
Ambieni shetani mimi ni OG simwogopi🔥🔥🔥🔥
Kama hamwogopi mbona anatutuma???😂😂😂😂😂
Mbona tu mwambie kama haumuogopi😂😂😂😂😂😂OG is OG
Wale watu wa OG si nipee like pia mm. OG ndo amenileta hapa😂💪💪💪like apo tukisonga joh👇👇
98% comments: I'm here because of the OG
2% comments: 'Simwogopi shetani mimi ni OG'😅
Tik
Hope Kid MA scandals kibao😂😂😂..
MUST BE RESPECTED
Likes za OG hapa.
MUST BE RESECTED
Likes za KAYOLE ziko wapi❤🔥✌
Mimi na OG hatu muogopi shetani juu cc ni maOgs 🙌🙌
OG never dissapoint ...like zake ziko wapi
Wapi likes za producer Yo Alex... He's done a good job on this song...
Eeh Yo yo Alex... mad prod...
Yes salute to Yo Alex. Its Drama
For the Producer👏👏
One thing I love about OG is that he's not choosy, he works with anyone weather famous or not. And it's because of this humility that I know God is not yet finished With OG.
Respect respect bro
Likes za Hk banaa
Wapi likes za khaligraph Jones 🔥💥💥💥💥💥
Kazi safi Hk & Khaligraf
G-Bluster Official Asante
Keep it up... Gat yo back bruh
."..na stamina iko seti juu nilacha kunywa strungi 😂😂🙌🙌" wapi likes za OG bana
From chipo za moshi sikuhizi me huorder chicken inn 🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Hope kid KAYOLELESHWA🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤✌We love you guys maan
ROOKACE GANG 254 appreciated
ambia shetani mi ni OG na simwogopi..🔥🔥🔥, likes za OG zikam thru
OG is a universal charger. Blending is a gift.
Khaligraph haogopi shetani, lakini anatutuma tumwambie.. Aaaai amwambie mwenyewe🤔🤔🎵
Nyakio Njeri hahahaha hahahaha
"Mimi ni og simuogopi"
Am not here to support anyone....but support kenyan music💯#Ke2the🌏🌍🌎
Both artists are great
Miqael jahns thank you
sifa zinapanda mwendo kasi juu baraka zinashuka kwangu tu men that made me pray hope by the next release itakua #testimony
Jay Calliam 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mwambie shetani mimi ni #OG si mwogopi
this is what I can call the best a gospel secular artist collabo for yhe year ,,, nipee likes kama unapenda
KISIIWOOD EMPIRE 🚀🚀🚀🚀
OG ni Ile chaser inaeza Enda na mzinga yoyote
Cardiac Poet 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ambia shetani mm ni OG simuogopi 👑kama umeskia hii like hapa
Waaaaah....who is Inn for OG... *Khali kartel 3 ijamaliza ata 1 week na tunakaribia 1M views...nipeeni like ya OG 😆😆😆😆😆
OG ni OG.... Bars zake ziko lit..... Like zake zikam bana
Sikuizi tunatuliza kiu na Fanta.... Big tune #OG
Ambia Sheito me Ni OG simuogopi🔥🔥🔥🔥
Umekonda wewe😂😂😂og ni og😊respect kwake
Big boys from kayole....we proud of you our sons !!! Likes ya uyole tukisonga
Frankline Orema 1960
Hope kid The Generall to the world bless up man ....
More collabo injili ipigwe Yesu akaweze kuokoa watu kupitia usaani wako hopekid
Ngori🔥
Urban Street 254 👊🏾👊🏾👊🏾
Khali just adds some nice flavour to every collabo 🔥🔥🔥
Dimanmkare na Adigo😂🦅🙌🔥🔥
Wasee wa OG izo like zikam
MR INTERNATIONAL
OG shall be respected
OG ni OG
OG ni OG hata style iwe ya kihindi you never disappoint. Hope kid killed de chorus man.
hahha mbogi ya kuona the _ONJI_ 🙋♂️🙋♂️🙋♂️ #Niceone HK
ambieni shetani me ni OG simwogopi!!!!!
He remains God forever. In our weaknesses and imperfections anazidi kupewa sifa. Amazing song
On Loop, love this ...wacha aitwe mungu! Na OG akunywe fanta cha ukweli- aokoke
Umenitoa slippers ukanivalishaa..... Bless up G your verse is slapping harder than daddy's belt ....wapi likes za OGs craft
Michellin
Nipewe likes za OG
Good come back always
Wahlalala...
