Lost In The Hood - Young & Stupid 8 Ep 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2024
  • A mystery unfolds in Eastlando as Abel recounts a chilling discovery. In 1996, and a mom's children go missing in the hood.
    Watch as Abel grapples with the unanswered questions surrounding the children and a shocking encounter at the chiefs office will leave you on the edge of your seat.
    YOUNG AND STUPID: bit.ly/3tYwDm0
    Other mkurugenzi abel mutua stories: bit.ly/3sMl7tF
    Official Mkurugenzi Podcast: spoti.fi/3sL0YXT
    mkurugenzi merch: mkurugenzi.co.ke/
    watch click click bang: bit.ly/3WelqL4
    SUBSCRIBE NOW: bit.ly/3gQxC4q
    Thank you for watching!!!!!!
    Support Ya Mkurugenzi
    Mpesa No. - 0798 659792 - Judy Mureithi
    Mpesa Till - 5283289
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 546

  • @DerylOtieno
    @DerylOtieno 2 месяца назад +209

    story yako ya the mystery envelope leo imenihelp kwa streets

    • @dmtume
      @dmtume 2 месяца назад +15

      .......Fanya kamambo basiii😂😂😂
      Mpesa number ya Mkuru ni Ile Ile

    • @tory_angie
      @tory_angie 2 месяца назад +3

      😂😂😂😂

    • @hummingtonmwenda80
      @hummingtonmwenda80 2 месяца назад +2

      hiyo good

    • @user-xl4bu5ry3s
      @user-xl4bu5ry3s 2 месяца назад +1

  • @WairimuKarungari
    @WairimuKarungari 2 месяца назад +85

    Yesterday in church our preacher was talking to the youths and he was telling them they should go and watch your episode on how I quit drinking and under the influence. This shows how big your audience is and how educative your content is.❤❤❤❤❤

  • @beatricemaina7632
    @beatricemaina7632 2 месяца назад +169

    My boy got lost for 3 hrs when he was four years, nilisweat dress ikashikana na mwili. He is now 14 but that day is still fresh in my mind.

  • @elsiekainyu4794
    @elsiekainyu4794 2 месяца назад +175

    Afande:mama yako anaitwa
    Mtoi:mum 😂😂

    • @tory_angie
      @tory_angie 2 месяца назад +3

      😂😂😂

    • @kiplangatbrian4052
      @kiplangatbrian4052 2 месяца назад +3

      🤣🤣 True

    • @warmandfuzzyinside
      @warmandfuzzyinside 2 месяца назад +2

      I’m assuming pia sistake mdogo anaitwa toto

    • @catherinewanjiku3114
      @catherinewanjiku3114 2 месяца назад +3

      Mimi mtoto ata kwa estate naogopa akitoka nje😂 that's how I fear kupoteza mtoto,, welcome back

    • @clinton08
      @clinton08 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂

  • @patrickmutua1125
    @patrickmutua1125 2 месяца назад +46

    Ka unatambua mkuru 🔥Ni KING WA STORIES,,,,gonga like,,,,,#KUDADE

  • @kenmuthomi5089
    @kenmuthomi5089 2 месяца назад +67

    Line of the day "kwani watoto ni coins"😂😂

  • @evanslangat5775
    @evanslangat5775 2 месяца назад +34

    Nakumbuka my daughter walicheza hide and seek,akajipata amelala akiwa amehide. Bro tulimtafuta usiku msima siku six asubuhi aliamka akaingia kwa nyumba akala. Tukitoka police station tunampata anacheza game zake😂😂😂

  • @ckb7878
    @ckb7878 2 месяца назад +21

    This take me back to year 1999,one fine afternoon after taking heavy lunch we played hide and seek in our newly unfinished house which was under construction, we played and we endup falling asleep, in the evening wazazi wakakuja and they could find us,they went to whole neighborhood and villiges and beyond looking for us,at around 10 pm the commotion waked us up walishangaa sana how no one thought of looking for us at the construction site

  • @georgemaina4144
    @georgemaina4144 2 месяца назад +17

    mtoi was like..... why between my slice you're passing around

  • @jeldinedavid8852
    @jeldinedavid8852 2 месяца назад +12

    I had 3 heart attacks just listening to this story...I will tell my story with my son when I heal...in the meantime I need to breathe todu wueeee

