Nimetoka TikTok mpk apa utube aky hii nyombo inaniliza tw Mungu niko chini yako shusha moto kwa maadui wangu wakujue ww upo in Jesus name nimeteseka long time baba nizamu yako ss shushaa motoooo 😢🙏🙏🙏🙏🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Wapelekee habari zangu Mimi Nina piganiwa na Bwana Hiki ni kisiki cha mpigo Mwenye Panga na ajipange ×2 Baba shusha Moto Moto ulao Moto Watu wote wakujue Walitukuze jina lako ×2 Na ujulikane (Upo) Mungu wa uwokovu wangu (Upo...)
Huu wimbo unanitesa sana🎉🎉🎉..nitampuzika kuusikiza ukifika 10k..wenzangu wajazie Baba tesa maadui zangu ,tuma moto wakujue wewe ni Mungu wa wokovu wangu
Vile tuu Mungu anakutumia Twine...Mungu awe Ngao yako
Nimetoka TikTok mpk apa utube aky hii nyombo inaniliza tw Mungu niko chini yako shusha moto kwa maadui wangu wakujue ww upo in Jesus name nimeteseka long time baba nizamu yako ss shushaa motoooo 😢🙏🙏🙏🙏🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Moto uwe juu ya adui zako Kwa jina la Yesu, Mungu akufungue vifungo vyako🙌
@@givenessngao ameeen 🙏
I swear same to me here ak nmetoka tiktok saai
@@VeronicahKitheka-ru4vt krb dear
Baba shusha moto,moto ulao moto 🔥🔥
Nashusha moto kwa maadui zangu wote in Jesus name amen
Nimetoka TikTok.. congratulations nice song
No weapon formed against me shall prosper,,,ninaye mwenye vita sipigani mwenyewe
Wapelekee habari zangu
Mimi Nina piganiwa na Bwana
Hiki ni kisiki cha mpigo
Mwenye Panga na ajipange ×2
Baba shusha Moto
Moto ulao Moto
Watu wote wakujue
Walitukuze jina lako ×2
Na ujulikane
(Upo)
Mungu wa uwokovu wangu
(Upo...)
Na ngabo wa ileje umeimba vzuri sana mama Mungu akutunze
🙏
❤❤❤ From TikTok to RUclips Baba shusha moto kwa enemies wetu 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Baba shusha moto Sasa hivi
Mungu aendelee kututumia
Amina🙏
Likeit ❤❤, challenge kwa nyumba
All the way from TikTok 🙏Niko hapa kushusha moto 🙏🙏🙏
Wow hii song inaeza fanya ujump 🎉🎉🎉🎉yani ni more 🔥
Mungu anajibu kwa moto Yesu ni moto ulao
🙏🙏🙏🙌
Wewe mm ata nmetumia Kwa my aunt's Ed uncle's wale walidhani sitawaifaulu maisha 💗💗💗💗💗💗🔥🔥🔥🔥🔥🔥nice song
Amazing song 💖💖💖💖💖 fire to all my enemies
Watu wakujue na walitukuze jina lako barikiwe sana
🙌🙏
Governess GOD bless u🎉
This is fire .....❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimeiona pale tiktok mwenda wazimu aki dance.. it's a beautiful song may Almighty God continue using you 🎉
🙌
Mwenye wivu, husuda, uchawi kazini na popote apate taarifa hiki ni kisiki cha mpingo. Wajipangeee
🙌🙌
Napiganiwa na Bwana shusha moto 🔥 🔥 hii song venye ni tamu alafu inaisha haraka
From TikTok to here mko wapi fire 🔥🔥🔥🔥❤️🥰😍😘🥰
🔥🔥🔥🔥
Am from tiktok ,this song is big
Be blessed
Thankyou God for this song just the right moment I needed it
Be blessed 🙌
Vile hii nyimbo watu wata dance just admiring 🤔❤❤❤❤ nyimbo nzuri sana
🥰🥰
Baba shusha moto.....watu wakujue walitukuze jina lako
🙏
Nimebarikiwa sana na wimbo huu,Yesu akuzidishe sana
🙏🙏
Aloooo...Mungu yupo anae jibu kwa motoo