Hii ni ngori 🔥🔥🔥
Hopekid King 👑
Clancy Spartan blessings
Waaat The Kaligraph Jones...Imeweza ..Hopekid ya nice stuff
Collabo imeenda shule💪💪💪
dennis otieno sana
@@HopeKidHk brathe hata wakitaka kukuweka chini juu ya ile scandal jua bado tunakupenda
Nani njoo huko Mr.OG ako humu pia,na ambia huyo shetani huyo ni OG acheza mbali.Octo hope uko radah .💪💪💪
Waseeh kama mmekubali OG nipee likes
Ambieni shetani mi ni 😎😎likes za Papah hapa
OG .... King of rappppppp!!! East Africa knows u,Central Africa wanakutambua southiii na north pia..... Wachana na hao watu wa gear nane😂😂😂😂😂
Juniorj machaz 💯
@@HopeKidHk usisahao ile link yetu
ruclips.net/video/wxnwuNJKSZY/видео.html
Things are Changing
stephen kasolo when we are calling His Name
@@HopeKidHk yes babaa
Kayole best combination, OG na The General
Ambia shetani me ni OG simwogopi#
Ambieni shetani mi ni OG simuogopi🔥🔥🔥
4yrs ago still a banger! Another one hope kid
Hii collabo ni moto sana. Reggae with a touch of hiphop and a deep message in a soothing beat. Big up
Song c mbaya,he ft OG kwa industry ya Gospel which is good.
Caleb Jesse 👊🏾👊🏾👊🏾
Nimejichora job I can be my own boss 🔥🔥🔥🔥🔥OG never disapoints
Hopekid bro nice one 💥💥💥💥💥💥 Kaliiiiiiiiii
Andie Entertainer 🚀🚀🚀🚀🚀
Tukiskia kiu tunakunywa fanta 😂
the OG ❤
Kama kawa.. Mbogi ya OG tushawasili.. Gospel pia tutateka so #RespecttheOGs
Nani amekuja hapa coz of khaligraph the OG
OG ni OG mnatoa collabo no matter wee ni Nani. Pick up Sana my nigga #respecttheogs
Papa Theirs brought me here
Na mukiona huyu jamaa amecomment mujue hio ni Hit....Charles Big up Yourself...Always promoting KE music
@@stanleykruzzah3881 yes baana hehe🤗
Niko tu hapa juu ya khaligraph papa jones
Jamani watu wangu likes za papa Jones watu wangu
OG 🔥 🔥 "umenitoa chipo za moshi siku hizi na order chicken Inn.....apewe sifa....#bless
Khali Walai ameweza🔥🔥🔥...love how he does it..
God bless you my Brother
Mziki true💪💪
OG i came to love unknowingly.wapi likes za OG banaa
OG ni OG ,𝘽𝙧𝙤 you are blessed n big up bro.hopkid welcome back bro
good one
Ladha ya mtaa TV thank you
@@HopeKidHk .....you are doing a great gospel work...its real and deep......be blessed.....soon we will cover you live performance the world has to see how great your work is.
Napenda vile sahi music ya kenya inasonga.... Salute for the OG great work
Ambia Shetani me ni OG
Kazi safi sana Mungu awazindishie baraka day by day.
Mnatuma hope kid asikie vibaya mkisema mmekuja juu ya OG
The OG again
This is a good collabo
Eeeeishhhhh..Khaligraph with lyrical Missiles 🙌 🙌 Apewe sifa Mungu!
OG never dissapoints. Flexibility kila mahali
Noma Sana
Siku izi kiu tunaituliza na fanta 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🏃og
Nani amerudisha verse ya OG more than two times? 👋
Amenitoa kwa slippers akanipea Mechelen 😂😂 hapo OG umetuchongoa roho safi
Wacha aitwe mungu beautiful song 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎂
John Mwangi amen
Testimony na OG,na hope kid ....song iko poa
The producer ameitendea haki this song..
2rivers big up kirubi... asant kusapot wasanii
The OG at it again,...big tune..a blessing to man kind....naona khali wakiswitch na pozee....
Ambia Shetani mi ni OG simwogopi 🔥 🔥
Who is with me to just here verse ya OG 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Papa Johns. omollo!!! roundii tunaimba hadi nyimbo za kitamaduni! !!!😂😂😂😂 watatiii
OG can suit anywhere ...this is what we call talent ...
OG hana maringo.... 💚♥️💝 Mob love za OG.👍👍👍 Thumbs blue