    • @lizlefic910
      @lizlefic910 2 месяца назад +1

      Umepumua ya kutosha sweetie, bring the story😅😅

  • @rachealwadaniel25
    @rachealwadaniel25 2 месяца назад +72

    Been a Sunday nikaenda kanisa, preacher akaanza preaching na story ya Kelvin Carter,it was the best preaching ever.Nilikuwa naangalia watu wakiwa wamechanganikiwa karibu niwaulize,yaani hamjui Mkuruu leave alone the Kelvin.....😊😊.
    Nice job Mkurungezi.🌹🌹

  • @covinski
    @covinski 2 месяца назад +28

    Btw mkurugenzi ulifanya vizuri kuacha chakula ready kama huyo mama, asante sana

  • @abrahamsaina6876
    @abrahamsaina6876 2 месяца назад +38

    Hii kitu tunangoja bana hebu toka kwa nganya ya Njugush utupee mambo kwanza,,,hauwezi rudi na utulie hivo

  • @DenisMuriira
    @DenisMuriira 2 месяца назад +47

    Mkurugenzi tunataka kuona kazi ulienda kufanya Australia

  • @Mwangi_Routine
    @Mwangi_Routine 2 месяца назад +16

    Reminds me of how one of my twin brothers alidandia pick-up akiwa 5 years akaingia kwa hio truck bed na akalala na dere hakujua😭He drove him from Githurai to Muthaiga. Sijawaichapwa vita mbaya kama hio day. All he knew was his teacher's name yeye ndio alituokoa ghai😭

  • @MaryMacharia-vk9kb
    @MaryMacharia-vk9kb 2 месяца назад +41

    Kalongolongo was the best game ever in those dayss😂😂

  • @majevedhadj592
    @majevedhadj592 2 месяца назад +42

    Mkurugenzi hii mambo ya once a week Acha bana si tunataka kama thrice ama twice a week 🧘‍♂️❤

  • @fun-yx4nw
    @fun-yx4nw 2 месяца назад +55

    Abel "Akinyi ni nani?, Akinyi is woke"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Burundian_divas
    @Burundian_divas 2 месяца назад +10

    Aki 😂 this guy is giving free therapy sessions may God keep blessing you and your awesome family 😇 much love from Germany

  • @reine924
    @reine924 2 месяца назад +9

    I panic every time I hear or think of kids getting lost. It's even worse for very young ones who cannot express themselves.
    Tuko once covered a story of a young girl who was tricked and kidnapped by a neighbour (a lady) in Meru and brought to Nairobi to work as a maid 😥 where she was mistreated by that family. I don't recall how she ended up in a children's home and lived there for years.
    She was found and reunited with her family while at the age of 13 😥
    Sikumbuki title for the story but it was done by Kawira between 2021 and 2022.
    "Kutaga ma tadpole" took me out though 😂😂

  • @radicalljinari3863
    @radicalljinari3863 2 месяца назад +7

    Yani vile unapiga hizi simuliza lazima uwe na maPHD zako aisee, so perfect.

  • @boazmagoma1652
    @boazmagoma1652 2 месяца назад +19

    Uyo Akinyi alikua anafaa viboko😅😅

    • @nevilleokumu7885
      @nevilleokumu7885 2 месяца назад

      maneno ya Akinyi wachia watu wa Akinyi ama tukufinye 😂😂😂😂

  • @brian-matekwa009
    @brian-matekwa009 2 месяца назад +16

    Sisi tulikua tunaitwa na ukali ndio wengine wasijue ni chakula tunaitiwa😂😂

  • @typicallyrics173
    @typicallyrics173 2 месяца назад +6

    the happiest story ..though ilikuwa inaanza kukua ka ya ule dem alidedi kwa maji columbia after the volcanic eruption... but it turns out to be the happiest story from Mkurugenzi...juu hadi mi nimepoteza mkidi nilimtafuta sawasawa hadi nilikuwa naambia jirani "uko sure umeangalia vizuri hadi chini ya kitanda ka mtoto ako apo"

  • @AfrikanMan
    @AfrikanMan 2 месяца назад +6

    Sister yangu ashaipotea for like an hour akiwa three years. I was around 14 at the time na ni mimi nilikua nimeachiwa mtoto.
    Lemme tell you guys, nilitokwa na jasho!
    Eventually nilimpata na mama fulani tu around. She said ati aliona tu mtoto anamfuata nyuma. I have never told my parents about that day, she is 17 now.