Hakika yeye ni 🔥🔥🔥🔥
Such a blessing song❤
Madam wimbo upo vizuri sana Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu
Amina Asante sana nashukuru
🎉🎉🎉Amapiano style. Nimeipenda sanah
🙏😊
Hongera dadangu kwa kumtumikia mungu
Amina Asante sana
God bless you
this is wonderful work
Thank you so much 🙏
This a very strong prayer song, thanks I'm blessed ❤
🙏🙌
Dear Sis unatubariki sana .,Hongera mno na Mungu azidi kukuinua
🙌🙌
Hongera sana mtumishi wa Mungu ...mwenye panga naajipange ..baba shusha motoooo🎉🎉🎉
🙏Amen
Beautiful powerful song
Amazing song🙏🙏🙏🙏
💥motoo🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera wimbo mzur
Asante sana😊
Dear Sis unatubariki sana, hongera sana Mungu azidi kukuinua
Amina Asante Sana
❤mungu akubariki
🙏
Very powerful song❤
🙏🙌
From tiktok❤ it's fire❤❤
From TikTok all the way ❤❤❤
🙌
Glory to God
Amen🙏
Hongera sana KAZI nzuri sana barikiwa, natamani collaboration
Amina Asante
MUNGU akuinue zaidi Giveness
Amina🙏
Hallelujah!
Mbona wameifunga sas 😢😢😢
Kiaje? Yaani wameifungaje
Ukiend kuidownload inagoma
Download kwa kutumia SnapTube
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 this song is a blessing to me
🙌🙌🙌🙌
God bless you because you bless me also....
Amen🙌🙌🙌🙌🙌
seen this from @BBS KENYA .E. A great song
🙏🙌
Baba Shusha motoo Moto ulao Bonge La wimbo
Asante Anko
Aiiiiiiiiiiiih❤❤❤❤❤
Hongera sana dada mambo fire
Amina Asante sana
Hongera sana nice song Mungu akuinue
Amina Asante sana
Hii imeenda
😊😊🙏
Kazi nzuri sana sister🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏😊
Fire to my enemies 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Direct from titok to here...big up sister..nice one🎉🎉❤
Thank you so much 🤗
More grace dea 🎉🎉🎉🎉🎉
🙏
very nice song
Nice sister ❤
Thanks 😊
🙏🥰
Baba shusha moto
🔥🔥
Hongera Dada wimbo mzur sana
Asante sana
❤❤❤
❤❤
Amapiano🎉🎉🎉🎉❤shusha Baba
🥰🥰
Kazi nzurii❤❤
🙏😇
Nice song
Noma sana
🙏🙌
Ongela sana dada angu
Asante
I love this song much
❤❤❤❤💃🏼💃🏼💃🏼
❤
Hongera sana dada
Asante sana
Tiktok hadi uku🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana dear🥰🥰🥰
Asante sana 🙏
Very nice song❤
🙏🙌
Hata hazidanrodk jmn😢
Tumia SnapTube
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sanaaaaaaaa
🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
🙏🙌
Amen to this song
🙏
les go 🇿🇲
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
💥💥💥💥💥
I love this song ❤❤
Fire
🔥🔥🙏🥰
From TikTok to RUclips
I love the song
🙌🙌
Singers wangu wa tiktok hello,❤
Hello❤
❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
From tiktok to RUclips
Huu wimbo unanitesa sana🎉🎉🎉..nitampuzika kuusikiza ukifika 10k..wenzangu wajazie
Baba tesa maadui zangu ,tuma moto wakujue wewe ni Mungu wa wokovu wangu
Usipunguze mpaka maadai zako watakapo kua wameteketea😊
🎉🎉🎉sawa wachani kaze kamba...Moto ushuke baba maadui zangu wakujue
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
My new song ❤❤❤❤❤❤❤❤
🥰🥰
Is good song❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🙏