Athari Za Mabosi Hatari Kwenye Maeneo Ya Kazi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 51

  • @hellenogochi2908
    @hellenogochi2908 3 года назад +3

    Hizo tabia zote ni za boss wangu

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 года назад +2

    Mmh...hii habari inamuhusu kabisa rais wa nchi flan africa na watumishi wake ...Tawile kaka🙌🙌🙌

  • @yusuphnoah312
    @yusuphnoah312 Год назад

    Nimesikiliza vzuri Sana, ni ukweli kabisa ila nna mshukuru Mungu ufahamu juu ya ili jambo niliupata mapema Sana

  • @sylvestermagarya5342
    @sylvestermagarya5342 2 года назад

    Vizuri sana kaka joel

  • @dicksonmhenuchi6098
    @dicksonmhenuchi6098 3 года назад +1

    Aina ya pili hiyo boss wangu anayo

  • @paulyusuph7572
    @paulyusuph7572 3 года назад +1

    Asante sana kaka joel nanauka kwa kunipa elim ya kujitambua

  • @richardkisembo8810
    @richardkisembo8810 3 года назад +1

    Shukrani sana ni kweli

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 3 года назад

    Ahsante kwa Mahalifa Mr.Joel

  • @ramahamis5156
    @ramahamis5156 3 года назад

    Brow Joel wapo sana

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 года назад

    Nimeyakuta Lakini kwa upande wangu imenisaidia sana

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 года назад +1

    Mi ninao ofisini aisee ni kama hii clip umenitengenezea Mimi. Ubarikiwe sana.

  • @mwamvuakibenga9788
    @mwamvuakibenga9788 3 года назад

    Hahaaahaahaaahaaa joel umenikosha nimekutana nao mabosi wa aina hiyo

  • @hildasheshe2250
    @hildasheshe2250 2 года назад

    Togolai

  • @peresisilikale3789
    @peresisilikale3789 3 года назад

    #Asante.+👏 👏 👏

  • @agnesmwita9315
    @agnesmwita9315 3 года назад

    Yeah ninae na mpaka sasa nipo nae lakini nahisi tayali nimepata ugonjwa wa moyo na siwezi kuacha kazi kwa sababu ninahali ngumu sana yakimaisha na ninawatu pia wananitengemea na sina namna ya kupata kazi nyingine ,naomba unisaidie

  • @jacobmbugumele3957
    @jacobmbugumele3957 3 года назад

    Very interesting Nanauka. Thank you!!!!

  • @treatmentfruits2782
    @treatmentfruits2782 3 года назад

    Yanı kuna boss anazosifa zote hizi masikin unakaa kwenye ofisi kama uko Somalia na hata amani na ofisi huna good news brother 😘❤️🙏🏻

  • @ariesastrology5708
    @ariesastrology5708 3 года назад +1

    That is true talks👍

  • @mosesfrancis8495
    @mosesfrancis8495 4 месяца назад

    Kweli

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 3 года назад

    Machozi yananitoka kwa jinsi ulivyowachambua mabosi watata tena wengi wao hawana hata hofu ya Mungu! Wanaamini wanachokiamini tu, hakika mwalimu una MAONO

  • @EspéranceBuchekabiri
    @EspéranceBuchekabiri Год назад

    Tuko nao tena ni wezi wetu hakuna chema akuna

  • @jonnjellad4479
    @jonnjellad4479 Год назад

    Hapa mimi huwa nayaaona na mabosi wengi huniogopa kwa jinsi ninavyoyapangua

  • @treatmentfruits2782
    @treatmentfruits2782 3 года назад +1

    Itabidi utuletee na aina ya maboss wazuri wanaoweza kutuinuaa kiuchumi

  • @fikikenya1401
    @fikikenya1401 3 года назад

    Boss wangu umemchambua leo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад

    🙏🙏🙏💚

  • @safarijean-pierre4918
    @safarijean-pierre4918 3 года назад

    Sante

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 3 года назад

    waarabu ao

  • @remmyjingremmy3473
    @remmyjingremmy3473 Год назад

    Ndio

  • @chrispinkalolo9011
    @chrispinkalolo9011 3 года назад

    Boss wangu yupo na sifa ya pili na ya nne!!

  • @omaritvtz5235
    @omaritvtz5235 3 года назад

    Umenishika pabaya

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 3 года назад +1

    Mabosi no 2 wengi wapo oman na sehemu nyingine

  • @danielmwanza1507
    @danielmwanza1507 3 года назад

    Karibia sifa zote hizo anazo

  • @omannew4380
    @omannew4380 3 года назад

    Asant saaan my brooo hakika umebadish maaish Yang Kwa kias kikubwa saan japo nimekufaham. Mwezi wa 12 2020 Ila had sasa maisha Yang yamebalik kipitia wee 🙏mabosi ambao Niko now toka 2017 had Leo hiiii ni wale wanaokuzalilish mbele za wat pia hawajl utu hata Kama unaumwa wanachotak wao ni uwafnyie kaz to

  • @hezronsamson2406
    @hezronsamson2406 3 года назад

    Ninae boss Kama huyo hasikilizi watu

  • @deejayjojaz254
    @deejayjojaz254 3 года назад +1

    Vipi mukubwa wangu Kenya tunakupata vyema ,
    Mimi Niko nae kazini mwangu lakini nitamuelewa Sasa ambavyo umenifunza.

  • @emmynjau3983
    @emmynjau3983 Год назад

    Yaani huyu ni wangu kbs hata ufiwe hakujal tena ni muhindi

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 2 года назад

    Hello bwana Joel Mimi Niko Kenya na naomba connection ya vile naweza pata vitabu zako

  • @edithtemu9606
    @edithtemu9606 3 года назад

    Kaka yaani hao nimekutana nao wengi mnooo

  • @abdallasalim3778
    @abdallasalim3778 3 года назад

    True story

  • @hamisimsangi8274
    @hamisimsangi8274 3 года назад

    Me nshakutana na bosi mchawi

  • @IsayaBenithomasangula
    @IsayaBenithomasangula Год назад

    Kwakweli kwanza nashukru kwa ujumbe huu yani point zote hapo huyo bosi wangu alikuwa nazo ila sikudumu nae

  • @bundukitv
    @bundukitv 3 года назад

    Nilioa mchawi bila kujua (Part 1)👇👇👇
    ruclips.net/video/KNViq_1OI0o/видео.html

  • @shalyntalia7528
    @shalyntalia7528 3 года назад +1

    Wangu ni mwarabu ako nazo zote😕

  • @gwamakamalema2696
    @gwamakamalema2696 3 года назад

    Ndio yupo has a uyo anaejali pesa bila. Utu wamtu

  • @abelntobi382
    @abelntobi382 3 года назад +1

    Kiukweli mutu yeyote ambae anajiita boss NI hatari Sana ni bola ukawa na mutu anaejiita kiongozi link hii inaonyesha TOFAUTI 6 KUBWA KATI YA BOSS NA KIONGOZI KWENYE BIASHARA ruclips.net/video/s_d2w_8j35A/видео.html

  • @petermarambe1357
    @petermarambe1357 3 года назад +1

    Joel Bwana Yesu asifiwe, nilikua Arusha napata vitabu vyako toka kimahama bookshop. Kwa sasa nipo Morogoro, nitavipataje??
    Simu yangu ni 0752443030

    • @neemaalphonce7410
      @neemaalphonce7410 2 года назад

      Kaka ni kweli nimekutana naye kbs nanimeamua kuacha kazi