  • @Histonnie
    @Histonnie 2 месяца назад +7

    Mkuru you kept me waiting sana but finally umedeliver 👊🏽 Shukran. Let's appreciate this best story teller in africa bana. Mkuru live long 🥂

  • @shirowaithera
    @shirowaithera 2 месяца назад +56

    I was like what's happening 🤌 it's been ages since the last story 😂😂😂

    • @edwardmuimi3792
      @edwardmuimi3792 2 месяца назад +1

      Only two days wdym??

    • @hedwiglilande8981
      @hedwiglilande8981 2 месяца назад +1

      Me too, feels like forever

    • @Kevin_acee
      @Kevin_acee 2 месяца назад +1

      ​@@edwardmuimi3792 elewa Satire

    • @Harryaggy
      @Harryaggy 2 месяца назад

      😂😂😂watoto hawananga nini😅😅

  • @elsiesagalla8724
    @elsiesagalla8724 2 месяца назад +3

    My nephey a third year student got lost in January..God please return him to us😢

  • @KelvinKaranja-eu5lt
    @KelvinKaranja-eu5lt 2 месяца назад +3

    Mkuru this is your job,,,how you explain your stories it feels like you part of it. Keep on the fire burning, na God akubless ukiendelea kutuchapia stori

  • @nightingalechep7713
    @nightingalechep7713 2 месяца назад +4

    I also lost my son at some point 😂😂 aki tulimtafta...kumbe househelp alianua nguo kukinyesha na akaweka kwa bed na mtoi kumbe alichoka Akalala. I can never forget that feeling

  • @EricKamau-nn7jd
    @EricKamau-nn7jd 2 месяца назад +42

    Just waiting for our therapy. Na Mkuruu naona tutakubembeleza haukucheza Wednesday bana😂🎉. Wapi likes zangu jameni

  • @LightTower-gg9kn
    @LightTower-gg9kn 2 месяца назад +10

    Watotso hawana loyalty bora food iko

  • @rosegichia700
    @rosegichia700 2 месяца назад +11

    I remember when we were young my brother alipotea like 3 different times. Aki tulikuwa tunalala nje tukimtafuta. He's a bouncing 20year old now😂😂😂

  • @yobstertwish7359
    @yobstertwish7359 2 месяца назад +6

    Mkuru ...this reminds me of me ....nilienda kuomba nyama kwa jirani usiku wazae wakanitafuta deadly 😂😂😂😂

  • @selectordalty254vapour
    @selectordalty254vapour 2 месяца назад +31

    Mkuru naona sasa uanze kutoa story mara tano kwa wiki 😂😂😂😂😂unafanya narudia story za kitambo karibu mara tano this is more much😂😂😂anyway mob love Mkuru😍😍😍😍

    • @CalvinKE-yg5mo
      @CalvinKE-yg5mo 2 месяца назад +2

      i support you sana

    • @evanswekesa9673
      @evanswekesa9673 2 месяца назад +1

      mimi ata nilipata movie ya kina Spikes na Dolly inaitwa #Ash pappi ya kunikeep busy

    • @faithkibuti8383
      @faithkibuti8383 2 месяца назад +1

      I support,,mimi nimezirudia sana

  • @eunicenjama2525
    @eunicenjama2525 2 месяца назад +3

    I once lost my 3 year old son in Tuskys supermarket for not more than 1 hour, but it was the most frightening thing ever in my life.

  • @francismacharia9809
    @francismacharia9809 2 месяца назад +32

    @Abel Mutua, waiting eagerly for the undercovers in Qatar

  • @annetteboost7423
    @annetteboost7423 2 месяца назад +8

    Amaizing storyteller… but my brain is still hanging on what happened to brayo 🤔

  • @reenmakamu2278
    @reenmakamu2278 2 месяца назад +6

    Nikikumbuka hii iliwahi nitendekea all the way from shibale-mumias to shibuli just because of following a friend😂😂😂😂😂😂😂..chief wa shibuli abarikiwe tu sana..walinifanyia tu vile yule autistic mum alifanyia hako katoi..we still have good people inthe society mehn! For me, i was able to communicate, so it was very easy to reach mumias sugar company where my father used to work. Lakini Pamela wewe mwenye ulinitoa estate ukaniachia mumias Town nijipange ..Mungu anakuona😂😂😂😂😂😂😂😂.

  • @djdanglezkenya8952
    @djdanglezkenya8952 2 месяца назад +10

    Why you panicing guys😂😂Hata mimi wanikujie na chapo ziko kwa jiko aiii nooo way. Ati umepoteza mtoto mum aki si mimi😂

  • @karimimiriti3827
    @karimimiriti3827 2 месяца назад +8

    Hi story ya leo inafanana nayangu imagine
    Wee Mkuru 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂😂😂😂😂

  • @ezralimo78
    @ezralimo78 2 месяца назад +4

    "kwani tuko na mtoto mpya" inanimaliza mbaya😂😂

  • @mosesnderitu1608
    @mosesnderitu1608 2 месяца назад +9

    Na kuna story za Australia pia tufraaaaaaaaiiiee😅😊

  • @lindaodedo7259
    @lindaodedo7259 2 месяца назад +3

    Mkuru tulishukuru, tulisema wewe ni kama mama akienda safari anawacha kama amepikia watoto, 😅😅 the luhya in me

  • @theecompanyinc
    @theecompanyinc 2 месяца назад +7

    “Akinyi is woke”…😂

  • @teehope8246
    @teehope8246 2 месяца назад +4

    #AbelMutua you're like that mama
    You woke up very early and prepared food for us before you left for Australia 👏👏👏👌👌👌
    The 2 yr old baby is an OG...the comfort in a new home, no crying or anxiety ❤❤❤

  • @leakeygebra
    @leakeygebra 2 месяца назад +15

    Me watching mkuru on all my devices noticing lappy Iko nyuma Wacha nirudi uko😂😂😂

    • @winnymuusi7805
      @winnymuusi7805 2 месяца назад +6

      And subscribing with multiple RUclipsr accounts for us who have more accounts and devices.....unapush 5 times at once ❤❤❤❤❤

  • @kungunionthebeat1249
    @kungunionthebeat1249 2 месяца назад +12

    The best therapist 🎉

  • @obuyacharles8839
    @obuyacharles8839 2 месяца назад +5

    Tuchape zile za Australia mkuru..tuta appreciate

  • @RAFIKI2029
    @RAFIKI2029 2 месяца назад +6

    Compass yao😂😂😂😂😂😂. I am laughing because I can now laugh.
    This happened to my kid with her friend. Thank God my daughter knew the family name. They just knocked on a door. The next village. It's very funny, scary, but very educative. I still can't thank enough the stranger who brought them back home..

  • @cynthiaatieno6185
    @cynthiaatieno6185 2 месяца назад +1

    Umefanya naanza kuhurumia my brother's parents adi leo he's now 19 tangu my dad amuokote akiwa 3 or 2 yrs as they assumed......but maybe it was destiny he's turned out to be a blessing a very intelligent boy now at MMUST second yr anakula masomo vile inafaa ......we thank God for the mysterious gift

  • @vickykvictor7184
    @vickykvictor7184 2 месяца назад +1

    Kuna vitu mbili muhimu hunifanya niingie RUclips.. gospel songs and mkurugenzi of course ..❤

  • @shikufm9690
    @shikufm9690 2 месяца назад +2

    Welcome back Mkuru.
    This story is sad but vile unaongea aki can't kazia kicheko,only a mom mwenye ashawai tafta mtoto for an hour will understand the pain wuuuueeeh ata kupumua hua hupumui.Thanks God aki tondu maa

  • @farrelpharrell5111
    @farrelpharrell5111 2 месяца назад +3

    My girl's away and i happened to watch this episode alone, Nacheka pekeangu why😂

  • @gracewanjiku8775
    @gracewanjiku8775 2 месяца назад +4

    Lakini watu wangu wa Juja hamnanga story 🤔🤔

  • @THEWOLFKING-kt3im
    @THEWOLFKING-kt3im 2 месяца назад +3

    Qute of the day "Kwani watoto ni coins"😅😂😂😂😂

  • @bornashae777
    @bornashae777 2 месяца назад +8

    Shukran Sana Mkuru ❤ na appreciate Sana KAZI yako🌼👍🙏

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 2 месяца назад +4

    Chokos last walisanywa tyme obama alikua anakuja kenya ....i think soo Mkuru na walikula fifty na manguo smart....kidogo too wapewe phnes 😅😅😅😅

  • @ruthchege2268
    @ruthchege2268 2 месяца назад +2

    Waaaa watoto wa 3 wa my sister walipotea siku ya mazishi ya sister yagu mubig waaa sema kupanic but walipatikana kulizwa walikua wanaeda wapi wakasema wanaeda kusalamia huyo sis yagu tulikua tunazika hiyo siku 😢

  • @Villa_Troy
    @Villa_Troy 2 месяца назад +2

    the Young N' Stupid series is My Best series to watch😊🔥

  • @helixvince6699
    @helixvince6699 2 месяца назад +2

    Thanks for the good memories mkuru.Sisi tulikua tunapotea ivo but kichapo after kupatikana😂😂

  • @vee-nillah..
    @vee-nillah.. 2 месяца назад +3

    Welcome back storyteller extraordinaire ❤
    By the way story za Australia utatuwekea sisi wa nyumbani ama?
    Another thing please tuletee live recording yetu qatar ukipata chance
    Thank you very important 👋🏾

  • @happinessonly1
    @happinessonly1 2 месяца назад +5

    Yaani it is me waiting a story hivi😂 Mkuru wewe ni mkali

  • @muthianikelvin424
    @muthianikelvin424 2 месяца назад +8

    Sijui nikuite mbwa, juu you are bark😂😂😂atlast but ukona deni ya weno😂

  • @SkinachoSkinacho
    @SkinachoSkinacho 2 месяца назад +8

    We Kabat siku hizi umetuanzia mchezo sio 😂Yani last Wednesday ulitulinga hivo na pia nasikia wanakuitanga kabat

  • @JohnMmbaga_
    @JohnMmbaga_ 2 месяца назад +2

    Umesahau ' kupiga pause'...🤣btw nahitaji hoodie aur t-shirt ya 'kupiga pause'. Thanks for the stories man

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 2 месяца назад +3

    Good job much love ❤❤❤ mkurugenzi beautiful story

  • @chemtaigetty3500
    @chemtaigetty3500 2 месяца назад +4

    Umetupotelea mkuruu😅😅finally🎉🎉🥳😫

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 2 месяца назад +4

    huyo kijana alisaidia ju kwanza hakua anataka mtoto mwingine kwao😂

  • @lynbaker2321
    @lynbaker2321 2 месяца назад +2

    Mkuru .. OK glad to see ulifika salama .. Tunamshukuru Mungu.. So now that the proof of concept has been done and you have seen the love and appetite we have for your Merchandise ... Can you please team up na local organiser shipping the merchandise so wenye tulikosa merchandise since stock iliisha can we source them locally given we cant source internationally please .. Tutashukuru .. Please consider Asante

  • @shaddyrazz9092
    @shaddyrazz9092 2 месяца назад +4

    Enyewe mko na listening skills 😂😂 kunyamaza muhimu

  • @edmond_ceo
    @edmond_ceo 2 месяца назад +6

    Refreshed as always courtesy of Mkurugenzi 😊🥳

  • @terez_rami_rezofficial
    @terez_rami_rezofficial 2 месяца назад +2

    Sjui kaa nmechelewa mkuru huskii last week nlikua hosi juu ya accident 😞 but guess wat nikaafungulia televisheni kidogo kidogo sema kuskia ssi mmi tu nawatch eii Kuna msae alikua anawatch episode zako adi saa sita usiku like nilikua naamshwa na .... wakurugenzi pup hahaaaaa... unapenda sana

  • @MbuguaDavid
    @MbuguaDavid 2 месяца назад +9

    Na mkuru ujue hii chanel ni yetu si yako😂

  • @rukuwangaracu
    @rukuwangaracu 2 месяца назад +1

    I was lost at gatundu market Nikiwa 5yrs I feel scared to date juu I was running sikua nataka kushikwa na strangers.. Ningetoka kwa soko ningegongwa na Gari. I was so stubborn as well.

  • @KaraniKiogora
    @KaraniKiogora 2 месяца назад +7

    I'm pushing it until tufike 600k subscribers....so far account kaa 200 za maariif zimefurahia😅kubonyeza kubonyeza

    • @winnymuusi7805
      @winnymuusi7805 2 месяца назад +2

      And recruiting them to add views🎉🎉😂😂

    • @KaraniKiogora
      @KaraniKiogora 2 месяца назад

      @@winnymuusi7805 passionately 💡💯

  • @MathTutor734
    @MathTutor734 2 месяца назад +9

    What would be Abel Mutua's name if his dad's name was Njenga?
    Mkuru wa Njenga 😂😂😂😂
    Very bad bad bad joke 🙄

  • @zush31
    @zush31 2 месяца назад +5

    Imekua true.... adios muchachos..... I love this line

    • @dmtume
      @dmtume 2 месяца назад +1

      😂sasa hautafocus na story ukigoja hip line?

  • @evanswekesa9673
    @evanswekesa9673 2 месяца назад +5

    notifikesion gang in the building....

  • @krispolevi9597
    @krispolevi9597 2 месяца назад +2

    i am laughing in pain because someone would totally loose their mind ...watoto ni wa Mungu lakini mzazi ni mzazi praying for this children is really essential kabisa ju weuh😂

  • @mwangikibe
    @mwangikibe 2 месяца назад +2

    haha maybe huwa hurudi kwa comments za RUclips Mkuruu but walai pale twira we totally appreciate you my guy.. Na mtu anakaa ni kama nataka kukuongelesha ufala kama yule wa juzi tunadeal naye pia on your behalf, ma mehhnn... Keep doing your timg bro👊🏾👊🏾

  • @KasogasOnlineStore1
    @KasogasOnlineStore1 2 месяца назад +2

    Mkuru, kindly fanya research ya Mbae, the goon business man who was killed by the CID from Embu. He had made Embu a living hell. Angekuspot kama dem aambie watu wake wakuite uringe alikuwa anaitisha kichwa yako. His story is interesting but alitambariza

  • @Wealthcreator.s
    @Wealthcreator.s 2 месяца назад +15

    Unasema hatukusema asante, hukutuona pale twirra wee mzee😂😂

  • @sydoh_b
    @sydoh_b 2 месяца назад +2

    I was waiting for mkuru to say "now another incident happened in 2012,this mama had another baby..." 😂😂😂

  • @MaggieMunj
    @MaggieMunj 2 месяца назад +4

    "Mtoto juu ya slice" 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @claireosoo9045
    @claireosoo9045 2 месяца назад +3

    Today's story had my ribs cracking 😂😂😂.

  • @mwirigitimothykanyithia
    @mwirigitimothykanyithia 2 месяца назад +1

    Mkurugenzi is unbelievable. Mkurugenzi you forgot High On Heroines murume. Fanya mpango!

  • @cyrusmungai4789
    @cyrusmungai4789 2 месяца назад +3

    Taja episode yako ya kwanza kutazama hapa kwa Mkuru,,,,Mimi (Special Operation worries)

  • @JustusMasika-ll8lb
    @JustusMasika-ll8lb 2 месяца назад +6

    Am waiting

  • @mfalmemjanja1569
    @mfalmemjanja1569 2 месяца назад +5

    Ndio kuamka....habari zenyu....habari zenyu..habari zenyu tena😂

  • @DomiNesh
    @DomiNesh 2 месяца назад +1

    Mkuru if it is possible be telling us these stories everyday pliz.We are ready to watch them manzee❤#my daily therapy

  • @wilsonngwiri9683
    @wilsonngwiri9683 2 месяца назад +2

    Ati sisi watoto....😅😅omeoverdo😊😊

  • @DianahChepngetich
    @DianahChepngetich 2 месяца назад +1

    nilikua depressed sahii nakula smocha nkiisha tu apa .......asante sana💕💕

  • @estephaniehmwangi4332
    @estephaniehmwangi4332 2 месяца назад +5

    Waiting...

  • @sarahkaranjamuhoro6041
    @sarahkaranjamuhoro6041 2 месяца назад

    Present and welcome back son of the soil.
    I have the white and black boma jacket,I bought it at your show last year I love it.

  • @Just_isaac656
    @Just_isaac656 2 месяца назад +3

    Ngoja bana na mlike show wadau

  • @Tinawarue
    @Tinawarue 2 месяца назад +7

    🎉🎉🎉Premier gang

  • @denrockcheiman2543
    @denrockcheiman2543 2 месяца назад

    Unajua mkuru am addicted to izi story zako ady imefanya nkapoteza job am jobless now bt heli nkope bundles ndo nkuone, bt God ako mbele ntapata job ingine

  • @KenboyManadeh
    @KenboyManadeh 2 месяца назад +2

    Tupatie ya OJ.SIMPSON

  • @lushantah
    @lushantah 2 месяца назад +2

    It's the "kwani watoto ni coins" for me😂......Akinyi is woke😂